Рет қаралды 62,478
Maafisa Wa Polisi Huko Kisii Wameanzisha Msako Wa Majambazi Waliovamia Kampuni Ya Usambazaji Umeme Ya Ketraco.. Uvamizi Huo Uliofanyika Kuanzia Saa Sita Unusu Usiku Wa Kuamkia Leo Ulisababisha Giza Totoro Katika Kaunti Nzima Ya Kisii.