MARIOO afunguka alivyowekwa kati na BIFU ya DIAMOND na ALIKIBA 'Namheshimu SIMBA lakini' - PART 1

  Рет қаралды 55,278

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

7 ай бұрын

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.com/store/apps/de...

Пікірлер: 124
@juniorsonofgod5675
@juniorsonofgod5675 6 ай бұрын
Dogo anajiamini sana, namuona mbali sana huyu kijana. Hongera sana toto bad. Umeongea ukweli tena kwa confidence zakutosha.
@Emp.recordstz
@Emp.recordstz 6 ай бұрын
Hii ndo Interview Ya kwanza ya Marioo kuwahi kufanya kubwa 🎉 nimependa namna anavyo jibu coz kakutana na mtu ambae amemuuliza anavyo takiwa kuulizwa aisee salute sky
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 6 ай бұрын
Wangapi tunaompenda marioo tujuane Kwa like na comment
@user-go1ff9wk5n
@user-go1ff9wk5n 6 ай бұрын
Marioo unajua sana ila hauko very explain kama hata ukiskia kusah anavohojiwa me nakuelew sana ila nliona show ya kusah ya uku Kenya aisee wakenya almost nyimbo za mchizi wanaimba tuu kwenye show ila ww umekubarika bongo sana jamaa alipga I wish mademu wanalia mzeee
@jamesnkumbila5937
@jamesnkumbila5937 6 ай бұрын
Marioo ana confidence sana...namuona mbalii
@gracewairimu800
@gracewairimu800 6 ай бұрын
NAPenda sana ngoma za Mario karibu zote!! Ila nlicho gundundua jamaa nim binafsi sana na his over confidence which is not bad,kila mtu na weakness zake
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb 6 ай бұрын
Mimi ni fans wa diamond ila uju janja ana baya na anaujua mziki sana 👏na hana majigambo hongera kwa hilo
@sifatiiman
@sifatiiman 6 ай бұрын
​@SHILOWOLOBOE😂😂😂
@hadley_davidson4734
@hadley_davidson4734 6 ай бұрын
I love your songs Marioo ❤
@edithhassan4196
@edithhassan4196 6 ай бұрын
Hongera Marion na Bundala interview nzuri
@JamilaHassan-xl4sn
@JamilaHassan-xl4sn 6 ай бұрын
Ila watu asa harmonize amekujaje humu 😂😂😂😂 achen makasiriko kila msanii ananafas yake 😊
@frankvianey2438
@frankvianey2438 6 ай бұрын
Umetisha sana kaka sky
@ntupwadevoice
@ntupwadevoice 6 ай бұрын
My favorite ❤️
@iddyusuph-df6es
@iddyusuph-df6es 6 ай бұрын
Msanii bora wa mwaka
@user-fp5fp6wg9n
@user-fp5fp6wg9n 6 ай бұрын
Marioo namkubal sana ananafas kubwa kwene bongofleva
@digitaltanzania
@digitaltanzania 6 ай бұрын
Safi sana 🙌🙌🙌
@deejaytripletv6167
@deejaytripletv6167 6 ай бұрын
Marioo is very very talented an he’s my all time favorite
@BrianKyai
@BrianKyai 6 ай бұрын
Kaka sky walker napenda sana unachofanya lakini ukiwa unaapload video zako tafadhali check the sound kama iko vizuri maana kuna interview umefanya na dayoo sauti ya mbwa akibweka inasikika
@gohome2k194
@gohome2k194 6 ай бұрын
sky next time kuwa nae makini anakimbia maswali huyo bwanaa🤣🤣🤣🤣
@azizikidevu8404
@azizikidevu8404 6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 tufanye na mzee wa burudaaa brooo 🔥🔥
@alliancendabarushimana4570
@alliancendabarushimana4570 6 ай бұрын
Bado sana msani anaefanya vizuri lazima apate show za inje
@sifatiiman
@sifatiiman 6 ай бұрын
wewe uko wapi uende uko nje 😂😂😂
@soundmale
@soundmale 6 ай бұрын
Mm ni team wasafi lkn sina kinyongo na marioo lkn konde gang shenzi time😁
@FaridAbdallah-gy7er
@FaridAbdallah-gy7er 6 ай бұрын
Huyu ndie mlithi wa Simba lama Simba dangote haujuiii baada yake ni @marioo toto bad km mnabisha nendeni mahakamani mkanishitaki
@KwizerJackson-is7fh
@KwizerJackson-is7fh 6 ай бұрын
Nikweri simba ni simba Hata Mario ni mkubwa kiriko msheji harmnaiz
@djmosikahayo
@djmosikahayo 6 ай бұрын
ASANTE GOOD SONG 🎧 2023
@phinias.zacharia5657
@phinias.zacharia5657 6 ай бұрын
Broo unajua sana na nakuona mbali ila kuna ktu Kimoja usahau omba collabo na diamond utafika mbali na international utafika Hilo tu usisahau huyu simba akiacha mzk ndio basi tena
@mrsinia3064
@mrsinia3064 6 ай бұрын
Kwan simba ni nan hasa bora ata ungesema harmonize
@user-hm3qm2nf1v
@user-hm3qm2nf1v 6 ай бұрын
Ameshafanya ila mondi amembania nyimbo hadi leo haijatoka
@phinias.zacharia5657
@phinias.zacharia5657 6 ай бұрын
Harmonize kashafanya nae ile nyimbo imehit kwetu tanzania sio nje
@aaronagyanofficial
@aaronagyanofficial 6 ай бұрын
Marioo kiboko yao
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 6 ай бұрын
Marioo ana jielewa sana
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 6 ай бұрын
Huyu jamaa kwa sasa kapoteza mvuto kwa mashabiki sio kama.kipindi cha nyuma
@Neworder11
@Neworder11 6 ай бұрын
Anavimba sana
@sifatiiman
@sifatiiman 6 ай бұрын
labda wewe ndio umepotea kumshabikia ila mimi na wanangu tunasema hana baya tajiri 🎉
@eliusjulius3531
@eliusjulius3531 6 ай бұрын
Kijana Ana nidhamu sana huyu
@allyandonnesimbananiye8872
@allyandonnesimbananiye8872 6 ай бұрын
Ali n'a omari# nasibu n'a juma
@King_186
@King_186 6 ай бұрын
Uko vzur mdogo wangu kwa sbb unajua ukubwa wa Diamond katka muzik wa Tanzania,unakiri amefanya mambo makubwa hii inakufanya uende mbali
@sifatiiman
@sifatiiman 6 ай бұрын
kwamba yeye ndio mungu eti 😏tanzania kwa kuabudu masanam 🚮🚮
@NeemaSteven328
@NeemaSteven328 6 ай бұрын
Big up marioo 🫶🏼
@salumndayishimiye4472
@salumndayishimiye4472 6 ай бұрын
Nakukubali sana ❤
@saluuhans
@saluuhans 6 ай бұрын
#Fundi Marioo is🔥
@mrsinia3064
@mrsinia3064 6 ай бұрын
Nice interview ✅✅
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 6 ай бұрын
🤣🤣🤣Hivi nimeona vibay au Marioo kavaa kipini puan 🤭
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 6 ай бұрын
Kwani ukiwa msanii lazima utoboe pua? Au ni ushamba wangu tu
@Duanny-jm8fr
@Duanny-jm8fr 6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-xs9ir3tx9f
@user-xs9ir3tx9f 6 ай бұрын
Bad MTU wangu ❤❤
@user-ch3ku3yx2z
@user-ch3ku3yx2z 6 ай бұрын
Kibodi kinakuja sio kama kitambo mwamba na bg nyingi ziende kwa pau
@aminammbaga7736
@aminammbaga7736 6 ай бұрын
No one is talking about his nails😂
@FelixTsuma
@FelixTsuma 6 ай бұрын
Shida mario anajilinganisha na akina simba....anajipoteza heri apige mziki wake tu
@jimmykazibulaya4106
@jimmykazibulaya4106 6 ай бұрын
His good the guy
@anitakamene4656
@anitakamene4656 6 ай бұрын
Nice
@NdakhiSusu-qz9md
@NdakhiSusu-qz9md 6 ай бұрын
Haujui
@suleymanmakiwa1651
@suleymanmakiwa1651 6 ай бұрын
Kwa mbaaaaaaali jamaa ana kidada
@user-mh3se6gh9k
@user-mh3se6gh9k 6 ай бұрын
akili ya marioo imekua
@johnmandog5636
@johnmandog5636 6 ай бұрын
Hio nyimbo anayo semea Mario n nyimbo ya ray inaitwa no1 ft zu
@lapozzydone5203
@lapozzydone5203 6 ай бұрын
Sky juzi tulikupa orodha yetu kama Wana SNS kwa nyimbo zetu Bora za mwaka 2023.. Lakini mpaka leo ukutupangia yupi no.1 mpaka no.10 kulingana na orodha ya Wana SNS .. Ulitakiwa uipange orodha hiyo kama nyimbo pwendwa za mwaka 2023 kulingana na Wana SNS.. Sky rudia zile text zetu uone ni yupi alipewa kibao mbele zaidi na Wana SNS akae no.1 then anae fuata awe no.2 hivyo hivyo mpaka 10.. Tunataka kumi Bora ama 20 Bora kutoka kwa Wana SNS... please lifanyie kazi jambo hili sky.. Ni Lapozzy de Done kutoka Kenya Mombasa county 001.
@georgeMsema-rz1yu
@georgeMsema-rz1yu 6 ай бұрын
br marioo !
@eliusjulius3531
@eliusjulius3531 6 ай бұрын
Jamani laizer mbona ulikula pesa ya mariooo😂😂😂
@noelkisonga5534
@noelkisonga5534 6 ай бұрын
Huyu jamaaa.mziki anaujua anamzungumzia Diamond kwa sa babu ameulizwa. Lakinia anampenda Harmonie .awe makini
@MtuSafi
@MtuSafi 6 ай бұрын
awe makini kwenye lipi?...Kwann mnataka kila mtu amsifie diamond eleweni kuna moyo wa mtu. unaweza kuwa unapenda kula samaki lakin mm sipendi. kwahyo akimsifia ndo atafanikiwa?UJINGA WA KIWANGO CHA DARAJA LA KIJAZI.
@user-qr7hd8th3r
@user-qr7hd8th3r 6 ай бұрын
Mwana muziki wote aki mtaja simba huwa Ana anabarikiwa naona nastaili yako yamapoz unaigia simba bado wewe Mario ni mshamba wacheni unjitizama saaana .ila unajitaidi kuimba dogo yg
@samtelah7578
@samtelah7578 6 ай бұрын
Hicho ndo kinachoua wasanii wetu kila msanii kujifanya yy ndo namba moja wakat mashabik tunajua ukwel uko wap
@sifatiiman
@sifatiiman 6 ай бұрын
ukweli wa matako😏😏 🚮🚮
@user-fb1vp4vh1f
@user-fb1vp4vh1f 6 ай бұрын
Mario harmonie amekushahuri uhanze Gym?Mana ulikuwa mwembamba sana
@user-go1ff9wk5n
@user-go1ff9wk5n 6 ай бұрын
Yani marioo unajua sana ila skuiz unatoa manyimbo ya ovyo matusi unatoka kwenye uandishi pure Kuna nyimbo umeimba na jaivah inatwa maliwato kbsa unaimba ww unasema kama ww mzuri pga picha ukiwa una kata gogo it means haimek sense
@aaa64sa13
@aaa64sa13 6 ай бұрын
❤❤❤❤🎉
@FelixTsuma
@FelixTsuma 6 ай бұрын
Alf mario unatambulika bongo tu kiburi acha
@thelight-ur3oi
@thelight-ur3oi 6 ай бұрын
🎉🎉🎉
@user-oe5ze5uq8m
@user-oe5ze5uq8m 6 ай бұрын
Mbona Mario atuliye ju ya kupenda Ku onesha ma chêne?
@haddrazee8848
@haddrazee8848 6 ай бұрын
Nilikuwa natafta comment hii😂😂😂 ila jamaa muache atambee namkubaliiii
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 6 ай бұрын
Why are you not still? Si utulie tuu!!!! Sisi twakupenda wacha kushika shika hizo ma bling bling bro!!!! Kujinyamwezisha ya nini?
@gracethobias8069
@gracethobias8069 6 ай бұрын
Kujinyamwezisha 😂😂😂😂
@eliasbenda103
@eliasbenda103 6 ай бұрын
Si Bora kiswahili kuliko kuandika kitu hujui😂😂
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Nihadshighadi
@Nihadshighadi 6 ай бұрын
Na ww si uandike kiswahili tu
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf 6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 kiswahili pro max
@nyunyaboy9523
@nyunyaboy9523 6 ай бұрын
This is year DARASSA n TOP
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 6 ай бұрын
❤❤❤❤Baaad
@mnyamwezijuma1140
@mnyamwezijuma1140 6 ай бұрын
Baaadii 🔥
@zaitunijuma1051
@zaitunijuma1051 6 ай бұрын
Kaka bad kila saa unatuonesha mabling ila me nakukubali sana
@derickdboy2207
@derickdboy2207 6 ай бұрын
🙌
@kidawajuma9597
@kidawajuma9597 6 ай бұрын
Baaaaaaad ❤❤❤❤
@levygasper7438
@levygasper7438 6 ай бұрын
Sijawahi kusikia msani anaedayi kwamba anatumia kilevi fulani wote wanatudangany kwamba hawatumii kilwi chchte 😮hii inaingia kweri
@Neworder11
@Neworder11 6 ай бұрын
Sawa ila unajisifuu sana komaa tu until time utafika mbali sana.
@Nihadshighadi
@Nihadshighadi 6 ай бұрын
Badii❤❤❤
@Ibnansoo
@Ibnansoo 6 ай бұрын
kuna vitu vingi umeficha marioo ila bora ivo maana simba ni simba tu
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 6 ай бұрын
TATIZO WANAFANYA VZURI KUTOKA CHINI...WAKIANZA KUMKARBIA DAI TU,,,WANAGANDIA PALE PALE WANAKUWA WAKAWAIDA.
@jaykeenmamba
@jaykeenmamba 6 ай бұрын
Baad😊
@eftondauson280
@eftondauson280 6 ай бұрын
Uongo Zambi lkn ww ni mtunzi na mtoa hit balaaaa hawajakugusa
@djmosikahayo
@djmosikahayo 6 ай бұрын
ASANTE BEAT SONG 🎧 2023
@selemanimkwichu782
@selemanimkwichu782 6 ай бұрын
Mwamba marioo
@user-yc7sn2fd8n
@user-yc7sn2fd8n 6 ай бұрын
Huyu kijana ameanza kutangaza vita na diamond ati ametoa hits kushinda simba😮😮tangu lini
@mohdloushmoney9994
@mohdloushmoney9994 6 ай бұрын
Sasa wewe huoni anachokifanya
@m___ck799
@m___ck799 6 ай бұрын
Why Diamond...kwani yeye ndiye msanii pekee bongo? Kuchwa nahi
@hassanisilaji3672
@hassanisilaji3672 6 ай бұрын
huyo jamaa wa wasafi that time alikuepo anaitwa OSAMA daah yule jamaa alikua anavimba saana,,,,hiyo nafasi na mimi niliitafuta,,ila haikua mipango ya mungu,,,,
@kabongokaddy721
@kabongokaddy721 6 ай бұрын
Na kyaku shindana pale bana, Jux ka uwa sana na aka ingiza mkwanja mingi sana youtube kwa ENJOY....
@silvergold5855
@silvergold5855 6 ай бұрын
Sema marioo skuiz anaongea
@echasafuraha3423
@echasafuraha3423 6 ай бұрын
❤❤p
@RobertMwamlima-ek9pd
@RobertMwamlima-ek9pd 6 ай бұрын
ipeleke SINGELI kimataifaa mtoto mbad
@Tariq_Tryagain
@Tariq_Tryagain 6 ай бұрын
20:22
@barakabashiri8440
@barakabashiri8440 6 ай бұрын
Miziki ni teamo
@harmonize_tz
@harmonize_tz 6 ай бұрын
Mocco kwenye mi nawe kakufunika bhaana
@JamilaHassan-xl4sn
@JamilaHassan-xl4sn 6 ай бұрын
Oyaah marioo umepaka rangi kuchaa 😂😂😂
@sifatiiman
@sifatiiman 6 ай бұрын
paka tu na wewe kwan ni how much 😂😂
@JamilaHassan-xl4sn
@JamilaHassan-xl4sn 6 ай бұрын
@@sifatiiman mim ni mtoto wa kike lazima nipake ila wew ukipaka utakuwa mchicha mwiba 😄 🤣
@sifatiiman
@sifatiiman 6 ай бұрын
@@JamilaHassan-xl4sn ulinipa hio mboo shoo 😂😂 ad uhisi mchicha mwimba🤣🤣
@user-kt4ej8yr7y
@user-kt4ej8yr7y 6 ай бұрын
Toto bad❤
@user-nl2mn4gm9o
@user-nl2mn4gm9o 6 ай бұрын
jamshinda nyashinski
@mnyamwezijuma1140
@mnyamwezijuma1140 6 ай бұрын
Mafia mnyama ameshaga fariki
@sadickbisale6637
@sadickbisale6637 6 ай бұрын
marioo mjanjamjanja san😅
@lelarubea6405
@lelarubea6405 6 ай бұрын
Mario wewe unaangalia kwenye radio,sasa daimond hapigwi kwenye radio hizo nyengine isipokuwa wasafi tu
@jenivavedasto636
@jenivavedasto636 6 ай бұрын
Siyo kweli redio Zote wanapiga nyimbo zake hata cloud's Diamond hata akiangaliwa wasafi tu haina effect maana Yeye ananunua viewers
@RichardRutembesa-ns1kn
@RichardRutembesa-ns1kn 6 ай бұрын
​@@jenivavedasto636una Evidence yoyote kama ananunuwa viewers !!! !???
@JOE2THEWORLD
@JOE2THEWORLD 6 ай бұрын
aloooooo baaady
@gaspergasper9830
@gaspergasper9830 6 ай бұрын
Mm nimekuja kuangalia nilivyo sikia Diamond katajwa hapa lakin nisinge poteza mb zangu kuangalia ujinga kama ww nikama mm gonga like❤
@yours_forever
@yours_forever 6 ай бұрын
interview mario akiongea vile diamond alimkatia simu mara ya kwanza kzfaq.info/get/bejne/rL11l7qQp8_SoHk.htmlsi=bjPuLxvxuDDqEEJa
@m___ck799
@m___ck799 6 ай бұрын
This guy thinks he is on Top...bado Sanaa.. East African nzima hawakujuwi that Is a lie.. Uganda,Kenya & Rwanda hawakujuwi! Jay Melody mkubwa zaidi...kuwa na hit does not mean you are the best. Classics ndio habari ya mjini.
@johndavidwema4564
@johndavidwema4564 6 ай бұрын
Mbwembwe nyiiiingi Marioo punguza chumvi basi usiaribu mbogaa.
@buganyatherealer
@buganyatherealer 6 ай бұрын
Bwegee
@user-cj1ft4mw2l
@user-cj1ft4mw2l 6 ай бұрын
TATIZO LA HUYU DOGO ABADIRIKI, MZIKI WAKE ULEULE TOKEA AANZE
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,1 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 21 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
HAWA NDIO MASTAA TISA  WA BONGO WENYE FOLLOWERS WENGI INSTAGRAM
4:59
ALIKIBA ALIVYOTUMBUIZA SIMBA DAY 2023, MASHABIKI WAITIKA..
8:42
ufmradiotz
Рет қаралды 452 М.
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,1 МЛН