Mapinduzi ya Kijeshi! BUKINAFASO ,NIGER na MALI waanzisha NATO ya Afrika, Kupambana na NATO ya USA

  Рет қаралды 14,289

YUHOMA DIGITAL FORUMS

YUHOMA DIGITAL FORUMS

16 күн бұрын

Пікірлер: 30
@hudumablack9339
@hudumablack9339 14 күн бұрын
WAZEE TUSIDANGANYANE, TUAMBIZANE UKWELI KWAMBA; WAKOMBOZI WA AFRICA NI HAWA VIJANA WETU WANAOFANYA MAPINDUZI. KIFUPI NI KWAMBA, AFRICA ITAKOMBOLEWA KWA NJIA YA MAPINDUZI TU, WALA TUSIWATEGEMEE HAWA VIONGOZI WANAOPITA KUPITA MACHAGUZI MAANA WANAKUWA WAMESHAFANYA MIKATABA NA NCHI ZA MAGHARIBI.
@KiwiaCasmir
@KiwiaCasmir 10 күн бұрын
Kweli kaka lkn sasa hawa wa kwetu wanaojiita chawa unazani tutajafika huko kweli?.
@user-do2id6pp4g
@user-do2id6pp4g 14 күн бұрын
Mungu akuhifadhi VLADIMIR PUTIN kwa kuwa pamoja na support team leader ya Africa tuko pamoja nao Mungu yupo tunawaombea dua awape nguvu na subira ya kupambana na manyang'au Viva,,Putin Viva Africa...
@user-dk4iq5ct6r
@user-dk4iq5ct6r 14 күн бұрын
Mungu ibariki afrika mangaribi ktk jambo hili
@PeteroJohn
@PeteroJohn 14 күн бұрын
Mungu awabariki awatie nguvu mzidi kuiokoa afrika kwenye ushetani wakikoloni mwisho wao umefika
@alisaid9920
@alisaid9920 13 күн бұрын
Good well-done
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 14 күн бұрын
Safi kabisa 💯👏👏
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 11 күн бұрын
Let move forward as African 🏃🏃🏃🏃🏃🏃
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 14 күн бұрын
Kazi nzuri sana hongera kwao
@SaidshariffShariff
@SaidshariffShariff 14 күн бұрын
Safi sannnaaah
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 14 күн бұрын
Big up kwa kutupa taarifa. Sahare Region nawakubali
@bukuruyassini
@bukuruyassini 13 күн бұрын
Wazungu watuace
@ladinobacar5486
@ladinobacar5486 10 күн бұрын
awa no walindaji wa africa
@HajiMwanz-to3vg
@HajiMwanz-to3vg 14 күн бұрын
Viva afirika viva gwido
@EmmanuelKazimili-ky1ss
@EmmanuelKazimili-ky1ss 14 күн бұрын
ongela wakuu afrika inwategemea
@user-bw6cd7ml1i
@user-bw6cd7ml1i 12 күн бұрын
Haya ni mambo ambayo ni ya muhimu sana tuje kwenye elimu hasa vyuo vikuu ni tatizo kama kusoma ni kwenye nchi zinazotumia ujamaa
@RamadaneAmisse
@RamadaneAmisse 7 күн бұрын
Putini hukitoka huko njoo nahuku kwetu África Austrália.
@shehehamad-t4c
@shehehamad-t4c 14 күн бұрын
God bless them
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 14 күн бұрын
Viva bro. Tuko pamoja nao.
@user-vd3ku4yz2h
@user-vd3ku4yz2h 10 күн бұрын
Hivi!!!?" Itakuwaaa! Ni kweliii hiyo nguvu ya muungano wa NATO ya Afrika inaweza ikawa na nguvu zaidi ya ile ya NATO ya USA ahh mungu inatakiwa aibadili Dunia iwe upande wa pili kama shilingi wenda hapo ikaja ikawezekana", maana Magharibi ina nguvu kubwa mno!!! Mnooo!!!? Tena teknologia yao ni ya juu sana sisi ni mpaka sapota ndiyo tutoboe je? Tuta waomba akina nani tofauti na putini alyo elemewa dhidi ya Ukraine kwa kupewa sapota na NATO ya USA maana nadhani iko mbili tayare na nATO ya Afrika.
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 14 күн бұрын
PATAMUHAAPOOH. EEEEHE. MAISHA MAREFU KWA PUTIN NA VIJANAWAKE.
@muddypote8377
@muddypote8377 14 күн бұрын
Viva
@RajabuMtulia
@RajabuMtulia 14 күн бұрын
Omo
@sharifnassor4417
@sharifnassor4417 14 күн бұрын
AES umoja wa Sahele Kirefu chake ninini?
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 14 күн бұрын
Waze kaziyao nikuiba inci zao tu
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 14 күн бұрын
Samia yuhali gani 😅
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie 14 күн бұрын
Hawamiamba mungu awalinde wanatueshimisha wa 🌍 😂😂
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q 14 күн бұрын
Fae haeleweki yule 😂😂
@hudumablack9339
@hudumablack9339 14 күн бұрын
KAMA SIASA ZINAZOFANYIKA DRC NI DANGANYA-TOTO TU WALA HAKUNA CHOCOLATE.
@alisaid9920
@alisaid9920 13 күн бұрын
Obama ,tulizani ni mkombozi ;kumbe alikuwa msaliti wa waafrika
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 29 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 22 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 19 МЛН
Famous Historian EXPOSES ISR*EL’S FACTS! | Isr*el’s Future In The Quran!
30:55
BARAGUMU / MIAKA 60 YA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI
31:34
channel ten
Рет қаралды 4,1 М.
MOROGORO AFRIKA KUSINI WATU WANA ROHO NGUMU HATARI😳🙌🏼
5:58
SAFIRI DUNIA!
Рет қаралды 1,6 М.
MIUJIZA YA MWENYEZI MUNGU KWA PALESTINE(KUNDI LA HAMAS) DHIDI YA DHURUMA YA MAYAHUDI
3:09
Sheikh Mohammed Mbega Online Tv
Рет қаралды 9 М.
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 29 МЛН