No video

"MAJARIBU"Movie part1 Starling Tinwhite Abdul Hadija kilangaso Dagobert

  Рет қаралды 65,493

WHITE FILMS

WHITE FILMS

Күн бұрын

Пікірлер: 290
@amryomar3946
@amryomar3946 Жыл бұрын
Am from Kenya 🇰🇪 na mm ni shabiki mkubwa wenyu ila ukweli tuseme movie zenu huwa ni nzuri bt upande wa sauti wakati mwegine ziko chini jaribuni kuzingatiya sauti
@key.one_tz2767
@key.one_tz2767 Жыл бұрын
Sawa tumekuelewa
@nicolausngoda8343
@nicolausngoda8343 Жыл бұрын
Inaonekana hajasubsclaib ndo maana sauti inamzingua
@niyimbabazisandrine5726
@niyimbabazisandrine5726 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@khalidabdallah4072
@khalidabdallah4072 Жыл бұрын
Mpo vizur sanaa mm nishabiki wen Ila sakata mmetisha👍👍👍
@mahbibabdulkarim8632
@mahbibabdulkarim8632 Жыл бұрын
Kabisa
@swabrinaidassy865
@swabrinaidassy865 Жыл бұрын
HII LAFUDHI YA DUME LA PWANIIII NDO NIMEIZOEA ILE ZUWENA WALLAH NLIVYOINGALIA NKAKUTA SIVYO NTAKAVYO ATA SIKUENDELEA😂 DUME LA PWANIIII ❤❤❤❤❤❤
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 Жыл бұрын
Hata mimi aiseeee dume la pwani my favour
@immanuhu3234
@immanuhu3234 Жыл бұрын
Picha iloooo ap00 like zng jmn kma zoteee me no 1
@mvuyekurelina3070
@mvuyekurelina3070 Жыл бұрын
Nawakubali sana like zenu jamani from Burundi 🇧🇮
@kmpmkawekamo
@kmpmkawekamo Жыл бұрын
Wa kwanza leo naombeni like na comments
@abdulhakimyussuf3567
@abdulhakimyussuf3567 Жыл бұрын
mm niko zanzibar dago beti asiondoke tena kwenye uhusika wa dumela pwani maana anapatia sana uhusika wa dume la pwani
@stanleyndelwa7491
@stanleyndelwa7491 Жыл бұрын
Dume la Pwani banaa nomaa sana😹😹😹 hii style yako ya Uigizaji yamoto sana jomba
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 Жыл бұрын
Inabamba aiseee
@mariamzuhura1731
@mariamzuhura1731 Жыл бұрын
Wamerudi wtu wangu wa sakata 😂😂😂hadi raha jamani
@youngmaster4127
@youngmaster4127 Жыл бұрын
😍😍😍
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
Raha km Kawa. Team sakata Bado tupo tupo
@alinetuyisabe4874
@alinetuyisabe4874 Жыл бұрын
Hiyo sauti ya dume lapuwani 😂😂😂😂bigup saana
@emmanuellujiga1605
@emmanuellujiga1605 Жыл бұрын
Big brother 2namtaka na kiduchu
@rugendorunene545
@rugendorunene545 Жыл бұрын
Abduli na Tinwhite wafurahisha sana ... filamu zote!
@complex7582
@complex7582 Жыл бұрын
Nasubiri kumuona Zakayo na kduchu
@ainessleoni
@ainessleoni Жыл бұрын
Tulio toka kwenye sakata tukaja huku tujuanee🥰
@biniwackmussa2104
@biniwackmussa2104 Жыл бұрын
Haina kupoaaaaaa tim tinwhite😂😂😂😂
@hadijasuleiman3856
@hadijasuleiman3856 Жыл бұрын
Jmn jmn nuru wa sakata amekuwa somo wangu wajna Khadija nawapenda Sana 👍👍👍
@Mosalahibrahim75
@Mosalahibrahim75 Жыл бұрын
Alaaaaaaaa
@maryammwinyi932
@maryammwinyi932 Жыл бұрын
Huachi ww n hadija😜 yy n khadija😇😇
@hadijasuleiman3856
@hadijasuleiman3856 Жыл бұрын
Makubwa ya Mustafa na mwezake omari wajulisha wapenda lawama wewe Sasa tofauti hapo ikowap kisa nihiyo helufi k ambayo mim naweza kuiweka mda wowote acha zako wew jina nililelile hamna baya apo
@hadijasuleiman3856
@hadijasuleiman3856 Жыл бұрын
@@Mosalahibrahim75 kumbeeeeeh🙇
@hajisuleiman..7851
@hajisuleiman..7851 Жыл бұрын
Jaman fundi friji naomba asikose katika hizi video
@mwarandaniswalehe7926
@mwarandaniswalehe7926 Жыл бұрын
Wanasema ikiisha wanaweka kma kawaida pamoja sana kwa kazi yenu nzuri
@rehemakatundu7027
@rehemakatundu7027 Жыл бұрын
Dume la pwani is back 🤸🤸🤸🤸🤸🤸, nuru wangu 😘
@dazicharoodazicharoo
@dazicharoodazicharoo Жыл бұрын
Nuruuu
@margrethamsechu7088
@margrethamsechu7088 Жыл бұрын
Msipomuweka laana sumaka bora nisiangalie kazi nzurii
@beydahmh4886
@beydahmh4886 Жыл бұрын
Woyooo tumewahi ndan y dakik 16 tujuan kwa like team tinwhite
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 Жыл бұрын
Mashallah Mashallah asante sana kaka tini
@nuruchande8848
@nuruchande8848 Жыл бұрын
Dah!!..dume la pwani wanikosha na rafudhi ako hyooo Naenjoy mwenyew Tena mkikutana na tin n kichekooo tu
@maasaimkisii9089
@maasaimkisii9089 Жыл бұрын
*WA MWANZA KENYA* 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 Жыл бұрын
Kenya kuna mwanza???
@msasenathpotiphar1732
@msasenathpotiphar1732 Жыл бұрын
Tin umetuamulia baba 👏,Kazi iendelee 😍
@ibrahsmartcolour5973
@ibrahsmartcolour5973 Жыл бұрын
Dah mm leo watisa xjuy wakwanz nitakuwa lin nikajuw mm wakwanz
@rakossrakossbrown8715
@rakossrakossbrown8715 Жыл бұрын
Apo sawa dume lapwani
@kheirmjombo3249
@kheirmjombo3249 Жыл бұрын
Kamove kazuri😘
@rascalkaloza7409
@rascalkaloza7409 Жыл бұрын
Dume la pwan voice 💪👍👍👍👍👍
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 Жыл бұрын
Mashallah washilika mungu awajalie sana
@ZainabAli-gw7fm
@ZainabAli-gw7fm Жыл бұрын
Sijachelew jamen like zangu
@richerragna2182
@richerragna2182 Жыл бұрын
Pa pa apa dume la pwani umenimaliza
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
Sasa dume la pwan umelud kwenye Mstari wako mzee wa kazi
@priscanjuu7294
@priscanjuu7294 Жыл бұрын
Jaman sauti msogeze maiki karibu sana bhana igizo tamu saut kimeo mnapunguza utamuuu!!
@fatimahabdullah1228
@fatimahabdullah1228 Жыл бұрын
Tuko wengi wa Kenya Tusana kuwaunga mkono Kwa kazi nzuri
@amosmenganyiwilliamson6548
@amosmenganyiwilliamson6548 Жыл бұрын
Movie zenu ziko sawa wapi Ringo nampenda sana wakiwa wanadanganyana na tin white katika movie
@kilizajumainn826
@kilizajumainn826 Жыл бұрын
Rahaa juu ya rahaaa mambo ni 🔥🔥🔥
@mamujoha6034
@mamujoha6034 Жыл бұрын
Bandika bandua
@cheme-records69
@cheme-records69 Жыл бұрын
Nakubali Mzee wa kazi uko fiti Bwana Zunde
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 Жыл бұрын
Mashabiki wa tin tupo from Saudi home Kenya achia like hpa tujuane
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
Kama kawa team saudi
@ammyammy8926
@ammyammy8926 Жыл бұрын
Typo mpenz 💚
@fatumamnyenze9696
@fatumamnyenze9696 Жыл бұрын
Nampenda sanaa Abdhul 💋
@ayubumwitumba7268
@ayubumwitumba7268 Жыл бұрын
Hii
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 Жыл бұрын
Nikimuona Dume la Pwani ktk uhusika huuu tu najua mzigo wa maaana 😂😂😂😂😂😂
@bettyojiambo8660
@bettyojiambo8660 Жыл бұрын
Moto sana nasubiri sehemu ya pili
@sultanmatata7032
@sultanmatata7032 Жыл бұрын
Mwendo ule ule
@jamilaabdallahsalim9284
@jamilaabdallahsalim9284 Жыл бұрын
Niwe mkweli zuwena sijaielewa sipogo happy kumuona tinny akiwa serious ngoja nijaribu hii
@mrkilunga9444
@mrkilunga9444 Жыл бұрын
Jamani nilikua bse kumbe Kuna mpya umu weweee😆😆😆😆 vp best kiduchu yupo 🤏
@augustnkasam6408
@augustnkasam6408 Жыл бұрын
Tinwhite tupumzishe hata kdgo aiseeh ha2poi 🙌🙌🙌🙌
@yes_yes1310
@yes_yes1310 Жыл бұрын
KHADIJA asema: "Abdul naomba uniowe" maneno hayO yamemfanya ABDUL aonekane kapigwa na kitu 🤣🤣🤣
@barakakiula61
@barakakiula61 Жыл бұрын
Hii ndo move ile nampenda dagobet akiigiz hvii
@lyilyanmussa5433
@lyilyanmussa5433 Жыл бұрын
Duuuu oya washiakaji nyie kiboko Yan mala ii naona tin ametiamulia safli hii ni kaz kazi toa kaz weka kaz ni🔥🔥
@mrkilunga9444
@mrkilunga9444 Жыл бұрын
Waooooo jesca ndani👊👊👊
@immanuhu3234
@immanuhu3234 Жыл бұрын
Wa kwanzaaaaaaaaaaaaaaaaaas
@zainabukivara7575
@zainabukivara7575 Жыл бұрын
woooh hatupoi hamboi big up sana
@japharjuma3540
@japharjuma3540 Жыл бұрын
UKIKOSA MCHUMBA LETA HATA MSEBULEEEE😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👍👍👍
@latifachinyanya9633
@latifachinyanya9633 Жыл бұрын
😁😁
@rosedawamalika4309
@rosedawamalika4309 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@timeonlinetv2516
@timeonlinetv2516 Жыл бұрын
Sanaaaaaa
@kilidephiakiddyent.....737
@kilidephiakiddyent.....737 Жыл бұрын
Hiii ni mwoto sana hapa mumeupiga mwingi sana endeleeni ivo ivo🔥🔥🔥🔥🔥☄️
@issakamangila4143
@issakamangila4143 Жыл бұрын
Ni kz juu ya kz
@ringojunior2418
@ringojunior2418 Жыл бұрын
Mambo Ni Moto 🔥 nakubali kazi zenu🤝🤝
@abasskamanda7761
@abasskamanda7761 Жыл бұрын
Yaani mzee Tinwhite na jopulako muko vizuri nawapata vizuri nikiwa Muscat 🇴🇲 endeleeni kutufurahisha Abduli unatisha mzee baba
@Danyo267
@Danyo267 Жыл бұрын
Vizuri sana em 🇲🇿
@mtallitv9995
@mtallitv9995 Жыл бұрын
mzigooooo unetuwaaaaa
@pricillanovaty6727
@pricillanovaty6727 Жыл бұрын
kigongo kipya kabisa ✌👌
@michaelrapchamic6700
@michaelrapchamic6700 Жыл бұрын
Nakubali Broo tiny hii Kali Ila Ile zuwena sio kwl
@mobilesgacbahrain2776
@mobilesgacbahrain2776 Жыл бұрын
Ndio mimi hapa mwanaume wakumuoa hadija Bahrain 🇧🇭
@knourisgalis199
@knourisgalis199 Жыл бұрын
Here we go again.... hongera Sana White
@Mr-id2wn
@Mr-id2wn Жыл бұрын
kaka yetu Tini white kilangaso na wengineo💞😋😋😋😋👊👊👊👊💪💪💪💪💪💪
@user-ob9hu2kf4x
@user-ob9hu2kf4x Ай бұрын
Dume la pwani wewe ❤❤❤
@pillydenis8211
@pillydenis8211 Жыл бұрын
Jamani nzr
@sherryeverest2522
@sherryeverest2522 Жыл бұрын
Tofali juu ya Tofali mzee baba Tin umejua kutusuhuza
@geraldndosi2083
@geraldndosi2083 Жыл бұрын
Tumerudiiii tumerudi ngoja nimfuatilie tena Nuru
@phanestandabila3490
@phanestandabila3490 Жыл бұрын
laana sumaka iyoo kitambaa 🙌
@rivinerogersrovine1391
@rivinerogersrovine1391 Жыл бұрын
Dah jomon
@boyiddy9323
@boyiddy9323 Жыл бұрын
Hahahahah nilikua Nisha miss dume la pwani
@furahamgina1402
@furahamgina1402 Жыл бұрын
Bigap kwako my brother
@kassimbokozi83
@kassimbokozi83 Жыл бұрын
Kweli hata mm nishabik sana wa movie hiz sauti wakat mwengine uzingua sana im from kenya
@hlimaa5182
@hlimaa5182 Жыл бұрын
Wow congratulations 👏 good job ila Abdul mme nimaliza na huyo babaako nime cheka mpaka basi 🙌♥️♥️♥️
@limunyu0012
@limunyu0012 Жыл бұрын
Noma sana
@geraldpaul1962
@geraldpaul1962 Жыл бұрын
Achezesha chura 😅😅😅 atingisha mguu mmoja
@kulthumally9066
@kulthumally9066 Жыл бұрын
Oyoooooooo! White film hongereni sana. Napenda sana Dagobert akiigiza DUME LA PWANI Booo! Laana sumaka kweli, we bwana weweee hongera dagobet a.k.a Dume la pwani.
@officialQuanticoMz
@officialQuanticoMz Жыл бұрын
Kweli kaka from Mozambique
@mamujoha6034
@mamujoha6034 Жыл бұрын
Yani dume la pwani unapendeza ivyo tu
@issahamisi1317
@issahamisi1317 Жыл бұрын
Tin unaweza bhna yani ii ni kali zaidi ya Sakata I mean zte Zina weza unastahil tuzo mzee tin
@aishaaliey9449
@aishaaliey9449 Жыл бұрын
Bandika bandua hiyo haina kupoa 🔥
@jamalmbuvi3383
@jamalmbuvi3383 Жыл бұрын
Wakwanza kutoka KENYA
@scholahmwelange1406
@scholahmwelange1406 Жыл бұрын
no 1 today
@enneryasaguti2876
@enneryasaguti2876 Жыл бұрын
Hatimae mmerejea nakubar sana Tin white 🥰🥰
@janneykennedy4787
@janneykennedy4787 Жыл бұрын
Jmn hamchezi mbali 🤣🤣tiny mm sitak
@dulamageti1999
@dulamageti1999 Жыл бұрын
Nakubali
@dazicharoodazicharoo
@dazicharoodazicharoo Жыл бұрын
Nuru is back 🔥🔥🔥🔥
@islamyasin7203
@islamyasin7203 Жыл бұрын
Tz ya vipaji sema vipande mnachelewa kuweka wazee mnatuweka na hamu mda mrefu
@nassoromelele7339
@nassoromelele7339 Жыл бұрын
alieona movie imeachiwa kesho tarehe 21 October 🖐️😁
@raksulchoki7063
@raksulchoki7063 Жыл бұрын
Moto umeanzaaa Nyuki wote mbioo more 🔥 Tin 👍
@coreyplatinum
@coreyplatinum Жыл бұрын
Abduli naomba unioe.. Kweli hayo ni majalibu😂😂 dah
@mariamzuhura1731
@mariamzuhura1731 Жыл бұрын
Tupo ndani kama mimba nipeni likes basi
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
Chukua hzo,
@makawan_Bway5478
@makawan_Bway5478 Жыл бұрын
Hiii series isiishe kabisaaaaaaa yaaani
@edsonfrank8294
@edsonfrank8294 Жыл бұрын
Nipo nanyi sakata ilikua noma sema sasa hii nipo na nyie tuone
@mihadimihanju2255
@mihadimihanju2255 Жыл бұрын
Tunaanza nayo mpyaaa nice movie%%
@abuuabdillahtv8457
@abuuabdillahtv8457 Жыл бұрын
Dume la pwani punguza kusema wallahi mara Kwa mara Kwan SS waislam tumekatazwA kuapa apa ila Kuna sehm inatakiwa kuapa niukumbusho tu ila nakukubal sana dume na tin
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
Nayo ni Majaribio kweli 😛🥰Khadija km Khadija👍
@kalamaedson2277
@kalamaedson2277 Жыл бұрын
akuna kulala kwa tinwhite
@hatibukasimu146
@hatibukasimu146 Жыл бұрын
Kubwa kuliko aladina sakata hizo ndo movie kali kwangu ngoja nione na hii
@shimyclevertz5011
@shimyclevertz5011 Жыл бұрын
Wa kwanza likes please
@allywilson4155
@allywilson4155 Жыл бұрын
Dagobet dume la pwani hii nde seemu inakufaa...
@nzigiyimpainnocent8738
@nzigiyimpainnocent8738 Жыл бұрын
Hahaha 😂 🤣😂😂😂😂 Hii sasa tunaitaka mpaka episode 50
@jjkinara6576
@jjkinara6576 Жыл бұрын
Tupo
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 Жыл бұрын
Nimemkuta Casino Anagonga m'vinyo Na watino 😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂 Dume LA pwani akili zake bana
BABA YANGU KIPOFU Full episode /29/ #love
43:38
BabaJoan
Рет қаралды 207 М.
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 64 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 20 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 43 МЛН
MAPACHA" Episode1 Starling: Tinwhite Olanda Kilangaso Mandondo
19:20
NAPENDA MADEM Epsod 2 STARING MKOJANI NAGWA FORENSIA
16:08
OSO ONLINE TV
Рет қаралды 520 М.
ZUENA I OFFICIAL TRAILER
1:06
Film Citi
Рет қаралды 3,8 М.
MISSION IMPOSSIBLE [25]
17:49
CHADO MASTA FILM
Рет қаралды 83 М.
"MBUTWAI" Movie sehem ya kwanza" Starling Tinwhite Ringo Olanda
21:23
RINGO NA TIN WHITE UTACHEKA MSALA WAO | 2 |
11:37
Ringo Sabufa
Рет қаралды 42 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /28/ #love
45:53
BabaJoan
Рет қаралды 430 М.
BATO LA UCHAWI" Sehem ya kwanza Starling : Tinwhite na Ringo
19:37
WHITE FILMS
Рет қаралды 305 М.