Majeshi ya Ukraine Yaachia Mji Mwingine, Zelensky Alalamika Kuchelewa Kwa Misaada

  Рет қаралды 17,121

The Chanzo

The Chanzo

27 күн бұрын

Siku za hivi karibuni zimekuwa mbaya kwa wapiganaji wa jeshi la Ukraine kufuatia mashambulizi ya vikosi vya Urusi ambavyo vimeonekana kuendelea kusonga mbele kwenye maeneo mbalimbali ya mapigano nchini Ukraine.
Siku mbili zilizopita Ukraine imethibitisha kuwa vikosi vyake vilivyokuwa vimeweka ngome katika mji wa kimkakati wa kiulinzi wa Chasivu Yar wameukimbia mji huo, na kurudi nyuma kufuatia majeshi ya Urusi kuwazingira.
Makamanda wa kijeshi wa Ukraine wamesema kuwa uamuzi wa kuuachia mji huo ulilenga kuhakikisha usalama wa vikundi vya wapiganaji wa zaidi ya Brigedi tano waliokuwa wameweka ngome mjini Chasivu Yar.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 26
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 25 күн бұрын
hapana sio Ukraine kashindwa ni marekani imeshindwa km kawaida yake
@faridaseif657
@faridaseif657 25 күн бұрын
I love u jack
@jaquelinevictorv9690
@jaquelinevictorv9690 24 күн бұрын
Thank you ❤
@danielsilungwe3596
@danielsilungwe3596 26 күн бұрын
Asante sana kwa talifa zelu ukn atajuta
@Inkubutembo7779
@Inkubutembo7779 25 күн бұрын
Marekani wanaidanganya ukraine
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 18 күн бұрын
Marekani na nato wamekimbia kijiji.zelesky ameshindwa zamani.
@PatrickKagiraneza-ok8cw
@PatrickKagiraneza-ok8cw 25 күн бұрын
Ongera kwa urusi...
@amonezekiel4893
@amonezekiel4893 26 күн бұрын
Putini piga hasa,
@harithimahmoud1577
@harithimahmoud1577 25 күн бұрын
Sio siku za karibuni siku zote wanajali ngumu
@jofreykilangila4118
@jofreykilangila4118 13 күн бұрын
Misaada yote hiyo lakini bado tu
@yayananajota5838
@yayananajota5838 25 күн бұрын
😂😂😂😂Eeee wapigwe tu, Sawa kabisa
@festohaule9716
@festohaule9716 26 күн бұрын
Ukreni anahaki ya kupigana na kulinda Ardhi Yao..Lakini Muungwana hukubali yaishe... Russia inajeshi imara na lenye nguvu mno...
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 26 күн бұрын
Hatumii Akili angekubali yaishe tu
@user-lv1ki7nn7t
@user-lv1ki7nn7t 25 күн бұрын
Wanaume wapo kazini Russia foreva ,Good job saaaana taifa letu pendwa Russia ❤❤❤❤❤mashoga lazima waseme mbwa wale na bado wataachia mji mmoja baada ya mwingine
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 25 күн бұрын
Watajua wenyewe 😢
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 19 күн бұрын
Sema vkoc vya nato
@RajabuHussein-to7jz
@RajabuHussein-to7jz 25 күн бұрын
Acha uruss iwatandike hao wapuuzi naamini uruss kiboko ya mashoga
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 25 күн бұрын
Kwani zile silaha za kupiga urusi si juei tu amepewa
@ahmadmasunda9892
@ahmadmasunda9892 25 күн бұрын
KUBARI UMESHINDWA KUMBUKA NGUO YA KUAZIMA HASTIRI MAUNGO HIYO URUSI NI LIDUDU LILILOSHINDIKANA UKAIDI WAKO UNAENDELEA KUANGAMIZA NCHI YAKO
@ibba8082
@ibba8082 26 күн бұрын
Manyang'au Sio Binadamu,Iweje Ukakubali Nnchi yako kuwa Kiwanja cha Vita Ukitumai Manyang'au Watakusahidia ?Nnchi yako Inabomolewa watu Wako Wanakufa,Vita kwao Ni BIASHARA FAIDA WANAKULA WAO😂
@peterludovick7020
@peterludovick7020 15 күн бұрын
Alafu huo sio msaada ni mkopo sasa vita ikiisha huyo jamaa atajua hajui kabisa mbona hiyo nchi itakuwa ni kuifanyia kazi america tu
@ibba8082
@ibba8082 15 күн бұрын
@@peterludovick7020 Ndio Mana Wakati Mwengine Nakubali kuwa Kwenda Shule Sio ndo Kuwa na Hakili Au Kuwa Mwerevu !!!
@asingizibwejacobkalokola7351
@asingizibwejacobkalokola7351 25 күн бұрын
Mpo vizuri
@solobennymwanshinga6714
@solobennymwanshinga6714 25 күн бұрын
Vita muitake nyie, lawama apewe marekani, kwan US ndo waliwatuma kupigana?
@fabiomemba9563
@fabiomemba9563 26 күн бұрын
Vivaa rusiaa❤
@bellasi349
@bellasi349 19 күн бұрын
Acha upumbavu wako sasa apo pesa ya Tanzania inaingiaje why usiseme pesa za hukoguko ulaya mbuzi mweusi wewe
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 34 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 36 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 39 МЛН
ജൂതനെ അറിയുക | ABC MALAYALAM | ABC TALK | ISRAEL JEWS
21:46
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 4,5 МЛН
Why Protecting Tanks is Getting Much More Difficult
12:36
Not What You Think
Рет қаралды 13 МЛН