😂😂😂😂😂 Bi asha wew jina la bibi yangu eti kwa kuwa mnene ndo ukaongeza na Boko asant bibi
@rayahamisi1184 ай бұрын
Wengine kwa masirahi 😂😂
@user-iw5hu3mc7l4 ай бұрын
Asha book Kanye ndevu
@allandavid8704 ай бұрын
Mtangazaji jifunze namna ya kuuliza maswali, maswali yako mengi hayana mtiririko kabisa, pia unauliza maswali ambayo ni obvious, unawezaje kumuuliza mtu 6:49 "ilikuwaje mpaka akavamiwa na majambazi"? what kind of is this? though una sauti nzuri.
@KaselaMwamba4 ай бұрын
Jaman me nampenda sana asha bok
@user-jv1ch4tr8q3 ай бұрын
Yani nilikuwa nikiona muvi zako nacheka sn😂😂😂😂nakupendwa kwel from burundi