Рет қаралды 195,480
Maafisa wa usalama eneo la Kayole wanawasaka wahalifu watatu waliompiga risasi na kumuua afisa wa upelelezi na kumwacha mkewe na majeraha ya risasi katika eneo la Mihango, Jumanne usiku. Marehemu David Mayaka alikuwa akibadilisha gurudumu la gari lake alipofumaniwa na majambazi watatu waliokuwa na bastola na kuwapora simu kabla ya kumpiga risasi tumboni.