No video

"MANARA ALIOMBA ANIOE NIKAKATAA" - MULKY

  Рет қаралды 39,240

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

"MANARA ALIOMBA ANIOE NIKAKATAA" - MULKY
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 70
@EichelTrocon
@EichelTrocon 19 күн бұрын
My Kenyan brothers listen let's get Tanzanian women they r fire
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Manara itakua tongoza yake ni kuahidi ndoa tu hana swaga nyingine 😂😂😂
@jn_mustonez7842
@jn_mustonez7842 Жыл бұрын
Asee ,MUNGU tusaidie kumbe dem unaeza ishi nae kumbe yeye kapumzika tu akipata nguvu anaendelea n'a safariiii!!!!!!!!!
@mrishojoseph7987
@mrishojoseph7987 Жыл бұрын
Hahaaa hatari sana
@joezeno8
@joezeno8 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Secondborn_
@Secondborn_ Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@jonaskabonda741
@jonaskabonda741 Жыл бұрын
😂🤣ndio sasa wanaume na sisi tuache kupenda mpaka kupitiliza
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
@@jonaskabonda741 pendeni tu ila muache tamaa ukimpata wako mmoja tulia tengeneza life
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Kwa kweli siku zote namuomba sana MUNGU aniepushe na #MIKOROGOKAMAHII maana usilolijua ni sawa na nguo KANIKI Prince Katega wa pili asante sana ndugu yangu popote ulipo 🤣🤣🏃🏃
@gordiansoko9113
@gordiansoko9113 Жыл бұрын
Poleni vijana sasa hivi hakuna wanawake wa kuoa Kuna makinikia tu.
@estamichoromichoro5634
@estamichoromichoro5634 Жыл бұрын
😂😂😂😂mm nipo lkn uwe mkweli sipendi uongo
@muzneali4747
@muzneali4747 Жыл бұрын
Bora Mungu kamuepusha na shari
@Myplusbee
@Myplusbee Жыл бұрын
Tutasikia mengi mwaka huu!!
@fatmaahamadabass8080
@fatmaahamadabass8080 Жыл бұрын
Niko hapa nasafisha masikio ili yaniingie vizuri kaah
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 Жыл бұрын
Wale ambao tukiachwa hatuwezi kuwa single kama huyu dada gonga like hapa tujuane, yan hakuna kupumzisha moyo wala kwenda beach kula upepo wa bahari tenaaaa!
@zena6203
@zena6203 Жыл бұрын
Nakuwaje singooo labda wanaume wote wawe wamekufa🤣🤣🤣🤣🤣
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
@@zena6203 hahahaha, unachoka unaamua upumzishe moyo
@maxlattinokiki8105
@maxlattinokiki8105 Жыл бұрын
Kwa style hii ya kila cheupe anataka kuowa duh!! Ndio mana anapata Muadhara !! Hakuna ndowa za aina hiyo
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 Жыл бұрын
Dah! Manara" 2023 January haezi isahau katika maisha yake Ndani ya huu mwezi Ameongelewa kila mahali kwa mazuri na mabaya Binaadamu tujifunze na haya Mapenzi ya mitandao na Show" off nyingi mwisho wake kumbe mbaya hivii?🤔🙌
@mnyangabejowrlicecy1747
@mnyangabejowrlicecy1747 Жыл бұрын
😜😜😜😀😀😀😀😀😀
@estamichoromichoro5634
@estamichoromichoro5634 Жыл бұрын
Uko sahihi kabisa. Haya mapenzi ya mtandaoni siyo
@saidsalum6101
@saidsalum6101 Жыл бұрын
Aisee nishida ila ulifanya lamaana kumkataa haji nawe ungekuwa wale wale tu
@sultaniiyytv3718
@sultaniiyytv3718 Жыл бұрын
And have you seen how confident she is? Thi is kind of Fecken girl which should be ignored in society.. It's like she has two men at the same time.. this kind of girls is difficult to accept her mistakes ..she believes even if you will leave her is like okay am going coz she has something to catch at the moment
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 Жыл бұрын
tupo katika kipindi cha tishio la kuporomoka kwa maadili kwa kiwango kikubwa sana,hapa nawaza ni viajana wangapi andoloscent wameisikiliza hiki kipindi leo, wangapi wamejua nini cha kuchukua na nini cha kuacha kutokana na kipindi hiki, mmmh. taifa linaangamia ndugu zangu huku tukichekelaea, watu wanahamasiha uzinzi na uasherati na tunacoment huku ukicheka ishara kwamba tumefurahishwa sana na mazungumzo ao, hatari inaliijia taifa la waswahili masikini
@whatif..6961
@whatif..6961 Жыл бұрын
Yaaaani mtu kusema ukweli-tayari anapotosha jamii! Heeeeee
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 Жыл бұрын
Mrs msondo
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 Жыл бұрын
Haaaaah"!! BUGGART Mwaka huu kazi Anayo
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Жыл бұрын
Yani haji ni malaya anaejificha kwenye dini, yule mke wa 1kamuoa tu lkn naona hajaridhika nae hata
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Жыл бұрын
Mwenye demu huyu ajipange vizuri
@zuu9996
@zuu9996 Жыл бұрын
Anaitwa somebody mahadhi alshawah kuichezea yanga nw yupo geita gold
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Жыл бұрын
Madem wa Singida wazuri lkn tabia zao sio njema
@zuu9996
@zuu9996 Жыл бұрын
@@hellendaniel3809 kabisaa
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 Жыл бұрын
Huyu mama kumwona mara moja anakuambia akuoe? Anapenda.wanawske.
@bakarimavilu1204
@bakarimavilu1204 Жыл бұрын
Hizo,kiki,zenu,bana,nishids
@aminasuleyman5834
@aminasuleyman5834 Жыл бұрын
Hilo nalo neno
@zena6203
@zena6203 Жыл бұрын
Tena neno hasaaa
@prosperulungi2998
@prosperulungi2998 Жыл бұрын
Acha kiki za kisenge kwa uzuli upi
@nanaritho6850
@nanaritho6850 Жыл бұрын
Kwaani haji ni nani hata unbeze huyu dada,toa ulemavu ambao unahisi kamjmkataa Kwa ajili hiyo yeye kama mwanamke ya kunkataa asiyempenda weee vipi
@wardadimoso6649
@wardadimoso6649 Жыл бұрын
Wew unamjuw huyu mulki
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 Жыл бұрын
Du basi kumbe kila anayekutana naye anataka kumwoa basi kama ndo hivo atakuwa anachwa kila kukicha
@zena6203
@zena6203 Жыл бұрын
Kwanini niwesingoooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 labda wanaume wote wawe washafariki ivo 🤣🤣🤣🤣
@estermathias8354
@estermathias8354 Жыл бұрын
Macho yenyew mabaya mxuuu kwendaaa
@whatif..6961
@whatif..6961 Жыл бұрын
Heeeeeeeee😂
@lama6310
@lama6310 Жыл бұрын
Dah akina Dada Mnachukiana😂😂😂
@lovenessitiku6293
@lovenessitiku6293 Жыл бұрын
Nataman nikuone macho yko unamjua mulky msondooo wewee
@estermathias8354
@estermathias8354 Жыл бұрын
@@lovenessitiku6293 amezid kujishaua kwà hizo mekap zake na nywele feki sa kama mtu ulimkataa tulia sasa wapo waliomkubal alaaa
@zena6203
@zena6203 Жыл бұрын
Acha makasiriko weweweweweee pambana nashidazako yani uyo dadanimzuri yani apo no makeup yupo ivo unamtamaniapo
@fikiriseleman3460
@fikiriseleman3460 Жыл бұрын
Sasa dada kuombwa kuolewa hiyo Siri yako, unafki wako unalopoka Ili aonekane mwenye tamaa au.
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 Жыл бұрын
Wewe mpumbafuu, waliokutongoza wote twambie mjinga!
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
😁😁
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
We mada kipindi chako ni kutongazana tongozana hakuna mambo mengine unayozungumza
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Kipind cha 💕 kabisa ivyo ni sawa tu
@nassjog990youtube6
@nassjog990youtube6 Жыл бұрын
Huyu mdada ni hamnazo unamtangazia mtu nilimlataa Ili iweje ? Tuonyeshe cheti kua Hujaathirika mbwa wewe
@evelynensanga3330
@evelynensanga3330 Жыл бұрын
😂😂🙄🙄
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Жыл бұрын
Ni Mtu wa kupenda penda ovyo Manara
@faustinemsanguli1055
@faustinemsanguli1055 Жыл бұрын
Nyie wote ni malaya tu hakuna mke apa nyie ni vburudisho tu mbwa nyie
@jarnicebenson1323
@jarnicebenson1323 Жыл бұрын
Yani ni matahira sijawahi kuaona
@ahmedysaidy9874
@ahmedysaidy9874 Жыл бұрын
Kabila hili ni malaya mbwa kumnyima mtu dhambi
@fahimally3923
@fahimally3923 Жыл бұрын
Kabila gani hiloo😂 ili nijue
@ahmedysaidy9874
@ahmedysaidy9874 Жыл бұрын
@@fahimally3923 wamburu,wapare,wanyaturu take care sana na hizi kabila ni hatari Bora ukutane na Simba porini atakuonea huruma.
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Жыл бұрын
@@ahmedysaidy9874 comment yako kuhusu kabila hizi haina mashiko broo MTU ni tabia yake na sio kabila,basi kama ingekuwa kabila mbona mikoa ya pwani wanawake ni maharage ya mbeya kwahiyo hawa tuwaweke kwenye mstari upi
@shearyshabani4308
@shearyshabani4308 Жыл бұрын
@@ahmedysaidy9874 yemekukuta basi sio wote wako hivo we mwenyewe be carefully
@ahmedysaidy9874
@ahmedysaidy9874 Жыл бұрын
@@africanproudly4004 Kuma lako kama kibuyu hakuna kabila ambalo sijatembea nalo Kuma la mamako kila ukipumua acha ukuma kama unajijua wew malaya kama malaya wengine kaa kimya Kuma la mamako
@Jamila-cz5ge
@Jamila-cz5ge Жыл бұрын
Wewe mtangazaji unajifanya mzungu KWANI kiswahili sio lugha safi? Mjinga kuiga wazungu
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 Жыл бұрын
Anajiona anakijua hicho kizungu wengine hawajui wacha atuoneshe si unajua ni ugonjwa wetu kizungu
@mahadshekh398
@mahadshekh398 Жыл бұрын
Jamaa hana gia ingine.Yaani kuoa oa tu.Binti ana akili.
MULKY AWEKA WAZI KUHUSU KUTOKA KIMAPENZI NA MSANII WA WCB
2:36
Wasafi Media
Рет қаралды 43 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 141 МЛН
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 17 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН
TAZAMA MWANZO HADI MWISHO NDOA YA DULLA MAKABILA
58:47
ZamaradiTV
Рет қаралды 32 М.
Mzee Majuto  Lakuvunda Part One ( Cinema  YA Mwisho)
56:19
Star Cinema
Рет қаралды 400 М.
MREMBO  HUYU AFUNGUKA KUHUSU KIPIGO KWENYE NDOA
5:54
Wasafi Media
Рет қаралды 32 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 141 МЛН