Rais ahakikishe wote walio patikana na kashfa wafunguliwe mashitaka
@martins.k3359Ай бұрын
Ruto asimwandike mtu aliye kataliwa na wana inchi kwa uchaguzi wa kura wala mwana siasa manake mwanasiasa atakuja kutafuta hela za campaigns, pia asichukue rafiki rafiki atamwambia ukweli akiwa inje ya serikali kama vile idara ya ufisadi.
@ngelelashija28 күн бұрын
😊
@ngelelashija28 күн бұрын
0p😊pop😊p😊
@mysticman86Ай бұрын
Twamtaka bwana Zakayo arejee ngamani.
@benardmakori9492Ай бұрын
Professor sio kusema na kutenda bali ni kusema na kutenga
@abdurahimabdulkadir3926Ай бұрын
Wanasiyasa woote wapunguziwe mishahara pia sababu kiburi imewajaa