MAMA JANETH MAGUFULI KWA UCHUNGU ASHIKA JENEZA AKIAANGALIA MWILI WA MUMEWE JPM

  Рет қаралды 60,172

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Пікірлер: 25
@dr.erickjmazyala8905
@dr.erickjmazyala8905 3 жыл бұрын
Mama yetu Janeth Magufuli, pole sana! Mungu awe mfariji wako familia yote!! Mungu amrehemu mpendwa wetu Mh Dr JPM, na amuweke mahali pema peponi, amen🙏!
@pesamingi275
@pesamingi275 3 жыл бұрын
Daaah....! Mwenyezi mungu ampumzishe pema peponi, Ndugu zangu watanzania nawaombea mungu awape nguvu katika wakati huu mgumu sisi wakenya tu pamoja na nyinyi
@benmahema4591
@benmahema4591 3 жыл бұрын
Imeandikwa,, Binadamu aliezaliwa na mwanamke miaka yake yakuish c mingi na imejaa taabu. R.I.P Rais wangu John Maguful,. Umevipiga Vita vilivyo viziri, MWENDO UMEUMALIZA AMANI UMEILINDA 🙏
@divine_lady1741
@divine_lady1741 3 жыл бұрын
R.I.P Raisi wetu mpendwa John Pombe Magufuli..Tunadhamini upendo wako kwa taifa letu Mungu akuweke pema peponi na akupunguzie adhabu ya kaburi Amen🙏 Pole watanzania wenzangu na familia ya Magufuli 🇹🇿💔
@sapphiregraphicsworld5205
@sapphiregraphicsworld5205 3 жыл бұрын
Pole sana mama janeth Magufuli
@aminahamisi2837
@aminahamisi2837 3 жыл бұрын
Pole mama janet mungu akuangulie
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 жыл бұрын
😭😭😭😭💔💔💔 yani nimeumia kuliko misiba yote iliyowai kunikuta yani
@ashuralihinda9065
@ashuralihinda9065 3 жыл бұрын
Aaaaaa,weeee kifo weeee😭😭😭tangulia JPM,msiba wako unaniumiza 😭😭😭
@arfxghsgxhfg2213
@arfxghsgxhfg2213 3 жыл бұрын
Pole sana mama Janeth Mungu akufariji na akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
@soffymicah7380
@soffymicah7380 3 жыл бұрын
Mungu ampe nguvu mama Janet
@mariamfaith9914
@mariamfaith9914 3 жыл бұрын
Inauma Sana aki😭😭😭😭
@ranqueen4483
@ranqueen4483 3 жыл бұрын
😭😭😭Rest in paradise baba
@tngmediake1905
@tngmediake1905 3 жыл бұрын
Poleni Tanzaniaa Mola Azidi kuwa nanyii wakaatiii huuu mgumuuu .........#OmacheTv
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 жыл бұрын
Janeti mungu akutie nguvu amina
@tngmediake1905
@tngmediake1905 3 жыл бұрын
@@asteriambwei3349 kabisaaa wakatii huu mgumu .....tafadhalii subscribe to my channel
@christinapeterntibagiligwa2556
@christinapeterntibagiligwa2556 3 жыл бұрын
Pore mama maumivu nimakari Sana 😭😭😭
@evangelismchannel8810
@evangelismchannel8810 4 ай бұрын
Naiangalia hii video leo 23 March 2024, bado huzuni imenitanda ila hii ndio hatima ya kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke😢
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 8 ай бұрын
Rest in peace polen tn sn
@maryiammohammed4254
@maryiammohammed4254 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@catherineanthony4671
@catherineanthony4671 3 жыл бұрын
Huyu mama kaniliza san
@mirardor8521
@mirardor8521 3 жыл бұрын
REST IN PARADISE JPM IS IRREPLACEABLE PRESIDENT 🌍🇹🇿🙏💚😭
@obedimwakagali7755
@obedimwakagali7755 3 жыл бұрын
Magufuli umetukosea sana ungefariki akat umemaliza awam yako sasa saiv tutabaki na nan
@marykaish7979
@marykaish7979 3 жыл бұрын
Why dont you view the body closely so we see😭😭😭🇶🇦🇶🇦
@sapphiregraphicsworld5205
@sapphiregraphicsworld5205 3 жыл бұрын
That is not allowed dear
@marykaish7979
@marykaish7979 3 жыл бұрын
@@sapphiregraphicsworld5205 😥😥😥😥
Maandamano ya nane nane, waandamaji wamejitokeza miji tofauti
8:55
KTN News Kenya
Рет қаралды 26 М.
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 13 МЛН
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 45 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 45 МЛН
MWAMBA KAIBUKA KWA ULINZI MKALI, KWA MKAPA NI BALAA
6:09
Millard Ayo
Рет қаралды 9 М.
Kamala Harris picks Tim Walz as her running mate
50:59
ThePrint
Рет қаралды 1,5 М.
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 13 МЛН