Shukran sn sheikh allah akulipe kwa ukumbusho uliotugeiya Na allah awalipe mahasin tv Na wote wanaotazama mahasin tv Ameen
@abumuadh56753 жыл бұрын
Sheikh: Hamza Mansoor JazakaLlah kher Ammen . nakupenda kwa jili ya Allah na piya na penda vipindi vyenu MashaAllah.
@ramadhanismail6537 Жыл бұрын
Allah hakujalie kwenye maisha yako
@Abuudubaiyoutubel Жыл бұрын
Mashallah.na sikitika sana kilan kisikia mauti.vp iyo siku ikinfikia.mungu atupemwisho wenyenema.AMI
@happynesbaemuhappynes8813 Жыл бұрын
Amina
@kichunaabdhuu42832 жыл бұрын
Allah Akbar mwenyezi mungu hatujalie mwisho mwema ishallah
@abdijabar79462 жыл бұрын
Amiin ya Rabb
@saidbarawa9096 Жыл бұрын
Sheikh,may Allah prolong your life so that the Islamic nation may continue to benefit from your knowledge of din
@saidhamadomar63062 жыл бұрын
Napenda sana na sana na izidi kuendelea makumbuxo
@hashimlameckmbugangali18048 жыл бұрын
assalaam aleikum,, nimependa sana mawaidha ya sheikh Hamza Mansoor kama yapo mengine ya 2014 na 2015 tuwekeeni maana mengi ni ya 2013
@saidbarawa9096 Жыл бұрын
Maneno ya mungu Haina ya Jana na Leo,maneno ya mwenzi mungu ni tamu kila siku, hiyo ambao unasema ni ya 2013 umetimiza zote, Yale umesikia zamani ifanyie kazi kwanza
@mohamednoordoyo70462 жыл бұрын
Mashaallah may almighty grant us janatul firdhos inshaallah
@abassyakoub1464 Жыл бұрын
I do inspire you sheikh. I actual become relaxed once I listen your DA'AWA hoped and well excited. Really Allah sent you the brush up our minds. I do love for the sake of Allah. Mungu atukutanishe peponi tukiwa pamoja nawe AMINA 🙏🙏🙏
@user-vs6nk4lc4u2 ай бұрын
Mashaallah jazakallah sheikh Allah atupe mwisho mwema lnshaallah
@saidbarawa9096 Жыл бұрын
Ya Allah jaza moyo yetu na Imani ya dini
@NelsonMazive1989-wz8my Жыл бұрын
Mwenyezi mungu atupe mwisho mwema hapa duniani
@neemainabikorwa55702 жыл бұрын
Barak'Allahu fiiQ wa Jazzaka Allahu kheir.
@idaiaseverino3769 Жыл бұрын
Mashallah ostazi hamza kwakweli unajua sana
@Deborahnahimana-qw6rn Жыл бұрын
Masha Allah shukran sn Allah akujaliye heri na baraka inshaallah
@abcmnbb26106 ай бұрын
Shukran Shukran sheikh HAMZA mungu akupe afya njema Mawaiza mazuri sana Asante
@asmiish__2444 Жыл бұрын
Amiin
@HanifaOman-oo4pl2 ай бұрын
Jazakarllha khaillah shehe
@farhanhassan8884 Жыл бұрын
M.a
@adilihassan84552 жыл бұрын
Mashallah,mada ni nzito Sanaa,Allah akuongoze hadi kuleeee firdaus ,yawadud yaarab. Tupe uongofu sisi waislamu,tupe mwisho mwema,amiin yarabi amiiin
@JB_media00012 жыл бұрын
Amin
@abdijabar79462 жыл бұрын
Amiiin ya ilahi
@HusseinXhaka-oz7hc22 күн бұрын
Mashallah
@shekheostadhi1263 Жыл бұрын
Mahasin tv
@jumaatsuma70692 жыл бұрын
Jumaa
@fatma-yt9ww Жыл бұрын
mashallah kweli kabisa
@issanyange942 жыл бұрын
Asalam aleykum Hiyo anasheed inayoanza kabla ya khotuba anaitwa Nani ??