Pole kwa changamoto za kuitwa shoga pambana tuu mungu atakulipa
@usher_bambi94137 күн бұрын
Vocha kanenepa bwana😊😊😊😊
@user-ft2vq5on6l7 күн бұрын
Anatia wasiwasi kwa kweli
@ZainaHalifa6 күн бұрын
Sema mm namkubali sana anajituma maashallah
@Kabeya4107 күн бұрын
Hilo jina limetokana na mwigizaji wa Zamani ITV kipindi Mambo hayo. Kulikua na WARIDI, AISHA, SUMBI, NA BOCHA, sasa nadhani hilo VOCHA badala ya BOCHA.
@user-ih6ng6sf6o2 күн бұрын
Vocha waga unanifuraisha sana kaka mungu akutie nguvu kwel😘🤣🤣
@salhamrishoi49436 күн бұрын
Nakupenda saana kaka kumbe ni mpole saana mungu akubariki katika kazi yako ❤❤❤❤ kiukweli nafurah saana na video zako
@user-xr9sn9un7k2 күн бұрын
Nipole sana🎉
@directorerikey32917 күн бұрын
Vocha inasuguliwa😅
@habibamura52557 күн бұрын
Uta toka inshallah
@GraceBriton3 сағат бұрын
Nakupenda bure pole lakini
@LeganNtambi2 күн бұрын
Nampenda Sana huyu kaka jamn huwa unatuchekesha familia nzima❤❤
@angonzamujunangoma87757 күн бұрын
😅😅ila Denice eti ulienda chuo kupoteza muda
@lunangabenjamin31217 күн бұрын
Dogo zidi kukaza usiregeze pambana akuna mafanikiyo bila viziwizi,na upinzani,kutukanwa.chapa kazi.eti wananiita shoga,unaparamiwa😂😂😂kwampalange au vipi.pambana dogo unaweza kuna ile clip yako yakutereza nzuri sana unaweza.mafanikio utokeya unapoanza kukata tamaa.joti kashagatukanwa,mama emma,na wengine chapa kazi dogo.
@WardaSuma-fn5sc2 күн бұрын
Ila vocha you make happy 😊😊😊😊😊😊
@RachelNathan-yv5zc6 күн бұрын
Kumbe handsome hivi... yani nmependa skin colour yake
@edithaeugeni96956 күн бұрын
Waooo nampenda sana hyu kaka jamani 😘😘😘❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@UmayyaNkya-ze3ri7 күн бұрын
Huyu ndo yule anaangukaga tikitoku 😂😂😂
@oman1oman1796 күн бұрын
😂😂😂😂😂ndio ni yeye huo
@Mrsanthony-ys4ot3 күн бұрын
Jamani huyo cyo shoga huo ndo ukwel. Tumesoma nae huyo cyo shoga mtapata dhambi za bureee kumpa mtu shutuma ziczozake
@Saida-pv5gs5 күн бұрын
Saut ishakuwa inabadilika ila ufanye na kaz ustegemee sanaa t
@JeraldMwakilongoКүн бұрын
Nakubali🎉
@NasraAllyrashid2 күн бұрын
Vocha nakupenda bure😂
@AminaLibisa6 күн бұрын
😂😂😂😂😂 eti kuchunika chunika nachunika ila hasikii uyu itakua mdogo wake koku itakua andondoki yeye😂😂
@SinemaZaChina6 күн бұрын
kujifananisha na mwanamke si kazi bali ni ushoga walipatia waliokua sana kukuita hivo😂😂
@lwakainaza3 күн бұрын
Sikweli, wewe unapotoka.
@AminaLibisa6 күн бұрын
😂😂😂sema vocha ile tabia yako ya kujigaragaza kwenye maji machafu so mzuri utaozeza makende 😄😄😄
@RachelRachel-zx6dx6 күн бұрын
Kaka anafurahisha aisee
@MawazoJustin-fw2ws6 күн бұрын
Nakupendaka sana vocha mwenye kuhanguka❤❤❤❤
@WardaSuma-fn5sc2 күн бұрын
Mwenye kuhanguka
@user-il8wx3eq8iКүн бұрын
Ety kupoteza mda chuo😂😂😂
@user-zo7uy5hc3p3 күн бұрын
Huo mwili wangu wenyewe wala siufatiliagi walayiii nafwa kwa kichekooo😂😂😂
@joslinchuwa12987 күн бұрын
Natamani kukusaidia mdogo wangu . Cjui unapatikanaje
@vocha--og2 күн бұрын
Niko hapa boss
@joslinchuwa12982 күн бұрын
Weka no yako mdogo wangu ntakutafuta
@vocha--og2 күн бұрын
Niko hapa
@issazalala49077 күн бұрын
Sema dogo jikaze kidogo maana siku elewi 😂
@salmanassor87326 күн бұрын
😂😂😂😂
@user-hn3tw5bu7y2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😢
@nishaabdula50157 күн бұрын
Ss si anaigiza tu
@user-ro6lp6or6sКүн бұрын
Vocha ana myaka ngapi ????
@tanzaniawomenyouthempowerm2676 күн бұрын
Mbona mpole Sana jaman..kweli sanaa iko damuni
@IslamPeto-fd6wr6 күн бұрын
Ichi kischa uwaga kimbeya,, chapenda kuchochea maneno na maswali yake ya kimbeya m'beya.. Tabia mbaya iyo mtangazaji chawa
Nakupenda wewe mtangazaji unatangaza vzr ka yule mdada k mziwanda
@user-gp5wf2jd6p6 күн бұрын
👍
@user-xo7wz6ps4s6 күн бұрын
Nilipo muona tu nimecheka jamn😅😅
@mayajuma67427 күн бұрын
Tunazo alhamdulillah
@user-yf5gd5zz8p7 күн бұрын
Mbengo tv tukitaka mawasiliano na nyinyi tunawapata aje? Tunaomba namba zenu tunawahjtaji saana kuongea na ntinyi yaani mitandao yote huwa inatoa namba za mawasiliano kwanini mbengo tv hamtowi namba??
@mbengotv7 күн бұрын
+255712334444
@MwanahamisSeifu6 күн бұрын
Maskini mwenyewe kumbe mpole tuu
@efrahfarahahmed89606 күн бұрын
Maumivu utayapata uzeen
@nickbrown83506 күн бұрын
😢😢😢
@msaniitz6 күн бұрын
😂😂😂😂 kwani nacheka nn?
@user-gp5wf2jd6p6 күн бұрын
Pambana utatoboa
@LoperwizzyNickboy-bk7tv3 күн бұрын
Unacheka umetekenywa na upepo😅
@user-ft2vq5on6l7 күн бұрын
Lkn mbona semasema yake km anafanana namauzinde mhh
@salmanassor87326 күн бұрын
Jamanii 😂😂😂😂
@user-oh6dd4rt6w3 күн бұрын
😂
@sagengejackson36236 күн бұрын
Dogo mbona kama mlenda hv , sema choko hawezi jisemea , dogo kaza lakini
@Alinekwizerimana-sg1th6 күн бұрын
😂😂😂
@makamekhalfan59687 күн бұрын
shoga kwl hil
@user-gt6qt6yu8b3 күн бұрын
Co kwel unauhakika gani msipende kumhukumu MTU pasipo ushahid