No video

MARIANA TRENCH: SEHEMU YA BAHARI YENYE KINA KIREFU ZAIDI, INATISHA, WATU 3 TU NDIO WAMEWAHI KUFIKA!

  Рет қаралды 119,753

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MARIANA TRENCH: SEHEMU YA BAHARI YENYE KINA KIREFU ZAIDI, INATISHA, WATU 3 TU NDIO WAMEWAHI KUFIKA!
Waswahili wanakwambia tembea uone! Yapo baadhi ya mambo ukiyasikia, unaweza kudhani ni simulizi za kusadikika au hadithi za Esopo lakini ni kweli yapo, tena katika dunia hii tunayoishi mimi na wewe.
Bila shaka umesikia sana kuhusu mlima mrefu zaidi duniani, Mlima Everest uliopo katika mpaka kati ya Nepal na China ambao urefu wake ni mita 8,849 kwenda juu. Bila shaka pia umesikia habari nyingi kuhusu Mlima Kilimanjaro uliopo Moshi kwa ndugu zetu Wachaga, ambao ndiyo mrefu zaidi barani Afrika, ukiwa na urefu wa mita 5,895.
Hiyo ni baadhi tu ya milima mirefu iliyopo juu ya uso wa ardhi! Ukiachana na milima, pia yapo mabonde yenye kina kirefu kwenda chini kwenye uso wa dunia, mfano mwepesi ukiwa ni Bonde la Ufa ambalo limepita katika maeneo mbalimbali ya nchi ya Tanzania.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 91
@boniphacewambura1427
@boniphacewambura1427 2 жыл бұрын
Inatosha kweli Lakini bwana weeeeh sauti Kali na imetulia sana salute to u brother
@carlixtz4594
@carlixtz4594 2 жыл бұрын
Bwanaweeh😅
@mkarawizemtasher4897
@mkarawizemtasher4897 2 жыл бұрын
Yaani Ni hivi sio rahisi kutaka kujua kila alichokiumba mungu ukijue vingine vimewekewa mipaka ili M/mungu abaki kuendelea na ukubwa wake, hv hujiulize hiyo sehemu Mariana trench inamgandamizo mkali wa hewa kiasi, kwamba akipelekwa binaadamu lazima apasuke na kuchanikachanika na hao samaki wanaoishi au viumbe vinavyoishi huko kwanini haviwi katika Hali hiyo, M/mungu mkubwa mwana sayansi mwenye elimu zote, nyingi, zaidi, zozote na nk
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 2 жыл бұрын
Makala hii inavutia sana pongezi kwenu; mwandaaji & msimulizi.
@frankvianey2438
@frankvianey2438 3 ай бұрын
Hii inazid kuthibitisha Ukubwa wa Mwenyezi Mungu
@micamathew2595
@micamathew2595 2 жыл бұрын
Hii sehemu ni geto ya shetani sasa cjui ww mwanadamu unaenda kutafuta nini huko, utakuja kukutana na mtu mwenye masikio marefu kuliko kichwa na meno nafuu ya tembo, sasa cjui utaharisha au utadedi!!! Shauri yako!!!
@encernstudios3745
@encernstudios3745 2 жыл бұрын
Gheto ya shetani😂😂😂
@rehemafungo7387
@rehemafungo7387 Жыл бұрын
😂
@rehemafungo7387
@rehemafungo7387 Жыл бұрын
😂
@micamathew2595
@micamathew2595 Жыл бұрын
@@rehemafungo7387 hahahahaaa
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 3 ай бұрын
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha. Eti "Ghetto la shetani" nimecheka😂😂😂😂😂
@ezirayudayuda8627
@ezirayudayuda8627 2 жыл бұрын
Lakini Bwana weee unasimulia vizuri sana
@carlixtz4594
@carlixtz4594 2 жыл бұрын
😅 bwanaweeh
@gadiyemarciano1750
@gadiyemarciano1750 2 жыл бұрын
Wangap wamevutiwa na neno bwanawee!!!!
@simenokiunga7169
@simenokiunga7169 2 жыл бұрын
😅😅😅 yuko vyema bwana weeh
@aishatarimotarimo2689
@aishatarimotarimo2689 2 жыл бұрын
Mm nampenda mpaka basi saut yake inanimaliza wallah
@dunstunnchimbi7994
@dunstunnchimbi7994 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 hiyo ndo huwa inanifanya nitafte video zake bwana weee
@petromgaya6925
@petromgaya6925 Жыл бұрын
❤️
@joshuachengo9618
@joshuachengo9618 2 ай бұрын
Mm apq
@abuumarashi6769
@abuumarashi6769 2 жыл бұрын
ALLAHU AKBARU
@swabiaa1489
@swabiaa1489 3 ай бұрын
Woi wa2 wanahangaika kufukunyua ukubwa wa mungu mengine tumuachie mwenyew🙌
@ibrahimmjumbe9934
@ibrahimmjumbe9934 Жыл бұрын
Mungu ni MKUU SANA 🤲🤲
@Pascal1122
@Pascal1122 2 жыл бұрын
Duuuuh naipenda simulizi hili nikuwa Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@ibrahimmawazo5077
@ibrahimmawazo5077 10 күн бұрын
Sasa kama mungu wangu ninae muomba ndie mmiliki wa hivi vyote kwanini niogope vitimbi vya walimwengu!!!
@maraclara1882
@maraclara1882 2 жыл бұрын
Wow so good, so nice ❣️❣️😘😘
@johnkasambula345
@johnkasambula345 2 жыл бұрын
Nakukubali sana brother
@yohanadioniz
@yohanadioniz 2 жыл бұрын
Stori nzuri, mpangilio mzuri, ila Voice Over Artist anasikika kabisa anajikamua anataka afanane na watu fulani, Ana sauti nzuri awe yeye asitake afanane na Jamal, wala mtu mwingine...Pia matumizi ya Mic Ni nchi moja umbali kati ya mdomo na mic ili kuepusha pop up sound and blasting...Kadri unavyokua karb na mic ndo unavyoharibu usikivu na ubora wa sauti...All in All Kazi njema
@MartinSimba-dg5qc
@MartinSimba-dg5qc 3 ай бұрын
Aya ni maajabu ya mungu
@MartinSimba-dg5qc
@MartinSimba-dg5qc 3 ай бұрын
Wacheni mungu aetwe mungu
@peninacharles9757
@peninacharles9757 2 жыл бұрын
Eeeeh Bwana weeeeh
@ibrahimsaidi5068
@ibrahimsaidi5068 Жыл бұрын
Mungu fundi
@IsmailElmazroui
@IsmailElmazroui 3 ай бұрын
Allah Akbar
@user-db7kj4qd3k
@user-db7kj4qd3k 3 ай бұрын
Hii ni Sanaa mpya katika ulingo wa utangazaji
@juliusnthenge9326
@juliusnthenge9326 2 жыл бұрын
I love to learn whatever I didn't know
@sifaomary1490
@sifaomary1490 2 жыл бұрын
Kazi nzuri mchungaji
@JacquesNamusimba-vz2ps
@JacquesNamusimba-vz2ps 3 ай бұрын
Ok
@bensonbenezeth
@bensonbenezeth 2 жыл бұрын
Mmenikumbusha mbali mesopelagic zone
@jeniphambuligwe-if1ys
@jeniphambuligwe-if1ys 3 ай бұрын
🎉🎉
@PeterMagoye
@PeterMagoye 3 ай бұрын
Aisee ngoja nianza kutubu kama simulizi ndio inatisha hv je ukifika huko na kuanza kuchomwa itakuaje waaaaiiiii
@gladnessshola2718
@gladnessshola2718 2 жыл бұрын
Waooo makala nzuri sana inavutia
@carolyneogall8967
@carolyneogall8967 2 жыл бұрын
Waa nihatali
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Жыл бұрын
Mungu yeye Ni mwanzo Na ndo mwisho Jina Lake litukuzwe.
@meryclauz9147
@meryclauz9147 Жыл бұрын
Am hear today wat a good story 👏👏
@alexmachare6495
@alexmachare6495 3 ай бұрын
Bwanawee is typing.
@fadhilidaudi6260
@fadhilidaudi6260 2 жыл бұрын
Allah mkubwa
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 2 жыл бұрын
Jamaa unajua kunogesha kipindi
@user-co4mu1rh4x
@user-co4mu1rh4x 11 ай бұрын
GOD is great
@frankkashamakula838
@frankkashamakula838 2 жыл бұрын
Hakuna geto la shetani wala nni Tusome Geography kwa sana
@ibrahimsaidi5068
@ibrahimsaidi5068 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Жыл бұрын
Asante studios
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 2 жыл бұрын
Atimaye tumempata mpizani wa Professor Jamal. Lete nondo kama izi ili tujifunze ambayo atujafunzwa shule
@dumelatembo6802
@dumelatembo6802 2 жыл бұрын
TULETEE PHILADEPHIA XPERMENT
@NajmaSokiro
@NajmaSokiro 22 күн бұрын
Marks zako mcmliaji 2:40
@makiniproduction6975
@makiniproduction6975 2 жыл бұрын
Bwanaweee
@carlixtz4594
@carlixtz4594 2 жыл бұрын
😅dah napenda kwl anavyoisema
@henrylugendo280
@henrylugendo280 Жыл бұрын
Good story
@ewhite2806
@ewhite2806 Жыл бұрын
Ila kwenye BBC news jamaa kama kina kirefu Zaid Cha bahari na hata hakutishi kama unavyoelezea.
@hasanikabelwa
@hasanikabelwa 2 ай бұрын
Bwanawee!
@abdulkhalk4989
@abdulkhalk4989 2 жыл бұрын
Mungu mkubwa
@bornfaceisaalivisonisaa7495
@bornfaceisaalivisonisaa7495 2 жыл бұрын
Huko sio sehem yamasiara kabsa
@masudymanju6062
@masudymanju6062 Жыл бұрын
Taqbill Allah akbal
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 2 жыл бұрын
Baharini sehem kama izoo wanakaa majini bahar
@frankdanford8245
@frankdanford8245 2 жыл бұрын
Sawa bwana wee endelea kutupa elimu bwana wee.
@Bosezizunae
@Bosezizunae Ай бұрын
Mungu ni mkubwa
@logaloga5077
@logaloga5077 Жыл бұрын
Allah fundi mno
@Movieshubtheater
@Movieshubtheater 3 ай бұрын
Kama kuna kelele labda ni dampo la makelele ya dunia kama umbeya nk
@masudymanju6062
@masudymanju6062 Жыл бұрын
Allah akbal
@aishatarimotarimo2689
@aishatarimotarimo2689 2 жыл бұрын
Jaman nili imiss hii saut jaman
@sebastianherman607
@sebastianherman607 2 жыл бұрын
Hataaari
@blezywatino1043
@blezywatino1043 4 ай бұрын
Inapatikana Bahari gani?
@binseif2216
@binseif2216 3 ай бұрын
Mariana trench bahari ya pacifiki
@shabaniramadhani714
@shabaniramadhani714 2 жыл бұрын
Kwel dunia ana maajabu
@mgasa_tz5527
@mgasa_tz5527 2 жыл бұрын
Makazi ya shetani hayo 😆😆🤣
@gandeone1585
@gandeone1585 2 ай бұрын
8848 au 8849?
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
Huyo unae msikia ni Sasaki anaeitwa Siri.
@MartinSimba-dg5qc
@MartinSimba-dg5qc 3 ай бұрын
Ina pendeza sana kwani tuna soma kitu
@meddytoto93
@meddytoto93 2 жыл бұрын
Sasa Bwanaweeee😂😂😂
@ZachariahPesambili
@ZachariahPesambili 3 ай бұрын
Hahah😂😂😂😂 mashetani yapo
@sadickmwangamba8136
@sadickmwangamba8136 2 жыл бұрын
Yoooshi.
@edgarnandonde48
@edgarnandonde48 2 жыл бұрын
bwanaweee kumbe🤔🤔🤔
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 3 ай бұрын
Hilo neno ebwanaawee linatisha
@hamisinalinga6104
@hamisinalinga6104 Жыл бұрын
Bwanaweee😅
@saimonmkama4774
@saimonmkama4774 2 жыл бұрын
Baaaaaaa, bwanaaa weweee 🙄
@ghottaman2570
@ghottaman2570 3 ай бұрын
Muumba kaumba
SHERIA ZA KOREA KASKAZINI ZITAKUACHA MDOMO WAZI
17:01
Global TV Online
Рет қаралды 824 М.
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 19 МЛН
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 93 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 19 МЛН