HAYO NI MAONI YAKE BINAFSI REALITY AENDE ZAKE HUKO, BONGO EVERY ONE CAN BE MCHABUZI KWASABABU YA MAONI BINAFSI YANAGEUZWA KAMA UCHAMBUZI, MIND YOU KILA MTU MAONI BINAFSI YASIGEUZWE KAMA NI UCHAMBUZI
@bbclondonulimwenguwasoka612621 күн бұрын
Ntaenda Simba
@robsonwilliam830121 күн бұрын
We mbwa mambo ya yanga yanakuhusu?
@dir_mkemia21 күн бұрын
Mbona magori yanapatikana mengi kuliko hata alipokuwepo mayere
@michellesorin684921 күн бұрын
Mayele hakuwahi kufikisha mabao 20 😂😂😂
@josephfaustine625921 күн бұрын
Namuona Mwamposa au macho yangu hayaoni vizuri 😮😢
@momkhan-hc7zh21 күн бұрын
ntarud baadae
@desirechristoph708721 күн бұрын
Wa kwanza leo
@selasboy396621 күн бұрын
Makalio yake kwani tulimwambia tunataka mtu kama mayele sisi au aseme wapi club gani ilivyoondokewa na striker kama CR.RONALDO walimpata mwenye sura kama yake??? Au anazungumzia mafanikio yanga imepata bila mayele mwehu wakiwango chajuu huyu ni fara sio farahani
@johnabery-vn7eb21 күн бұрын
Huna akili unatunga ujinga
@AlexMbagata21 күн бұрын
Vitu vikishasahaulika havifai kukumbusha make Kuna wakati vinaweza kurudisha maumivi kwa watu.
@user-bt6ep3yb2h21 күн бұрын
Kilaza.
@FucianeBulemo-nd4wc21 күн бұрын
Huyo fara aichambue simba yake sio yanga yetu
@KhalfanSaid-mo9jh21 күн бұрын
So you uta do...usiumizwe na Yanga ..Mayele amewah kusema tume mu attack namajini,Sasa usitupe habari za huyo purkenge...Mbana Azizi ki nikiungo but magoli yke 21..huyo Mayele Hadi ana go Pyramid from Yanga hakuwahi kufikisha magoli 21.....tuache bhana
@josephkiwale37421 күн бұрын
Mbna kama mwamposa
@malietamaliet21 күн бұрын
uyu ni kolo tu kwanini umfananishe na dube na baleke uku ata msimu haujaanza akuna anaefikia magoli ila makombe tumechukua bila yeye apambane na Simba Ake atuachie yanga yetu
@mariaerenest563221 күн бұрын
Achana na timu yetu wewe kagawe mafuta tapeli wewe