No video

MAGARI SITA YA WIZI YAKAMATWA "TUMEMKAMATA KIMYAKIMYA MWIZI WA MAGARI WA DSM"

  Рет қаралды 61,149

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato TRA limekamata magari 6 ya wizi na mtandao wa watu 5 wanaotekeleza matukio hayo kama anavyobainisha RPC Njombe Hamis Issa na Meneja wa TRA Mkoa Shaban Musibu.

Пікірлер: 101
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
Maashallah Mungu awalinde na wabaya pambaneni na maadui kwanguvuzote Mungu yupo daa ongeleni Sana 💚💚💚💚💚
@joojombi2341
@joojombi2341 3 жыл бұрын
Safi sana kazeni buti blazaaa wakomeshwe hao wezi
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 3 жыл бұрын
Pongezi kwa kazi nzuri ya ufichuzi wa mtandao huo wa kimyakimya.
@ernestsinje8693
@ernestsinje8693 3 жыл бұрын
hongereni polisi njombe nawakubali
@mashaainsuranceagency5925
@mashaainsuranceagency5925 3 жыл бұрын
Kwa kweli mnafanya kazi tena kazi ngumu mungu atawalipa
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 3 жыл бұрын
Ongereni sana jeshi letu la police
@sophialemmpalasu4133
@sophialemmpalasu4133 Жыл бұрын
Safi sana jeshin la polisi Kwa kazi mnayoifanya na mungu azidi kuwalinda
@hoseamgema9107
@hoseamgema9107 3 жыл бұрын
Huyu kweli afande mwenye wito Kha! Bit kama zote .😂
@abdul-rahmanfakijuma1879
@abdul-rahmanfakijuma1879 3 жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri
@Chimgege
@Chimgege 3 жыл бұрын
Hawa mafala tunawapa rift tukiwa njiani wanatupulizia dawa wana kama perfume kadogo ndugu mnaopenda kubebe abiria njiani achenii
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 жыл бұрын
Niko omani nawapata wa nyumbani napenda nimsikilize uyo police asimalize zungumza.kazi mzuri Sana ongereni kikosi kazi.
@veronicalaiser8394
@veronicalaiser8394 3 жыл бұрын
Haaa! Kumbe ni mtandao kitaifa. Hawakai eneo moja kumbe?
@malsonkuniyalekandu3563
@malsonkuniyalekandu3563 3 жыл бұрын
Nimeipenda sana kazi ya polisi,mimi nimeibiwa IST silver namba T 171 DTP,kesi nimefungua kilwa road naamini kuwa Mungu atafungua milango nayo itapatikana
@contuextra4760
@contuextra4760 2 жыл бұрын
Uliipata?
@chihongotv3255
@chihongotv3255 3 жыл бұрын
Duuuh hatarii
@eliakitiwi
@eliakitiwi 3 жыл бұрын
Afande hiyo ni drill machine sio grander
@eliudijustini9878
@eliudijustini9878 3 жыл бұрын
Watu wamesomea wizi bana
@hassanhamidubarwany
@hassanhamidubarwany 3 жыл бұрын
Kazi nzuri kamanda
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 жыл бұрын
Hongereni sana jeshi la police
@magejosia9026
@magejosia9026 3 жыл бұрын
Dill done good job
@sudymgeni701
@sudymgeni701 2 жыл бұрын
Kumkamata tunaona ila Sasa Mahakamani wiki Moja kaachiliwa huru kesi kwisha
@romanusmakishe67
@romanusmakishe67 3 жыл бұрын
Hongereni sana Jeshi la Polisi Njombe.
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Sivizuri kutaka utajiri wa haraka jamani mwenzako anang'ang'ana usiku na mchana na ww unaenda kuiba ooh God.
@manduatechnology1055
@manduatechnology1055 3 жыл бұрын
Nakukubal San Antonio wang...kaz unaiwez ubaatish
@ishengomamlangila4341
@ishengomamlangila4341 3 жыл бұрын
Ahsante miladi ayo
@user-hg3yv7xh9r
@user-hg3yv7xh9r Жыл бұрын
Pereka mahakamani
@nickjustin2023
@nickjustin2023 3 жыл бұрын
Eti naww ukijibu tofauti utakuwa sehemu ya tukio😆😆😆😆😆
@gracengowi7172
@gracengowi7172 3 жыл бұрын
Nyongeza.njoo uchukue gar yako.wez wako hapahapa😀
@nickjustin2023
@nickjustin2023 3 жыл бұрын
@@gracengowi7172 so Kwa mikwara hiyo, unaweza sameh hta gari yenyew sasa😆😆😆😆
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 жыл бұрын
Asante jeshi la polic
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 3 жыл бұрын
Uyo kimyakimya nimewai mkuta kituo kimoja walisema mwizi Wa magali kumbe aliachiwa jambo hili inabidi tumwambie kamanda IGP kwanini aliachiwa
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 жыл бұрын
Na Sisi tumeifata kimya kimya 🤣🤣
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 3 жыл бұрын
Siku hizi mbona wezi wenyewe amtuonyeshi
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Sura zao zita pelekwa mahakamani
@jipemoyocentre9983
@jipemoyocentre9983 3 жыл бұрын
Mbona mnatoa siri . Uhalifu utaendelea hata kama mtu alikuwa hajui si atajifunza kutokana na malezo yenu. Msionyeshe vifaa wanavyotumia
@shabanikamsawa181
@shabanikamsawa181 3 жыл бұрын
Cna hamu na kesi nna mtuhumiwa wa wizi wa mtandao amekamatwa amepelekwa mahakamani lakini kuanzia mwaka Jana mwezi wa nane hadi Leo kesi haijawai kuckilizwa na mtuhumiwa hajulikani alipo na alie muekea zamana cjui alipo kila nikiulizia kwa mwendesha mashitaka hakuna jibu linalo eleweka kazi yao subir yani hadi MTU unakata tamaa mahakamani nishida aisee
@mwinyiadadi1604
@mwinyiadadi1604 Жыл бұрын
Niliibiwa gari aina ist dsm salasala kwa babu ist pampa new model number drd 923 mwaka jana mwezi wa tatu
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 3 жыл бұрын
Mungu Awasimamie In sha Allah.
@philipomayengasitta8460
@philipomayengasitta8460 3 жыл бұрын
C
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 3 жыл бұрын
Muipe zawad iyo Gari iliofnya nyenzie kuonekana😂😂..Kazi Nzuirr Police
@simondogtrainer7498
@simondogtrainer7498 3 жыл бұрын
M nmeibiwa vielelezo vyang gar naipataje
@emmapaul1766
@emmapaul1766 3 жыл бұрын
Nenda tra wakakupe documents zinazohusiana na gari yako
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 жыл бұрын
Mungu wangu hao wafungwe
@emanuelmlowe6854
@emanuelmlowe6854 3 жыл бұрын
Sari Sana polisi
@mwinyiadadi1604
@mwinyiadadi1604 Жыл бұрын
Kamanda tunaomba number
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 3 жыл бұрын
Ehee kwa hiyo mpaka gar ya MTU hawa wanakurupuka
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 3 жыл бұрын
Subuhanallh
@shabansamwi9891
@shabansamwi9891 3 жыл бұрын
wapotezi pia kimya kimya
@missangela6720
@missangela6720 3 жыл бұрын
Kamanda anavyokazia sasa unajua walipania kwelikweli. Hongereni sana jamani. Hii ndiyo Tanzania mpya
@furahishashaban3422
@furahishashaban3422 3 жыл бұрын
Aiseeee hiyo IST ilikua na usajili DNV nimeshangaa DLH khaaaa wezi🙌🏻hapana unaweza kupishana na gari lako barabarani na usilitambue🤭
@teacherd
@teacherd 3 жыл бұрын
SIFA ZA KUSOMA CHUO CHA AFYA(Certificate) kzfaq.info/get/bejne/jq5do66krMu-YGQ.html
@happynelson1136
@happynelson1136 3 жыл бұрын
Hiyo mijizi haionyeshwi sura zao sababu wananchi wenye hasira wanaweza kuwaua halafu ikaonekana ni makosa ya polisi kwa kuonesha sura zao
@boniphacepius2987
@boniphacepius2987 3 жыл бұрын
Duuh
@deboramwalubwelo4184
@deboramwalubwelo4184 3 жыл бұрын
Niliibiwa gari 2015 ukumbi wa mkapa. T 909 DBX. Msaada afande.
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 3 жыл бұрын
Hayo majina tu yanatisha subuhanallh
@henryndosi1114
@henryndosi1114 3 жыл бұрын
Kishindo cha awamu ya tano mtandao wa lema yeye anakula baridi Canada mashambani
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 3 жыл бұрын
Doo ujinga huu,niibiwe gar Bado niwe nami mwiz
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Kwa mkwara wa afande mtu kama kweli uli ibiwa gari uta ifata? 😅😄😄
@msalikemedia
@msalikemedia 3 жыл бұрын
Hahaha hufati maana utaishia jela na wewe
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
@@msalikemedia unaweza ukawa jambazi ghafla daah hii nchi we acha tu unaweza ikawa haki yako na usi ipate🤣😄
@msalikemedia
@msalikemedia 3 жыл бұрын
@@ilynpayne7491 Hahaha kwahio ni bora ukae kimya eti
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 жыл бұрын
Umeonaaa eeee nimecheka
@smilemediatz
@smilemediatz 3 жыл бұрын
maswala ya kuficha majambazi bola msiwe mnatoa taarifa nini maana ya habari
@tousihhhh6765
@tousihhhh6765 3 жыл бұрын
tz mikon juu siami miak mia
@salumally1561
@salumally1561 3 жыл бұрын
Mnavyotoa taarfa muwe munatuwekea Na picha za waarifu
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 3 жыл бұрын
Waiz wanakuwa waz kwa picha hatuwaoni
@zqmax3934
@zqmax3934 3 жыл бұрын
Issaaaa
@wisperfect5320
@wisperfect5320 3 жыл бұрын
Tuoneshen wezi sasa tuwajue
@japhrystar2597
@japhrystar2597 3 жыл бұрын
Namm nimeibiwa baiskeli nisaidien jmn
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 жыл бұрын
Nenda kwa mjumbe
@seifjuma3471
@seifjuma3471 3 жыл бұрын
@@julihanjosephyjs6361 😅😅😅😅
@japhrystar2597
@japhrystar2597 3 жыл бұрын
Dah
@mwajumahamisi2006
@mwajumahamisi2006 3 жыл бұрын
@@julihanjosephyjs6361 😂😂😂😂😂😂😂😂
@nassorsaid2331
@nassorsaid2331 3 жыл бұрын
Sasa mafundi garage wote si wana hizo tindo,misasa,spana n.k
@nyamkamawanjara29
@nyamkamawanjara29 3 жыл бұрын
wachomeni sindano za sumu wafe
@leahmwakalambile1648
@leahmwakalambile1648 3 жыл бұрын
Tuonyeshe hawa watu
@ahmednoor1412
@ahmednoor1412 3 жыл бұрын
Kamanda huyo jambazi wa moshi mbona umerudia Mara mbili kumtaja maana .
@hadija846
@hadija846 3 жыл бұрын
Wezi wenyewe hata sura zao hazipo
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
😃😃😃
@ahmedsereleman7760
@ahmedsereleman7760 3 жыл бұрын
f
@rajaburajabu3963
@rajaburajabu3963 3 жыл бұрын
Saf
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 3 жыл бұрын
Nna wasiwasi hizo gari za wezi Polisi wanaweza kujimilikisha hata kama walizipata kihalali😃😃😃
@emanuelmlowe6854
@emanuelmlowe6854 3 жыл бұрын
Siwaonyeshe nyaraka?
@emanuelmlowe6854
@emanuelmlowe6854 3 жыл бұрын
Usikute Unaishi kwa kuona magari. Umekuja kwao utakuta waliua watu wakati wanaiba
@emanuelmlowe6854
@emanuelmlowe6854 3 жыл бұрын
Usikute Unaishi kwa kuona magari. Umekuja kwao utakuta waliua watu wakati wanaiba
@rosekaiza2716
@rosekaiza2716 3 жыл бұрын
Hata mimi ninawacwac maana kapiga mkwara wakutosha yaani hata kama gar ni lako utaogopa kwenda kugomboa kwa vitisho hivyo coz afande kasema hata kama yako uje na vielelezo vya kutosha wakati siku hizi tunanunua gari za kuvuana hatuendi yad na hao wezi wameshaibadilisha mpka kwenye injini kweli kuna kupata gar kweli hapo?na wamesema ukizingua kidogo unaunganishwa na kesi ya wizi na wewe duh!! Bado TRA mungu awasaidie wenye magar yao alali
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 3 жыл бұрын
Ningeshangaa kama mchaga angekosekana kwa hao wezi.
@salehali4saleh19
@salehali4saleh19 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂kwa hiyo sisi ndiyo wezi sana?
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 3 жыл бұрын
@@salehali4saleh19 Tena hao ni vinara wa wizi.
@afrieagle8314
@afrieagle8314 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 3 жыл бұрын
Wamenasa kwa afande issa.chezea meno wewe..
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Na nyinyi msiyaibe!!
@stevenwawafishboy
@stevenwawafishboy 3 жыл бұрын
Shuhudia Demu Anavyofaanyiwa Masagi Anavyolia 👇 kzfaq.info/get/bejne/ftx3qamBsbW1o6M.html
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Duh majambazi hawaishi aisee
@georgesamson5958
@georgesamson5958 3 жыл бұрын
Mbona hao majambaz waonyesheni tuwaone
@mheheoriginal9712
@mheheoriginal9712 3 жыл бұрын
Kamata haooo
@timotheojumal894
@timotheojumal894 3 жыл бұрын
Nimesikia Timothy, ah huyo jamaa anaharibu hadhi ya jina, sie hatunaga hizo sifa
Why Starbucks Is Struggling
12:06
CNBC
Рет қаралды 623 М.
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 12 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 25 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 31 МЛН
MAGARI 6  YA WIZI YAKAMATWA NJOMBE "NJOONI MKAYACHUKUE".
9:55
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 11 МЛН
Can Labour Fix the Housing Crisis?
9:19
TLDR News
Рет қаралды 156 М.
Tecken på stundande recession - chefsstrategen analyserar USA:s ekonomi
14:09
Kryptoexperten: Därför störtdyker bitcoin
13:30
EFN Ekonomikanalen
Рет қаралды 8 М.
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 12 МЛН