Hakika maombi ni dawa. Asante pastor kwa maombi yako. Namuona Mungu. Amina.
@nicodemianarose52163 ай бұрын
Ameen Mungu nakuomba utulinde tulale.salama
@user-dj1fk4ue2x10 күн бұрын
Maombi ni dawa God bless you 🙏🙏
@HelenaBupamba2 ай бұрын
Amina barikiwa san mtume
@MariaOma-ut6fj28 күн бұрын
Amena mtumishi Wangu
@JanethChilongola2 ай бұрын
Mungu ni mwema ❤❤
@PaskalinaNesphory3 ай бұрын
Bwana yesu naomba ni zingire kwa nguvu moto na damu ya yesu
@user-pw3xm2bp8p2 ай бұрын
Amen Amen 🙏🙏 asante baba mtumishi kwa maombi yako 🙌🙌 Napokea ulinzi katika usiku huyu amen 🔥🔥
@salmaprice91003 ай бұрын
Amen barikiwa pastor 🙏🙏🙏
@PaskalinaNesphory3 ай бұрын
Ee mungu nisaidie nipate shauku ya maombi ya kumiminika moyoni mwangu uwe pamoja nami
@user-pw3xm2bp8pАй бұрын
Amen Amen 🔥🔥🙏🙏 napokea ulinzi wa mungu baba kwa jina la yesu krosto Amen 🙌🙌🙏🙏
@isabelawakhu413 ай бұрын
Naomba unisaidie nipate kusimama katika maombi,maanake nimekua mdhaifu saana
@brigittekitandala5486Ай бұрын
Amen kweli mtumishi wa Mungu bila maombi nishida sana 🙏🙏🙏
@merinamkocha381811 күн бұрын
Nakataa uzito kwa jina la Yesu, nipe nguvu ya maombi muda wote. Nawaombea watoto wangu wakujue Mungu.
@kobylwaho31912 ай бұрын
nimejifunza sana katik neno hili kumbe yote ninayoyapitia kwa sasa ni sababu ya uzembe wa kuomba kuna wakt nimekuw siombi ipasavyo naomba Mungu anisaidie nisimame katk maombi kama zamani
@procecharles74283 ай бұрын
Mungu akubariki sana pastor hakika unaniinua kiimani kupitia maombi haya.