MASHINJI ALIVYOIBUKA KUMNADI GWAJIMA BILA KINYONGO

  Рет қаралды 10,021

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Tusisahau kwamba Dr. Vicent Mashinji alikua mmoja wa Watia nia walioutaka Ubunge wa Jimbo la Kawe Dar es salaam lakini Chama cha Mapinduzi (CCM) kikampitisha Askofu Josephat Gwajima kuwa Mgombea Ubunge Kawe, leo hii Mashinji ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA amejitokeza kwenye ufunguzi wa kampeni za Ubunge za Askofu Gwajima na kumnadikwa nguvu zote.

Пікірлер: 47
@temkezatv4381
@temkezatv4381 3 жыл бұрын
"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@emmapaul1766
@emmapaul1766 3 жыл бұрын
Utazeeka hivyohivyo na uvuvuzela wako
@buzukareuben6379
@buzukareuben6379 3 жыл бұрын
Yani we jamaa
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 3 жыл бұрын
Askofu aliyechanganyikiwa anawataja wafu hadharani. Eti Bi Kidude. Bado utachanganyikiwa sana. Mungu hapendagi watu wanafiki, Mungu hapendi mtu anayemshuhudia binadamu mwenzake uongo, Anaechukua riziki ya mwenzake. Utaanguka vibaya sana maana umepewa kugombea hilo jimbo kwa rushwa.
@neemachitema8930
@neemachitema8930 3 жыл бұрын
Wana siasa Hawa tuwaache na siasa zao maana wanaweza kutufanya tupigane halafu kumbe wao wanakua Bata pamoja😂😂
@ngachupinga5882
@ngachupinga5882 3 жыл бұрын
Neema chitema kwel kabisa hawa wanasiasa wahuni tu hawa tunawachagua ila kwetu wanchi maumivu tu hasahasa wanaosema tunaunga mkono juhuji huko ni kuwaumiza walio mpa kura wengine wapo kwaajir ya matumbo yao tu sio kwaajir ya nchi yetu.
@yassiniferuzi2867
@yassiniferuzi2867 3 жыл бұрын
Pole Chai Jaba Mdee kauze Dengelua Tegeta upangaji wako mwisho 28 October 2020 mpishe Mh Gwajima kwa Maendeleo ya Kawe ataondoa Usagaji Jimboni hapo Gwajima Hoyeeeeeeeeeeee JPM Hoyeeeeeeeeeeee Kuwadi Lissu ziiiiiiiiiiiiiiloooooooo Chai Jaba Mdee ziiiiiiiiiiiiiiloooooooo
@ilovejesus666
@ilovejesus666 3 жыл бұрын
Gwajima alivyomtomba yule mdada bas kanisa likaanza kuisha pesa akakosa akaona aje kwenye siasa ili anyemelee zile 200m kwani ni sili
@peterbenerd7367
@peterbenerd7367 3 жыл бұрын
Gwajima jembe wewe
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 3 жыл бұрын
Huyu naeeee! Duh! Njaaa mbaya!! Tutafuteni pesa!! Huyo ni msomi tena daktari wa kutibu binadamu! Ndo yule alosema atamshikisha Magufuli ukuta na ccm yake! Oppetation UKUTA
@emmapaul1766
@emmapaul1766 3 жыл бұрын
Kat ya makatbu wakuu chadema huyo alikuwa mshenz kabisa na mbowe alikosea sana kuweka hili boya
@davidheche839
@davidheche839 3 жыл бұрын
Nikiangalia pumba kama hii ndo najua Mbowe alifanya makosa sana mida mingine..... hivi huyu anawezaje kuwa katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani
@pascalwabenga792
@pascalwabenga792 3 жыл бұрын
😊😊😊
@saidabdul3695
@saidabdul3695 3 жыл бұрын
nyinyi mnaiga mambo ya chadema hamna sera tena haswa wewe unae ongea msenge tu
@florameza9529
@florameza9529 3 жыл бұрын
Ibada ya jioni imekuwaje sasa gwajima
@edwardmsigwa4943
@edwardmsigwa4943 3 жыл бұрын
Kweli nmeamini wajinga ndio waliwao mchunga siasa wapi jaman
@veronicajohn1819
@veronicajohn1819 3 жыл бұрын
Anasera msaidieni kuongea kazoea kuhubiri
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 3 жыл бұрын
Sema kakayangu mashinji
@hktztv6519
@hktztv6519 3 жыл бұрын
TUNDULISU aibua ufisadi unaofanywa na CCM AMTAJA NA MAREHEM MH. MKAPA 👇👇👇👇👇👇 kzfaq.info/get/bejne/brtgh6iGs7bRnKs.html
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 3 жыл бұрын
Mkapa hayupo kuna magufuri atwambie yeye atafanya nini sio walichofanya wengine.
@ilovejesus666
@ilovejesus666 3 жыл бұрын
Jaman tusidanganyane uchungaji ni biashara ko wanasema ukiona hii biashara hailipi unahamia nyingine ndio maana wakataka kutoza kodi za makanisa maana ni biashara iyo
@azizaabubakar5595
@azizaabubakar5595 3 жыл бұрын
Msimtukane gwajima mmemsahau msigwa yaaaani chadema mnasahau msigwa kuwa ni mchungaji?
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 3 жыл бұрын
Safi sana ni kweli
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 3 жыл бұрын
Msigwa hajawahi kurekodi video ya pilau
@edsonmbilinyi8551
@edsonmbilinyi8551 3 жыл бұрын
Kwa gwajima hapana aiseee!😂 Bora ya msigwa kwakwel
@kuchiafricancinema
@kuchiafricancinema 3 жыл бұрын
Hajatukanwa yeye na kauli zake ndo anavosemaga harafu hawapendi waisilamu tatzo hamumfatilii
@ilovejesus666
@ilovejesus666 3 жыл бұрын
Jmn gwajima afai kiukweli ccm bomba lakini sio gwajima
@justinnyariiloveyu7627
@justinnyariiloveyu7627 3 жыл бұрын
Utapeli Mchugaji na ccm wapi na wapi mwizi tu
@temkezatv4381
@temkezatv4381 3 жыл бұрын
Na ke msigwa si mchungaji? Peleka mavi huko akili yako ipo matakoni mwako zero brain
@justinnyariiloveyu7627
@justinnyariiloveyu7627 3 жыл бұрын
Da ivi dini nasiasa wapi nawapi et au unabii wake alishausahau nn aache utapeli bwana
@justinnyariiloveyu7627
@justinnyariiloveyu7627 3 жыл бұрын
Yako iko kwenye choo acha ushoga bwana ndo ninyi wala waumini mchafff kunuka ww
@rehemasimkoko7055
@rehemasimkoko7055 3 жыл бұрын
Justin Nyari unaona ajabu kwa mchungaji Gwajima VP Mchungaji Msigwa
@justinnyariiloveyu7627
@justinnyariiloveyu7627 3 жыл бұрын
Rehema shida sio gwajima alichoogea na unabii wake sio yeye alisema nabii ni zaidi yarahiss na uwaziri na ubunge VP Leo kunanini apo
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 3 жыл бұрын
Kwa kawe ccm haina chake
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 3 жыл бұрын
Tumechoka tegeta mvua zikinyesha tatizo tukienda kunywa bia pale namanga shida tupu. Tutamjaribu gwajima safari hii.
@fredreckmwakalinga3475
@fredreckmwakalinga3475 3 жыл бұрын
Msaliti aliyepata ziro analipa alicholipwa na utapata ziro tena na mzushi mchungaji koko
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 17 МЛН
Gen-Z watoa orodha ya matakwa yao kwa serikali
3:53
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 115 М.
Who Will Be The Next Tory Leader?
8:03
TLDR News
Рет қаралды 175 М.
Mch. Hananja awavunja watu mbavu ibadani, UDSM CCT CHAPLAINCY.
42:54
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 1,8 МЛН