Mama Ipyana Kibona amuasa na kumuombea mtoto wake Dr.Ipyana - FULL VIDEO

  Рет қаралды 17,731

Dr Ipyana

Dr Ipyana

4 күн бұрын

#dripyana
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya Mtumishi wake Mama Kibona aliyetumika kwenye Ibada ya The Tabernacle kutufafanulia nini haswa inamaanisha kuwa MASKANI ya Mungu.
Mama alitoa darasa lilitofunza kuhusu unyeyekevu kama kigezo cha msingi sana ili Mungu aishi ndani yetu. Imetupasa tupungue, ili Yesu aongezeke ndani yetu.
#TheTabernacle sio Ibada tu, ni maisha ya kila siku
#DrIpyana
#TheTabernacle

Пікірлер: 144
@maedencohen9000
@maedencohen9000 2 күн бұрын
I have cried, what a wonderful mum she is his intercessor. May God bless her she is bold and full of wisdom.
@mambandahandofcompassion9727
@mambandahandofcompassion9727 Күн бұрын
Sina mengi ya kusema, Dr Ipyana ndo mwimbaji wa gospel nampenda, namba mbili kutoka kwa mke wangu muimbaji pia. From kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@estherelius9148
@estherelius9148 2 күн бұрын
Touching and loving words Mungu nijalie kuwa mama mzuri kwa watoto wangu wakujue wewe Mungu wa kweli na kushika njia zako
@janethmwansasu5847
@janethmwansasu5847 Күн бұрын
Asante Mungu kuniwezesha kumsikiliza mama ipyana nimekumbuka ninavyomwambia mwanangu amtangulie Mungu kwa kila Jambo mtoto akimjua Mungu ktk roho na kweli ni Raha Sana Mungu naomba unisaidie wanangu wakujue na kutambua kuwa wewe ni mwokozi wa maisha yao na akatawale ndani yao
@francis0510
@francis0510 2 күн бұрын
Nilikuwepo iyo siku ila nimerudi kuangalia tena kuna mambo mengi yananigusa sana nimekuja kujua bila mama Ipyana asingekuwa kwenye wito wake
@DatiusDeodatus-lm2gn
@DatiusDeodatus-lm2gn Күн бұрын
God is still raising the dead, doctors know, mothers know. My siter lied dead in front of our eyes, my dad gave up, my mom prayed up after a five hours straight of no any sign of breath, she coughed and the rest is history! Mungu ni kweli!
@sarahluvai6580
@sarahluvai6580 18 сағат бұрын
Uhimidiwe MUNGU wewe wa ajabuuu matendo yako makuuu sanaa , nipe na nguvu naujasiri wakuwalea wanangu kwa njia inayokupendeza Mungu wanguuu,, Ipyana you're blessed 🙌 such a mom a wonderful mom 😢laiti wazazi wote wangalikuwa namna hii ooh God ,, nipe nguvu nikawe kielelezo kwa wanangu.....baraka tele
@obeyngorima4588
@obeyngorima4588 Күн бұрын
Kwamaombi kama hayo Mutumishi haataweza kuogopa chochote hata kama nisimba ama mlima gani mbele yake kwasababu amebalikia namama ake 😢 Oooh Jehovah God it touched my soul
@gisellekavira8966
@gisellekavira8966 2 күн бұрын
The joy of a mother is to see her children doing well. I salute you mother. Dr Ipyana ..nyimbo yakoya ya umefa hili umefanya Lile umenipa jina Baba Nina kushukuru.. Baraka zako zako hasiesabiki...neema Yako haizoeleki...😭😭😭😭😭 Machozi yanitoka. Barikiwa sana.🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🙏🙏
@matparakalenga1065
@matparakalenga1065 12 сағат бұрын
I came across the song : Bwana minakushukuru first week of June 2024 and it has lifted up my soul and am grateful to God. Though i don't understand much Tanzanian Swahili am watching this testimony from Zambia 🇿🇲 am a single mother of four and am learning something from our mom🙏🙏 i believe the first prophet of a child is the mother 🙌🙌🙏
@mariawandiba6736
@mariawandiba6736 2 күн бұрын
Asante sana Mama Ipyana kwa maneno ya hekima na maarifa. Dr Ipyana ukawe baraka daima uwe mnyenyekevu
@marryjames-wl7be
@marryjames-wl7be 20 сағат бұрын
Huyu mama ana roho wa MUNGU na ana nguvu za MUNGU sio kawaida na ndo amemuambukiza na mwanae kuwa hivi YESU awatunze 🙏🙏🙏
@ntakirutimananaomi7593
@ntakirutimananaomi7593 Күн бұрын
Dr Ipyana is really blessed ,much love from Burundi ❤
@princeshafeen-official
@princeshafeen-official Күн бұрын
Wooooow😭😭😭😭😭😭😭😭. What a Testimony❤❤❤❤❤❤❤. Man of God Dr Ipyana,you're God's Seed.....Thank you Mama Ipyana for your GREAT FAITH Since his Childhood!!!
@aminaluoga4578
@aminaluoga4578 2 күн бұрын
Mama mwenye uhafamu wa kiMungu natamani na mm Mungu anipe ufahamu wake niishi maisha ya kumtumaini kristo na watoto wangu kuwalea katika maisha yakumjua kristo wawe na upendo kwa watu wote na wamuheshimu Mungu na watu rika zote pasipo kuangalia uwezo wao Kingine nimejifunza nikiwa kama mama naweza kutengeneza kesho ya wanangu kwa maombi nakuwatamkia baraka katika kila jambo lililo jema. Nimelia sana nikafika mbali nikamuogopa Mungu kupitia clip hii Itoshe kusema asante Mungu kwa yote
@judyngowi391
@judyngowi391 2 күн бұрын
Unavyoramani hivyo na Mungu atakupa kadri ya matamanio yake
@DorcasTemba
@DorcasTemba 2 күн бұрын
Mama ameongea mambo ambayo yamenifunza sana Mungu akutunze mtumi shi wa Mungu amtumze na Mama nimetamani sana Mama yangu angekuwa hai alikiwa anapenda kunipa maneno ambyo Leo yamekuwa msaada kwangu
@faithnasira3061
@faithnasira3061 2 күн бұрын
Kenyan love ipyana🎉 You are a Blessing mum
@lilyabel2320
@lilyabel2320 2 күн бұрын
We love you too Kenyan people❤
@happymushi2219
@happymushi2219 2 күн бұрын
Mungu Ni mkuu Sana - Mama Mungu AKUBARIKI na atunze hii neema kwa Dr
@victoryrogers9887
@victoryrogers9887 2 күн бұрын
Nimetokwa na machozi nimejifunza kitu kikubwa sana na nimebarikiwa .Mungu akutunze mama Ipyana.Dr Ipyan Umebarikiwa sana sana Mungu akutunze na akuinue zaidi na zaidi kwaajili ya Utukufu wa Mungu.
@norwickwmandu7062
@norwickwmandu7062 2 күн бұрын
Wow, Najifunza kutoka kwa MAMA. Mafunzo mazito, Mungu akuhifadhi mama Ipyana. Uishi miaka mingi na uzidi kuzungumza kwa hekima za Mungu.
@hopezawadida
@hopezawadida 22 сағат бұрын
Nimependa❤ Tafuta kuwa na amani na watu wote.Tuitazame msalaba. Nimejifunza mambo mengi kutoka kwa mama huyu mwenye busara. Mungu akubariki Dr Ipyana. Wakenya twapenda injili unayoeneza kupitia nyimbo zako.
@amosmandi2303
@amosmandi2303 Күн бұрын
What an inheritance from the mum To Dr Ipyana, this is the greatest of all.. Jesus Christ the hope of Glory
@mirriammusilaofficial
@mirriammusilaofficial Күн бұрын
So touching! Mungu akubariki mama Ipyana kwa hizi shuhuda.❤ Dr Ipyana umebarikiwa sana. Mungu aendelee kukutumia
@deboradaniel5285
@deboradaniel5285 Күн бұрын
Hallelujah. Proud of you mom. Mungu awabariki family ya Mzee Kibona
@fidelisernest3523
@fidelisernest3523 Күн бұрын
This day was amazing aisee ,Mungu aliniudumia mapema Sana,Glory and Honour belong to God Almighty
@majestymaurice3239
@majestymaurice3239 2 күн бұрын
My humble request is to consider translating kiseahili for the international audience 🙏😢
@magiehermess9949
@magiehermess9949 2 күн бұрын
Wazazi wote wangekua hivi kwa kweli tusingeteseka sana katika laana.😭😭Mungu nisaidie nitamkie wanangu baraka nakuwalea vyema
@judyngowi391
@judyngowi391 Күн бұрын
Kweli kabisa dear
@cristamelahashimu3679
@cristamelahashimu3679 13 сағат бұрын
Aiseee kweli kabisa
@gladnesstemu6131
@gladnesstemu6131 Күн бұрын
Ee BWANA YESU nijalie niwe kama mama huyu kwa watoto wangu🙌🙌🙌🙏
@beatricenyiro5913
@beatricenyiro5913 2 күн бұрын
Ubarikiwe mama Mungu amekupa hekma ya hali ya juu .Let God protect you 🙏 watching from USA
@maryminja1668
@maryminja1668 Күн бұрын
I pray this grace to be upon my Son in JESUS Name!
@devithabenedict4448
@devithabenedict4448 2 күн бұрын
Aiseee nami nimelia sana...namimi mwanangu aliungua wakati baba yake hayupo.....Amina lakini Mungu alinishindia pia
@isaacmwichande253
@isaacmwichande253 2 күн бұрын
I just see God in this testimony🥺
@sarahyaro4753
@sarahyaro4753 Күн бұрын
Dr ipyana n mnyenyekevu mno, na inaonekana Mama Mungu akupe umri mrefu Dr ipyana roho azidi kukutumia kwa ajili ya taifa na ulimwengu
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 23 сағат бұрын
Nimelia!!upendo wa mama hauna kifani!!Mungu baba naomba Nitunzie mama yangu!Mungu uwatunze wa mama wote na waliokuja kwako uwapokee!
@tulibakokyoma1132
@tulibakokyoma1132 Күн бұрын
Ipyana alinishuhudia huku Marekani kuwa aliungua vibaya sana..karibu are akiwa na miaka miwili..Kweli Mungu ni wa ajabu alimponya.
@royalusala8527
@royalusala8527 2 күн бұрын
Powerful indeed.. Such testimony and blessing from parents really helps
@harriethkinjoli5459
@harriethkinjoli5459 Сағат бұрын
Najiungamanisha na hii neema ya maombi ya mama Ipyana kwa jina la Yeau.❤❤
@obedjillo3948
@obedjillo3948 2 күн бұрын
mum your surely annointed..,i love you mama..
@zipporahkyeni7754
@zipporahkyeni7754 Күн бұрын
Who's cutting onions 😢❤this is uplifting ❤barikiwa sana mum ipyana kwa kutufunza njia
@JudithAdonis
@JudithAdonis 10 сағат бұрын
Oooh 😢😢😢
@edithakimario3430
@edithakimario3430 21 сағат бұрын
Mungu aendelee kumlinda mtumishi Dr Ipyana .Mama Mungu akuongezee Miaka mingi
@sharonkotut8080
@sharonkotut8080 10 сағат бұрын
This got me. Thank you, Mama, for teaching us today. Honouring God brings peace.
@sayunilyego
@sayunilyego 2 күн бұрын
nimelia sana 😢😢😢😢 Mungu akubariki sana mama ipyana R.I.P mama yangu Mungu akupe pumziko zuri🙏🙏🙏🙏
@judithlejalearnmore2236
@judithlejalearnmore2236 2 күн бұрын
Like mother like son, be blessed man of God
@michaelulisaja
@michaelulisaja 2 күн бұрын
BEING A PARENT IT'S A CALL
@user-tf9ws7gd9g
@user-tf9ws7gd9g Күн бұрын
Amina Mungu aendelee kukutumiau mtumishi wa Mungu usiende kusho kulia uangalie msalaba utakusaidia ipo neema ya msalaba
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 2 күн бұрын
Mama asante sana . MUNGU akubariki mama yangu❤❤❤
@robertsimiyu6952
@robertsimiyu6952 2 күн бұрын
Mama wa busara , powerful
@eliayunga7766
@eliayunga7766 2 күн бұрын
Kiukweli Mama ipyana ni mama wa kuingwa katika jamii
@EdwinNsyani
@EdwinNsyani 2 күн бұрын
❤❤❤TANGIBLE MANIFESTATION OF GOD'S GLORY. THIS WILL REMAIN POWERFUL FOREVER AND EVER.
@rinakibona
@rinakibona 12 сағат бұрын
Mungu akubariki ushuhuda mkubwa sana mama umenifundisha mengi
@shadyaomary
@shadyaomary Күн бұрын
Bro ipyana mungu azidi kukuinua, mama amejawa na nguvu
@SusanaNkoma-db3bg
@SusanaNkoma-db3bg 15 сағат бұрын
Mambo ya nguvu yakuandame mama ❤❤❤❤❤, Mungu akutunze
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 Күн бұрын
very powerful message, God bless you so Much MAMA.
@MwagalaJr
@MwagalaJr 2 күн бұрын
Yesu Asante kwa Maisha Ya Mama Ipyana 😭🙏🏾
@EbenezerSafari
@EbenezerSafari 2 күн бұрын
I can't wait for this
@DanielVictor-ej4lp
@DanielVictor-ej4lp Күн бұрын
Namuona kama mama angu .... daaaaah RIP mama angu pumzika kwa amani
@merie8265
@merie8265 2 күн бұрын
My spirit was mothered intercessory.wise for a minute
@witnesssamwely8812
@witnesssamwely8812 19 сағат бұрын
Nimebalikiwa sana mungu akubaliki sana mama
@judithlejalearnmore2236
@judithlejalearnmore2236 2 күн бұрын
Amen, maombi ya mama ni very powerful
@aivanntomi9484
@aivanntomi9484 2 күн бұрын
Mungu akubariki saaana Mtumishi wa Mungu
@judyngowi391
@judyngowi391 2 күн бұрын
Duh! Ilikuwa wapi hii? Ushuhuda mkubwa umeniliza na kufanya imani yangu kuwa kubwa, mpaka nimeunguza chakula
@careenevans
@careenevans 2 күн бұрын
Mungu akubariki mama Ipyana❤
@SusanaNkoma-db3bg
@SusanaNkoma-db3bg 15 сағат бұрын
Mum mzuri sana 🎉🎉🎉❤ nakupenda sanaaaaa
@irenesimalike3962
@irenesimalike3962 2 күн бұрын
That was very powerful and emotional
@julushossa4088
@julushossa4088 2 күн бұрын
God I bless you 🤲🧎🙏😭😭😭My you keep well Mon and Dr Ipyana, your servant. Amen 🙏.
@user-ut5yp3ug9m
@user-ut5yp3ug9m 2 күн бұрын
What a powerful woman of God 💥
@irenemulu6655
@irenemulu6655 2 күн бұрын
Nimeguswa sana na Shuhuda za mama na jinsi alivyo tamka baraka kwa mwanawe.Jina la Bwana Litukuzwe
@amanst37
@amanst37 Күн бұрын
Maneno ya Mama Yamenigusa sana. ccan change the life of one person
@cristamelahashimu3679
@cristamelahashimu3679 13 сағат бұрын
Nimeliaaaa. Mungu nisaidie niwe kama huyu mama na nizidi kukujua wewe Mungu.
@JudithAdonis
@JudithAdonis 10 сағат бұрын
😢😢😢😢
@BernadetaMartin
@BernadetaMartin 21 сағат бұрын
Mungu akubariki sana mama
@isaya43.12
@isaya43.12 2 күн бұрын
Dah nimelia na sijui kwa nini nimelia Mungu mponye mama yangu na saratani ya koo
@fionamakubo2600
@fionamakubo2600 Күн бұрын
Tayari amefanya
@estanaftali5510
@estanaftali5510 11 сағат бұрын
HIS WILL BE DONE 🙏
@deborahkimaro6345
@deborahkimaro6345 Күн бұрын
Mungu akubariki Mama
@kalulutv3638
@kalulutv3638 Күн бұрын
Huyu Mama yangu mdogo mtupu na Mama
@lovenessmtaita1879
@lovenessmtaita1879 10 сағат бұрын
Mama mungu akubariki sana
@carolyneisaalu3849
@carolyneisaalu3849 Күн бұрын
Mungu akubariki mum
@user-kc7lt1mf1h
@user-kc7lt1mf1h 2 күн бұрын
GOD is faithful 😭😭😭🙌
@shekinahshammahblessed
@shekinahshammahblessed 2 күн бұрын
Oooh YESU 😭🙌
@cathrine565
@cathrine565 2 күн бұрын
Amen. What a blessing! 😊
@monicacoombes8299
@monicacoombes8299 2 күн бұрын
Mama asante sana
@sandrajkipkogei838
@sandrajkipkogei838 12 сағат бұрын
Yesu mi mwema
@Maria-hm8df
@Maria-hm8df Күн бұрын
Amina Amina utukufu kwa Mungu
@agripinahwanyama3628
@agripinahwanyama3628 2 күн бұрын
Wow powerful ❤
@user-qy2ui7mn8q
@user-qy2ui7mn8q 13 сағат бұрын
Asante mama kwa malezi bola
@user-ox1dk3rv5v
@user-ox1dk3rv5v Күн бұрын
😢😘stay blessed mom
@petermkare2790
@petermkare2790 2 күн бұрын
God bless u Mama
@hurumakibona3687
@hurumakibona3687 2 күн бұрын
Ubarikiwe mama mzuri.
@JudithAdonis
@JudithAdonis 10 сағат бұрын
😭😭😭 🙌🙌🙌 GLORY TO GOD
@NeemaKiria-wz5gh
@NeemaKiria-wz5gh 2 күн бұрын
Mungu wabariki watumishi wako
@SarahieTeddy-tu2rl
@SarahieTeddy-tu2rl 2 күн бұрын
This woman ❤❤❤❤ aiseee
@EbenezerSafari
@EbenezerSafari 2 күн бұрын
It's so Powerful wow
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 2 күн бұрын
Barikiwa mama Ipyana
@user-wv8bl6mh1o
@user-wv8bl6mh1o 10 сағат бұрын
Yesu ahsante
@HellenOmambia
@HellenOmambia 2 күн бұрын
Amina intercessors
@naomiseven-sm9pb
@naomiseven-sm9pb 2 күн бұрын
Good mom🥺🥺🙇
@radianceinc5298
@radianceinc5298 2 күн бұрын
❤ | Glory to GOD!.
@judithlejalearnmore2236
@judithlejalearnmore2236 2 күн бұрын
Blessed family ❤
@Berthambule-ki2te
@Berthambule-ki2te 2 күн бұрын
Mungu akubariki mama
@graciaaridja7395
@graciaaridja7395 2 күн бұрын
Ça me touche énormément 😢😢😢😢❤❤❤❤
@petermushi4024
@petermushi4024 2 күн бұрын
Glory to God 🔥🔥
@gracelizie361
@gracelizie361 2 күн бұрын
Amen 🙏 very powerful 🙏
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 127 М.
Sigma Girl Past #funny #sigma #viral
00:20
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 25 МЛН
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 79 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 11 МЛН
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 22 МЛН
Aogeshwa na Kupandishwa Mamba Mto Malagalasi Akitafuta Maisha Bora | USHUHUDA |
13:02
Dr. IPYANA  Suprise visit to Tuesday worship Moments
30:26
Worship Moments with Sarah K
Рет қаралды 410 М.
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 37 М.
UPONYAJI KUPITIA KUSIFU NA KUABUDU DAY 3 //Dr  Ipyana Kibona
59:12
Jinsi MADHABAHU inavyotenda kazi katika maisha yako || PASTOR GEORGE MUKABWA || 23/06/2024
3:05:35
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 16 М.
Dr.Ipyana - NATAKA NIKUONE
10:00
Dr Ipyana
Рет қаралды 139 М.
Iliyas Kabdyray ft. Amre - Армандадым
2:41
Amre Official
Рет қаралды 166 М.
Bakr x Бегиш - TYTYN (Mood Video)
3:08
Bakr
Рет қаралды 406 М.
Duman - Баяғыдай
3:24
Duman Marat
Рет қаралды 96 М.
Dildora Niyozova - Bala-bala (Official Music Video)
4:37
Dildora Niyozova
Рет қаралды 9 МЛН
Ozoda - JAVOHIR ( Official Music Video )
6:37
Ozoda
Рет қаралды 7 МЛН
Say mo & QAISAR & ESKARA ЖАҢА ХИТ
2:23
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 538 М.