MABADILIKO YA SEMINARI KUU KUWA TAASISI ZA ELIMU YA JUU,UTEKELEZAJI WA AGIZO LA BABA MTAKATIFU

  Рет қаралды 15,524

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

2 жыл бұрын

Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...

Пікірлер: 28
@kisotasekwang7754
@kisotasekwang7754 2 жыл бұрын
Hongera sana TEC kwa kujikita kuhamisha na kuuboresha mifumo za Elimu Tanzania kwa maslahi ya wote Nchini na nje
@centreflora5170
@centreflora5170 2 жыл бұрын
Hapo vijana wataamua vizuri wito wao na baadae kuishi kikamilifu...kazi ipo lkn Safi sana!
@rhotiamedia
@rhotiamedia 2 жыл бұрын
Tupo pamoja sana TEC
@mkagolawassociates4551
@mkagolawassociates4551 2 жыл бұрын
Mabadiliko hayana budi kuja; itakuwa fursa, elimu kutolewa kwa watu wengi zaidi...changamoto zitakazojitokeza, zitatukomaza wengi katika imani.
@thobiasluanda224
@thobiasluanda224 2 жыл бұрын
Hongera sana kanisa katoliki kwa kuliona hilo
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 2 жыл бұрын
Hofu yangu ni kuwa mtavuruga miito kwa vijana wetu. Ni vema utaratibu wa sasa uendelee. Yaani seminari zishughulikie masuala ya kiroho tu na vyuo vikuu vishughulikie masuala yasiyo ya kiroho.
@isaacmbuna8898
@isaacmbuna8898 2 жыл бұрын
Hakika...wanatakiwa waendelee na lengo lile lile ila mitaala tuu ndo ibadilishwe iwe na hadhi ya kuwa chuo kikuu...kuchangamana HAPANA aisee
@bikobizeze3277
@bikobizeze3277 2 жыл бұрын
Mfumo huo ni mzuri utawavutia walei wengi kujiunga na kupata taaluma ya kiwango Cha juu
@thobiasluanda224
@thobiasluanda224 2 жыл бұрын
Kazi kwenu malabee
@magemagrita2265
@magemagrita2265 2 жыл бұрын
Mungu awasaidie kuna mambo hapo
@bakhitakivenule9844
@bakhitakivenule9844 2 жыл бұрын
Milito itaharibika sana
@alexbenedict5378
@alexbenedict5378 2 жыл бұрын
Yes
@moshifrank9622
@moshifrank9622 2 жыл бұрын
Mmh mchanganyooo
@franklaurent216
@franklaurent216 2 жыл бұрын
nahitaji kusoma degree ya kilatini hapo Segerea Seminari , I wish niwe among first graduates wa mfumo huu mchanganyiko
@manyakuulaompondelo4419
@manyakuulaompondelo4419 2 жыл бұрын
Mmmhh jengeni miundo mbinu tuone
@ursulamkuele1890
@ursulamkuele1890 2 жыл бұрын
S I Y O.
@ulircktarimo5869
@ulircktarimo5869 2 жыл бұрын
Du aisee hongereni ila.......
@janethmselle4276
@janethmselle4276 2 жыл бұрын
Je, baraza la Maaskofu linazungumaje, agizo la Babà Mtakatifu kuhusu Katekiata?
@cuthbertmkemwa4903
@cuthbertmkemwa4903 2 жыл бұрын
Mageuzi ni positive, Ila kila mageuzi hua na negatives pia. Kila la kheri
@isaacmbuna8898
@isaacmbuna8898 2 жыл бұрын
Kuna ugumu flani nauona....hasa kuruhusu watu ambao hawana wito upadre kuchangamana na wale wenye wito huo
@joycesoka386
@joycesoka386 2 жыл бұрын
Mchanganyo huo
@khalidithane3328
@khalidithane3328 Жыл бұрын
mmmh nichangamoto sana maana sio kwa vijana wa sasa wazamani si wa sasa.
@franklaurent216
@franklaurent216 2 жыл бұрын
tutakuja kusoma falsafa
@BeatusKLeon
@BeatusKLeon 2 жыл бұрын
Napata taabu kufikiria uwezekano wa kukuta wapagani wakisoma Peramiho, Kipalapala nk. Wengine waje humo na wachumba zao!
@admushionlinetv5669
@admushionlinetv5669 2 жыл бұрын
Kazi kwel kwel mshika mawil ... Lazima MOJA huponyoka , huwez kushika mabwana wawil , lazima tukubali kuna MOJA litafel hasa la upadre mmeamua kuchagua ya dunia asanten
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 2 жыл бұрын
Mbona Jordan wanasoma?
@csato9415
@csato9415 2 жыл бұрын
@@admushionlinetv5669 Atakayeamua kufuata njia tofauti huyo hakuwa na wito kutoka ndani ya moyo wake. Kwani mtumishi hutumikia watu wote.
@modestshikilana4610
@modestshikilana4610 2 жыл бұрын
Dr Leon!
TOP 12 SHULE ZA KANISA KATOLIKI ZILIZOFANYA VIZURI MATOKEO YA FROM 6 2024
8:11
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 9 М.
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 118 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 22 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН
Ifahamu Seminari Kuu ya Familia Takatifu ya Nazareth Mwendakulima
13:28
Radio Maria Tanzania
Рет қаралды 2 М.
MAKAMU WA RAIS TEC AFAFANUA KWA KINA MAANA YA PALLIUM ATAKAYOVALISHWA KARDINALI RUGAMBWA
14:14
MANENO MAZITO YA BALOZI WA PAPA AKIMVIKA PALLIA TAKATIFU KARDINALI RUGAMBWA
6:55
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 719
Why UK 🇬🇧 is going Bankrupt? : Detailed Economic Case Study
20:37
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 118 МЛН