Рет қаралды 9,291
MAKUBURI 25 - Official Video
Karibu utazame video ya wimbo wetu mzuri uitwao MAKUBURI 25. Wimbo huu ni maalum kwaajili ya sherehe za Jubilei ya miaka 25 ya Parokia ya Mwenyeheri Anuarite Makuburi. Karibu ushiriki nasi katika shamra shamra za Jubilei. Wimbo huu umeimbwa na kwaya zote nne za Parokia ya Mwenyeheri Anuarite Makuburi ambazo ni;
1. Kwaya ya Mt.Secilia
2. Kwaya ya Mt. Monica
3. Kwaya ya Mwenyeheri Anuarite
4. Kwaya ya Mt. Kizito.
Wimbo : MAKUBURI 25
Waimbaji : UKWAKATA MAKUBURI.
Organist : AYOUB MYONGA
Audio by : HOLY TRINITY STUDIOS
Video by : DIVINE STUDIOS