MAMA ALIYEVIMBA TUMBO AGUNDULIKA ANA UGONJWA WA INI

  Рет қаралды 13,423

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

3 жыл бұрын

Пікірлер: 212
@munirachangawa2776
@munirachangawa2776 3 жыл бұрын
WAPI LIKES ZA ZAHIR....
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Nimelike na kukomenti kabisa
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
mungu amuweke kaka zair
@zabiyafahmikhamis4873
@zabiyafahmikhamis4873 3 жыл бұрын
Amiin
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 3 жыл бұрын
@@maximumtvonline Allah ampe kheir na nguvu ziyada kufanya kheir kwa ndugu Wa Tanzania 🤲
@khdigahk4246
@khdigahk4246 3 жыл бұрын
Hata bibi angu aliugua huu ugonjwa alijaa maji tukampeleke muhimbili pia
@aminasuleiman6402
@aminasuleiman6402 3 жыл бұрын
Yaan Zahir kila kukicha nazidi kukuombea dua kwakweli Allah akujaze her nyingi akujaalie rizki ya halali kakaaetu 🙏🙏🙏mgonjwa wetu utapona kwa uwezo wa Allah Inshallah 🙏🙏🙏
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 3 жыл бұрын
AMIN
@hadija846
@hadija846 3 жыл бұрын
Amiin🙏🏼
@mapenzisorotanizimbazimba8742
@mapenzisorotanizimbazimba8742 3 жыл бұрын
Shetani ashindwe Kwa Huo ugonjwa, MUNGU akufanyie wepesi mamangu
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 2 жыл бұрын
Amen
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 жыл бұрын
ALHAMDULLILAH ALLAH ajarie mwangaza zaid upate dawa upone dada etu mungu akubariki kaka zahir pia na timu yako kazi nzur
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Asante..
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 жыл бұрын
Amiin
@mename6020
@mename6020 3 жыл бұрын
Alhamdulilah... Allah akufanyie wepes Zaid...
@happysalva9480
@happysalva9480 3 жыл бұрын
Kaka Zahiri unafanya Kazi nzuri sana nasisi Atuwezi kuku angusha Mwenyezi Mungu akuweke uhai ili uzidi kusaidia na wengine 🙏
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Asante sana
@adijarashidi1426
@adijarashidi1426 3 жыл бұрын
In sha Allah
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 жыл бұрын
Amiin
@1zuwena55
@1zuwena55 3 жыл бұрын
Kaka zahir mwenyezi mungu akufungulie milango ya peponi usifunjike moyo zidi kusaidia watu tupo na wewe
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
Amiiin
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Amen..
@zabiyafahmikhamis4873
@zabiyafahmikhamis4873 3 жыл бұрын
Amiin
@adijarashidi1426
@adijarashidi1426 3 жыл бұрын
AAmin yaarab
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 жыл бұрын
Amiin
@hadija846
@hadija846 3 жыл бұрын
Yaani furaha ilioje jamani maximum tv shukrani kwenu kwa kazi mzuri ongera sana mama yetu kwa kuendelea vizuri bado nazidi kukuombea kwa M/mungu ili upate kupona kabisa. Amiin🙏🏼😍
@tumakassim6286
@tumakassim6286 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukuongoza Zahir kwa kazi zako wewe pamoja na crue yako,tuseme Aamiin
@munirachangawa2776
@munirachangawa2776 3 жыл бұрын
Kaka zahir mungu akupe umri zaidi Na zaidi.GOD is great.
@edithngereza1868
@edithngereza1868 3 жыл бұрын
Maashallah
@meedaafarai9677
@meedaafarai9677 3 жыл бұрын
Subhannallah. Alhamdulillah Allah atakuponya inshaallah.jazzak Allah kher broo.. zaher.
@mwanakhamiskhamis3115
@mwanakhamiskhamis3115 3 жыл бұрын
Amin Amin Amin
@ruwaidaal-ismaily9099
@ruwaidaal-ismaily9099 3 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi
@theceefamily7764
@theceefamily7764 3 жыл бұрын
Mwanzo ugonjwa umeonekana sasa utapona kabisa,barikiweni sana waliojitolea kwa michango yenu,mama kua na imani utapona kabisa. Mungu mbele kwa kila jambo🙏🌞🇰🇪@Kenya.
@Amina-bq2xe
@Amina-bq2xe 3 жыл бұрын
Kazi nzuri Kaka Zahir 💪💪💪
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Asante sana
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 3 жыл бұрын
Mashallah azidi kukupa shifaa pamoja na wagonjwa wote. Pamoja na mtangazaji wetu Zahir ALLAH amzidishie moyo huuhuu wakusaidia watu wenyewe matatizo mbalimbal na amfanyie wepesi katika kazi yake InshaAllah
@winfridakaaya2758
@winfridakaaya2758 3 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu kaka zahiri akupe maisha marefu jamani mungu ndo atakulipiaa kwa kazi yako nzurii na dada yetu mungu akuponyeeee kabisa ilo tatizo
@zuwenaalesrizuwenaalesri7461
@zuwenaalesrizuwenaalesri7461 2 жыл бұрын
Mashallah mama nimefurahi sana kukuwona unahali nzuri tunamuwombea duwa mwenyezi mungu Akupe Afya pesa siyo kitu bora upone
@agapejosceline7683
@agapejosceline7683 3 жыл бұрын
Mungu asifiwe sana. Pia a bariki maximum kwa kazi kubwa munayo itunda na wote walio changia pesa, maombi na kadhalika.mubarikiwe nyote 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@wahiduitsverycommentmane5421
@wahiduitsverycommentmane5421 3 жыл бұрын
Hakikaa akuna wakufananixhwa na munguu mungu ni mkubwaa sanaaa jmn tumrudie muumba wetuu yeye ndiee kilaa kituu kimbilioo la kwelii na lamilele
@mwaminikanyinyi6096
@mwaminikanyinyi6096 3 жыл бұрын
Allah akupe shifaa ya haraka mama
@zuwenaofficially3551
@zuwenaofficially3551 3 жыл бұрын
Zahiri nakuona mbali sana uko mbinguni allah akujalie pepo 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻💕💕💕💕💕💕
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Allhamdulillah ya Allah Allhamdulillah ya Jaball Allhamdulillah ya Mutakabir I Alllhamdulillah ya Manani Allhamdulillah ya Karim. Ya Allah jaaliwa Naxksim TV isongembele na Tm mzima uwaobgezee Iman uwaobgezee kipato uwaifadhi kama wanavyoifadhi wenye shida hiyo sikuya malipo uwape nwesho mwema lnshallah 🤲
@memoryngambi3758
@memoryngambi3758 3 жыл бұрын
Yesu akuimarishe zaidi,yaani mtangazaji mungu anakusudi kukueka ue daraja kwa watu wengi.familia yako isije ikapungukiwa na chochote,maana umejitoa kwa wengi,bila kuangalia kabila,rangi, mazingira yaani ubarikiwe.
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Amen...
@sizadarat4176
@sizadarat4176 3 жыл бұрын
Mwache mungu aitwe mungu kwa kwel yy ndio tegemeo letu .Allah amjalie apone kabisa
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 3 жыл бұрын
Amin
@saidabdul5586
@saidabdul5586 3 жыл бұрын
Zahir kaka mm nakuombea dua tuu Allah akulinde na kila shari maana hakuna mfano kwa kazi unayoifanya
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Amen..
@rukiakhamsin9220
@rukiakhamsin9220 3 жыл бұрын
Allah akufunguliye kila la kheiri kaka zahir,Akujaaliye neema na BARKA katika maisha yako🤲🤲🤲🤲
@umibana6759
@umibana6759 3 жыл бұрын
Subhannallah nilisema Mimi🥱 mungu amjaalie apate dawa yake
@shameemrashid5219
@shameemrashid5219 3 жыл бұрын
Jamn nimetoka na machoz huyu mama anavyofurahi e mungu warudishie afya wagonjwa wote ,, na zahir 😭🤲
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 3 жыл бұрын
Allah akufanyie shufaa dadaangu utapona kwauwezo wa labanna
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 жыл бұрын
Duuu jamani Mungu ni mwema kila wakati hakika Mungu hashindwi na jambo lolote ashukuriwe Mungu wa mbinguni kwa hatua hiyo uliyoifikia nina uhakika Mungu atakufanyia wepesi utapona.Ubarikiwe sana kaka Zahir kwa kazi nzuri hii unayoendelea kuifanya ya kuwaibua watanzania wenye magonjwa mbalimbali kama ya huyu mama hakika bila wewe hats watanzania na watu wote wasingeweza kumjua kama ni mgonjwa anahitaji msaada . Mungu akubariki sana kaka Zahir wewe pamoja na kazi hiyo njema unayoifanya Mungu atakulipa mema zaidi.
@monadinadi5295
@monadinadi5295 3 жыл бұрын
M.mungu atakupa wepesi inshaallah Zahir ungekuwa ujaowa wallah ungeniowa jmn kk una moyo wko. Mungu at akuzidishie zaidi na zaid inshaallah
@msimualikhamis5906
@msimualikhamis5906 3 жыл бұрын
Aslm alkm m/mungu amfanyie wepesi pamoja nasi ampe moyo wa subira
@eliminagorowa3246
@eliminagorowa3246 3 жыл бұрын
Zahir mungu akupe maisha marefu pole sana dada
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Amen...
@hafsaali7976
@hafsaali7976 3 жыл бұрын
""Mashaallah mashaallah.
@moanasaboud4399
@moanasaboud4399 3 жыл бұрын
Mashallah Allah Akbar nilipoona for first nililia sana na sahii furaha na kumshukuru Mola Kaka Zahir tunazidi kukuombea Mungu akupe kila la kheri wewe na familia pia kwa mpiga picha (camera man)
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Asante
@rehemasila1937
@rehemasila1937 3 жыл бұрын
Hongera kaka kwa kazi nzuri nakupa big up sanaaaa
@felistersmejumaa5188
@felistersmejumaa5188 3 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi mamangu twataka kuona ukisema umepoa kbsa
@jesusjesus7477
@jesusjesus7477 3 жыл бұрын
Mungu amjalie apone kabisa Inshaallah Na mume wake Mungu azid kumtia imani 🙏
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 3 жыл бұрын
Pole mama....Hongera kwa kuwajibika vyema kaka Zahir, Mungu baba akutunze pia Shukrani kwa Timu nzima ya Maximum Tv Mungu awe pamoja nanyi.
@aminahassanali1190
@aminahassanali1190 3 жыл бұрын
Allh azid kukupa shufaaa kak zahir allh akupe nguv iman uzid kupambana👏
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 3 жыл бұрын
MashaAllah hadi raha, usingizi pia ni dawa, Allah atazidi kuku Usha na hapo pia lnshaAllah
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
maashaallah maashaallah una mume mwema mwenye huruma mungu ambarriki sana
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 3 жыл бұрын
Alihamdulilaahi raabiilaa alaamina mungu mkubwa atazidi kukupa faraja na utakaa vizuri na kaka zahir mwenyezi mungu atazidi kukuongoza na amali yako itakuwa ninjiya kubwa kwa aallwaa
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 3 жыл бұрын
Kaka zahir unafanya bidii kubwa katika utendaji wako Allah akudumushe katika kazi zako na uongezekewe na rizki Amin 🤲
@zainabthimis4025
@zainabthimis4025 3 жыл бұрын
Wwe mtanhazaji daa mungu akuweke wwe ni issa na biii mungu hatakuacha ubatikiwe
@munirachangawa2776
@munirachangawa2776 3 жыл бұрын
Wow mashallah. Yani hadi raha.
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 3 жыл бұрын
Kaka zahiri mungu akulipe heri unavyo pambaniya wezetu mungu atusaidiye
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 3 жыл бұрын
Amiina yrbl almn ata ww mwenyezi mungu atakupa afua njema utakaa vizuri inshaallwaa na maximum watazidi kukusimamiya Inshaallwaa
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
Jmn haya magonjwa daaah...pole dada Mungu akufanyie wepesi upone.
@aminasaleh6134
@aminasaleh6134 3 жыл бұрын
Yaan zahir saiv utafany kaz zako kwa aman usiache kuvaa ivo na mung atakusaidia katk kaz zako
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Yeah sitoacha
@asiaminja3556
@asiaminja3556 3 жыл бұрын
Mungu mkubwa...hongera Maximum Tv ila mume wake Mungu amtunze
@ruthjohn4317
@ruthjohn4317 3 жыл бұрын
Jamn eeh MUNGU tunakushukuru kwa ajiri ya mama huyu.Mungu akutete mama zaidi upone kabisa
@user-ij2bf8of8h
@user-ij2bf8of8h 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akujalie shifaa yake in shaa Allah Allah Kareem
@faridaessa7844
@faridaessa7844 3 жыл бұрын
Mashallah,mashallah mama kaka zahir mungu azidi kukupa fusaha uendelee kutusaidia inshallah.
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Amen..
@sittikibonge8066
@sittikibonge8066 3 жыл бұрын
Pole sana dada,mshukru Allah kwa kila jambo
@mariamselemani5208
@mariamselemani5208 3 жыл бұрын
Pole sana dada mpendwa mwenyezi mungu akuzidishie afya njema
@reshmakhalil9392
@reshmakhalil9392 3 жыл бұрын
Allah akuzidishie uzima 🤲
@rosemaryrogath3181
@rosemaryrogath3181 3 жыл бұрын
Mungu aendelee kukupigania kaka Zahir ili ulete furaha kwa wenye huzuni, tumain kwa waliokata tamaa.
@sizadarat4176
@sizadarat4176 3 жыл бұрын
Kaka zahir Allah akupe umri mrefu na afya njema uzid kuwasaidia watu wengi zaid
@rukiajumaa574
@rukiajumaa574 3 жыл бұрын
Mungu tupunguzie magonjwa haya babaa
@saudarasul9660
@saudarasul9660 3 жыл бұрын
Waooh allah qareem Pol mmaangu utapon tuu inshaalah
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 3 жыл бұрын
Alhamdulillah Allah ni mkubwa atakupa afya Shifaa atamvuwa na mengine Aameen 🤲
@mtotonimamainawumsanamct3448
@mtotonimamainawumsanamct3448 3 жыл бұрын
Nami ni mtu wa burundi lazima nikusapoti kwakazi nzuri
@faridaessa7844
@faridaessa7844 3 жыл бұрын
Asante sana kwa moyo wako mzuri
@fodomullahmajid204
@fodomullahmajid204 3 жыл бұрын
Mashallah naskia raha Sasa 🤗🇰🇪Zahir hoyeeee utapona mum lov you 🤗😍😘
@OmanOman-iu7jf
@OmanOman-iu7jf 3 жыл бұрын
Alhamdulilahi rabina alaminii mama swali muombe munguu kwa kurudiaha tena uzima wako
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 жыл бұрын
Asante Mungu kwa atua uliyomfikisha kiumbe chako endelea kumponya kila penye tatizo
@moureenmartin4125
@moureenmartin4125 3 жыл бұрын
Mungu akuponye mama... ni maombi yangu uvuke hili salama🙏🏼
@iradukundadiattiradukundad6093
@iradukundadiattiradukundad6093 3 жыл бұрын
Yan watanzania wako namoyo wakusaidian sio Kam kwet 🇧🇮 hawasaidian ♥️🇹🇿🇹🇿
@shanifesto9037
@shanifesto9037 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu ni mwema ,mia Yangu mwenyezi mungu aniiongeze ili tusaidiane. Amen
@zabiyafahmikhamis4873
@zabiyafahmikhamis4873 3 жыл бұрын
Amiin
@ummusamira3518
@ummusamira3518 3 жыл бұрын
Pole Sana Allah mungu azidi kukupa afya njema zaidi Ila mumewe pia akapimwe madhali alikuwa yupo na yeye karibu hwenda akawa kamuambikiza maambukizi ya ini ata jasho na hewa inaambikiza
@simonhaule6567
@simonhaule6567 3 жыл бұрын
Co Kila tatizo la ini linaambukiza ila Ni vyema kupima!!
@angelngomaitara4481
@angelngomaitara4481 3 жыл бұрын
Kumbe ndio mana bro leo kavaa mask na glvs
@rehemamasoud3687
@rehemamasoud3687 3 жыл бұрын
Zahir mdogo wangu m.mungu atakulipa.inshaalla
@dalianakerefu490
@dalianakerefu490 3 жыл бұрын
Da mungu mkubwa mpaka nimesahau pole Sana mama zidisha maombi mungu atafanya wepesi hakuna linaloshindikana Kwake
@ilhamahmed7907
@ilhamahmed7907 3 жыл бұрын
Allah yu pamoja na wewe in sha Allah... Mum utapona in sha Allah.
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 3 жыл бұрын
Ahamdhulillah mola atakulipa kaka Zahir
@aminajuma2981
@aminajuma2981 3 жыл бұрын
Ashuku riwe mungu kwa atua aliyo hifikia mpaka kufikia apo japokua bado ila kidogo angalau kaonyesha tumaini
@yassirhalimamohammedmohamm5913
@yassirhalimamohammedmohamm5913 3 жыл бұрын
Masha Allah 🌹😍 mungu nimwema
@daimamagehema8919
@daimamagehema8919 3 жыл бұрын
Pole sana dada mwenyezi mungu atakuponya
@asya6861
@asya6861 3 жыл бұрын
Allah waponye wagonjwa wote jamani
@chauligemeka7840
@chauligemeka7840 3 жыл бұрын
Amiin
@bimkubwaali1605
@bimkubwaali1605 3 жыл бұрын
Mie mdogo wangu alipata kesi hiyo hapa kwetu zenj mnazimmojja hospital aliambiwa asubirie kufa.nikamepeleka muhimbili kwakweli muhimbili nawapa bigup wanajuwa sannnnna.huyo mdogo wangu ningetamani atowe ushuhuda kwa huyu mama ili na yeye apate hope.yeye ni wakiume aliambiwa kafanya usaha wa ini.na walimwambia usiwaze hapa wewe mbona utasimama maradhi ni madogo sanna haya kwetu.na kweli kwa sasa ni mwanamme mhuni kama yeye hakuna mjini mzima kama chuma cha reli.ini mungu kalijaalia kuwa linajitibu wenyewe kwakupitia dawa.hii ni kama kesi ya hawa wa diamond platinum.
@taturajabu5977
@taturajabu5977 3 жыл бұрын
We mdogowangu,Mungu akufungulie milango ya kheri, ukioa upate mke mwenyeroho kama wewe
@zainabmkomwa2064
@zainabmkomwa2064 3 жыл бұрын
Pole mama Mwenyezimungu akufanyie wepesi kwakudura zake👐👐
@zabiyafahmikhamis4873
@zabiyafahmikhamis4873 3 жыл бұрын
Amiin
@salamapembe456
@salamapembe456 3 жыл бұрын
Pole mum Kwa uwezo wake Mungu utapona
@shoarimahege2755
@shoarimahege2755 3 жыл бұрын
Tuko live jmni
@saadasimba267
@saadasimba267 3 жыл бұрын
Da mashallah, jamani ndio huyu daa mungu mkubwaa, atazidi kumpigania
@mouwanahamisi8216
@mouwanahamisi8216 3 жыл бұрын
Pole mom Allah atazdi kukuzdishia afya
@halimaleila2323
@halimaleila2323 3 жыл бұрын
Napenda. Jis. Wtz. Wanajitoreya. Mungu. Awabarik
@ZainabZainab-tv9ir
@ZainabZainab-tv9ir 3 жыл бұрын
Mashaallah alhamdulillah mungu mukubwa
@mename6020
@mename6020 3 жыл бұрын
Allah awalipe ujira mwema woote mtangazaji na timu yake na watu woote mnaochangia...
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Asante sana
@aishahassan9812
@aishahassan9812 3 жыл бұрын
Aminn
@zaitunijuma7831
@zaitunijuma7831 3 жыл бұрын
Zahir ww ni mfano wa kuigwa kabisa una moyo sn wa kipeke ukweli sijapat kuon nakuombea kila siku mungu azid kukuwek daima bad naitaji nikuone nakupenda sn ukweli yn
@aminamlangida9519
@aminamlangida9519 3 жыл бұрын
Mungu mkubwa ee baba sifa nakupa wew mwenyez mungu🙏
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 3 жыл бұрын
Zahir ivi powa uwe unavaa ivyo juu yakuji linda kaka 👌👌
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Haya nitakuwa navaa kila siku hasa kwa mgonjwa yeyote
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 3 жыл бұрын
Thanks
@africandarling6925
@africandarling6925 3 жыл бұрын
Alhamndulillah mungu ni mwema Hapo ulipo fikia jambo la Kushukuru mungu
@salummzee9739
@salummzee9739 3 жыл бұрын
Daaah unajua mm moyo wng hauwez kuangaliya mtu akiwa maradhi makubwa km haya pressure ya Imani ina jaaa
@zainabmohammed1305
@zainabmohammed1305 3 жыл бұрын
Nina furaha sana kuona ukohivo allah atakusaidia
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@wahiduitsverycommentmane5421
@wahiduitsverycommentmane5421 3 жыл бұрын
Wewee kaka weeweee hakika mungu hatowah kukuacha ata sekundee mojaa
@zitoniebrahem3174
@zitoniebrahem3174 3 жыл бұрын
Allhamdulilh mungu ni mwema hakika hakuna kinachoshindikana kwa allh
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 3 жыл бұрын
Mungu ampe nafuu ishaallah ( amin)
@user-nv8yj3kk5f
@user-nv8yj3kk5f 3 жыл бұрын
Mungu akufanyie wepes yaarab
@robinakamwine8405
@robinakamwine8405 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu amfanyie wepesi
@khdigahk4246
@khdigahk4246 3 жыл бұрын
Ila zahera Samahan unafanya kz mzur mno ila ushaur tu maiki ziwe mbili iwe yko na wagonjwa kk samahani lkn kwa kkuingilia kz yko
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Churchill Television
Рет қаралды 193 М.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 103 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 161 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 22 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 16 МЛН
Je wafahamu jinsi ya kujikinga au kudhibiti homa ya ini?
2:50
DW Kiswahili
Рет қаралды 3,9 М.
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 10 МЛН
JINSI HOMA YA INI INAVOAMBUKIZWA |DALILI ZAKE |KUJIKINGA |FACTS STORY
11:58
Зачем он туда залез?
0:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 2,9 МЛН
This or That 🛍️
0:52
A4
Рет қаралды 5 МЛН