Рет қаралды 1,260
Unachotakiwa kufahamu kuhusu malengo. Anthony Luvanda anazungumzia manufaa ya kuweka malengo, sababu zinazowafanya watu wengi wasizingatie kuweka malengo na Kwanini watu wengi wenye malengo wanashindwa kutekeleza. Ufanye nini kuliepuka hilo?
Toa maono yako kuhusu toleo hili.
Tuma ujumbe wa sauti na kuelezea ulichojifunza nasi tutaambatanisha katika toleo lijalo.
Jiunge na kundi letu la whatsApp ili kushiriki mijadala hii moja kwa moja kila wiki. Tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794.
--- Send in a voice message: anchor.fm/hubofwisdom-org/mes...