No video

MAPYA NDOA ya DIVA: MUME Afunguka - "TUMEKUWA WAPENZI Kwa WIKI 2 TU, NIMEMPA MILIONI 500 na ZAIDI"

  Рет қаралды 92,882

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

MAPYA NDOA ya DIVA: MUME Afunguka - "TUMEKUWA WAPENZI Kwa WIKI 2 TU, NIMEMPA MILIONI 500 na ZAIDI"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 363
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 жыл бұрын
Mashallah ❤️ mabrouk kwenu,na niwatakie tuu kila la kheri kwenye ndoa yenu 👏 Allah awadumishie ndoa yenu, na ujitahidi kumfaradhisha mkeo sala tano nazo pia azijuwe huyo mkeo,na dada yangu juu yako kumtwii mumeo,hiyo ndo nasaha yangu ya leo 👏👏
@ibrahimstrickersurvive6687
@ibrahimstrickersurvive6687 2 жыл бұрын
I love tanzania nchi ya furaha na amani ♥️🇧🇮🇫🇷
@ayaanabdimusse9273
@ayaanabdimusse9273 2 жыл бұрын
Masha Allah,Allah awareness na kudumisha ndoa yenu.
@ayaanabdimusse9273
@ayaanabdimusse9273 2 жыл бұрын
Masha Allah, Allah awajaalie kheri na Baraka Tele.
@kwizerazainabu7979
@kwizerazainabu7979 2 жыл бұрын
Kwanza kama nikweli uyu kaka amepata swawabu Mashallah
@ashaomari7972
@ashaomari7972 2 жыл бұрын
Mashaallah nmependa vile wanajiamin kwa pamoja mashaallah🥰 mabrouk😍🙌
@omichest8171
@omichest8171 2 жыл бұрын
Niseme kitu ki moja huyu shekh Abdul razak ni smart sana and diva rayhana also so kwa aliekuwa haelew ndio ata shangaa hili ili raha ya ndowa umuowe MTU uliekuwa hujawah mchungulia bhana hapo ndipo utaiyona raha ya ndowa Dada diva rayhana na shekh Abdul nendeni muka enjoy mahaba na ndoa masha allah
@nilynily5311
@nilynily5311 2 жыл бұрын
Umependeza manshaAllah mungu awalindie ndowa yonu afu umependez 🥰🥰 na kujitanda 💋💋🥰
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 2 жыл бұрын
❤️❤️❤️
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 2 жыл бұрын
Nawaombeya duwa mushi maisha mema amin yarab kherisalama
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 2 жыл бұрын
Wasiyoyajua wanawake...ogopeni sana wanaume wenye mdomo
@mozasalum9715
@mozasalum9715 2 жыл бұрын
Wow diva go sister make ur husband proud of you 👏😘
@maninisamwel8657
@maninisamwel8657 2 жыл бұрын
Huyu Hana ushekhe wowote anasuport mziki
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 2 жыл бұрын
Trust me this man is really... watakuwa couple bora
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 2 жыл бұрын
🤔 Kwa jinsi wanavyo tumia nguvu kujielezea na kutuaminisha inanipa mashaka kidogo but kama kweli basi mungu awabariki ktk ndoa yenu na mdumu inshallah 🤲🤲🙌
@annewakevo2634
@annewakevo2634 2 жыл бұрын
Nachukizwa vile wanasema lazima kifo kiwatenganishw heri wangetumia inshallah ingekua afadhali.
@janemisso9722
@janemisso9722 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 жыл бұрын
Mashaallah kaka abduli radhak na rayhan dada vida ilaa hilo la Rayhan nitamu sana mungu awabariki sana kwenye ndoa yenuu😘😘😘🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️ nawapenda sana
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 2 жыл бұрын
Mabrouq alfu Mabrouq,MashaAllah tabarakaAllah Allah awadumishe katika kheir
@mapishiyalulu9696
@mapishiyalulu9696 2 жыл бұрын
Diva umependeza sana Mashallah ushungi umekupendeza.
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
Masha'allah...mungu nijaalie na Mimi unipe wa kufanana nae..nimewapenda bure ...kifo kiwatenganishe💓🙏
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Maashallah vizuri Sana Allah awadumishe na umepata Bahati diva ya kuwa Muislam mshukuru Mungu na kaka mtunzesanamkeo ilo atulie nakutakiemi maisha meme
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Mema lnshaallah❤️❤️
@barkembarak9270
@barkembarak9270 2 жыл бұрын
Amin Amin Amin inshallah
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 2 жыл бұрын
Hatujaona Pete. Ulisema pete yako itakuwa the most expensive. Ulihitaji vitu viwili tu. Maua mengi, Pete nzuri very expensive. Pete hatujaiona? All the best Diva.. Tunakuombea. Kasema hautaolewa tena. Oowiiii... 🙏
@rayaali7551
@rayaali7551 2 жыл бұрын
Pete sio ndowa pete ni just pambo la kidole ila ndowa ni noor ya moyo upo hapoo hayo mambo ya pete wataxawadiana siku au wakati wowotee pia isitoshe hakuna kitabu cha dini yoyotee kilicho tangaza ku wa pete ndio ndowa hayo mambo ya pete nimambo ya kuzawadiana.tuu na yaliopewa kipa umbele na mijahiliya ya nyenendo za kusheytaan
@homemohammed3244
@homemohammed3244 2 жыл бұрын
Masha Allah iwe kheri jamn diva kama umeamua kutulia na huyo sheikh tulia tu my maana utavuna matunda mema zaid kutoka kwake kikubwa subra na upendo tu na kumtanguliza mungu kwa sna
@abdulkareemchacha2625
@abdulkareemchacha2625 2 жыл бұрын
Maashaallah....... jazakallahu khairat....... M''Mungu awajaalie kila la kheir na mdumu katika ndoa yenu.
@ramlanaisula1677
@ramlanaisula1677 2 жыл бұрын
Diva....Maasha Allah... mabrouq Nakupenda Dada........Proof them wrong.....😍😍😍😍
@mozasaid3869
@mozasaid3869 2 жыл бұрын
Allah awajalie kila la kheri katika ndoa yenu, Mashaallah Tabaraka Rahman, Hongereni sana,❤❤❤
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 2 жыл бұрын
Hongereni saana Mrs & Mr kila la kheri
@nururaymond5
@nururaymond5 2 жыл бұрын
Mungu awatunze Ila Diva mpole mumewe mkali anaoneka
@Kokafamil
@Kokafamil 2 жыл бұрын
Hii Interview itakua hapa forever ila mkiachana ita trend balaa all the best tho Msiachane ili tusipate ya kuongea wambea 🤗
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Mume kasema hawaachani wameoana waishi.
@annewakevo2634
@annewakevo2634 2 жыл бұрын
@@MsAggie5 Yaani angesema inshallah maana ya dunia n mengi
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
@@annewakevo2634 hiyo dawa aliyomfanyia ikiisha akili ikirudi tu, hamna ndoa hapo
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 2 жыл бұрын
Mashaa Allah nimefurahi watanga wenzangu kufunga ndoa nimefurahi diva kusilimu RAYHANA Allah akuongozeni wana ndoa hawa chuki hasadi fitna unafik yasiwafike washindwe kk umbadilishe rayhana awe km ss wanawake wa kiislam tunaojistir kapendeza diva
@zabibuamissi1141
@zabibuamissi1141 2 жыл бұрын
Mume sauti yake iko juu sana Hongera sana
@husnaameen9309
@husnaameen9309 2 жыл бұрын
Kiswahil da diva wacha uzungu kidogo🥰
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
km hakuzaliwa na kukulia Tzn .
@salhafurahini6400
@salhafurahini6400 2 жыл бұрын
Jmn sishangai kabisa mi pia nilijuan na mume wangu tareh 11tareh21 nikafung ndoa had leo Alhamdulilah
@zoab2699
@zoab2699 2 жыл бұрын
Sema inshallah hujui allah kakupa gia nn we hujui
@Sam-sj1cy
@Sam-sj1cy 2 жыл бұрын
I love that ukipenda boga penda na maua yake mashallah 😍 ❤
@salomemunishi1695
@salomemunishi1695 2 жыл бұрын
Mbona kama Bwana harusi ana hasira flani hivi halafu kwenye interview hii hajawa that romantic kama nilizosikiliza...kuna some commands hapo kwenye mwekee mic, sema bismilah, usizunguke tumeonana week 2 etc. i am so worried
@fatumaseleman5700
@fatumaseleman5700 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@btylove1870
@btylove1870 2 жыл бұрын
@Salome Kama kweli wameowana alhamdulillah ina huyu kaka very controlling hana respect kwa Diva kuna kitu kafata and Diva yuko so desperate inasikitisha. Good luck to them🤗
@fatumahassan1371
@fatumahassan1371 2 жыл бұрын
Mume lzma asimame kama mume
@fatumaseleman5700
@fatumaseleman5700 2 жыл бұрын
Ujue yaan anaonekana ana temp yaan hajatulia Allah tunusuru nawanaume wadanganyifu
@tinamahega9848
@tinamahega9848 2 жыл бұрын
Na inaonekana ana mkono mwepesi,kwa kifupi ni mjeshi
@fatmasaid9074
@fatmasaid9074 2 жыл бұрын
huna ushehe babu ungewaweza awo wake zako wengineee subir ssa wewee divaa uwoneee shoooo👌👌👌
@liam8955
@liam8955 2 жыл бұрын
Ama kweli😂😂😂😜😜mjamaa mjanja huyuuuu. Daaah mtapeli sanaa
@janemisso9722
@janemisso9722 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 2 жыл бұрын
Huyu mdada amefanana sana na Khadija Koppa kiukweli
@ru7benniesospeter776
@ru7benniesospeter776 2 жыл бұрын
Yaah kwamaana anajikubali kwa jinsi alivyo
@mwajumaomar3648
@mwajumaomar3648 2 жыл бұрын
Diva mzuri mashaallah
@sabrakindema9766
@sabrakindema9766 2 жыл бұрын
Kabisaa
@jagnamohamed1208
@jagnamohamed1208 2 жыл бұрын
Na ikawe kheri InshaAllah
@fatmareshed9975
@fatmareshed9975 2 жыл бұрын
Mashallah nawapenda nawatakia ndoa ya kudumu
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 2 жыл бұрын
The man is too smart and intelligent hapo kwa mke ndio kuna mashaka but keep going bwana Abdhul kumuingiza mtu kwenye njia sahihi endapo atafuata muelekeo wa dini atakua mwanamke bora na mama bora
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 2 жыл бұрын
Guys you need to differentiate being friends and rshp .. kwanza hawa waliwai kuwa marafk so mausiono yata dumu Coz they know each other.. bila kuingia penzin na kuchokana ni ngumu
@user-ef3gw8hq6u
@user-ef3gw8hq6u 2 жыл бұрын
Masha Allah mola awabariki
@alhabsi6430
@alhabsi6430 2 жыл бұрын
MashaAllah yatosha wiki mbili sio lazima kukaa kupendana mpaka kukinahiana
@zarezarebby7476
@zarezarebby7476 2 жыл бұрын
Kabisa
@daimavlog
@daimavlog 2 жыл бұрын
Kabisa, sisi tumeoana ndani ya mwezi mmoja na sasa ni mwaka wa 16 ndoani
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 2 жыл бұрын
Huyu huyu huyu huyu...........This guy he is kiboko ya Huyu Dada....Inshallah heri.......
@sultansultans9462
@sultansultans9462 2 жыл бұрын
Masha'Allah hii ever seen it.. this great marriage 💑
@saumhamisi7320
@saumhamisi7320 2 жыл бұрын
Amina na iwe kheri daima
@sinemasulubu8038
@sinemasulubu8038 2 жыл бұрын
Nice couple bro Abdul congrats🤩🤩🤩🤩😍😍
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 жыл бұрын
Mashaallah diva umesoma vizuli 😘
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 жыл бұрын
Allah akupe mwisho mzuri omba sana
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 2 жыл бұрын
thanks Abdulrazack**you warned her not to try YOU n booooom"""🤣🤣🤣🤣🤣🤣give her that sugar babaaa
@jacintabati6238
@jacintabati6238 2 жыл бұрын
😪😪😪
@hamzafatum4383
@hamzafatum4383 2 жыл бұрын
Ndio maana naishuku iyo ndoa naona nikama razak yuwamuonyesha he can
@alhabsi6430
@alhabsi6430 2 жыл бұрын
Mimi nimekusifu diva bila ya mahusiano mmefahamiana wiki mbili tu mashaAllah
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 жыл бұрын
Sura ya diva inabadirikaga au,mbona hapa siiyelewi naakiwa kazini tofauti
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
@@m.mmarckus6298 kazini si anavaa mawigi ya wazungu? na miwani ya jua ndani
@Smokeylucas
@Smokeylucas 2 жыл бұрын
Be careful my sister. He said the only way you are not together is if one of you is dead!! That should send chills down your spine.
@rayrayndiema
@rayrayndiema 2 жыл бұрын
I was thinking the same thing!!!! But some people find red flags to be romantic 🥴
@emilymideva8783
@emilymideva8783 2 жыл бұрын
Congratulations diva
@liam8955
@liam8955 2 жыл бұрын
Huyo mwanamme yuko after something. Labda Ana Tamaa kupata kazi wasafi pia. Hawa kujua kua diamond yuko vizuri na Diva. Mjamaa mjanja huyo! Hapo awali Alisha Sema yeye hawezi kumu olea mke wake
@daimavlog
@daimavlog 2 жыл бұрын
Unaweza kuyasema Hayo kabla hujampata unayempenda
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 2 жыл бұрын
Huyo hataki kazi hapo anakazi zake anapesa zake s na aannyumba zake wacha ujinga weee kama unawivu nejuu basi ukamzibie
@agriparose3942
@agriparose3942 2 жыл бұрын
Nimejikuta nampenda diva
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
Masha'allah
@sygtamks1643
@sygtamks1643 Жыл бұрын
Hongera
@estherfidelisy5233
@estherfidelisy5233 2 жыл бұрын
Waoooo....safiii Sana....mungu awalinde....
@mohammedslim9747
@mohammedslim9747 2 жыл бұрын
Makeup haijakaa sehem yake kabisa diva aliekuweka hiyo make up inatakiwa umfate huyo mtuu na akulipe ghalama zako
@fatmakiraga4016
@fatmakiraga4016 2 жыл бұрын
Atakua rafiki yake mke mwenzake Raihana
@maryraphaely9696
@maryraphaely9696 2 жыл бұрын
Jmn nyeee
@omaradan3442
@omaradan3442 2 жыл бұрын
Mtoto wa Kiume wewee umeona tu make up ...we Hanisi sana
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Na nashangaa mbona anaonekana mbaya na Mzee? Au Yale mawani huwa yanampa muomekano tofauti. Hizi make up
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 2 жыл бұрын
Hata hcho cjui n kitmbaa cha ndan sjui n nn haijmkaa poa
@husnajafari8945
@husnajafari8945 2 жыл бұрын
Mashallah ume pende za utulivu wa biharus ume ubeba🥰🤗😘
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 2 жыл бұрын
Kwanza umetulia my Raihnna mwaaaa🌷🏵️🌹🥀🌷🌷🌻🌼🌸🌺🥀🌹🌹🥀🌹
@missmannydxb
@missmannydxb 2 жыл бұрын
Masha'Allah Tabarak Al Rahman 🌹All the best for them insha'Allah
@abdulhmanmdee8707
@abdulhmanmdee8707 2 жыл бұрын
Mungu hataniwi huyomnyambwa anazo milioni miatano ulishindwa kujitasimini wapo wa milioni siyowewe
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 2 жыл бұрын
Jamani nakupenda sana kaka. Wafundishe wanaume wengine
@OnlyRuky
@OnlyRuky 2 жыл бұрын
Divaa vp unaongea km huna meno khaa🍼
@sheikhadnandjuma9780
@sheikhadnandjuma9780 2 жыл бұрын
Nawomba Allah awasimamie kwa kila jambo sis Diva hunaga dada yako mdogo ? Nina niya tena nzuri sana kabisa
@fatumaseleman5700
@fatumaseleman5700 2 жыл бұрын
Mbona mumeo mkali sana
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 2 жыл бұрын
Hongera Diva a.k.a Raihnna 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🥀🥀🥀🥀
@user-eo7ug2tg9r
@user-eo7ug2tg9r 2 жыл бұрын
Mashaallah
@chuggaboy9877
@chuggaboy9877 2 жыл бұрын
Abdurazak, mtoto wa Sheikh Salum Darweish, wa Arusha Ngarenaro. Kila la kheri
@roseassenga5344
@roseassenga5344 2 жыл бұрын
Orrhrrrrrs arp an dowrn puuuu vingereza hivi 🙌🙌🙌
@gloriajulius829
@gloriajulius829 2 жыл бұрын
Ndoa ni jambo la kheri shida ni hizi mbwembwe Za mitandaoni
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 жыл бұрын
Kazi kwakweli
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 2 жыл бұрын
Mashallah ❤️
@aminaamina3972
@aminaamina3972 2 жыл бұрын
Mashallah
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 2 жыл бұрын
Hakuna sheria ya kukaa ndani wiki mbili. Imewekwa hiyo kwaajili ya wale wanawake waliokuwa bikra kwaajili ya kupumzika lakini sio lazima. Unaweza kuolewa asubuhi mchana ukenda kazini. Wewe mtangazaji kama Muislamu basi Muislamu jina tu. La sio Muislamu usishangae huo ndio usahihi. Na ndio uislamu unavyotaka hivyo. Sio kuchimba miaka kumi, mnazaa watoto kumi wakizeeka ndio mnakwenda kanisani. Kumbe huyu bibi sio Muislamu hata Alhamdu haijui msomesha hugo ndio kazi ya mume.
@saumhamisi7320
@saumhamisi7320 2 жыл бұрын
Mashallah Diva
@rehemhugos6709
@rehemhugos6709 2 жыл бұрын
Waoooo aliyaaaaa nakupenda
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 2 жыл бұрын
Nchi inawaigizaji wengi hii yani hata hao wamarekani wanaoigwa hawapo hivi!!! Hatari sn
@mwarimwagakitu475
@mwarimwagakitu475 2 жыл бұрын
Alafu jamani diva anahayaa mashaallaha aneeka uso chini mashaallaha ndiyo mwanamke atakikanavyo
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 2 жыл бұрын
Kaka nakuomba ufungue chennel yako kuwafundishe wanaume mapenzi
@reginachizi6638
@reginachizi6638 2 жыл бұрын
Kabisa
@aminambonja1751
@aminambonja1751 2 жыл бұрын
Mungu awabariki wapambe waumbuke
@nuuringoogle4104
@nuuringoogle4104 2 жыл бұрын
Tell them🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤️❤️❤️❤️
@fatmaabdi8813
@fatmaabdi8813 2 жыл бұрын
Iwe ya khery❤️❤️🔥
@beenismailofficialali2024
@beenismailofficialali2024 2 жыл бұрын
mash Allah good job Diva
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 2 жыл бұрын
Ikawe kheri💟💟 Mashalaah diva😅
@zeyounhabibty8587
@zeyounhabibty8587 2 жыл бұрын
Diva kanauongo uongo maskiiin Sheikh muekesawa hilo that's baaaaaaaad oh
@rayrayndiema
@rayrayndiema 2 жыл бұрын
DIVA!!! Kimbia!!! This man will CONTROL YOU🚩 🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Mashallah, nimefurahi sana kwa hii moment, Allah bless him all the time 🙏
@bjzee1981
@bjzee1981 2 жыл бұрын
Isije ikaja story ya Ohhhh ni muuza unga, mlamba unga, sijui mlamba sukari. Kama alivyo aibishwa Yule wa Esma
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah awajaalie mdumu kwenye ndoa yenu
@marychacha7084
@marychacha7084 2 жыл бұрын
Mwanaume anaongea vizuri sana,,unawezaje kumuacha? Dumisheni ndoa yenu acheni kusikiliza maneno ya watu
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 2 жыл бұрын
Yaani hadi raha ,allah awahifadhi daima
@lilianbryceson3076
@lilianbryceson3076 2 жыл бұрын
Tunzeni akiba Za maneno
@fatumasolange5250
@fatumasolange5250 2 жыл бұрын
Sijuwi bi mkubwa yupo katika hali gani maskini.mana week nzima ni wao tu kwenye mitandao. Ila Diva mbona uso wako wakwenye Instagram na hapa ni tofauti
@lulually5209
@lulually5209 2 жыл бұрын
Ndio huyu diva wa kwenye lavidavi au dadaake
@saimarmuhsin9578
@saimarmuhsin9578 2 жыл бұрын
Wallah I feel her pain kabisa ila namuombe Allah ampe subra ktk hilo
@habbyhalawa5266
@habbyhalawa5266 2 жыл бұрын
@@lulually5209 Dada yake weee ndio yy🤣😂😂😂🙌
@uwasesifa7563
@uwasesifa7563 2 жыл бұрын
Kwa nini Tanzania munapenda kuwowa wa wanawake wengi?not good behaviour
@madamehatibu9324
@madamehatibu9324 Жыл бұрын
Aliyerudi 2023 kuiangalia harusi baada ya kuachana tujuane
@mwajumakhamiss9764
@mwajumakhamiss9764 2 жыл бұрын
ManshaAllah Allah adumishe ndoa yenu
@angelfarijala5498
@angelfarijala5498 2 жыл бұрын
Congratulations
@baranyikwameddyamoross1162
@baranyikwameddyamoross1162 2 жыл бұрын
Duuh sheikh kweli umekuwa kipofu dini ipi hiyo sasa inje uchi ndani ujistiri duuh
@novyrenola4435
@novyrenola4435 2 жыл бұрын
Am sorry congratulations bbut this guy looks controlling and a narcissist,his body language when you talked about your boss speaks alot, careful, he will isolate you from people, he will control you from how you speak,dress and even the people you talk to including your money he will control that too if you ain't careful. and he is already in your head. Anyway all the best in your marriage, love is a beautiful bthing
@angelmdee4586
@angelmdee4586 2 жыл бұрын
exactly.. and they come real fast
@rayrayndiema
@rayrayndiema 2 жыл бұрын
I peeped that 👀 Oooh my goooosh!!!
@philipocharles8507
@philipocharles8507 2 жыл бұрын
Aaaah woooteeee
@sabitinaeastafrica5822
@sabitinaeastafrica5822 2 жыл бұрын
MashAllah congratulations 🎉
@rubenprince8990
@rubenprince8990 2 жыл бұрын
Shekh kapewa mashine ya moto ya diva
"MIMI KWELI NIMEMROGA DIVA" - MUME wa DIVA (ABDUL-RAZAK) AFUNGUKA
9:51
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 12 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 36 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 42 МЛН
🔴LIVE: SPORTS COURT NDANI YA WASAFI FM 20/8/2024
Wasafi Media
Рет қаралды 218
GIGY MONEY NA DIVA WARUSHIANA MANENO MAKALI STUDIO, UGOMVI MKUBWA...
7:29
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 12 МЛН