No video

MAMA WA KAMBO | 1 |

  Рет қаралды 621,735

MOVIE MPYA

MOVIE MPYA

Күн бұрын

#mamawakambo #movie #bongomovies
MAMA WA KAMBO

Пікірлер: 435
@aflahabdula4084
@aflahabdula4084 9 ай бұрын
Sio wamama wote jamani msituchukie nimelea mtoto wa mume wangu sijawahi kumgusa nimekaa nae kuliko wanangu niliowazaa na yeye ananipenda sana sana sana kulikoni baba ake ambae ni mume wangu na yote nimefanya kwanza na muhofu allah na lapili kwa nini nimuonee mtoto mdogo hana hatia mimi mtu yoyote mwenye kumtesa mtoto na mchukia mama angu ameleya mtoto wa mumewe walipoachana mtoto hajataka kuondoka nyumbani kalelewa na siye anaenda kwao kutembea na kurudi tumuogopeni sana MMUNGU wanawake wenzangu tusiwe na roho za kwa nini huyu mtoto huwezi kujuwa kesho yake atakuwa nani na hatujui mwisho wetu tuthamini hawa ni watoto wetu ndio nguvu kazi ya baadae👏🏻👏🏻
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
Sio wote wenye moyo kama wako wengine roho zao ndo kama hivi mwenyezi mungu akubariki sana kwa malezi mazuri❤️
@safiababu9266
@safiababu9266 9 ай бұрын
Yah sio wote Na Mungu akulipe mmy na yeye mtoto Allah amjalie akujue wewe nani kwa maana wee hao pia huwa wengi wao wana mitihani but Alhamdulillah utapata kwa Mungu
@sophiamaiga5623
@sophiamaiga5623 8 ай бұрын
Hata wewe ni marehemu mtaraiwa kumbuka kuomba mama yake afe
@aflahabdula4084
@aflahabdula4084 7 ай бұрын
@@MOVIEMPYA Ameen yaraby
@DrLucas-gr5gs
@DrLucas-gr5gs 6 ай бұрын
Aisee roho imeniuma huyu mtot mungu akubaliki wew mwenyw roh nzur❤
@MwachendaMwachenda
@MwachendaMwachenda 6 күн бұрын
Ndivyo walivyo mama wote wakambo mzuri n mumoja 2 lakn Mungu atamuxaidia
@user-yh9cp6fj6y
@user-yh9cp6fj6y 9 ай бұрын
Huyu mama shetani kbx mama wa kambo x mama jaman nawachukia sana
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
INAUMIZA sana
@user-lk6ms2py7k
@user-lk6ms2py7k 9 ай бұрын
Hawa viumbe wanajiita mama w kambo nyoka sana
@linahmacha370
@linahmacha370 8 ай бұрын
Ee Mwenyezi Mungu utujalie wa mama wote maisha marefu tuwalee watoto wetu 😭😭😭
@mwanaSalim-re4pn
@mwanaSalim-re4pn 9 ай бұрын
Amecheza kialisia wallah uyu mma roho mbaya Yani we acha tu
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
😭😭🙏
@STORYZALEO
@STORYZALEO 9 ай бұрын
Daah uyu mtoto kaniliza
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
Pole 😢
@Zaiambi
@Zaiambi 2 күн бұрын
Ni kweri na Mimi nirilelewa na mama. Wa mambo na akunitesa ❤
@AllyShop-x9s
@AllyShop-x9s 20 күн бұрын
Hahaaaaa huyu mama Nadhan hajazaa kbx tena mungu atamlipa matexo ya huyo mtoto!!
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 20 күн бұрын
Kuna wanawake wanaroho mbaya sana
@user-bb1np6ln9l
@user-bb1np6ln9l 9 ай бұрын
Pole Sana mdogo wng umeniliza from 🇧🇮
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
😭 Ina huzinisha
@CharlesPoulo-dm1er
@CharlesPoulo-dm1er 12 күн бұрын
Kaa namwanao vivuli muulize kwaupendo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-zy6vl9rl9r
@user-zy6vl9rl9r 9 ай бұрын
Kwa kweli ss wanawake tunajisahau kweli tujuwe yatatufika😢😢
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
Kabisa 😭🙏
@merryananias
@merryananias 9 ай бұрын
Jaman we mam kua na uruma haujaenda reba hatakama ni moveee sio ivoooo😢😢😢😢😢😢😢😢
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
😭😭
@mwanaSalim-re4pn
@mwanaSalim-re4pn 9 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣walai wewe
@user-oj7kd6jn7q
@user-oj7kd6jn7q 9 ай бұрын
True
@user-pl6et5uu6w
@user-pl6et5uu6w 6 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@cathymwangi2490
@cathymwangi2490 3 ай бұрын
ak umeniliza 😭😭😭😭
@user-up1fi9ce9n
@user-up1fi9ce9n 5 күн бұрын
Hii move inahuzunishaa sana juu ya haka katoto kanavyoteseka na huyu limama anavyomtesaa
@user-lt1xf9gz2n
@user-lt1xf9gz2n 9 ай бұрын
Jamani mama wa jambo muwalee vyema watoto wa wenzenu
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
Kabisa 😭
@Maua-mj7pm
@Maua-mj7pm 2 ай бұрын
Jaman mm pia mama wa kambo niko na watoto 3 wa mume wangu lkn siez8 fanya watoto hivi mungu aninusuru na ili wallah wangu nawapenda sana
@latifabahati-rk5ev
@latifabahati-rk5ev 2 ай бұрын
Amin
@MicalOnzete
@MicalOnzete 2 ай бұрын
Sio poa hvo Kwa sababu ni mbayw
@selinanimbodza2931
@selinanimbodza2931 9 ай бұрын
Walai mtoto wa mwenzio mchukulie kama mtoto wako. Juu mungu halali jameni
@mariamfungamali
@mariamfungamali 3 ай бұрын
Siyo wote
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 9 ай бұрын
Huyu mama mbona anareflect sura yake na tabia maana wenye sura mbaya usiombe akawa mama yako wa kambo 😂😂😂
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
Kabisa yan
@user-yk7wh3or2r
@user-yk7wh3or2r 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@HusseinNovatus
@HusseinNovatus 7 ай бұрын
Mm😂😂 nakmbuka mbali sana Kwan ata mm nimeyapitia mhhh jaman tuwe na roho za huruma
@SemeniBaby-rj2he
@SemeniBaby-rj2he 7 ай бұрын
Eeee mwenyez mungu nakuomba uniweke niwalee watt wangu hadi wafikie umri wa kujitafutia 🙏🙏🙏🙏 😢😢😢😢 sisi binadam tumeumbwa kwa kutofautiana sanaa dah 😢😢😢
@user-do1ko3od3v
@user-do1ko3od3v 9 ай бұрын
😢😢😢😢jmni ndio mna niliapa mwanangu ata nife stki alelewe n mke mwenza kher mamangu kma pia hyuko hri mpita njia 😢😢😢 mungu t
@RedseaOfficial
@RedseaOfficial 21 күн бұрын
We hatakama haujazaa kuwa mstarab kwa watoto wawezi kwni haujuw baadae😢
@user-ou9tf8zh2w
@user-ou9tf8zh2w 9 ай бұрын
Mtoto anakipaji kikubwa sana kiufupi wote walicheza vizuri sana
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
Shukrani sana 🙏
@BarikiAkyoo-cs2qf
@BarikiAkyoo-cs2qf Ай бұрын
Ongera ​@@MOVIEMPYA
@FelistusMbithe-qg1ox
@FelistusMbithe-qg1ox 8 ай бұрын
😭😭😭😭😭 dogo qweli kayapitia jamani,much love from kenya 🇰🇪 ♥️ 😍
@Mdakuog
@Mdakuog 9 ай бұрын
Niacheni jamani nimeshindwa KUANGALIA Hadi mwisho
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
😭😭😭
@alexanderstephen1689
@alexanderstephen1689 Ай бұрын
Jamaniii daaaah dunianii kuna mateso kama Haya 😢😢😢😢😢
@elizabethnzomo2517
@elizabethnzomo2517 9 ай бұрын
Hakuna mama wakambo mzuri hata siku moja mungu saindia watoto
@RobaiBarasa
@RobaiBarasa Ай бұрын
Waa huyo mama shetani kweli kweli
@Mdakuog
@Mdakuog 9 ай бұрын
Uyu mama katili
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
😭
@DenGospels
@DenGospels 2 ай бұрын
Kweli
@ubuyumediatz
@ubuyumediatz 9 ай бұрын
Mtoto aendi shinda baba hajui
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
😭
@user-su3np5vw4f
@user-su3np5vw4f 9 ай бұрын
Jamani wanatezwa mama wa kambo si mama
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
😭😭😭
@VivianAnyango-e1u
@VivianAnyango-e1u 8 күн бұрын
Kuweni na roho mzuri kwa watoto wawa ume zenyo
@SyproseAchieng-q2v
@SyproseAchieng-q2v 22 күн бұрын
Mama mbaya sana
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 9 ай бұрын
Waaa waenga hawakukosea kusema mama wakambo si mama...i feel the pain
@SilviaMassawe
@SilviaMassawe Ай бұрын
Jaman mama wa kambo nawaogopa sana😢😢
@user-ko4tl9tj5t
@user-ko4tl9tj5t 9 ай бұрын
Nimelia sana Dah
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
Pole
@user-gv9uk5bx3f
@user-gv9uk5bx3f 7 ай бұрын
Mungu tusaidie ambao mama xetu wametagulia mbele xa haki🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@clubindangamico-yj7pp
@clubindangamico-yj7pp 9 ай бұрын
Wamama kama hao watesi wawatoto hawastahili kusamehwa na mwenyezi Mungu kweli
@nemahk2361
@nemahk2361 9 ай бұрын
Najikuta Nalia😢😢😢😢😢😢
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
Jikaze mtoto kaniliza Huyu 😭
@AnastanziaMkamba
@AnastanziaMkamba 21 күн бұрын
Hawa wanaume ni washenzi hawajui kitu wanachojua ni mapenzi tuu
@user-qx3xs6zy3k
@user-qx3xs6zy3k 6 ай бұрын
Lait WA nawake wange lijua fadhila zakumlea mtoto ambae siwake wallah huwez Hata mnyooshea kidole Yarab tuwezeshe kuwa wa mama Bora tuweze takase nafus zetu natuwe na tuwe wakufanya vitu Kwa kumuogopa Allah kwali inauma😢😢
@SalomeYuga
@SalomeYuga 15 күн бұрын
Huyo mama naye alikuwa na roho mbya tu huwezi kumfanya mtoto wa mwenzako hvyo jaman
@GrolySilvano
@GrolySilvano Ай бұрын
Watu kama hawa siku ya mwisho hukumu yao ni kunyongwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@JenipherKisege
@JenipherKisege 3 сағат бұрын
Daah jamn sis wanawake tunann kwan
@user-ph1kc7lr1v
@user-ph1kc7lr1v 9 ай бұрын
Namim pia ameniliz😢🇦🇪
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
Daah Yani huruma 😢 uyu mama jamani
@LilianKisumbi
@LilianKisumbi 4 ай бұрын
Jaman mama wa jambo wanaume muwe mnachunguza maisha ya watoto wenu jamaniiii
@habilimediatv
@habilimediatv 9 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭Aiseee aya mateso daah
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
😭😭
@ThomssKapep
@ThomssKapep 6 ай бұрын
wanawake ni wauni sana hasa walio achika
@ShufaaMakwawa-h1m
@ShufaaMakwawa-h1m 26 күн бұрын
Unanikumbusha mbali sana inabidi kila mtu na mwanae
@SHUNGURAPPER
@SHUNGURAPPER 9 ай бұрын
GOOD IDEA
@ChristinekitonyoKitonyo-kg4dh
@ChristinekitonyoKitonyo-kg4dh 9 ай бұрын
Mama una loo mbaya kama sura yako
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
😭😭😭
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
Amuonei hata huruma
@selinanimbodza2931
@selinanimbodza2931 9 ай бұрын
Waah uchungu wa mwana ajue ni mama 😭😭😭😭
@FatumaHassan-vi5km
@FatumaHassan-vi5km 6 ай бұрын
Usimfanyie ivo mtt was mwenzio uyui wakwako watalelewa na nani tuwapende watoto jaman inauma sanaa
@user-iv4ne4lp7r
@user-iv4ne4lp7r 7 ай бұрын
Ntapambana na mwanang halelew na mama wa kambo
@AlliyMwasenga
@AlliyMwasenga Күн бұрын
Acha kunyanyaxa watoto wa wanamke mwenzio jamani uchungu unaumaaaaa
@joycelongo1213
@joycelongo1213 Ай бұрын
Wewe mama wakambo acheni kuwa na roho mbaya ujui ya kesho kwanza sura yako mbaya unamtesa mtoto wa mwanamke mwenzio kweli ata uluma huna ujui ya kesho
@user-iz4xn9rd8b
@user-iz4xn9rd8b 7 ай бұрын
Mungu nakuomba uwabariki yatima maan si Kwa mateso hayo
@JemimahKago-nb9bp
@JemimahKago-nb9bp 7 ай бұрын
Nimeyakataa haya maisha ya unyonge na pia mateso.Mungu nisaidie nisiwai tesa mtoto wa wenyewe au wetu.😂😂😂.
@khadijayusuf7968
@khadijayusuf7968 9 ай бұрын
Hadi nimelia jaman
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
Pole 😭😭
@khadijayusuf7968
@khadijayusuf7968 9 ай бұрын
@@MOVIEMPYA Asante musichelewe mwendelezo basi
@Irenejelshom
@Irenejelshom 9 ай бұрын
Baraha
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
😭😭
@Irenejelshom
@Irenejelshom 9 ай бұрын
Mmeua
@GloryMoses-v6t
@GloryMoses-v6t 26 күн бұрын
Duuh!! Haya maisha bhn weachatu, ila mm siwezi kukaa na mama wakambo, maisha mateso ivi mpakaunamkumbuka mama yako mzazi 😢😢😢😢
@AnastanziaMkamba
@AnastanziaMkamba 21 күн бұрын
Nyie wanawake achen kumroga mwanaume
@AngoreAngore
@AngoreAngore 6 ай бұрын
Kwa kweli mama wa kambo si mama
@user-nv4ox8co5w
@user-nv4ox8co5w 6 ай бұрын
Mama kambo ni mbaya sana.
@JUMAJUMBE-ww7rd
@JUMAJUMBE-ww7rd Ай бұрын
Jaman wazaz weng tuwe wavumiliv kwenye ndoa zet
@user-rd3hk5qt5p
@user-rd3hk5qt5p 3 ай бұрын
Wamama tulee watoto wetu tulio watafuta leba tumuombe MUNGU atupe Uzima angalau wajitegemee hata mama angekuwa na watoto wengi ila mtoto wa kambo lazima amubaguwe kwani moyo huwa hautaki ila anajitahidi sana kuulazimisha hiyo ni nature ya shetani kwa mama 😭😭😭wa pili
@ERICKNJERU
@ERICKNJERU 7 ай бұрын
Mama wa kambo bure kabisa 😂😂😂😂😂😂
@Happyness-w9z
@Happyness-w9z 26 күн бұрын
We mwanamke umebeba mimba haya ndot t sura mbay Kam tabia yako🥺🥺🥺🥺🥺🥺
@JosureMutisya
@JosureMutisya Ай бұрын
Wamama jameni aiii
@WinfridaRaphaer
@WinfridaRaphaer Ай бұрын
Mama ana roho inayoenda na sura yake lakin ipo sko na yy atajifungua ataujua uchungu wa mtoto😢😢😢😢
@NadiaKatush
@NadiaKatush Ай бұрын
Acha mungu akuonekanie
@malandojames5151
@malandojames5151 8 ай бұрын
Mama wa kambo namchukia sana aise!!!
@user-eb4up7ke6g
@user-eb4up7ke6g 5 ай бұрын
hero kuwa na mama l love you mam so mush💯❣️💝💯💚💟
@LovenessSifuni
@LovenessSifuni 7 ай бұрын
Wewe mama Mungu akusamehetu mana m
@dottokibiki8984
@dottokibiki8984 9 ай бұрын
Wanawake jamani!!!!!! Ajuaye ni Mungu
@petermrinziofficial.9482
@petermrinziofficial.9482 9 ай бұрын
Makosa mliyofanya ni bike imeibiwa na seen ya mwisho tunaona bike hapo kando ya mtoto, nawatoa marks
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
Bike inayo onekana mwishon ni tofauti kabisa na ALIYO ibiwa Asante kwa ushauri 🙏 tuta boresha zaidi
@mwanaSalim-re4pn
@mwanaSalim-re4pn 9 ай бұрын
@@MOVIEMPYA wasingeionyesha ata ivyo
@user-uu2ij8bb3x
@user-uu2ij8bb3x 8 ай бұрын
Siyo vizuri anavyokuwa Kigeugeu
@priscakimburi-sl9ml
@priscakimburi-sl9ml 8 ай бұрын
Waa maskin kumbe kweli mama wa kambo si mama 😭😭😭😭😭
@ZakinaZephania-kx5ol
@ZakinaZephania-kx5ol 8 ай бұрын
Daah🥲🥲 hii sio movie haya watu wanaptia kabisa
@user-qd9xy8nw6v
@user-qd9xy8nw6v 9 ай бұрын
Ukiona ivi sio eti ni movie ndivyo alivyo roho mbaya
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
😭😭
@user-gm9ci6ee7m
@user-gm9ci6ee7m 4 ай бұрын
Aki si wote pole sana dogoo
@ShakiraSuleimani
@ShakiraSuleimani Ай бұрын
Yan huyu mam ana roho ya kishetan ka bisa afai kuigwa katk jamii
@kinyuwajr.2602
@kinyuwajr.2602 8 ай бұрын
Huruma sana mama wa kambo hawana huruma eti baba yake akirudi anafanya kama anampenda kumbe hampendi pole sana hadi baba yake hata ajui hilo wala hafikirii chochote baba mpumbavu baba mjinga sana hana akili mpuuzi ningekua na baba kama yule ningeondoka nyumbani niende nikaseme wazazi wng wamekufa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😢😢😢😢😢wakala 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂a 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😢😢
@venerandakisaki94
@venerandakisaki94 7 ай бұрын
Siwezi kutesa mtoto wa mwanamke mwenzangu Mwenyezi Mungu nisaidie kwahili 😓😓
@user-ps3yn5vy7v
@user-ps3yn5vy7v 27 күн бұрын
Usijali mungu yupoo
@KhadijaKiegebu
@KhadijaKiegebu Күн бұрын
Duuh xx wanawak tunaroh ngum jmn😢😢😢
@EVAKIMARIO-nq3he
@EVAKIMARIO-nq3he 9 ай бұрын
😭😭😭😭
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
😭😭😭🔥
@HusseinAdam-zn6iz
@HusseinAdam-zn6iz 9 ай бұрын
We mam umeza kwli
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
😭 Yani huruma sana
@harrietajiambo229
@harrietajiambo229 9 ай бұрын
Huyu tasa
@user-hm6hy6rr1h
@user-hm6hy6rr1h 3 ай бұрын
Uyu hajaenda leb wallah lazim mung atamlan jaman daaa machoz yananitok
@HappyRuharara
@HappyRuharara Ай бұрын
Hapana yawezekana amezaa ilatabiya yake sio zr hawez kukaa namtoto wakambo huyu dada
@JacklineNassary
@JacklineNassary 2 ай бұрын
Daaah mama wakambo sio mama kweli
@user-mg9oq8dh8w
@user-mg9oq8dh8w 9 ай бұрын
Mwana Muke mubaya Saaana, mama mtesi
@user-hl6qt1tb4x
@user-hl6qt1tb4x 7 ай бұрын
Kumbuka wewe mam na unakizazi leo kwake kesh utakuwa kwa watoto wak maisha mafup😥
@AmusedBassGuitar-bk7dm
@AmusedBassGuitar-bk7dm Ай бұрын
Sura mbaya roho mbaya kufa hafi
@floramacheva5855
@floramacheva5855 9 ай бұрын
😭😭😭😭😭 kweli huyu mtoto anaipitia..... Mungu saitia watoto wote wanaolelewa na mama wa kambo
@LaitonMwansyange
@LaitonMwansyange 8 ай бұрын
Jamani uyumtoto ana pitiamaishamagumu
@getrayakoyi9185
@getrayakoyi9185 9 ай бұрын
Wewe mama una ujungu kweli na mtoto wa mwenzio
@user-kb2rm6sr3z
@user-kb2rm6sr3z 9 ай бұрын
Weee mwanamke mungu upo Wewe gurue ww Kasia takataka Pepo ww
@Happyness-w9z
@Happyness-w9z 26 күн бұрын
We mwanamke shetan kabisa
@Janeth-kv7pp
@Janeth-kv7pp Ай бұрын
Mama wa kambo sio wote mimi mwenyew napenda mama wa kambo kuliko chochote
@danfordmgeni9459
@danfordmgeni9459 7 ай бұрын
😭😭😭😭 mungu wakumbuke watoto wanaopitia mazingila magumu
@user-lh8mr7dz9g
@user-lh8mr7dz9g 5 ай бұрын
Kweli nimeishiwa la kusema😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mola uturumia sisi
@user-st3wo7qi2v
@user-st3wo7qi2v 9 ай бұрын
Jaman 😢😢
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 9 ай бұрын
😭
@khadijaseif3614
@khadijaseif3614 2 ай бұрын
😭😭😭😭😭 my mom mjalie maisha mema.amin
@ShabikiMedia-wc1fk
@ShabikiMedia-wc1fk 9 ай бұрын
😢 dah
@ubuyumediatz
@ubuyumediatz 9 ай бұрын
Imeniumiza sana
@halimabindshaban3105
@halimabindshaban3105 9 ай бұрын
Hiki kipindi kinaliza jamani Mimi siwezi mtesa mtoto wa mtu,,ju huyajui ya kesho nani atakusaidia,,na huyo mtoto ni mda tu atakua mkubwa
MAMA WA KAMBO | 2 |
11:10
MOVIE MPYA
Рет қаралды 229 М.
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 14 МЛН
Njia rahisi ya Kuitambua Siku ya Kubeba mimba
13:03
Topten Tv
Рет қаралды 3,1 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /29/ #love
43:38
BabaJoan
Рет қаралды 135 М.
UTACHEKA NDARO NA STEVE KIMEUMANA
9:58
Ndaro Tz
Рет қаралды 602 М.
WALIMDHARAU KWASABABU YA KINYAGO KUMBE NI MTOTO WA MFALME | MOVIE KWA KISWAHILI
28:46
mateso ya mama wa kambo part 1
8:00
Vituko vya kitale 026
Рет қаралды 12 М.
Maajabu ya mtoto Asma mtoto mwenye kipaji cha Ajabu
8:09
MR BIGI BIGI
Рет қаралды 19 МЛН
ROSE MUHANDO PERFORMING LIVE AT LIKONI CRUSADE
9:13
Dr. WILSON TAYO SWAHILI CHANNEL
Рет қаралды 1 МЛН
DOGO SELE NA BOSI KIMARO UTACHEKA DALALI WA MCHONGO
13:26
Fecha Sharon
Рет қаралды 3,2 МЛН