Рет қаралды 1,225,342
SALAMU MAMA WA MUNGU
Mama wa Mungu iyelele aiye mama
Utuombee iyelele aiye mama
Maria mtakatifu
Mzazi mtakatifu
Bikira mtakatifu
Mkuu wa mabikira
Mama wa kristo yesu
Mama wa neema ya Mungu maria
CHORUS; (Eh mama) Salamu mama wa mungu aah (mmh aah salamu)
Wewe ndi we mama yetu aah (eeh mama yetu aah salamu), maombi yetu chukua aah, (maombi yetu aah chukua) uyafikishe kwa mwanao aah [mwanao yesu aah asante], tunakushukuru mama aah [eeh mama yetu ]aah asante
Stanza 2
Bass... mtakatifu mama maria aiye mama
Utuombe iyelele aiye mama
Mama mtakatifu sana
Mama safi wa moyo
Mama usiye na doa
Mama usiye na dhambi
Mama mpendelevu
Mama mstajabivu maria
Stanza 3 Bass
Bikira mama Maria aiye mama
Utuombe iyelele aiye mama
Bikira mwenye utaratibu
Bikira mwenye heshima
Bikira mwenye sifa
Bikira mwenye enzi
Bikira mwenye huruma
Bikira amini maria
Stanza 4 Bass
Malkia wetu Maria aiye mama
Utuombe maria aiye mama
Malkia wa malaika
Malkia wa mababu
Malkia wa wamanabii
Malkia wa mitume
Malkia wa mashahidi
Malkia wa mabikira maria