Marekani yasema haikulipa jeti iliyompeleka Rais Ruto Marekani

  Рет қаралды 45,035

KTN News Kenya

KTN News Kenya

28 күн бұрын

KTN NEWS LIVE
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on KZfaq - your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our KZfaq channel for more great videos:
/ ktnnewskenya
Follow us on Twitter: / ktnnews
Like us on Facebook: / ktnnewskenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live www.ktnnews.com/live
Watch KTN News www.ktnnews.com
Follow us on / ktnnews
Like us on / ktnnews

Пікірлер: 211
@naomikamau7561
@naomikamau7561 27 күн бұрын
That's what WSR calls living within our means
@Easymoneyman44
@Easymoneyman44 27 күн бұрын
Ktn wameamua 😂😂wamalize Ruto Kudos KTN🔥🔥
@salomenewsome4188
@salomenewsome4188 27 күн бұрын
It's the truth
@eddahwekesa1951
@eddahwekesa1951 27 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@user-Doktari7wanywele1
@user-Doktari7wanywele1 26 күн бұрын
Imgn kuenda na watu kama itumbi ,butita,njugus,wavinya ,waiguru na others these idiots are happy because using Kenyan taxation like water........lakini Kenya tulikosea wapi Kila mara tunachangua viongozi wakora Mungu Sasa tumekuanjia hii nchi you deal with these idiots......juu uangalie wakenya wanaumia na maisha mangumu uku hawana kazi,wengine watoto wao hawaendi shule kwa sababu hawana karo pia kunayo wengine walikumbwa ma mafuriko bado hawana makao 😢😢😢 haki nani hatakomboa Kenya hii😢😢😢😢😢
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 25 күн бұрын
wewe unaonaje kwa maoni yako
@rizikinassor5618
@rizikinassor5618 25 күн бұрын
Toba KTN rais Alie Shiba ni IBRAHIM traore bado ana land drover😮😮😮😮😮😳😳😳😳😭😭😭😭😭😭
@stephenmutinda9656
@stephenmutinda9656 27 күн бұрын
Tembea hadi na rocket
@mathekahenri7008
@mathekahenri7008 27 күн бұрын
😮😮😮😮
@amoschivumbe3058
@amoschivumbe3058 27 күн бұрын
A betrayal of the poor,hardworking people of Kenya.
@patrickmurunga4820
@patrickmurunga4820 27 күн бұрын
ITS almost One billion went to represent a poor country
@Edagwanathani
@Edagwanathani 27 күн бұрын
Ruto is "living within our means" Madaktari eleweni hakuna pesa 😂😂😂
@geraldngirimo8773
@geraldngirimo8773 27 күн бұрын
Kalenjins think this nation is there's....chezeni Na ushuru yetu kabisaaa..IPO siku kitaelewekaa
@awindaphilip
@awindaphilip 27 күн бұрын
Wenye walipiga kura waki wapi.
@mauriceogolla7346
@mauriceogolla7346 27 күн бұрын
Hii ni mzigo ya Mt. Kenya
@jairuscr7310
@jairuscr7310 27 күн бұрын
Ruto next time ataenda kusalimia mungu mbingumi , na mnajua ghara itakuwa kumbwa kuliko ya marekani 😅😅😅😅😅
@margaretwanjiku6793
@margaretwanjiku6793 27 күн бұрын
Sasa wewe unanifanya nicheke kwa nini🤣🤣🤣
@meshackomukaga8948
@meshackomukaga8948 27 күн бұрын
Hapo Sasa😂😂😂👏👏👏👏
@bbd359
@bbd359 27 күн бұрын
Hebu fafanunua zaidi😂😂 Kiunagaubaga.
@thomasnjuguna202
@thomasnjuguna202 27 күн бұрын
Jamaa ataumiza watu sana
@gww-px8vc
@gww-px8vc 27 күн бұрын
Tena sana. Na madaktari vile walipigwa chenga that theres no money 😮😢 plus look at how people have been displaced by floods hio pesa si ata heri ainue walala hoi😮😢. Also those accompanying him aren't any better at all they know well they're fellow kenyans are languishing in problems na wanafurahia kuenda hizo ma trip na pesa ya wakenya wenzao😮 sad indeed
@georgesalano5771
@georgesalano5771 27 күн бұрын
Nugu tena wanasema watenge committee ya kuchunguza hayo yote ndio tena pia wao wakule pesa kisha walete ripoti ya kishenzi....pesa imetumika si irudishwe tu bila uchunguzi, kwani alipanda forward travellers ndio receipts haziwezi patikana bila committee....!!?
@rogerslubanga5955
@rogerslubanga5955 27 күн бұрын
Our leaders are jokers
@FrancisMusyoka-pp3iv
@FrancisMusyoka-pp3iv 27 күн бұрын
Uhuru alionya wakenya
@gww-px8vc
@gww-px8vc 27 күн бұрын
Lol the 5th is 5th....ing
@homeoffavours
@homeoffavours 27 күн бұрын
Aki, sitaki ata kukumbuka
@SamuelNgeno-ri7fg
@SamuelNgeno-ri7fg 26 күн бұрын
Hiyo ni yenu na uhuru
@anthonykarungu1419
@anthonykarungu1419 27 күн бұрын
Na wale wanadhani analeta kitu yoyote ya maana endeleni kungoja, huyu anarudi mkono mtupu na degree zake feki za online. Ameenda kuona wafadhili wake na kujigamba na kile hakufanyia kazi. Wadosi wake wamemwita wale walimfadhili campaign juu ule anaelewa mwamerika anaogopa mchina hakuna jambo lingine sisi hatuko kwa mipango yake
@dandaggy066
@dandaggy066 27 күн бұрын
How can u tax poor citizens to pay unimportant safaris😢
@r..6842
@r..6842 27 күн бұрын
An average Kenyan has never even seen such a plane let alone touch it but they have to pay for ruto to use it ,shamee
@kmogere
@kmogere 27 күн бұрын
He should resign
@fatumaadam4271
@fatumaadam4271 27 күн бұрын
Ruto nikumaliza inchi ndio raha yake
@anthonykarungu1419
@anthonykarungu1419 27 күн бұрын
Pesa za school feeding programme zinatumika vizuri, wacha tuanze kujitegemea kama wazazi katika shule za umma. Na wale wanamsupport hapa wakisema alikua aende na nn, kumbuka vile alisema "living within our means" , wale wanaona ni sawa wacha watoto wasome njaa mkuu ajibambe vilivyo
@omarfarahjama
@omarfarahjama 27 күн бұрын
"Beggars arrive in style" 😊😊
@MamyHamso
@MamyHamso 27 күн бұрын
Sasa huyo ndio anafaa kuuwawa na izo ndege
@emmaculatekyakashow
@emmaculatekyakashow 27 күн бұрын
Gai mungu kuja kwetu
@meshackomukaga8948
@meshackomukaga8948 27 күн бұрын
Kufanya nini?...kuleni ujeuri wenu ...niliwawarn😂😂😂😂
@user-lq3xu7kl2i
@user-lq3xu7kl2i 27 күн бұрын
Niko hpa
@sylviaakinyi310
@sylviaakinyi310 26 күн бұрын
Ni maobi si ushawi ruto hoyeeee😂😂😂😂😂
@alexmudegu9366
@alexmudegu9366 27 күн бұрын
What are we whith kenya Airways pride if the he doesn't recognise it
@bendetermbesa702
@bendetermbesa702 27 күн бұрын
Huyu atatumaliza
@user-vl1ve3pl2x
@user-vl1ve3pl2x 27 күн бұрын
Kamati maalum iwekwe ili wao pia wakule yao 😂😂😂
@mrpain158
@mrpain158 27 күн бұрын
Kenya iko na wenyewe pia wao wakule poor kenyans tuko wapi.??
@morelyfrancis2284
@morelyfrancis2284 26 күн бұрын
😂😂😂wow
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 27 күн бұрын
Hili lijitu ruto lina kiburi kushinda nebkadness, lakini iko siki yso itafika tutaendea majivu kwa ocean tuzike
@martinmutie3941
@martinmutie3941 27 күн бұрын
He carried hustlers to America which is good for our economy
@josphatosiagi8919
@josphatosiagi8919 27 күн бұрын
Kenya kna pesa matumizi ndo hakna
@ashleyluyai3509
@ashleyluyai3509 26 күн бұрын
Huyu zakayo anatumaliza wa Kenya kwani anafikiria sisi ni watoto wake
@wambugumichael1130
@wambugumichael1130 27 күн бұрын
I totally agreed with this
@RonaldOla
@RonaldOla 27 күн бұрын
Bro Ruto anaweza afford 😅 na mfuko yake
@BenardOdhiambo-zu3rg
@BenardOdhiambo-zu3rg 27 күн бұрын
Ghai!, Hussein Mohammed, ndo anapanga hivi vyote, God have mercy on Kenyans 😢😢😢
@baddie78
@baddie78 27 күн бұрын
Ok, this is wrong at all levels. Who is Mrs. Ruto’s stylist anyway? They even failed to dress her properly! Walking around in that big red chicken dress left many neuseating😅
@totodavis1949
@totodavis1949 27 күн бұрын
Hii sasa ndoo inafaa mandamano tuwangojee Airport na viboko wasirudi bila kurudisha pesa zetu😢
@evanskirangi4664
@evanskirangi4664 26 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@nicholuskiilu5519
@nicholuskiilu5519 27 күн бұрын
Chebukati is to blame for this slogan of "living within our means"
@rogerslubanga5955
@rogerslubanga5955 27 күн бұрын
Alafu mtoe tax Kwa mkate
@jairuscr7310
@jairuscr7310 27 күн бұрын
Mm Niko sawa na muthokoi mkate please tuachie matajiri. Weeeh Kenya ni kubaya sasa.
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 27 күн бұрын
Mambo mazuri harambee peace love na unity iendelee sio Hustlers Fund
@jameswamainabisswa8182
@jameswamainabisswa8182 26 күн бұрын
Eh 200M trip, and lets pay taxes for such development...wow
@anthonykariuki2438
@anthonykariuki2438 26 күн бұрын
Tumeuoana mkono wa bwana, ''ni mungu tu''
@emmakwamboka107
@emmakwamboka107 27 күн бұрын
Am feeling sorry for those who where screaming hustler juu hustler
@fatumaadam4271
@fatumaadam4271 27 күн бұрын
Pesa tunasanya yy anamaliza 😢
@perisnekesa8117
@perisnekesa8117 27 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@Bennymwangaza
@Bennymwangaza 27 күн бұрын
Safi sana
@malikibrah2602
@malikibrah2602 27 күн бұрын
Anapandisha mkate zitoshe za kuenda atlanta 😮so sad
@davidlyamboko7477
@davidlyamboko7477 27 күн бұрын
Security my friends, not just a matatuu, we don't need another Iran mourning. God be with everybody.
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 27 күн бұрын
Tell them my friend
@Ibrahim-Mohamud
@Ibrahim-Mohamud 27 күн бұрын
When day comes you will go whether you are in a matatu or hustler jet.
@mosesmutunga2644
@mosesmutunga2644 27 күн бұрын
Ruto is wise .many assassin's happening.haezi pagiwa ma usa
@motherinlaw2008
@motherinlaw2008 27 күн бұрын
Bread tax nilazima sasa. Tutajua hatujii😢
@user-ok7rn2np5o
@user-ok7rn2np5o 26 күн бұрын
LET. RUTOS. FAMILY. GO. SHOP. WITH. OUR. MONEY. # TAX. BREAD.
@SwalehSaleh
@SwalehSaleh 27 күн бұрын
Mobutu wa Kenya
@shhjab3621
@shhjab3621 26 күн бұрын
Kwa hivo amedanganya???😮😮😮
@bbd359
@bbd359 27 күн бұрын
Kwani siku hizi😂 Kulipa tu ticket ya US ni 200 milion 😢
@samuelndegwamburu3273
@samuelndegwamburu3273 25 күн бұрын
Kwani tulichagua Nani, Haki 2027 haiko mbali, haki tusifanye makosa tulifanya
@MargaretImali-oe9yr
@MargaretImali-oe9yr 25 күн бұрын
Wachana na ulongo wa huyo mwizii hamuja wai kuamini eti ruto murongo na nimwizi shenzi kabisa
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 26 күн бұрын
Tembea kabisa hayo maendeleo peleka mt.kenya na nandi
@simoenkarisa3179
@simoenkarisa3179 27 күн бұрын
Si mnasemaje kenya haina pesa ndo mnaongeza ushuru
@fatumaadam4271
@fatumaadam4271 27 күн бұрын
Ruto is a waste hana huruma
@jamessila3219
@jamessila3219 27 күн бұрын
Wakenya pamoja na Ruto jamani
@SomoIya-qh7jz
@SomoIya-qh7jz 27 күн бұрын
🎉❤❤❤❤
@alextercisio
@alextercisio 27 күн бұрын
Ruto hapo umetucheza Sana
@user-ok7rn2np5o
@user-ok7rn2np5o 26 күн бұрын
Our Tax Money. Plus. Money Of Bussiness. Affordable. Houses
@mrpain158
@mrpain158 27 күн бұрын
Gachangua should have resigned...Tunjue kenya ni ya nani??
@eddahwekesa1951
@eddahwekesa1951 27 күн бұрын
Imagine am a Kenyan 🇰🇪, but the way I am you can not realised that l came from Kenya because most when it is time for good news i normally switch off my television,,,,,,,,
@agnesnyambura8928
@agnesnyambura8928 27 күн бұрын
Woiii hata mimi
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist 27 күн бұрын
Watu wa mlima huyu ni nani mliweka kwa kiti🫢🫢🫢🫢🫢
@jacoboduol4041
@jacoboduol4041 27 күн бұрын
Give our president time buana!
@Muiaerick88
@Muiaerick88 27 күн бұрын
Mlisema n bottom up 😂😂😂😂
@PatrickMwinzi-iv5mb
@PatrickMwinzi-iv5mb 27 күн бұрын
Hiyo pesa jaman mzigo wa wakenya walipie watu pesa wakatembee
@user-cm5wc7fy8c
@user-cm5wc7fy8c 27 күн бұрын
These complainants are the ones having the power to stop this but wakipewa million moja moja hyo story inaisha 😏😏
@gww-px8vc
@gww-px8vc 27 күн бұрын
Aki tena
@anthonyochieng1446
@anthonyochieng1446 27 күн бұрын
Ruto na watu yake, walienda kujibamba.
@elphasgovedi
@elphasgovedi 27 күн бұрын
Next atasafiri kwenda mbinguni na rocket kusalimia Mungu. Living within our means WSR.
@Bennymwangaza
@Bennymwangaza 27 күн бұрын
Panda hadi nuclear
@kennedykijogi2547
@kennedykijogi2547 27 күн бұрын
Tano tena, we love you
@dandaggy066
@dandaggy066 27 күн бұрын
I don't think anyone can vote ruto😢
@user-sl2ll6yq7o
@user-sl2ll6yq7o 27 күн бұрын
Hii urais sio kuma ya mamako unasema tano tena
@ellymajuma1547
@ellymajuma1547 25 күн бұрын
Muliambiwa Ruto ni mwizi na mkakataa kusikia sasa Leo mumeona badala ya kulipa madactari anachukuwa 1m kwa trip
@lazarusmugo5090
@lazarusmugo5090 27 күн бұрын
Ni wakati yake 2027 Aiko mbali tutakuwa naye Sako kwa bako
@ayubo135
@ayubo135 27 күн бұрын
Mamamamama yooooooo weeeee eiiiiii , ati wewe nasema milioni mia ngapi one way ? Tafadhali sema tena mimi sijasikia yeye 😮😮😮
@danielkimani5720
@danielkimani5720 27 күн бұрын
Tano tena
@ochikoja
@ochikoja 27 күн бұрын
You want him to be like that 'lord of poverty' 😂😂
@Ibrahim-Mohamud
@Ibrahim-Mohamud 27 күн бұрын
Stupid comment.
@zuberilekengere5763
@zuberilekengere5763 25 күн бұрын
Nawapongeza wakenya kwa kujitambua na uhuru wa bunge lao la wananchi wa kuhoji pesa anaye tumia rais wao ingekuwa Tanzania Wala hayo tusingesikia na ukisikia hatuna bunge la kuhoji
@DavisAndler
@DavisAndler 25 күн бұрын
Ruto amekua Kenyan Prince tena 😮
@jameskimani6850
@jameskimani6850 27 күн бұрын
Ruto anafikilia ataingia 2027 akitumia pesa hana haja na wananchi
@Edagwanathani
@Edagwanathani 27 күн бұрын
Tumechoka na makamati kuundwa kukula pesa zetu. Kodi😭😭Kenyans must wake up &take back their country from the oppressor. West Africa is on 🔥🔥
@Maxmobi
@Maxmobi 27 күн бұрын
600 million for Rig G house 6 billions for State house. Kindly who ever in government position steal do corruption of high degree steal if you can
@silkmelly6926
@silkmelly6926 24 күн бұрын
Wah na watu wako na mauchungu...ata butita sualiiii😮
@rosalineruguru2816
@rosalineruguru2816 27 күн бұрын
Lol....😂😂
@United-Bantu-People
@United-Bantu-People 27 күн бұрын
Kenya ni nchi tajiri hapa EA ,hiyo hela kwetu ni kitu ndogo sana,tuendelee kulipa kodi,by the way ile bati inayovuja pale JK airport imetengenezwa kwa shs ngapi?
@johnmwangi8998
@johnmwangi8998 27 күн бұрын
No money for feeding program me for poor children, free primary education,jss, doctors but money for kuponda Raha.Kenya is headed to a very very direction.Then you hear the president comparing Kenya and usa economically.
@khammadjeffa515
@khammadjeffa515 27 күн бұрын
Mwataka kamati iundwe ili mzidi kutumia tena pesa, mwataka kuchunguza nini.
@Ondiekiatika2020
@Ondiekiatika2020 27 күн бұрын
200 million we are doomed
@franciskiarie3396
@franciskiarie3396 27 күн бұрын
This guy is sick Acha aenjoy before akufe
@Bennymwangaza
@Bennymwangaza 27 күн бұрын
Panda hadi nuclear baba😅😅😅
@robertokeyo2877
@robertokeyo2877 27 күн бұрын
Wasungu wanatuonaja?
@paulmogire4656
@paulmogire4656 27 күн бұрын
Ktn 😅
@yegonhillary3267
@yegonhillary3267 27 күн бұрын
Other things seem to be nonsense
@hidayasaidi7872
@hidayasaidi7872 27 күн бұрын
Munguwangu naasemakenyahainapesa yeyeanakulabata huyuhaijengikenyaanabomoa azirudisheeeee jambazimkubwa mashambaanachukuapesapia eeuwiiiiiii
@Alfredmusa24
@Alfredmusa24 27 күн бұрын
Akitaka aende Iran kwenye msiba wa rais
@Madizizi
@Madizizi 27 күн бұрын
Mungu ijaalie Tanzania🇹🇿 yangu
@eddahwekesa1951
@eddahwekesa1951 27 күн бұрын
Ni Kenya 🇰🇪 siyo Tanzania 🇹🇿 jamani
@Madizizi
@Madizizi 27 күн бұрын
najua
@GeradinaJohn-xh8pw
@GeradinaJohn-xh8pw 25 күн бұрын
Bado hamjasema anyway every start has an end let's wait for an end
@kevinkemboi3419
@kevinkemboi3419 27 күн бұрын
Do you expect president to travel with public means you Kenya people are crazy give Ruto a break
@georgesalano5771
@georgesalano5771 26 күн бұрын
KEMBOI
@mercymwabonje9953
@mercymwabonje9953 24 күн бұрын
Kemboi wa gulf😂
@zaveriamwai763
@zaveriamwai763 25 күн бұрын
MATHARE NO 10 wamebomolewa leo💔💔💔💔💔💔
@user-ts7ch8hu9b
@user-ts7ch8hu9b 27 күн бұрын
Thieves, shakahola, destroyer, are what we elected, I think even the Kenya title deed,is missing 😢😢😢😢😢😢
@daviskuntai7797
@daviskuntai7797 27 күн бұрын
Butita na Njungush
@TechPulseHub254
@TechPulseHub254 27 күн бұрын
Let the president enjoy you can also go to tz
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 27 күн бұрын
Are you out of your tiny mind? What has Tz got to do with this,? Leave them and their miseries whatever they are out of this.
Visa Conspiracy: Visa fraud at the US Embassy in Nairobi
34:15
KTN News Kenya
Рет қаралды 2,1 М.
PINK STEERING STEERING CAR
00:31
Levsob
Рет қаралды 20 МЛН
Василиса наняла личного массажиста 😂 #shorts
00:22
Денис Кукояка
Рет қаралды 6 МЛН
🔴 Al Jazeera English | Live
Al Jazeera English
Рет қаралды 5 М.
Safari ya rais Ruto kwenda Marekani imekuwa ikizua mjadala
4:01
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 2,3 М.