No video

Makali Ya Gen Z: Kizazi cha Gen Z chasimama kidete na kuikosoa serikali

  Рет қаралды 252,404

KTN News Kenya

KTN News Kenya

Ай бұрын

VIJANA WA KIZAZI CHA GEN - Z WAMESHANGAZA ULIMWENGU MZIMA KWA MAANDAMANO YAO ULIOSABABISHA SERIKALI KUWASIKIZA NA HATA RAIS KUWAFUKUZA KAZI MAWAZIRI WAKE WOTE. VIVYO HIVYO MSUKUMO WAO UMEMFANYA ALIYEKUWA MKUU WA POLISI JAPHETH KOOME KUJIUZULU. TOFAUTI NA MAANDAMANO YALIYOWAHI KUFANYIKA KENYA HAYA YALIHUSISHA SIMU NA MITANDAO LAKIN MATUNDA YAKE NI MENGI. PAUL NABISWAANAANGAZIA MBINU WALIZOTUMIA VIJANA HAWA AMBAO HAWANA KIONGOZI WALA SIFA ZA UKABILA NA TABAKA KATIKA MAKALA MAALUM YA MAKALI YA GEN-Z.
#KTNNews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews #genz
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on KZfaq - your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our KZfaq channel for more great videos:
/ ktnnewskenya
Follow us on Twitter: / ktnnewske
Like us on Facebook: / ktnnewskenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live www.ktnnews.com...
Watch KTN News www.ktnnews.com
Follow us on / ktnnews
Like us on / ktnnews

Пікірлер: 212
@user-if6iw4ir9h
@user-if6iw4ir9h Ай бұрын
High school teachers, college & university lecturers should start teaching students on their constitutional rights as our future leader.
@Eagle7-nl4bu3wh8c
@Eagle7-nl4bu3wh8c Ай бұрын
True but also teach them to excise their rights without violating the constitutional rights of other peaceful Kenyans and not to support Goons thugs and looters to trespass private property and to burn private property, houses and businesses. And also teach them not to be seduced by foreign powers to distabilize our democratically elected government and to remove our democratically elected president from power.
@the_gamer_kinda
@the_gamer_kinda Ай бұрын
This is why they wanted to ban TikTok
@mfululizowak9899
@mfululizowak9899 Ай бұрын
Thank you KTN for staying true and patriotic! 🙌🏾🙏🏾❤️
@karutyericscomedies2783
@karutyericscomedies2783 Ай бұрын
This must reach the Icc
@magimuturi7489
@magimuturi7489 Ай бұрын
OUR BROTHERS AND SISTERS SHOULD COME HOME IMMEDIATELY FROM HAITII,, LET AMERICA SEND THEY OWN THERE!!!
@stephenouda3509
@stephenouda3509 Ай бұрын
RUTO IS AN ANIMAL NOT HUMAN 😢
@musaandre
@musaandre Ай бұрын
babako angekua rais basi
@Eagle7-nl4bu3wh8c
@Eagle7-nl4bu3wh8c Ай бұрын
Liar! Dr William Ruto is a human being. Your unreasonable disrespect for him mean you are not humane. God bless you.
@musaandre
@musaandre Ай бұрын
mnajua mahali ruto yuko na mnasumbua watu.fikeni uko tuwatambue.maandamano yenu ni ya kuleta njaa
@mwendapoleee
@mwendapoleee 29 күн бұрын
@@musaandre jinga ww would you want to be dead for demontrating ?Shenzi type huyo ruto ss ndio tulimweka hapo.Ashuke contract imekwisha.
@musaandre
@musaandre 28 күн бұрын
@@mwendapoleee nyinyi ndie tunaona mkiendelea kushuka na kufa
@VERONICA-o7n
@VERONICA-o7n Ай бұрын
Huyu mzee nmemchukia kwa kweli wakiomba kura wanajificha kwenye kivuli cha MUNGU wakipewa nafasi wanakengeuka. Ee MWENYEZI MUNGU simama na Kenya ❤
@lucymwai7645
@lucymwai7645 Ай бұрын
We salute you our children, Ingalaa tumepoteza maisha ya watoto wengi. 😢😢
@Eagle7-nl4bu3wh8c
@Eagle7-nl4bu3wh8c Ай бұрын
Watoto wetu wakiendellea kuharibu mali za wakenya wengi zaidi watapoteza maisha Yao. Ni vizuri Gen Zs wafanye maandamano kulingana na Sheria bila wizi na uboraji wa mali za wakenya.
@firstviolin596
@firstviolin596 Ай бұрын
I am a baby boomer, Gen Z are my grandchildren. I support you whole heartedly with full understanding where you are coming from. We the boomers had all the advantages of the period after independence free schooling, boom at college/uni, free food in the messes, free accommodation each with their room and employment waiting even before graduation. That was our kenya then! those who went to college/uni were rich,comfortably middle class. Educating our children GenX was easy. And then Moi came, things changed, the river changed course but the river went out of course completely with Ruto. As true as it can be, only Gen Z can change Kenya, return the river to its course!! we support you 100% with all that we have, we are your #1 cheer leaders Go Go Goooooo🎉
@teresiamusyimimusyimi5484
@teresiamusyimimusyimi5484 Ай бұрын
Ruto is very inhuman and not fit for public role as president please get Ruto out of office at once
@marlenewanjiku
@marlenewanjiku Ай бұрын
Right now when we send money back to Kenya we are being deducted,,,we pay back in NHIF & also fill KRA return what does he want from the little we are getting????we went there because he could not give us work back in our country.... kindly let him leave alone our money he is taking it by force
@andbeckerchallenge8347
@andbeckerchallenge8347 Ай бұрын
Yes dear too much deductions and yet tulikosa Kazi Kenya tukaamua kuwa wa tumwa Nchi za wenyewe, Kwanza inaniuma sana hawa wenye wameuliwa kware 😢😢
@paulinenjeri2316
@paulinenjeri2316 Ай бұрын
Not forgetting our salary is very poor here,,,
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 Ай бұрын
Mtuletee pia na makala ya askari walio husika kwenye mauwaji ya Gen Z
@hannahndungu211
@hannahndungu211 Ай бұрын
Ruto must go
@davidkinyua-br7pt
@davidkinyua-br7pt Ай бұрын
Ruth must go 🚶‍♀️
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi Ай бұрын
Tumetenga kiasi hiki na kile. Useless. Umetenga makende yako ama nini wewe ruto?
@cassyrex2023
@cassyrex2023 Ай бұрын
Amani haiji bila ncha ya upanga. Mungu wanusuru watoto dwetu na uwape ajira👊👊👊👊👊😎
@cassyrex2023
@cassyrex2023 Ай бұрын
*Watoto wetu*
@wifematerial8943
@wifematerial8943 Ай бұрын
Allahuma aamiin 🤲
@abdiaziztwahir5120
@abdiaziztwahir5120 Ай бұрын
Ruto must go😢😢😢😢😢😢😢
@jamesmarumbo6820
@jamesmarumbo6820 Ай бұрын
Utaondoka wewe ruto yupo sana
@mfululizowak9899
@mfululizowak9899 Ай бұрын
​​@@jamesmarumbo6820 Toka inje useme hivyo.....☺️
@donaldouma7225
@donaldouma7225 Ай бұрын
Ruto alichoma watu kwa kanisa remember that
@baloz8974
@baloz8974 Ай бұрын
Watu wamesahau naona huyu jamaa hana huruma kabisa mushawahi muona akijutia lolote tangu awe madarakani au kubeba lawama.
@picsandvidstv1348
@picsandvidstv1348 Ай бұрын
We Wil never forget that, EVER!
@user-pj7ng8il4t
@user-pj7ng8il4t Ай бұрын
God protect Kenyan from this difficult perioy. I love Kenyan❤️🇰🇪
@sellyraps2057
@sellyraps2057 Ай бұрын
Aliua musando wakati wa Election na amexoea kidnaping officials na sai Gen z akiua round hii siku zake ninafika
@musaandre
@musaandre Ай бұрын
mkicheza na ruto mtakiona.
@conceptaakinyi
@conceptaakinyi Ай бұрын
Please there is nothing we are negotiating with goon so called ruto let us done with him once and for all,because tukimuacha atatumaliza so Gen z tuamue tuesday tumalizane na huyu jangili mara moja atoke kwa Afisi
@mfululizowak9899
@mfululizowak9899 Ай бұрын
💯💯💯💯
@Eagle7-nl4bu3wh8c
@Eagle7-nl4bu3wh8c Ай бұрын
You raise accusations and you refuse to appear for a hearing and dialogue. Unjust and immoral accusers.
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw Ай бұрын
Ruto must go!!!
@johnshavanji3257
@johnshavanji3257 Ай бұрын
Ruto confessed to being a murderer. He 'sends people to heaven' according to his own language.
@mumbocaroline1172
@mumbocaroline1172 Ай бұрын
Wachana nae yuko na njaa men
@mumbocaroline1172
@mumbocaroline1172 Ай бұрын
Pharao na zakayo
@mumbocaroline1172
@mumbocaroline1172 Ай бұрын
Zakayo shuka
@musimamonziga4967
@musimamonziga4967 24 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤😢🎉🎉🎉🎉we will voteeee for h E kalonzo musyokaaaa 😢😢😢😢😢🎉🎉 in 2o27 year rrrr ❤❤❤❤❤❤for presidential candidate electionsssss in gods willllll he will succeed and penetrateeee in godsssss mercy he will win in the name ❤❤❤❤❤❤of Jesus Christ 😂😂😂😂😂😂🎉 Amen 💖💖💖💖💖💖 🙏🙏💖 amen
@dostovan5142
@dostovan5142 Ай бұрын
Tanzanian, i love Kenya Gen z fighting spirit. They're taking it there and they want the smoke
@mercyachieng2554
@mercyachieng2554 Ай бұрын
May God intervene 😢😢
@teresiamusyimimusyimi5484
@teresiamusyimimusyimi5484 Ай бұрын
Oh we now get it this how the Attorney General was removed from office Gachagwa speech
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha Ай бұрын
Mapinduzi ni kama mimba. Ukifika wakati wa kuzaliwa itazawaliwa iwe ni kwa nja ya kawaida, upasuaji, hata kuondoa maisha ya mjamzito. Lazima mimba itoke tumboni.
@baloz8974
@baloz8974 Ай бұрын
Dah ushasema bro mapinduzi hayapatikani kirahisi uchungu mipasuko kumwagika kwa damu ila utapatikana tu
@nikkitokke8162
@nikkitokke8162 Ай бұрын
Ndio sisi revolutionists tunavyofanya, tuue tu, haki itendeke
@laurachepchumba6364
@laurachepchumba6364 Ай бұрын
speechless, weeee it is bad my people.
@roselynekwamboka6869
@roselynekwamboka6869 Ай бұрын
Oh God remember our people and our country we have only you now😪
@VERONICA-o7n
@VERONICA-o7n Ай бұрын
@@roselynekwamboka6869 Amen 🇹🇿
@user-xq5ui9cp9m
@user-xq5ui9cp9m Ай бұрын
Social media is more important
@blaquecinderella3560
@blaquecinderella3560 Ай бұрын
That Parliament occupation looks like a movie scene manze
@androidtv4286
@androidtv4286 Ай бұрын
True that. God save Kenya.
@danielchege3535
@danielchege3535 Ай бұрын
We shall never forget
@monicaakinyi2284
@monicaakinyi2284 Ай бұрын
ruto must go
@teresiamusyimimusyimi5484
@teresiamusyimimusyimi5484 Ай бұрын
Kwani kutoa Rais kwa kiti ni ngumu aje Ruto expect to to address those who lost their kids in police brutality kidnapping etc in future and they listen to him as president of Kenya?!!!!
@Jashon911
@Jashon911 Ай бұрын
Bravo Gen-Z 🎉🎉
@isaacmuigai537
@isaacmuigai537 Ай бұрын
Gz wameongea
@jamesmuriithi7137
@jamesmuriithi7137 Ай бұрын
How do you negotiate with a murderer?
@AbuuAli-nf4fb
@AbuuAli-nf4fb Ай бұрын
Jamaa kama wakenya wako na huruma basi waipeleke serikali ya UDA nyumbani Halafu wafunguliwe mashtaka na wafungwe wote
@yusuphlazaro
@yusuphlazaro Ай бұрын
🇰🇪Kenya inamwaga dam ya vijana waoo ambayoo niwazaoiwa je wewe unaee uwaa auna mtoto au autozaa mtoto 😭kumbuka kwamba uchungu wa mzazi wa mtoto uliee muwaa inakutafuna na mtoto wako
@lucymwai7645
@lucymwai7645 Ай бұрын
Please Ingalaa police wetu sio wazuri, Tunaomba wenye alipelekwa ( Haiti warundishwe nyumbani
@wabannah9009
@wabannah9009 Ай бұрын
"No to "Dialogue"!![Hii ni serikali ya Majambazi;ama tuseme kwa "Lugha ya Kimombo"[Gangster Government]"!!!.
@user-uz9mw1ie6z
@user-uz9mw1ie6z Ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💔💔💔💔💔 haki lazima isimame ktk TAIFA na hakuna amani km hakuna HAKI.... EAST AFRICA country mnayo mengi ya kujifunza from GENZ - KENYA..... GOOD STEP
@dostovan5142
@dostovan5142 Ай бұрын
Nchi zingine east Africa hakuna Gen z
@steveodhiambo13
@steveodhiambo13 Ай бұрын
The government is guilty as charged on their part. For failing to protect the lives of innocent people.
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw Ай бұрын
Lazma kuna mahali kuna watu wengi wiouwawa wametupwa ju kwa bunge kuliuawa watu wengi sana,soon there is something going to happen here kenya
@suegreg8040
@suegreg8040 Ай бұрын
@@JacksonMutinda-jw5qw i hear others were cremated at the barracks
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw Ай бұрын
@@suegreg8040 na hayo Dio mambo yanafanya siku moja ruto ajute sana Tena ata karibuni tu..
@kanyijoel159
@kanyijoel159 Ай бұрын
Did u say this b4 kwale massacre? coz now its has been revealed.
@bonifacekimani1640
@bonifacekimani1640 Ай бұрын
​@@kanyijoel159 Even in kware they are hiding bodies!
@kanyijoel159
@kanyijoel159 Ай бұрын
@@bonifacekimani1640 Thats true
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk Ай бұрын
President Ruto must be taken accountable for his actions and authority for what transpired in kenya aftermath of finance bill 2024.
@user-gp5wx1ev9f
@user-gp5wx1ev9f Ай бұрын
Tumeanza kuongeza makali kwa kujifinza tykondo na carate, police wakicheza tupambane nao. We are fighting even for them and they kill our people niwajinga sana. Kusikiza kindiki na koome kuanza kuuwa vijana wetu
@None-d4f
@None-d4f Ай бұрын
Polisi wa Kenya ni washenzi. Hawana vichwa hao watoto wa ibilisi. Ng’ombe sana.
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk Ай бұрын
Kenya leadership must change immediately and hopefully if not now then sooner.we must leave with dignity,morals and values, constitution must be sdhere with everyone regardless of social status and political class.
@baloz8974
@baloz8974 Ай бұрын
We must change it the man in power is crazy of power and goon criminal just like kumpa mwenda wazimu rungu ataua kila mtu kisa madaraka .
@pastorannneema
@pastorannneema Ай бұрын
I remember the ICC court in Hague 😭 It is still at work 😭
@bernardomondi2632
@bernardomondi2632 Ай бұрын
😢😢😢thangs ruto must gooo
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw Ай бұрын
Naona ruto aneaza kuogea ogea lakini kuna kitu aogei,,nani ao walikua wanapiga risasi na kuua vijana,nani ao waliua watu na kuwatupa kwa quare?
@baloz8974
@baloz8974 Ай бұрын
Hilo ni jambo muhimu sana angetaka suluhu na amani na raia ni awakamate polisi wote waliohusika na mauaji ya raia ila kwa vile yy ndie anaewatuma kuua hawezifanya hilo ,ruto hajutii chochote
@blessedramsey396
@blessedramsey396 Ай бұрын
Kuna wengine wanasema we should give him time...
@shadrackmasigaTV
@shadrackmasigaTV Ай бұрын
Kweli makaraoo waliuo 😢😢😢😢, president anaita wasee criminals that's very sad
@MuneneMwangi-yl8ug
@MuneneMwangi-yl8ug Ай бұрын
Ruto and Rachel rejoicing on seeing these videos No democracy for Kenya
@Nyakundielizabeth-fk8cq
@Nyakundielizabeth-fk8cq Ай бұрын
Ruto mst go😢
@user-zc2im1xv6l
@user-zc2im1xv6l Ай бұрын
Gz congratutions myay God pro❤tect us
@samuelnyale2580
@samuelnyale2580 Ай бұрын
Let's rethink as Kenyan if we love this our dear country
@MartinMwandiku-ps9vx
@MartinMwandiku-ps9vx Ай бұрын
Nice job gen z
@AbuuAli-nf4fb
@AbuuAli-nf4fb Ай бұрын
Serikali olio madarakani iondoke hii ni aibu kubwa sana
@MartinMwandiku-ps9vx
@MartinMwandiku-ps9vx Ай бұрын
Kabisa
@johnmichael7712
@johnmichael7712 Ай бұрын
Hatutachoka zii ,...ruto ametuzoea
@AbuuAli-nf4fb
@AbuuAli-nf4fb Ай бұрын
Wakubwa WA usalamalazima wawajbishwe hata kama wamefutwa kazi
@afrakanaswahilitv5520
@afrakanaswahilitv5520 Ай бұрын
Nashindwa serikali na maofisa wa idara ya uchunguzi wa makosa ya jinai na wale wa ukurungezi wa huduma ya kitaifa ya ujasusi nchini (NIS) wamekuwa wakifanya nini wakati mambo yalianza kwenda kombo. Wasimamizi wote wa hizi taasisi wajiuzulu. Asante!
@stevenjenga506
@stevenjenga506 Ай бұрын
No dialogue
@baloz8974
@baloz8974 Ай бұрын
Hakuna ajiongeleshe mwenyewe
@monixmoni5307
@monixmoni5307 Ай бұрын
Ruto is this one who caused all those killings blame no one else
@Mbaruokabed-ci3hn
@Mbaruokabed-ci3hn 27 күн бұрын
Dah hatari sana hiyo🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@felixmutuma6866
@felixmutuma6866 Ай бұрын
Ruto is Disaster and he's a Real Killer, he must resign immediately.
@user-qh4iz9us3t
@user-qh4iz9us3t 24 күн бұрын
what a great shame! I really hate the current government, no need for negotiations, tunapigania haki yetu, no positivity to be seen till Ruto steps down and leave the office!!
@abdullahkazungu4025
@abdullahkazungu4025 Ай бұрын
Hii kauli ya Rais niya kusikitisha kwa kweli
@baloz8974
@baloz8974 Ай бұрын
Ni mshenzi na wala hajutii kauli zake anakurupuka tu
@georginajilani8934
@georginajilani8934 Ай бұрын
<a href="#" class="seekto" data-time="1493">24:53</a> huyo koome anafaa kushikwa kwa mauaji ya Genz
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk Ай бұрын
Kenya is a great country deserve good governance, accountability, respect for human rights,equal justice rule, political stability and economic growth for better kenya.
@eddynaingasian2813
@eddynaingasian2813 Ай бұрын
Ruto said it "bottom up" the current situation in our country is really bottoms up...😢😢😢only God has the answers
@simonmbuthia7281
@simonmbuthia7281 Ай бұрын
Wazazi Walia. Wauaji wanaenda kwa makanisa, waahidi watasaidia kukamilisha ujenzi wa kanisa, na makasisi na waumini wanawapigia makofi.
@peacemusembei5553
@peacemusembei5553 Ай бұрын
It's sad sad sad sad😢😢😢😢😢😢
@bernardomondi2632
@bernardomondi2632 Ай бұрын
😢😢😢😢very very sad and indeed higher hypocrites
@nikkitokke8162
@nikkitokke8162 Ай бұрын
Nasemajee ndugu zetu waliouliwa na Zakayo tutaanguka naye. Kiendee
@JohnTunje
@JohnTunje 16 күн бұрын
Mm Gnz Nko Bampa Na Serikali Hii Sitapotezamda Hatakidogo.
@salomeatieno1127
@salomeatieno1127 Ай бұрын
So chilling 😢. May The Almighty God deal with the killers
@GeorgeMuchemi-cd5xg
@GeorgeMuchemi-cd5xg Ай бұрын
Someone please 🥺 like my comment for future reference 🥺🥺🥺
@fr.andrewwerungaflp2910
@fr.andrewwerungaflp2910 Ай бұрын
Ilikuwa tuanze chini kuwaua
@marymasika3736
@marymasika3736 Ай бұрын
Good reporting
@ruzindazajonas8506
@ruzindazajonas8506 Ай бұрын
Lakini mtu anaweza kujihuliza! Mbona wakenya hivyo! Nidhamu na elimu na hekima viliokuepo vimeibiwa labda na shetani! Hivyo hamuone jinsi shetani anavyowapangia genocide mbayaa! Kuweni macho.
@alexwafula9161
@alexwafula9161 Ай бұрын
Ruto must be accountable
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Kuweni na Subra wenzetu inauma tena inauma sana makhabithi wakubwa Viongozi mijahil
@briankhalushi2063
@briankhalushi2063 Ай бұрын
Kudos our young GenZ❤❤❤❤❤❤
@donaldouma7225
@donaldouma7225 Ай бұрын
Noma very nonsense president fack
@tituskimeu2933
@tituskimeu2933 28 күн бұрын
Its shameful to our leaders l regrets having them in our parliament we love our country but this types we can't accept themselves at all
@Remmykammokoywo
@Remmykammokoywo 6 күн бұрын
Ossba tarli Hahar r Haienar tar uwar uwar
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Wameshangaza kweli lakini na yeye Ruto aende huko
@Joelomondi-r2x
@Joelomondi-r2x Ай бұрын
Mungu okoa Kenya
@lukemusiga4
@lukemusiga4 Ай бұрын
So so so Sad 😢😢😢😢😢, hakuna kujivunia kua mkenya
@susananyasani6526
@susananyasani6526 Ай бұрын
Maskini inauma Mama amtafuta Mtoto wake alipotea wakati wa Maandamano mpaka leo Amani ni muhimu kwetu wote
@BoazOtollo
@BoazOtollo 24 күн бұрын
I can see people going to the Hague!
@LIFEOFTHESTEETS
@LIFEOFTHESTEETS Ай бұрын
😭😭😭😭
@mumbocaroline1172
@mumbocaroline1172 Ай бұрын
Nilikosa job mpaka nimekuja saudia kuteseka
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Please, PLEASE Ruto MUST GO.HE CANNOT CONTINUE TO GOVERN. SHAMEFUL . RUTO MUST GO
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Ndio wanavyokuwa Viongozi wa kidikteta ulimwenguni
@loreenmwambinguloreen7373
@loreenmwambinguloreen7373 26 күн бұрын
Hio gari ya polis sidhani kama ni polis walikuwa ndani na basi kama ndio,ni wa private sector sio wa government juu vile hio gari ilipelekwa ata mtoto akiwa njian anagongwa,apana this is too much in my country..we can't keep this going on,some of us we are single mother,we have been suffering to rise our kids,allot of kids have been growing without,parents both sid,because there mothers like me as a mother i have been out of country for more than 10 yrs,then hearing that kids are dying missseriouly
@bryanmurono4707
@bryanmurono4707 Ай бұрын
Those police who were deployed in Haiti should get back home and also fight for there rights..... Heri tukufie kwetu kuliko kwa wenyewe viva!!
@SarahShao-jw1up
@SarahShao-jw1up Ай бұрын
Wakenya acheni upumbavu. Kweli mnatawaliwaje na Gen Z?!!!
@zamani33
@zamani33 Ай бұрын
The woman crying probably voted ruto
@nikkitokke8162
@nikkitokke8162 Ай бұрын
We must liberate youths. Our people have been murdered brutally, mpaka Ruto astep down, aluta continua. Na nyie Rwanda na UG mnatuangusha. Liwalo na liwe, wamettuzoea sana vijana. Mtu umesoma Taxes every where. Kutuua kama panya tukipaza sauti. So tell us, what did a 12 yrs old do to deserve this 😢😢😢. Nasemajee moto ndio kwanza umewaka.
@BoazOtollo
@BoazOtollo 24 күн бұрын
Malipo ya wongo, bottom up ,kumbe walimaanisha,watu wafiri kwa matako sio kichwa?
@BoazOtollo
@BoazOtollo 24 күн бұрын
Damu ya Jacob Juma inalia !
@fredricklemiso6191
@fredricklemiso6191 Ай бұрын
Balaa, alafu upate walitupwa kwaree, 😢😢 Kenya imekua uchungu sana
@lucymwai7645
@lucymwai7645 Ай бұрын
😭😭😭😭😭😭
The Explainer | Jimi Wanjigi explains why 'Ruto must go'
28:27
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 200 М.
Two rogue matatu vehicles continue with business in Nairobi
2:11
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 215 М.
WHAT THE GEN-Z WANT!  | The Heroic Story Of ABDUL KHALIFA!
19:31
Kenya Online Media
Рет қаралды 217 М.
Jicho Pevu yaangazia saa kumi na mbili za mwisho za mwendazake Jacob Juma
36:26
Kasmuel McOure: Why I Took Part In The 'Nane Nane' Protests
42:29