No video

MAITI YAÑGU 1

  Рет қаралды 15,485

DIRECTOR KAKOSO

DIRECTOR KAKOSO

Күн бұрын

Пікірлер: 116
@okeymediatz1024
@okeymediatz1024 Ай бұрын
Maliza kazi moja kwanza kaka lies iko wap
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie Ай бұрын
Asituambie imeisha😅
@user-kg6tu1em2c
@user-kg6tu1em2c Ай бұрын
Aya Kazi mzuri
@abdulrahmanamour3750
@abdulrahmanamour3750 Ай бұрын
Maliza kazi kaka utoe kazi
@zephbaraka
@zephbaraka Ай бұрын
Kazi nzuri .... naifuatilia kutoka Kenya ila maoni Tu.....Sidhani Kama kutoa series kisha nyingine kabla kuisha ni vyema
@user-iz2jh3qw5j
@user-iz2jh3qw5j Ай бұрын
Maliza kazi moja moja wacha tamaaa kaka
@user-iz2jh3qw5j
@user-iz2jh3qw5j Ай бұрын
Maliza kazi moja kaka wacha tamaaa unatupa KAZI nzurii kesho waaribu unatupa nyingine VIP kuusu ile mahali mlivikia wp kwenye ile ya mganga wacha tamaaa kaka twapenda kazi nzurii na mwisho nzurii ndugu
@PendoDavid-t4j
@PendoDavid-t4j Ай бұрын
Jaman snake boy mbona hatuwaerewi saiv mnapoteza mashabiki😢😢
@ndaymustafa711
@ndaymustafa711 Ай бұрын
Ningeomba pia izo sound za mziki mkiwa mnaongea zisitishwe maana zinaboa kuskia pamoja na maongezi
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi Ай бұрын
#DirectorKakosa malizia moja kabla ya nyingine... Am missing Sarah kindly mshirikishe hapa.
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Ай бұрын
Msitoe kazi hivi mnatuchanganya maliza ama malizeni mtoe nyengine
@RamazaniMustafa
@RamazaniMustafa Ай бұрын
Muna tuchokesha bana muwee na maliza moja moja acheni pupa ya maisha
@AnaAna-rc7mh
@AnaAna-rc7mh Ай бұрын
Kazi nzuri chukua maua yako Directoe🎉🎉🎉🎉
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 Ай бұрын
Mnalalamika tuuu ata hamjielewi mnataka azifungie ndani kwanza hamuoni hapa Kakoso ni mchumba kabisa mtoto wa 2000😂😂😂 kuliko alivyo saivi
@peterntandu1919
@peterntandu1919 Ай бұрын
Kelele za watu zisikuvunje moyo Director chapabkazi🎉
@rajah9328
@rajah9328 Ай бұрын
Mnatueka sana at least mbili au tatu ady ziishe lakini nyingi sana nyngne zinachukua muda
@skteller5039
@skteller5039 Ай бұрын
Snake boy hutoi lies hujamaliza unahamia tena uku !!!! Mshika mawili moja humponyoka Kama umeamua kutoa zako tuu mwambie clam atafute director mwingine utamchelewesha ndugu
@MARYAMKHAMISI-mj8iy
@MARYAMKHAMISI-mj8iy Ай бұрын
Kaka mbona munajiova doz Sana move zingine hamumaliz munalet zingine. Munatusubirisha Sana
@JohncamilofranciscoFrancisco
@JohncamilofranciscoFrancisco Ай бұрын
nikweli malizia kwanza
@MichaelZulu-ds3tu
@MichaelZulu-ds3tu Ай бұрын
Tunataka snake boy
@user-mi8lu8jn1x
@user-mi8lu8jn1x Ай бұрын
Kazi nzuri sana Kaka 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤kutoka kenya
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 Ай бұрын
😂😂😂😂😂Sasa analia nn na mtoto kautaka 😂😂😂😂😂😂alienda kufanya nn kwa mwanaume 😂
@user-il7ve1gt5s
@user-il7ve1gt5s Ай бұрын
😂😂😂
@Heiskmb
@Heiskmb Ай бұрын
Nice🎉🎉🎉🎉
@UmiMazari
@UmiMazari Ай бұрын
Ukovizuri kaka mungu akuzidishie kipaji from kenya
@mc-bii228
@mc-bii228 Ай бұрын
The Movie❤🔥. Good Job Director
@AliMussa-rl5ud
@AliMussa-rl5ud Ай бұрын
Nadia bwana
@emmanuelrichard6771
@emmanuelrichard6771 Ай бұрын
Ayaaq kaka kakoso twende kazi mwaka wako
@ndaymustafa711
@ndaymustafa711 Ай бұрын
Nisaw, Ila ungemaliza kwanza ulio Anza inge motivate wengi
@KileshoJr.002
@KileshoJr.002 Ай бұрын
Kazi safi Director Kakoso
@Obertan_coolkid-04_
@Obertan_coolkid-04_ Ай бұрын
Huu sii mfumo mzuri director...moja moja ndo mpango
@IsmailHeneriko
@IsmailHeneriko Ай бұрын
The lies imeishia wap,,,mshika mawili kwa pupa moja .....
@AshaaAyubu
@AshaaAyubu Ай бұрын
Nnatuchanganya sasa hii ajaisha mnatoa hii sasa tutangalia ngapi mibichwa itauma kwakweliii😂
@drgeofreykupaza7707
@drgeofreykupaza7707 Ай бұрын
Shida nini subiri ambayo haijaisha alafu utakuja kuanza hii utaikuta tu
@khamzdady7977
@khamzdady7977 Ай бұрын
Kazi nzur mzee apo kwa dakika umenifurahisha zaidi jitahidi isiwe chini ya dakika 20 🔥🔥🔥🙌
@sweetbabymwangi8373
@sweetbabymwangi8373 Ай бұрын
Kazi nzuri. Mshahara wa kubadilisha mademu kama vidaladala utauona sasa. Ndio mwanzo mkoko unaalika maua. Niwakosoe. Muache tabia ya kuweka muziki chini kwa chini wakati mnazungumza. Tutawasikiza nyinyi ama tutasikiza muziki? Much love from Mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
@faizhassan5029
@faizhassan5029 Ай бұрын
My county people nakuona
@WazirRamadhan-r9f
@WazirRamadhan-r9f Ай бұрын
Kakoso mzinguaji maliza KAZI kwanza chuma juu ya chuma sio poa
@halimadonath1862
@halimadonath1862 17 күн бұрын
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu kakoso rafiki yako alikuonya hukumsikia acha yakukuteee
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 Ай бұрын
We kakoso endelea kushusha nondo hzo 😂😂😂😂hawa wa kujifanya usitoe mpk umalize kaz moja achana nao 😂 na mabando yao ya kuungaunga ,wakat tunasubiri ya snake boy 😊tunapata vitu vitam kaa hv 😊😊😊😊
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 Ай бұрын
We kakoso tunaomba the lies ❤❤❤
@stephenhokororo274
@stephenhokororo274 Ай бұрын
Kakoso kelele ziko juu sana sauti zenu hazisikiki
@user-bx1eo2wc4h
@user-bx1eo2wc4h Ай бұрын
Kabsaaa
@FestoAbiud
@FestoAbiud Ай бұрын
Acheni masealwa ya kumaliza series angalia anatoa kitu kina maana gani❤❤❤❤
@elijahclassicboy8228
@elijahclassicboy8228 Ай бұрын
Kazi safi sana ❤❤
@user-qd7ey5cp5s
@user-qd7ey5cp5s Ай бұрын
Punguza mziki wakati mtu anaongea na simu..
@nurdeensamri8197
@nurdeensamri8197 Ай бұрын
Tungemaliza #THE_LIES kwanza kwa mtindo huu unatuchanganya boss.
@MariamAmir-x3k
@MariamAmir-x3k Ай бұрын
Niongee ukweli tu mwakatobe mganga wa dunia huwa anamaliza muvi tunaenjoy kinouma yaani gonga like kwa mwakatobe na mshangazii🥰🥰🙏
@ummialey6391
@ummialey6391 Ай бұрын
Kakoso nakwambia unajichanganya ungemaliza the lie kwanza tutaweka mpaka tunasahau
@OmegaThreads
@OmegaThreads Ай бұрын
Ila hii ni ya kitambo ilikua maktaba, bas ungeipa gepu kidogo
@halimadonath1862
@halimadonath1862 16 күн бұрын
Jamani kakoso Toka lini mziki na watu wakiwa wanaongea zokaendana? Hakuna kusikilizana embu badilikeni!!
@ZolufaMas-ie4un
@ZolufaMas-ie4un Ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mtalammathayo5184
@mtalammathayo5184 Ай бұрын
Super Director unaanza tuchanganya sasa bado hauja maliza moja tena unaleta nyingine kivipi kk, hivi tutaelewa haje maana ya filamu😢😢
@princehenry7113
@princehenry7113 Ай бұрын
Uwe unamaliza moja moja..... Hili hujamaliza unaleta hili ,hizo ni tamaa za umaarufu na utafeli.... Maliza lie lete hiyo maiti
@mussamatambo9108
@mussamatambo9108 Ай бұрын
Movie zenyew ile moja tu akitoa kipande leo anakaa miez 11 ndo anatoa kingine anaongeza mzgo mwngne anatak tuwe tunasubir huku na huku wkt hana mtiririko mzur wa utoaj ...ni vyema angemaliza mojamoja
@drgeofreykupaza7707
@drgeofreykupaza7707 Ай бұрын
Na nyinyi wenye vibando vya jero mnashida acha kuangalia subiri iishe unayoitaka
@princehenry7113
@princehenry7113 Ай бұрын
@@drgeofreykupaza7707 kale mavi huko
@idrissamadas3101
@idrissamadas3101 Ай бұрын
Iyo kweli kabisa hajamaliza moja kashaleta nyingine
@user-il1ht3of5c
@user-il1ht3of5c Ай бұрын
😂😂😂😂 ndoutake nakulia sass
@user-bm4hg9wx2p
@user-bm4hg9wx2p Ай бұрын
Kazi nzur❤i ila punguzen hio sauti wakati munaongea
@fashyahmed4135
@fashyahmed4135 Ай бұрын
Movie zko nzur shida yko moja...unachelewesha sn kutoa😊
@WilliamAnaklet
@WilliamAnaklet Ай бұрын
Hivi DIRECTOR KAKOSO uwaga unanini mbona umalizii series kunatatizo gani ambalo sisi kama shabiki zako atulijui? Maana unatuchanganya sana tunakosa hata utamu wa move
@user-lv5iw6wn6q
@user-lv5iw6wn6q Ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉
@user-cr4ku8jh4d
@user-cr4ku8jh4d Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Expertsfilms-p9b
@Expertsfilms-p9b Ай бұрын
Nakubari Sana
@SalamaMwinyimkuu
@SalamaMwinyimkuu Ай бұрын
Nimependa
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Ай бұрын
Toa kazi uwezavyo tutakusupport..... Ukikwama kutoa kazi kwa ajili ya pesa... Tuombe.. Tutaokuelewa tutachanga pia!!
@SalamaMwinyimkuu
@SalamaMwinyimkuu Ай бұрын
Nzr
@IbrahimAdelard-qq6sh
@IbrahimAdelard-qq6sh Ай бұрын
Lakini munaturoga amjamaliza bimoja munatowa bingine acheni ivo bhana fanyeni bitu kwa akili
@BarakaMalande
@BarakaMalande Ай бұрын
Huyu ndo kakoso Hana mbambamba
@user-jn9br9kf5y
@user-jn9br9kf5y Ай бұрын
🙏🙏🙏❤️❤️🇧🇮🇧🇮
@fashyahmed4135
@fashyahmed4135 Ай бұрын
Yan bora umalize movie moja moja kwnz sio unatoa mamovie kibao af miendelezo unasubirisha mashabiki zko week nzima aaagh sio sw hyo
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 Ай бұрын
Duh ndomana tunaambiwa tusiwe tunapga watu ,watu wanatembea wameshakufa mwili ,ukimgusa tu tyr ameenda
@halimadonath1862
@halimadonath1862 17 күн бұрын
Maiti hai au maiti yangu?
@AdamOman-n2s
@AdamOman-n2s Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉safi
@user-do8ty4ud1h
@user-do8ty4ud1h Ай бұрын
good work
@sam-v9b6s
@sam-v9b6s Ай бұрын
Series ya big boss season 2 vip hapo
@user-ee1ml6pp8b
@user-ee1ml6pp8b Ай бұрын
Kwani Ile ya Mwasi ndio ishaisha??? Mbona sielew
@user-cp4ym1gh3k
@user-cp4ym1gh3k Ай бұрын
Move mbayaaa serious bro🧐
@jofreymfugale4752
@jofreymfugale4752 Ай бұрын
Lies mbona haijaisha
@simonkiguge9962
@simonkiguge9962 Ай бұрын
Lies iko wapi
@salumsimai642
@salumsimai642 Ай бұрын
Ndio maana mnachelewa kuleta kazi za nyuma kwa wakati malizeni kazi ndio mlete nyengine
@giftmtemle6812
@giftmtemle6812 Ай бұрын
Broo unataka kupoteza tena uaminifu kwa wadau maliza moja moja kaka japo so lazima ila itakujengea kitu
@emmanuelkihiyo9236
@emmanuelkihiyo9236 Ай бұрын
Hii move ya mda nyie amuoni
@omarbosiomar8608
@omarbosiomar8608 Ай бұрын
much love
@Vacchannel-tq3je
@Vacchannel-tq3je Ай бұрын
FANYA VITU VIKUBWA kzfaq.infouCLTXHPCAsU?si=RrTBhPFnwDmrJgcg
@karebopatrick9758
@karebopatrick9758 Ай бұрын
Wakati unaongea na muhusika jaribuni kukata masauti ya nyimbo nyimbo ili tusikie sauti na maneno mnayozungumza
@mpeliibrahim398
@mpeliibrahim398 Ай бұрын
Malizia The lies
@user-nu6cl8gx2o
@user-nu6cl8gx2o Ай бұрын
Lie Iko wapi 😮
@directorkakoso
@directorkakoso Ай бұрын
Kesho
@MuhammadHamis-ic2qr
@MuhammadHamis-ic2qr Ай бұрын
Apo Umezingua kaka The lies haujaisha Bado
@directorkakoso
@directorkakoso Ай бұрын
Kesho itakuwa hewani
@MuhammadHamis-ic2qr
@MuhammadHamis-ic2qr Ай бұрын
@@directorkakoso Apo fresh kaka
@kelvindagine9571
@kelvindagine9571 Ай бұрын
Sijajua carrier yako ya kiufundi na mazingira vikoje but the bigg isue . . Ungekuwa unamaliza movie ukabandika nyingine kaka wewe ni MUIGIZAJI MKUBWA sana ila unajichukulia mdogo ndo maana unafosi kufanya fanya hovyo . Noo MALIZA MOVIE HALAFU NJOO USOME TENA COMENT ZA WATU WATU tutakuchoka kwa kujua humalizi movi achana nae usifike huko . . Tusapotiane kwa kupeana vitu vizuri
@joelmhezi8039
@joelmhezi8039 Ай бұрын
Nyie ndio mnafanya izi siries za kibongo kuja kuonekana hqzifai kila kukicha series mpya.ukiaminiwa fanya kazi moja ikiisha weka nyingine saiv snake boy imewashinda adi mnaanza kurefusha siries adi imepoteza ladha aya umelet the lies bado haijaisha umeleta tena mait yako mnafelisha tasnia
@hamzajuma5782
@hamzajuma5782 Ай бұрын
Mama mbwa soma coment
@meshackntibukigwa1163
@meshackntibukigwa1163 Ай бұрын
KAKOSO KAKOSO KAKOSO,nmekuita mara tatu,Umetoa series nyingine kabla hujamaliza " THE LIES" umeanza kutuyumbisha wakati wewe tuna kuaminia Director mzuri umayefanya vzr kwa sasa.Haya unadhan mtu anayefatilia the lies aeleweje sasa l.Hivyo nikuombe fanya hima malizia The lies ukianza hivi utapunguza wateja nakwambia kwasabab sisi watazamaj tunaenda na hisia ya Movie sasa movie inapokatizwa utamu unaondoka tunabak kukodoa macho haitok then Mtu huyo huyo akitoa movie nyingine akilini tuna waza ameanza tena ambayo hata imaliza.Hili lina changia kudidimiza nyie ma director wa movies.Take this Advice in Serious!
@user-kx1pe7uk7x
@user-kx1pe7uk7x Ай бұрын
Kakoso this is boring,why not finish one series first before introducing a new one?
MAITI YANGU 2 FINAL #Kakoso #Rammy #Omega #Shazina
31:28
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 10 М.
SURA YA BIBI | EPISODE 1
18:36
SHEDAFA96
Рет қаралды 18 М.
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 3,8 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 4 МЛН
GOVINDA. full movie @MWAKATOBE
45:19
MWAKATOBE
Рет қаралды 165 М.
SHETANI |Ep 1- 5|
1:40:16
Comedy Plus
Рет қаралды 172 М.
THE LIES (1) #kakoso #kipara #mwasi #jaden
12:20
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 95 М.
THE GAME (5) #kakoso
18:54
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 21 М.
MCHAWI WA KIJIJI 01 #Kakoso #mzeempomdi # polojo #Kinoge #bikigora
58:26
MISSION IMPOSSIBLE [11]
15:04
CHADO MASTA FILM
Рет қаралды 107 М.
THE LIES  7 #Kakoso  #kipara #sarahmashy #zumba #mwasi
17:24
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 40 М.
MWANAMKE FULL MOVE #kakoso #sandra #kipara #chibu # mbwela
1:32:45
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 284 М.
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44