Masoud Kipanya: Kwanini sitaogopa kumchora Rais (NYUNDO YA BARUAN MUHUZA - 17/01/2019)

  Рет қаралды 248,013

Azam TV

Azam TV

5 жыл бұрын

Mchoraji wa katuni maarufu ya ‘Kipanya’, ambaye pia ni mtangazaji wa radio na TV, Masoud Kipanya amefunguka kuwa hajawahi kuogopa kumchora kiongozi mkuu wa nchi (Rais) kwa kuwa havunji sheria yoyote.
Masoud ameeleza hayo katika kipindi hiki cha Nyundo ya Baruan Muhuza kilichoruka Alhamisi ya tarehe 17/01/2019 baada ya kuulizwa swali hilo na mtangazaji, Baruan Muhuza.
Mbali na hilo, Masoud amezungumza mengi ikiwemo historia yake katika uchoraji na utangazaji, jinsi alivyoajiriwa kisha kufukuzwa kazi katika Kituo cha Radio cha Clouds FM na jinsi alivyorejea kazini baada ya kukaa nje ya kituo hicho kwa muda wa miaka nane, ilipofia biashara yake ya mavazi ya KP Wear n.k.
Mengine aliyoyaweka wazi ni kiini cha ugomvi wake na aliyekuwa mtangazaji mwenzake waliyekuwa naye Clouds FM, Gerald Hando, story ya yeye kupotea iliyomtokea mwanzoni mwa mwaka jana 2018 n.k.
Pia amemtaja mtu aliyempa jina la Kipanya.
Kipindi cha #NyundoYaBaruanMuhuza ni kila Alhamisi saa 1:00 usiku #AzamSports2

Пікірлер: 205
@mohamedsasma879
@mohamedsasma879 5 жыл бұрын
Aisee masoud Mimi ni Mkubwa k wako ila baadae ya kumuona Malcolm na wewe ulivyo mbele ya jamii nimegundua wewe ni strong kuliko mimi! Big up Sana masoud mungu uendelee Ku!kupa ujasiri!zaidi!
@CASSIUSJUSTUSKIONAMBALI
@CASSIUSJUSTUSKIONAMBALI 5 жыл бұрын
Watu wanaopenda kukaa peke yao endapo watatumia vizuri raslimali muda na mawazo yao, ndio wanaofanya mambo makubwa sana… wakati mwingine wanaweza kukuonesha ukubwa wa jambo lililopo kwenye kitu kidogo. Hongera Sana Kiongozi Masoud
@philemongomwa3728
@philemongomwa3728 5 жыл бұрын
Nikikutana najambo lolote linalokuhusu masood inanichukua mudamwingi kulifuatilia maana ktk ww najifunza vitu vingi ktk maisha big up brow.
@ramahzedon6688
@ramahzedon6688 5 жыл бұрын
Moja kati ya interview nzuri za mwaka 2019 masoud yuko peace sana na huwa ni mkweli hamumunyi Maneno
@idrisamakwilo9917
@idrisamakwilo9917 5 жыл бұрын
Good
@umikram6755
@umikram6755 5 жыл бұрын
HII NDIO ITERVEW YAWATU WENYE KUJIELEWA HASANTE MTNGAJ BARUHAN NA MASOUD.SAFI SANA ALLAH AWAHIFADH
@doctormkawa3313
@doctormkawa3313 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah, Allah akufungulie zaid na zaid......u always think out of the box. Big up brother Masoud.
@zainabbola6853
@zainabbola6853 5 жыл бұрын
Mungu akuzidishie IMANI my bro Malcom ni zaidi faraja ktk familia
@husseinkilawa3224
@husseinkilawa3224 5 жыл бұрын
Bonge moja la interview. Namkubali sana huyo jamaa.
@ShabaniMasaza
@ShabaniMasaza 5 жыл бұрын
BARUAN MUHUZA .. zimekuwa dakika zaid ya 45 nzuri mno.. umefanya nifahamu mambo mengi ambayo nilihitaji kuvisikia toka kwa Masoud Kipanya . Asante kwa kuwasilisha maswali
@jamaltz1780
@jamaltz1780 5 жыл бұрын
Yeeeeh Baba ile ndege ya juzi umeua bro .Masoud yupo vizuri sana.
@aggyparty2990
@aggyparty2990 5 жыл бұрын
Masoud ww ni zaidi ya shujaa 🙏 mungu awabariki sana plz makampuni mpeni ubalozi kwenye mkampuni yenu mbalimbali atengeneze pesa anajumu zito sana huyu mtu
@ezeshama255
@ezeshama255 5 жыл бұрын
One among the best interviews ever... hapo kweli mmekutana wazoefu mhojiwa na mhoji
@sashawambura
@sashawambura 5 жыл бұрын
I normally skip some interviews but for this one have honestly failed..eating my mb's without regretting...Bravo both of you for the very composed interview..
@scripturetz1056
@scripturetz1056 5 жыл бұрын
Nimependa sana hi interview Mungu awabariki nyote waandaaj wakipind
@magezilucas1115
@magezilucas1115 5 жыл бұрын
Huyo brother kwangu his so special kutokaka na mzunguko wa maisha kwa sasa ni ngumu kunifahamu. Namkumbuka sana kwa kipindi cha Wak up show, wakiwa Dada mmoja aliyeitwa Fina Mango. Kiukweli nilikuwa shabiki namba 1 wa kipindi hicho. Mungu akutie nguvu baba la baba.
@suzanjackson5103
@suzanjackson5103 5 жыл бұрын
Dah safi sana nampenda sana masud
@omarymagwaza9753
@omarymagwaza9753 5 жыл бұрын
Hongera sana masud kipanya kwa kutimiza miaka therathini kwenye kazi yako ya uchoraji######
@kusekwasita1576
@kusekwasita1576 5 жыл бұрын
Masoud yupo smart sana kiukweli nimeenjoy interview
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 5 жыл бұрын
Yeah, this is skills interview.
@CASSIUSJUSTUSKIONAMBALI
@CASSIUSJUSTUSKIONAMBALI 5 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Ndg. Baruan A. Mahuza.
@mohdyussah825
@mohdyussah825 5 жыл бұрын
From UAE Good interview
@hamisisamuli6055
@hamisisamuli6055 5 жыл бұрын
Masoud upo vizuri kwenye uchoraji na utangazaji hongera sana
@msandigeorge8355
@msandigeorge8355 5 жыл бұрын
Brilliant!!
@issamohamed4165
@issamohamed4165 5 жыл бұрын
Km kuna kipindi nilikipenda basi maisha plus season one kk ulitisha sana nakupenda Sana kk kp natamani nikuone naomba maisha plus irudi tena mkuu
@frankramadhan3312
@frankramadhan3312 5 жыл бұрын
Issa Mohamed
@Santos-tg4cg
@Santos-tg4cg 5 жыл бұрын
Good nakipenda hiki kipind piga kazi baruani Allah akuongoze
@ramakabelele2530
@ramakabelele2530 5 жыл бұрын
Hongera xana baruan Bonge moja la interview
@amananassor524
@amananassor524 5 жыл бұрын
sheikh wangu mm nipo jeddah saudi arabia lakini mtanzania mwakani na Kuja tz nita Kuja nikuone uko kipindi chako na fatilia sana na kipenda tupo pamoja
@omarinjiwa3945
@omarinjiwa3945 5 жыл бұрын
masoud upo vzr sana mm in mfuatiliaji sana was kz zako angalizo langu usifanye vt kwa matakwa ya wana siasa kwa kuwa siasa c fani kwa hiyo wanaweza kufanya baadhi ya watu wachukie kz zako
@neymwambep7118
@neymwambep7118 5 жыл бұрын
Masoud nimekukubali please njoo tufanye maisha plus Oman
@domicianpontian1409
@domicianpontian1409 5 жыл бұрын
BM huwa nafatilia hosting system yako na kuanzia upo RFA na kipindi chako cha uliza ujibiwe, na vingine kwa kwel nakukubal huwa najifunza baadhi ya vitu kwako I wish ntaonekana cku moja kwenye tathnia ya utangazaji. God is Great
@murashanifidelisi5410
@murashanifidelisi5410 5 жыл бұрын
vizuri sana M. kipanya
@rossemtui9411
@rossemtui9411 5 жыл бұрын
Hongera sana kaka masud kipanya unajitahidi sana
@jumaomar8274
@jumaomar8274 5 жыл бұрын
Nice!!
@scholasticavyamana6788
@scholasticavyamana6788 5 жыл бұрын
Masoud you are such a supper dad to Malcom! I never thought that you can be such a tough dad! Very rare to find a man of your personality. Keep up taking good care of our supper handsome boy Malcom, he is a blessing to your family. I love his (Malcom's) character; charming, confident, intelligent, covered with a bright smile, above all he is always grateful to the Almighty God!! May God shower him with wonderful blessings!
@esterlunguya5988
@esterlunguya5988 4 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa sana kupitie entervew yako na Malcom's pia nimefarijika sana namuombea Malcolm's kwa Mungu ili aweze kutimiza ndoto zake
@NyatseLogistics
@NyatseLogistics 2 жыл бұрын
Masoud, good
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 5 жыл бұрын
Masjid, Jazaakallah umenijibiya vizuri, vizuri,vizuri saaaaaaaaana pale ulipojibu swali la Kampuni yako ya MAVAZI. ALLAH azidi kukuongoza. TAWHEED imefanya kazi.
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 5 жыл бұрын
Masood, Jazaakallah, umejibu vizuri,vizuri, vizuri saaaaaaana ulipo jibu swali la Kampuni yako ya MAVAZI . Allah azidi kukuongoza TAWHEED imefanya kazi In shaa Allah
@kabwemwila1161
@kabwemwila1161 5 жыл бұрын
tupo pamoja ktk kutimiza malengo yako Malcom pole kwa yote yaliokukuta kikubwa nikuwaombea wazazi wako ambao ndio majemedari pekee ktk kuhakikisha unakuwa na furaha muda wote pia ningependa viongozi wa serikari wakuunge mkono kununua t-shirts hizi ili uweze kufikia malengo yako
@aishamgaya9676
@aishamgaya9676 5 жыл бұрын
big up brother
@mohamedsasma879
@mohamedsasma879 5 жыл бұрын
Maaoud bwana Ni mkweli Sana Na Mara nyingi Sana nqpenda kazi au hata maelezo yako muda wote hasa ktk power breakfast na ukwwli ukipungua huwa sijisikii vizuri Sana
@omaryyusuph3251
@omaryyusuph3251 5 жыл бұрын
The legends them selves
@johnjackson4363
@johnjackson4363 5 жыл бұрын
Masoud kipanya ni kioo bora kabisa cha jamii. Nime enjoy sana kuona interview hii
@fabianmgurus1959
@fabianmgurus1959 5 жыл бұрын
john jackson ni kweli kbs
@handsamjerry
@handsamjerry 5 жыл бұрын
The Interview is very interesting...huitaji kufoward hata second... I think this is one of de best interviews... The legends... Big up KP
@janengowi3011
@janengowi3011 5 жыл бұрын
Hongera sana Masoud umekuwa baba Bora kwa mtoto na familia yako
@manenoalex7453
@manenoalex7453 5 жыл бұрын
masody tunakipenda sana kipindi chako cha maisha plass
@pynoCODE
@pynoCODE 5 жыл бұрын
Nice
@josephgaitan989
@josephgaitan989 5 жыл бұрын
Nafurahi Sana kuwaona mpo pamoja hivo
@abelkabili8474
@abelkabili8474 5 жыл бұрын
Anaehoji ni Gwiji na anaehojiwa ni Gwiji kwahiyo interview imekuwa Machachari sana...
@winstonmgogo3694
@winstonmgogo3694 5 жыл бұрын
Ukija Italia fikia kwangu,Mimi ni mmoja wa Wachoraji katuni maarufu enzi hizo,Mzee Manje,naitwa Simon Mgogo,karibu Sana,mdogo Wangu
@blackpanther4825
@blackpanther4825 4 жыл бұрын
Mzee nataka kufika huko kutembea. Can you help?
@hassanaloobaidan25
@hassanaloobaidan25 5 жыл бұрын
Good
@mohamedsasma879
@mohamedsasma879 5 жыл бұрын
Maaoud kipanya Baba malcolm.bigup
@thomasanthony851
@thomasanthony851 5 жыл бұрын
Hii interview naiona leo but ni njema sana, Kingine upuuzi ndani ya clouds fm usiache kutoa
@fatumamjenga3114
@fatumamjenga3114 5 жыл бұрын
Namkubali sana kipanya
@hajikipanga485
@hajikipanga485 5 жыл бұрын
Masoud Upo vizuri sana,
@gwamakamwangajiro8925
@gwamakamwangajiro8925 5 жыл бұрын
Masoud 🙌mzee wa kipanya
@mandagokigge4742
@mandagokigge4742 5 жыл бұрын
Kazi nzuri kaka yangu Masoud
@denismakweba3870
@denismakweba3870 5 жыл бұрын
Kila nikisikia BARUAN MUHUZA,nakumbuka uliza ujibiwe RFA! #nkumiss__kwa_wakati_huo____hongera kwa kipind kaka
@saniasezzy9085
@saniasezzy9085 5 жыл бұрын
Nimekuwa nikimfatilia sana Masoud ila kunavitu kama vitatu ivi nilikuwa sivijui kutoka kwake ila leo ndo nimevijua, nimefurahi sana
@getaromagaiwa7918
@getaromagaiwa7918 5 жыл бұрын
Nakukubali sana Masoud Kipanya """ unavyo mchora JPM!!!!!!!!
@malulujr
@malulujr 5 жыл бұрын
Jaman masood ulitekwa eeee pole sana bora ukae kimya tu usije kufa bure aisee
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 5 жыл бұрын
Duuhhh...... Tuliokuwa tunadhani Mussa ni mdogo wake Masoud KP, gonga likes hapaa.......
@tadeimwaipaja1191
@tadeimwaipaja1191 5 жыл бұрын
Baruan anaonekana mzee 7bu anapenda kuchovya sana totoz, kifupi kuchovyachovya kibaolojia kunazeesha sana
@lusianomichel7946
@lusianomichel7946 5 жыл бұрын
Unapenda kuwa peke yako kipanya kwanini unapenda?
@zamoyonikibella4484
@zamoyonikibella4484 5 жыл бұрын
Ila ukimuangalia kwa makini wamefanana sana Masoud na Mussa wa Efm ni kama mtu na mdogowe hawa!!
@denisbahati6110
@denisbahati6110 5 жыл бұрын
Sio unaamini hivyo @masoud, lakini ukweli ni kwamba tabia yetu tuozaliwa mwezi june. Ni Watu wenye misimamo mizito,logic sana, na wabishi kwa maana ya kutetea na kulisimamia jambo katika usahihi wake. Sifa kuu zaidi ni Watu wavumbuzi sana wa masuala mbalimbali na wabunifu pia, lakini mapungufu yetu ni kuacha constant vitu vidogovidogo muhimu sana na kudeal na vitu vikubwa sana. Bahati nzuri tunafanikiwa sana kwenye vitu vikubwa kuliko vidogovidogo
@rajababduly6571
@rajababduly6571 5 жыл бұрын
Iko vzr
@kinotasontravel3883
@kinotasontravel3883 5 жыл бұрын
Ali Masoud hakika nakukubali
@hassanlusewa9008
@hassanlusewa9008 5 жыл бұрын
Dah leo ndio NIMEMUELEWA Masoud Kipanya aseee kumbe kitambo
@bongomsasa2496
@bongomsasa2496 5 жыл бұрын
My Role Model
@samsonezekiel970
@samsonezekiel970 5 жыл бұрын
Namkubali sana JAMAA huyoo
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 5 жыл бұрын
Dah ukiacha kuufatilia live mpira kwenye internet hiki ndio kipindi nilichokiangalia kwa muda mrefu zaidi youtube. Sijarukisha hata Nukta. Yote sababu napenda saana kumfatilia masoud na kazi zake. Mungu akujalie zaidi...
@annachiguru564
@annachiguru564 5 жыл бұрын
Fred y Pastory Utd
@dismaschabellah43
@dismaschabellah43 5 жыл бұрын
Never give up brother
@omaryabed3044
@omaryabed3044 3 жыл бұрын
Nakubali masudy
@ashminhaabdullah4963
@ashminhaabdullah4963 5 жыл бұрын
Iko vizuri wote wasomi
@dennischarles8524
@dennischarles8524 5 жыл бұрын
Cartoons na animations ni carrier nzuri sana
@farajiayubuduma6969
@farajiayubuduma6969 5 жыл бұрын
Bonge la kipindi asnte muhuza asante azamtv
@aboubakarykilaza1013
@aboubakarykilaza1013 5 жыл бұрын
Ni moja ya vipindi bora zaid Africa Nyundo. Naipenda kazi yako Baruani
@aboudmsonde886
@aboudmsonde886 5 жыл бұрын
Baba malcom Allah awape subra inshaallah
@loyaltey6407
@loyaltey6407 5 жыл бұрын
Sanatuu
@shamimhatim1677
@shamimhatim1677 5 жыл бұрын
Samahani Sana kwa swali hili nishawahi kuskia watu wenye msimamo Kama wako eti wana group "O" la damu ?
@lailahasan2200
@lailahasan2200 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa, hlf tunajiamin kuliko na yt ya kher
@chrischleopa7738
@chrischleopa7738 4 жыл бұрын
@@lailahasan2200 😁😁😁😁tuko wengi kumbe
@zedyrajabu2493
@zedyrajabu2493 5 жыл бұрын
Nilitulia kusikiliza hii interview km unapigwa wimbo wa taifa ,penda sana kp
@thomaslugenge4636
@thomaslugenge4636 5 жыл бұрын
👏👏👏
@safikapufi3642
@safikapufi3642 5 жыл бұрын
napenda interveu mtangazaji ajielewe na anaefanyiwa awe anajiekewa inapendaza sana haichoshi kabisa nimewapenda nimefurahi sana
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 5 жыл бұрын
Nice interview
@ramahzedon6688
@ramahzedon6688 5 жыл бұрын
Yap bila shaka
@jumashukuru2216
@jumashukuru2216 5 жыл бұрын
Asia Zuberi I love you asia
@jumashukuru2216
@jumashukuru2216 5 жыл бұрын
Asia Zuberi I love you asia
@stevenilevensoni2227
@stevenilevensoni2227 5 жыл бұрын
Ni mtu wakawaida tu ktk watumaarufu bado ilaajitaidi anaweza kufika huko
@allysanya8346
@allysanya8346 5 жыл бұрын
Hellow
@LeonardMwakapusya
@LeonardMwakapusya 5 жыл бұрын
Baruan ni mtangazaji mzuri ambae ajawahi kutokea Tanzania
@geraldmasawe2837
@geraldmasawe2837 4 жыл бұрын
Salama
@hamadshein935
@hamadshein935 5 жыл бұрын
Hzi interview wapi huwa wanasahihisha.naona kila mtu anasema hii 1 zngne zikowapi ili tuzione.aahaa wabongo bna.
@abdulatifmoxamed8047
@abdulatifmoxamed8047 4 жыл бұрын
Barwan the great kwa kweli nakupongeza ni mmoja katika wachapa kazi mahiri kabisa keep it up I like your interviews
@evanskamgisha3675
@evanskamgisha3675 2 жыл бұрын
Masoud nilipata warning letter mbili kwasababu ya clouds
@mussamsella8560
@mussamsella8560 5 жыл бұрын
Kitu ambacho nimejifunza na kumuelewa kp ni mtu anaeishi maisha halisi sana ...yupo real sana. Kuna watu wanaeleweka kwa ujanjaujanja wao ila huyu ili umuelewe inabidi uwe makini tuu ...yaani ukweri hauna mbwembwe kabisa na ndio alivo kp
@husseinomary4466
@husseinomary4466 5 жыл бұрын
Hiki nikipindi hua sikos kuangalia 🙏🙏🙏🙏muhuza
@gervassikapundwa9632
@gervassikapundwa9632 5 жыл бұрын
Hawavijana wananikumbusha mbali sana
@stanslauslawa4777
@stanslauslawa4777 5 жыл бұрын
Masoud Kipanya ni engine
@safiaabubakar1120
@safiaabubakar1120 5 жыл бұрын
Kipindi kizuri sana
@allymtapera5370
@allymtapera5370 2 жыл бұрын
Kipindi safi
@richardkamanya2951
@richardkamanya2951 5 жыл бұрын
Iko poah sanaa
@Godlovemmanuel
@Godlovemmanuel 5 жыл бұрын
Yeeeeh baba ....keroro
@rahmamakwisa4089
@rahmamakwisa4089 5 жыл бұрын
kha jaman ndio leo nimegundua kua masoud kipanya na mussa kipanya hawana undugu
@MwlGano
@MwlGano 5 жыл бұрын
Moja kat ya kitu cha ajabu tz,kwamba Musa kipanya hana ndugu na kipanya
@dottorajabu4138
@dottorajabu4138 5 жыл бұрын
OK
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 5 жыл бұрын
Nakumbuka saaana kuhusu kipindi cha PB mtu 3 kama billion 3. Na nakumbuka kipindi kilichobamba zaidi mlivyoingiaga conflicts na waziri wa elimu na utamaduni kipindi kile..., hadi Shigongo nae akaingilia. Na hata siku mnafanya kipindi cha kumuhoji balozi nilikisikia ingawa kwa shida shida kweli matangazo yalikua yanakatika na mliahidi kurudia kesho yake. Ila baada ya siku kama 3 hivi tukaona ziiiii..., iliniumaga saaaana baadae akawa anasikika Gerrard peke yake. Nilitamaniaga saana mngerudiaga tena kufanya kipindi mkiwa wote wa3. Nilikuwaga mshabiki wenu mkubwa mnooo na kipindi kilikua hakinipiti. Safi saana masoud KP.
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Vichwa vilikutana 🔥🔥🔥
@skorastkastivini1663
@skorastkastivini1663 2 жыл бұрын
Bondita
@priscarkayanda8017
@priscarkayanda8017 5 жыл бұрын
Nilipenda sana kipindi cha maisha plus, mtaendelea mwaka gani??
@laurentngowi3052
@laurentngowi3052 5 жыл бұрын
Kweli masud unajua kujibu maswali
@abubakarikizamba8106
@abubakarikizamba8106 5 жыл бұрын
Interview ya Kiutuuzima kwa Watu wazima
@bimzungufumba7037
@bimzungufumba7037 5 жыл бұрын
Safi bro👍😘
@abuuaymanayubu1355
@abuuaymanayubu1355 5 жыл бұрын
dah! sio siri masoud kp unakipaji mshukuru sana mungu pia usisahau kujikurubishs kwake ndio shukran bora kwa kipaji alicho kupa, majibu yako yameenda shule unashswish mtu kukusikiliza Ahsante Baruani kwa kipi bora kabisa ktk vipindi vyako ulivyo wahi kufanya
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌.
@marygaspar6429
@marygaspar6429 5 жыл бұрын
Afadhali Masoud ungepewa nafasi ya Mlinga utetee jimbo lake!! yule ni kihiyo!
@nkwabitz233
@nkwabitz233 5 жыл бұрын
baruan muhuza.
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 25 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 7 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 4,8 МЛН
Mkasi | S11E07 With Mh. Tundu Lissu - Extended Version
1:17:26
MkasiTV
Рет қаралды 1 МЛН
ISROIL MADRIMOV BIZ UCHUN CHIMPION
0:34
Akfa alumin
Рет қаралды 683 М.
Карьерный путь Ямаля 😎#футбол #барселона #ямаль
0:10
МЯЧ Продакшн ФАН
Рет қаралды 573 М.
Сын Роналду чуть не облысел 🤯
0:28
Спортивные Моменты
Рет қаралды 975 М.
Футбол - командная игра!
0:51
Виталий Андреев
Рет қаралды 2,5 МЛН