Nyimbo za kaka medrikisanga zinanibariki sana katika moyo wangu by lameck ayo akiwa Dodoma Tanzania
@WycliffeOkioga Жыл бұрын
Always God is my shield for my All Enemies, Hallelujah.
@EzekielMelyАй бұрын
RIP rafk angu John😢😢,kweny tulicheza sana kweny mkutano wa injili wa mosses kulola.
@shujaazfilmsproduction7115 Жыл бұрын
Kama ulikua unaenda youth camp..do utajua utamu wa izi nyimbo enzi izo aisee
@galachagalacha18082 жыл бұрын
Kanyaga shetani kwa jina la yesu mbarikiwe Sana waimbaji ameen
@bihimomasemo44824 жыл бұрын
Ubarikiwe sana wapendwa wa MUNGU anawapenda sana kwaya nzuri sana tu mapambano MUNGU akulinde sana tu nakupe nguvu za shida huyu jamaa shetani ibilisi na YESU KRISTO asifiwe sana tu
@mwirafundi70546 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana,,, Ubarikiwe mtu wa mungu
@johnnkwabi73765 жыл бұрын
huu wimbo umenikumbusha mbali sana kipindi cha kanda medrick mungu akubariki🙏🙏
@user-yt5yz3ef7x2 ай бұрын
Dah😢 hadi huruma nikimuona mtaani anavyouza flash kwa kutembeza..
@dannymlowe270Ай бұрын
Kweli hata mimi nilimuona mafinga,,
@BayaKatana-km1dj8 ай бұрын
❤❤ nimeupenda huu wimbo
@cathelinemaurid8983 жыл бұрын
Huwa nabalikiwa xana napousikiliza huu wimbo mungu awabaliki sana
@ritamwamba43342 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaa mtumishi nilikuwa na utafuta huu wimbo sanaaa atimaye Leo nimeuona, Mungu awe pamoja nawe
@mbarukutogolai594610 ай бұрын
🙏🙏🙏
@pendokatonge3926 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃❤️❤️👍🏽🙌🙌🙌💪💪💪💪✝️👋🏽👋🏽
@fransisbulugu99945 жыл бұрын
Nmebarikiwa bure kuusikiliza wimbo huuuu mmbarikiwe sana wana medmedrec sanga
@faustinenkunzimana10 ай бұрын
Amen amen namimi nilikuwa natafuta hii wimbo sasa nafulahia saaanaa nilikuwa nawusikiliza nikiwa mdogo sasa nimekua ameen Mungu azidi kuwabaliki
@maryyohana45863 жыл бұрын
Ameeeen! kaka Medrick Sanga ni kusonga mbele! upo wapi mtumishi wa Mungu? nakumbuka mbali nikiwa bibi harusi tulipenda mno kusikiliza wimbo huu.barikiweni msirudi nyuma wapendwa tukazeni mwendo.
@janemwaipyana769410 ай бұрын
p0
@vincentgodlisten14348 ай бұрын
Hongera
@justinochoki57255 ай бұрын
Amen
@esthermutua1287 Жыл бұрын
10years back while I was young my dad used to put for us this song woow it's was my favourite 💞💞
@user-zh5ln5od3r6 ай бұрын
Nabarikiwa sana na wimbo huu
@emanuelmlingi18282 жыл бұрын
mungu akuzidishie uzima naekima medrick
@angeljohannes86303 жыл бұрын
Ameen mtumishi wa Mungu barikiwa medrick Sanga Sana hakika twasonga mbele🙏🙏🙏
@akimkilindu2297 Жыл бұрын
Nimekusoma sana medrik
@fedricksanga43892 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Nyimbo zako nzuri sana
@abbynimo60582 жыл бұрын
Blessing song keep it up man of God
@annajoseph28692 жыл бұрын
Ubalikiwe nyimbo hizi zinabaliki Sana hata sauti pia mungu akubaliki
@irenenaiyanoi149 Жыл бұрын
Hongera sana Kwa nyimbo nzuri mungu akubariki
@nicholausngatunga76327 ай бұрын
Nakua nafuraha sana kuusikiliza wimbo huu
@brianseverin8915 Жыл бұрын
Ubalikiwe mtumishi wa mungu
@nakimitihellen6422 Жыл бұрын
😂😂 Waooo 😅 this is so nice 👍, God 🙏 ur really great 👌
@emmanuelshukuran2543 Жыл бұрын
Glory god glory god 🙏❤️ love this song forever 🙏🌹🌺❤️🌹🌹❤️🇹🇿
@princes60452 жыл бұрын
Very nice song stay tuned and may our Almighty God Bless this choir especially the leader and the singers .Long live all of you.
@magdalenajoel4409 Жыл бұрын
Mapambano lazima yaendelee dhidi yetu na shetani na hatuwezi ktk jina la yesu
@magrethnatai88464 ай бұрын
My dad's favorite back in 2010 kila siku akirudi ilikuwa lazima aiweke. I miss home badly
@annadotto24294 жыл бұрын
Aminaa. Hakika tunasonga mbele. Barikiwa sana kaka. Nyimbo zako zinanifariji sana
@esthermbithi32594 жыл бұрын
Mapambano yaendelea wala haturudi nyuma......i love this song sana since nkiwa primary
@sigerarazalo40154 жыл бұрын
Medtck sanga
@florameza34912 жыл бұрын
Shetani wee umekoma kwa.jina LA YESu
@kokuonesmo-ub2vg11 ай бұрын
Nyimbo yako inanibariki sana mtumishi haijalishi ni ya mda Gani kwangu ni kama ya Jana ..........barikiwa sana mrumishi
@thomaswasike86086 ай бұрын
Am totally blessed with this song,,nyuma sirudi kamwe,!!
@gygy41Ай бұрын
Huyu ndugu aliendanga wpi haonekani sikuhizi 😢😢
@ezekielenock465011 ай бұрын
Nakumbuka 2010 hadi leo 2023 Asante Mungu
@suphiapatson3541 Жыл бұрын
Ushindi kwa jina la yesu
@negroprapper7 ай бұрын
Much thankful to you Medrick I remember when I was in 15 Old ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@miriamcharles8104 жыл бұрын
Mungu akuinue katika viwango vingine
@scoviaerick32596 жыл бұрын
nazipenda sana nyimbo za mediliki sanasana. ubalikiwe sana kaka popote ulipo
@priscaezekiel94132 жыл бұрын
Nyimbo nzuri inaujumbe mzuri
@rusievarist69365 ай бұрын
Amina kubwa 🎉🎉🎉
@victoriapastory81832 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 baraka zake pokea
@WycliffeOkioga Жыл бұрын
Am much blessed by the song enough ❤
@aminizefania96342 жыл бұрын
Watu wa MUNGU wale tuliofika uku asifiwe alie juu
@esterahasatesananyimbozako4655 жыл бұрын
huwa nafarijika ninapo sikiliza nyimbo zako barikiwa baba
@LikoniBranchАй бұрын
Ei awsome
@cestjolie55749 жыл бұрын
Amina. Naupenda sana wimbo huu. Mbarikiwe sana.
@joelimanongi92424 жыл бұрын
kwanza nyimbo hii inamaadili ya injili waimbaji wote hawaja vaaa vimini mungu awabariki kaz nzur ya kumpendeza kristo amen
@cestjolie55744 жыл бұрын
@@joelimanongi9242 yep, uk 7hih 7n
@alphoncmwasantembe72163 жыл бұрын
@@joelimanongi9242 h
@alphoncmwasantembe72163 жыл бұрын
@@joelimanongi9242 h
@tinoweston21423 жыл бұрын
Ninabalikiwa sana na nyimbo za mwimbaji medrkisanga mungu azidi kukwinua ili uwakomboe waliopotea balikiwa
@thelesiamalekela20345 жыл бұрын
Nabarikiwa na nyimbo hii shetani hana mamlaka tunamteketeza kwa moto, katika jina la yesu.
@selector7285 жыл бұрын
sio nyimbo sema wimbo
@alphasamwel9 жыл бұрын
safi sana mungu akupe nguvu.
@shadrackmuthini17858 жыл бұрын
Med,keep it up. I wish you know how your songs hit our ground. May the Lord enrich you to continue blessing many.
@godluckmbise28987 жыл бұрын
mungu ni mwema sana
@stephenmwalimu84052 жыл бұрын
Zuchu
@iluminathakinunda27 Жыл бұрын
Amina barikiwa sana mtumishi wa mungu
@iluminathakinunda27 Жыл бұрын
Ooh! God's good 👍
@malengamsombwa3642 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kaka yangu
@esthersimonianteltus93644 жыл бұрын
Mbona wimbo Wa mwokoz wetu bwana yesu ndiye mshindaji hakuna mwingne anaeweza mbona huo wimbo haupatikan wakat no moja ya nyimbo ktk arbam hii
@user-yt5yz3ef7x2 ай бұрын
Upo mbona
@BayaKatana-km1dj8 ай бұрын
Kaka mungu akubariki
@rehemamshiko67532 жыл бұрын
Mapambano yaendelea, nimebarikiwa na wimbo huu
@geraldbenjamin93022 жыл бұрын
Hizo suti, duh ama hakika ulimwengu wa fasheni unaenda kasi sana
@neemathomas79006 жыл бұрын
mungu ukuinuwe ubalikiwe sana Mimi angel
@SophiaMdendemi22 күн бұрын
Medrick sangap mapambano
@mnubimhoja86186 жыл бұрын
ufalijika sana pale nisikilazapo nyimbo zako mpendwa katika bwana, kwa nyimbo zako nzuri nazenye kutupatia falaja pale tuwapo na uzuni,mwenyezi mungu azidi kukulinda uzidi kulitangaza neno lake katika ulimwengu
@selector7285 жыл бұрын
Sio ufalijika sema ufarijika
@dorcaslor21666 жыл бұрын
Alléluia My God Blessed you All Mungu A baongezee
@piuslugata49312 жыл бұрын
Emeni Mungu akubariki sana
@petrosinkwembe57156 жыл бұрын
Yesu juu zaidi Amina mtumishi
@user-cs6rx3yr5p8 ай бұрын
Ubalikiwe Suna ameeeee
@spachezgracegrace4974 Жыл бұрын
Love it❤
@joselineapoma87302 жыл бұрын
Amen Amen Amen shalom
@mwezanephta11077 жыл бұрын
Mungu awatangulie
@EmmanuelJackson-xn5eo11 күн бұрын
Hadi sasa 2024
@moseskasanga3289 Жыл бұрын
I used to dance this at church those days
@dorcaslor21664 жыл бұрын
Thank you Amen And Congratulations Shalom
@iluminathakinunda27 Жыл бұрын
Amen God bless 🙌 all singers praise the Lord.
@agnesmariseli44 жыл бұрын
Mapambano yanaendelea good song
@tingbatuuka72787 жыл бұрын
lovely song. praise the Lord.
@verenasiame24110 жыл бұрын
ALBAM NZURI SANA HII
@godwillowino98742 жыл бұрын
What a nice song be blessed
@reginarhina68377 жыл бұрын
Amen tunaomba yimbo zingine
@hussandaud35376 жыл бұрын
Regina Rhina
@williamsimbila27947 жыл бұрын
Kanyaga kabisa shetani
@esterjanuary306 жыл бұрын
mubarkia sana
@JobuMwambega-ew4ws11 ай бұрын
Beautiful and inspiring song
@nkindikwalugange37688 жыл бұрын
Good song I have like it Be blessed by God
@hktztv651911 ай бұрын
This song ❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥
@bashiriOmmy-bl5bi8 ай бұрын
...good song🎉🎉🎉
@AmosiBogha-lt6zw Жыл бұрын
Asante sana mtumishi
@fadhilimdetele39243 жыл бұрын
Barikiwa sana
@shallmolownicodem47343 жыл бұрын
Ee we mungu wangu nautafuta si uoni unafeli wangu watu wanaimba cover