MAKANISA NA MAASKOFU BY MAZINGE

  Рет қаралды 60,657

KENYA DAWAH TV

3 жыл бұрын

Пікірлер: 127
@yunisboshe7227
@yunisboshe7227 3 жыл бұрын
Sheikh suleiman mazinge masha Allah...very composed islamic preacher infact....i started following his preachings back 2012 when he use to preach about devil whorshipers and football clubs that is owned by devil whorshipers...We pray to Allah as fellow muslims to give u more strength to spread kallimatul Laaa ilaaha ilaa Allah because we all understand its not easy to accomplish Daawah like the way our sheikhs are struggling...
@mohammedkimanga8960
@mohammedkimanga8960 3 жыл бұрын
Mashaallah tuko pamja sheikh mazinge
@malicboy7973
@malicboy7973 3 жыл бұрын
Allah awahifadhi ma sheikh wetu.
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 3 жыл бұрын
Allahuma Amin
@qhatramohamed7006
@qhatramohamed7006 3 жыл бұрын
Mashaa-Allah wahadhiri wetu sheikh yahya na ustadh mazinge ALLAH awajalie muzidi kuinez haki.Na azidi kuwapa nguvu na afya,Awajalie janatul firdaus na familia zenu
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 3 жыл бұрын
Allahuma Amin
@iddizuber333
@iddizuber333 3 жыл бұрын
Masha Allah, tunawapenda Sana mashekh wetu , natamani nami niwe na elimu kama yako ili nisomeshe waislam wenzangu japo wanawake wenzangu
@jijim5536
@jijim5536 3 жыл бұрын
Acheni zenu waislam mnapenda Sana kufuatilia wakristo ,din yenu yenyewe inafuga mapepo kwendenu zenu bhana
@fundibombazanzbar5717
@fundibombazanzbar5717 3 жыл бұрын
twawafatlia kwakua waongooo muongo atumuachii
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 Жыл бұрын
Sisi waislamu tuna mapepo na Yale mnayoyatoa kanisani ni Ninii? Hamjielewi endeleeni kufunga Mpk mfe😂🤸
@omarymikombe2762
@omarymikombe2762 4 ай бұрын
Mbona Jaziba?😂😂😂😂
@jamilayusufu2119
@jamilayusufu2119 3 жыл бұрын
jama waslamu kuwasaidia masheik wetu na kiuchumi gari inataka mafuta wanataka mahali ya kulala na chakula tusimame na mashekh wetu
@IngabireAisha3813
@IngabireAisha3813 3 жыл бұрын
Nikweli kabisa Alhamdulillah Jazak Allah khayran
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 3 жыл бұрын
Amin
@salmasalim6055
@salmasalim6055 3 жыл бұрын
Mashallah
@muliamadi859
@muliamadi859 3 жыл бұрын
mashaAllah
@mohammedkimanga8960
@mohammedkimanga8960 3 жыл бұрын
Allah akufnyie wepesi kwa juhudi zko sheikh
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 3 жыл бұрын
Allahuma Amin
@abubakariramadhani1372
@abubakariramadhani1372 Жыл бұрын
Hongera sana shekh mazinge
@islamicnewschannel2551
@islamicnewschannel2551 3 жыл бұрын
Assalam Aleikum Akhui, Masha Allah Suleiman Mazinge mawaidha yake ni mazuri sana nimeipenda na inawaelisha watu wasiojua duniani unaendelea nini,mm ningependa Suleiman Mazinge, Uthman Mazinge na mashekhe wakubwa wenye elimu east Africa wamualike Dr Zakir Naik katika muhadhara iwe mkubwa na iwe uwanja mkubwa iwe Kenya au Tanzania, please ndugu yangu.
@mohammedrajabu7449
@mohammedrajabu7449 3 жыл бұрын
Sheikh allah akubaariki kwakila lakheri Allahumma Amiin
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 3 жыл бұрын
Amin
@bellbell9294
@bellbell9294 3 жыл бұрын
Shukraan Sana masheikh wetu Allah awahifadhi jazaka Allahu kher
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 3 жыл бұрын
Allahuma Amin
@shaffitsuma1250
@shaffitsuma1250 3 жыл бұрын
MashaAllah
@athumansaumu1680
@athumansaumu1680 3 жыл бұрын
Maashallah jazaka ALLAH kheri
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 3 жыл бұрын
Amin
@theoriginaldhol3032
@theoriginaldhol3032 3 жыл бұрын
Mansha Allah I love you for the sake of Allah May Allah give you janatul fardows amiin
@yusufgagamuhammad2674
@yusufgagamuhammad2674 9 ай бұрын
Shekh tembelea ndugu yetu ndacha ukampe ilimu😢😢 ana udhi sana akimtukana mtume s a w
@CharoHarrison
@CharoHarrison 4 ай бұрын
Ukweli mchungu
@ismailhussein8414
@ismailhussein8414 Жыл бұрын
Mashallah,our masjid congo
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 3 жыл бұрын
Hahahahaaa 🤣🤣😂 Masheikh wangu nimecheka adi chai imenichoma duh..Maa Shaa Allah leteni live pictures kuongea na hao walimu wa vipofu na viwete adi kieleweke
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 3 жыл бұрын
Tutawaleta InshaAllah
@edge6016
@edge6016 Жыл бұрын
Asalam Aleykum Mazinge na kupenda sana kwajili ya Allah daawah unayoifanya Allah Akupe afya na umri mrefu na Akupe Janah na Akuzidishie elmu Amin
@shaffitsuma1250
@shaffitsuma1250 3 жыл бұрын
Allah awazidishie ilmu, afya, na awahifadhi masheik wetu. Kazi nzuri kutuelimisha
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 3 жыл бұрын
Allahuma Amin
@alllyrics4835
@alllyrics4835 3 жыл бұрын
Ameen
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 3 жыл бұрын
Ah hawa wakristo wanajichanganya tu,tafaruki walizonazo kwa makanisa yao ni kubwa maana mkatholik haingii kwa wasabato ila ukiwauliza yesu alianzisha kanisa gani watakuchekea tu hawan jibu lolote. Mashallah sheikh wangu wafundishe ili waongike inshallah.
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 3 жыл бұрын
Kufikisha ndio wajibu wetu
@mwanamwinyibmwakinalo4094
@mwanamwinyibmwakinalo4094 3 жыл бұрын
Mashallah, Allah awape umri masheikh wetu nawapenda sana 😀😀😀😀 hapo mumenichekesha kweli
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 3 жыл бұрын
Allahuma Amin
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 3 жыл бұрын
also watch this kzfaq.info/get/bejne/qbldn6-Fy6mtZ5c.html
@mwajumamwajuma3756
@mwajumamwajuma3756 3 жыл бұрын
Mashaallah wisilam ustadh mungu awape kheri 🙏
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 3 жыл бұрын
MashaAllah Shukran Jazakallahu kheir Bruder
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 3 жыл бұрын
Amin
@user-vq3zu8ne9b
@user-vq3zu8ne9b 3 ай бұрын
Waislam NI mbwa Koko yenu yanawashinda mmekazana na ya wenzenu 😂😂😂
@mohamedissack8053
@mohamedissack8053 3 жыл бұрын
Masha Allah mungu awatunze
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 3 жыл бұрын
Allahuma amin
@hkmfurazuberiismael7952
@hkmfurazuberiismael7952 10 ай бұрын
Uripo popote Allah amufanyie wepesi akukinge nashali zakidunia na akupe mwisho mwema
@nasibndaro6281
@nasibndaro6281 3 жыл бұрын
ماشاءاللہ جزاك اللهُ‎
@felixjemogong9124
@felixjemogong9124 2 жыл бұрын
Africa Israel nineve Jebrock my home area
@halimasaid4977
@halimasaid4977 3 жыл бұрын
Mashaallah shekhe Allah amekujalia elim Allah akuhufadhi na akuongoze wewe na kizazi chako
@mudydady9899
@mudydady9899 3 жыл бұрын
Mashallah Mungu akulipe kheri ostdh nafarijik sanaa unavotupa elimu
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 3 жыл бұрын
Allahuma Amin
@yusufsadic2930
@yusufsadic2930 3 жыл бұрын
I lik this Ustaz Allah amongeze Dunia na Akher
@martinchansamwinyi2508
@martinchansamwinyi2508 Жыл бұрын
Alhamdulillahi for being a Muslim ♥️
@user-mh1es7ur1o
@user-mh1es7ur1o Жыл бұрын
Safii sana
@ibrahimmchucha3034
@ibrahimmchucha3034 2 жыл бұрын
Allah awalinde Masheikh wetu 🤲
@alllyrics4835
@alllyrics4835 3 жыл бұрын
JazzakaAllah kheir ma Shekh wetu
@user-kt6py2og4y
@user-kt6py2og4y 4 ай бұрын
Tembelea mazinge ww msema ukweli
@ibinhussein8561
@ibinhussein8561 2 жыл бұрын
Jazakallah khair
@ShedrackMathius-mw4wx
@ShedrackMathius-mw4wx Жыл бұрын
Mashalllah
@iddyally7228
@iddyally7228 3 жыл бұрын
Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 3 жыл бұрын
Allahuma Amin
@tegamatwi
@tegamatwi Ай бұрын
Barakallah Feekum ❤❤❤
@othmanmulendelwa9622
@othmanmulendelwa9622 2 жыл бұрын
Na uchambuwe na ya waislamu nawa islam wapo katika frimason
@halimamohamed2765
@halimamohamed2765 2 жыл бұрын
Mansha ALLAH nafurah kukuona tena shekhe..
@abdiaziznoor142
@abdiaziznoor142 3 жыл бұрын
Sheikh Suleiman mashaallah
@yvesmontana9043
@yvesmontana9043 2 жыл бұрын
U Islam ni dini ya haki mimi nazaliwa kwenye familia yaki christo ila uislam ni dini ya haki
@aggreykangethe9337
@aggreykangethe9337 Жыл бұрын
Faith without action is dead
@rashidwalwanda1991
@rashidwalwanda1991 3 жыл бұрын
Shukurani Kwa Elimu
@shabanialialmeidaassumani8882
@shabanialialmeidaassumani8882 3 жыл бұрын
Alhamduli Allah sheikh mazingi
@husha6372
@husha6372 3 жыл бұрын
Quran 9:82
@karoreroramadhan3353
@karoreroramadhan3353 3 жыл бұрын
Manshallah from Burundi tunakusikia
@abdihakim_iddle5446
@abdihakim_iddle5446 3 жыл бұрын
MashaAllah sheikhe....Maranatha church pia iko sehemu za waitethie past juja na pia nimeiona ukiingia pale thika town
@saidikituwile3924
@saidikituwile3924 3 жыл бұрын
Waongo Sana ao wachungaji
@saumuseif9189
@saumuseif9189 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@mwanashazingas6684
@mwanashazingas6684 2 жыл бұрын
Congo diani
@MOHATVKENYA
@MOHATVKENYA 3 жыл бұрын
#mohatvkenya Mashaallah napenda daawa yenu
@naheelamohamed9970
@naheelamohamed9970 2 жыл бұрын
Mashallah bro
@ruu6592
@ruu6592 2 жыл бұрын
Haha nimecheka
@jamilayusufu2119
@jamilayusufu2119 3 жыл бұрын
mimi ninaamini MUNGU tu ndio anaponesha....hawo ni binadamu tu tena ni matapeli tu
@mohammadsaid6100
@mohammadsaid6100 2 жыл бұрын
Mashaa allah
@user-em7gw6bh5x
@user-em7gw6bh5x 6 ай бұрын
Makanisa ya freemasan
@idrisamey3030
@idrisamey3030 3 жыл бұрын
Assalamu aleykum. May Allah SWT reward all the ulamaa. What happened to shk Shaban , Salim Deda, ex pastor I have missed them do they have another youtube channel
@allanothuman2941
@allanothuman2941 3 жыл бұрын
Uko good
@husseinbenson7965
@husseinbenson7965 2 жыл бұрын
UKIRISTO UNAWAUMIZA SANA VICHWA UNAFANYA MSHINDWE KULALA NA MBAYA ZAIDI UNAZIDI KUKUA ZAIDI KILA KONA .
@sokakilumbi9293
@sokakilumbi9293 2 жыл бұрын
labda ukristo unakuwa kwenye familia yenu😜‼‼
@mwaitaali6816
@mwaitaali6816 3 жыл бұрын
Assalam alaikum
@Sisterjemi1
@Sisterjemi1 2 жыл бұрын
Ustadh suleiman mazinge mbona simuoni siku hizi yupo wapi
@manpeter3193
@manpeter3193 3 жыл бұрын
Allahu akbar
@peterokula8404
@peterokula8404 Жыл бұрын
Which church was begun by God or JESUS or David now?
@mamuskamery45
@mamuskamery45 3 жыл бұрын
Asalam Aleikum warahmatullah wabarakatu
@user-ky2ec2nr1l
@user-ky2ec2nr1l Жыл бұрын
@jangombeboys4536
@jangombeboys4536 3 жыл бұрын
MAZINGE
@danielmgeni1703
@danielmgeni1703 3 жыл бұрын
Asante kutuelimishen aukiangalia nikweli
@RebeccaKalonda
@RebeccaKalonda 3 ай бұрын
Shukran
@jamilayusufu2119
@jamilayusufu2119 3 жыл бұрын
Asc bror mimi ni likuwa ninawagaliyanga Wewe na Ismail na mada ya freemason. Amepoteleya wapi Ismail ?????
@saidjames190
@saidjames190 2 жыл бұрын
🙏
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 3 жыл бұрын
Tutumien tujifunze
@kisesawapiliTv
@kisesawapiliTv 3 жыл бұрын
Mpka hapo ulipo unatumia calenda ya papa,misikiti yote inaxajiliwa na serikali na pia serikali iko chin ya papa masaa unayofata ni ya papa,paspot unayotumia ni mfumo wa kipapa so sijui wakwepa wapi
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 muwacane kabisa hajaambiwa MUTUME yoyote tarehe ya dunia awo majambazi njo wapatie subutu kazi nzuri la sheikh zetu Allah atupe furaha ya duniani na akheira atukinge na azabu za uko ...
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 3 жыл бұрын
Amin
@patrickgudaga3461
@patrickgudaga3461 11 ай бұрын
😂😂
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@HARUN_MOHA
@HARUN_MOHA 3 жыл бұрын
Mulienda wapi
@josephabwao4225
@josephabwao4225 3 жыл бұрын
We respect and appreciate your work but stop being abusive and diminishing other religions......
@saidjames190
@saidjames190 2 жыл бұрын
M
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 3 жыл бұрын
Sheikh swali langu ni kuhusu uislam mbona pia una madhebu kadha islailia sunni Shea na kadhalika ni vp?
@fundibombazanzbar5717
@fundibombazanzbar5717 3 жыл бұрын
Ila wanamuabudu mungu mmoja na mtume wamungu awatofautian kwa kwakufata mtumemwengne wala mungu mwengine ila awa wakristo ndo ibadazao azina mashiko
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 2 жыл бұрын
Hujui unachokiongea. Kanisa ni moja tu.Roman Catholic.Ni kanisa ambalo lilianzishwa Yesu mwenyewe kupitia Mtume Petro. Soma Biblia.Mt.16.18. Roman Catholic ulianzishwa mwaka 30 baada ya Yesu kuondoka.Nje ya Kanisa katoliki ni Madhehebu.ni matawi yaliejimega kutoka kanisa. Ndani ya miaka 1000 baada ya Yesu hakukiwa na dhehebu lolote.kulikiwa na Kanisa moja tu,yaani Ukatoliki.Kwa maelezo ya Yesu Ukatoliki hauwezi kushindwa na chochote.Mt 16:18.ukatoliki umefanya mengi sana katika Dunia ikiwemo Tanzania. * Ni ukosefu wa kuelewa,sio Kila penye jengo na Msalaba kuwa ni kanisa.Hayo ni madhehebu na Kanisa ni moja.ni madhehebu ya Wakristo. Katika yote ukrisu hauwezi kushindwa Kwa maana una umri mrefu na mengi yanayoendelea kufuatwa au kutumika yameasisiwa na Ukrisotu
@nelsonzebedayo8281
@nelsonzebedayo8281 3 жыл бұрын
Pole Sana mazinge kwa kuwadanganya watu.lakini nataka nikwambie kwamba Kwa Mohammed huwezi kupata uzima wa milele bali kwa yesu kristo2 ndo unaweza kupata uzima wa milele. Lakini kuna kitu nataka nikusaidie kwasababu hujui maana ya kanisa. Kanisa sio jengo, kanisa nikikundi cha watu waliomwamini Kristo yesu wanao kaa kukumbushana au kufndishana maneno ya mungu. lakini pia ww mazinge kwasababu hujui mambo ya unabii huwezi kuzungumzia mambo yanayo jitokeza sasahvi katika makanisa .Hizi nisiku za mwisho,kwa watu hawa wanao jiinua nakufanya uganga wao mbele ya watu wengine wanaanzisha huduma ambazo ziko kinyume na alivo agiza yesu kristo, Hakika hao nimawakala wa shetani wakuja kulivuruga kanisa. Lakini mambo hyo hayana budi kutukia kwasababu yaritabiriwa na yesu kristo Mathayo7:15 na Mathayo24:3....5.lakini pia mazinge nataka nikusaidie dini wala zehebu haliwezi kukufikisha mbinguni wala mtume wako Mohammed ila mmoja tu yesu kristo mwenye kuja kuhukum ulimwengu Yahana14:4....6.Imani ya yesu Kristo ndo inaweza kukufanya uende mbinguni. Namba yang ni0767182765 tujadriane.
@idrisaabdillahibpxkijykbs4162
@idrisaabdillahibpxkijykbs4162 3 жыл бұрын
kwaiyo mie nkimuamini tu Yesu kristo hata nikitenda dhambi nitaenda minguni?
@ahmednoor9546
@ahmednoor9546 3 жыл бұрын
Wachahzo porojo ww nkpofu na hujui pakueleke.eti ndaniya yesu kunauzima wamilele umeingia ndaniya yesu ukaoana hiyauzima?
@sokakilumbi9293
@sokakilumbi9293 3 жыл бұрын
Ukristo ni shiddah eti kafiri nae anatafuta uzima wa milele ndani ya ukristo!!!... يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اسْتَجِيبُوا لِلَّهِ وَلِلرَّسُولِ إِذَا دَعَاكُمْ لِمَا يُحْيِيكُمْ ۖ وَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّهَ يَحُولُ بَيْنَ الْمَرْءِ وَقَلْبِهِ وَأَنَّهُ إِلَيْهِ تُحْشَرُونَ [ AL - ANFAAL - 24 ] Enyi mlio amini! Muitikieni Mwenyezi Mungu na Mtume anapo kuitieni jambo la kukupeni uzima wa milele. umeona wewe mgalatia uo ndio uzima wa milele kumuitikia mwenyezi Mungu na Mtume wake!!! na kumuitikia kwenyewe ni huku قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ تَعَالَوْا إِلَىٰ كَلِمَةٍ سَوَاءٍ بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ أَلَّا نَعْبُدَ إِلَّا اللَّهَ وَلَا نُشْرِكَ بِهِ شَيْئًا وَلَا يَتَّخِذَ بَعْضُنَا بَعْضًا أَرْبَابًا مِّن دُونِ اللَّهِ ۚ فَإِن تَوَلَّوْا فَقُولُوا اشْهَدُوا بِأَنَّا مُسْلِمُونَ [ AL I'MRAN - 64 ] Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lilio sawa baina yetu na nyinyi: Ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu, wala tusimshirikishe na chochote; wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa mola Walezi badala ya Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka basi semeni: Shuhudieni ya kwamba sisi ni Waislamu. sasa wewe ukiwa una muabudu kiumbe badala ya Mwenyez Mungu wewe unakuwa kafir wala hutoupata uzima wa milele ,,,kwasababu Yeremia 17:5 BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA. kwa iyo wewe na wagalatia wenzako mmelaaniwa kwa kumtegemea.... 1 Timotheo 2:5 ..., Mwanadamu Kristo Yesu; sasa kaa peke yako changamsha bichwa lako kwa kujiuuliza kuwa "ivi mtu mwenye laana atapata uzima wa milele!!!???"
@mariamabdallah115
@mariamabdallah115 3 жыл бұрын
Wajidanganya sana wewe niheri uje kwa uisilamu usalimike ndugu kabla hujaishia motoni
@mariamabdallah115
@mariamabdallah115 3 жыл бұрын
Hajielewi huyu porojo tupu anaongea
@abdurahmanahmed2643
@abdurahmanahmed2643 3 жыл бұрын
Mashallah
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 3 жыл бұрын
MashaAllah
@ishaqdaawahkenya1213
@ishaqdaawahkenya1213 3 жыл бұрын
Mashallah
@boontujimmaa9462
@boontujimmaa9462 3 жыл бұрын
Mashallah
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 14 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 32 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 21 МЛН
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 10 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 14 МЛН