MAWAZIRI wa PUTIN wafukuzwa katika chumba cha Mkutano Baada ya Mabishano Makali na Maafisa wa KIM

  Рет қаралды 32,752

Simulizi Na Sauti

15 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 114
@jumamohammed2748
@jumamohammed2748 15 күн бұрын
Nakukubali sana Putun da! Kama kijana wa miaka 25 tu
@rashidhussein3711
@rashidhussein3711 13 күн бұрын
Dj sma ni mtu ambaye ana upeo sana wa kufikiria. Hongera brother Allah akulinde.
@user-zm8nq6xv8o
@user-zm8nq6xv8o 15 күн бұрын
DJ sma tafadhali usiwe mbali na SNS mambo nimengi sana kwahuu wakati, tunahitaji more information kutoka kwako
@djsma255
@djsma255 15 күн бұрын
TUKO PAMOJA
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 15 күн бұрын
​@@djsma255kabsa kaka💣💥
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 15 күн бұрын
Wewe nae umeshakuwa addicted wa SNA Kama Mimi na siku yangu haijakamilika bila kusikiliza habari kama hizi
@user-zm8nq6xv8o
@user-zm8nq6xv8o 15 күн бұрын
@@Chettymlambalipsi-lb9km 😀😀 Hatari sana
@allahisone6386
@allahisone6386 14 күн бұрын
​ ALLAH AKULINDE NA KILA SHAR
@Gulfnas1
@Gulfnas1 15 күн бұрын
Kila mtu au nchi huwa anataratibu zake
@abdallahngoe
@abdallahngoe 15 күн бұрын
Ulinzi ni kitu muhimu sana hasa kwa nchi zenye maadui wengi huenda kuaminiana kupita kiasi ndo sababu ya viongozi wengi wa asia kuuawa. Adui anaweza mtumia rafiki yako kukuangusha
@jotafungo4622
@jotafungo4622 15 күн бұрын
Waliopo nyuma ya gari ni wakalimani
@petrokayanda5361
@petrokayanda5361 15 күн бұрын
Hatari na nusu
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 14 күн бұрын
Asante sana
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 15 күн бұрын
Hata Tanzania hautaruhusiwa kuingia kwenye ukumbi ikiwa tu Mhe.rais akiwa ametangulia kuketi.
@HassanAthumani-ie2ce
@HassanAthumani-ie2ce 15 күн бұрын
❤❤
@anthonym2542
@anthonym2542 14 күн бұрын
nikama Dj sma alidipotiwa america ...anashededea sana warusi .
@allahisone6386
@allahisone6386 14 күн бұрын
😅😅
@imanyotz589
@imanyotz589 15 күн бұрын
Good
@KOATV
@KOATV 15 күн бұрын
Noma
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 15 күн бұрын
Kwanza kabisa kanuni za kiusalama duniani kote haziruhusu kumwamini mtu YEYOTE lkn Kwa hapa Kosa ni lamwenyeji hawakujipanga juu ya KUWAPA mwongozo mzuri wageni wao
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz 14 күн бұрын
Huyo alokaaa nyuma ya gari ni Translator
@balikiabdala823
@balikiabdala823 15 күн бұрын
0:26
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 14 күн бұрын
Nisawa kabisa napenda iyo
@user-te9ll8qk2q
@user-te9ll8qk2q 15 күн бұрын
translate
@kingsniper9769
@kingsniper9769 14 күн бұрын
Kawaida kwa madikteta wakutanapo
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 13 күн бұрын
Na kule mashoga wanapo kutana inakuajw
@Jafreez
@Jafreez 10 күн бұрын
Hapo ndo pale wanangu wakija ghetto langu, nawavua vyato wote nakuviacha chooni. Alafu wakae kimya kama movies tutaangalia. Masharti ya "ghetto langu"
@YahayaKishakwi
@YahayaKishakwi 15 күн бұрын
Mnasifia sana Korea lakini ni nchi. Ya kishamba inchi hawmwani hata mungu ety mungu rais wao
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 15 күн бұрын
Propaganda za watu wa mangharib
@YahayaKishakwi
@YahayaKishakwi 15 күн бұрын
Wanao shangilia urusi ni wale wanao Thani inapigania uwislam akuna nchi inayo chukia wislam Kama urusi na china ni. Kwa wakati huu TU wa vita ya ukraen
@YahayaKishakwi
@YahayaKishakwi 15 күн бұрын
Kwan wao hawapigi propoganda
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 14 күн бұрын
Pointless
@magorymara5515
@magorymara5515 14 күн бұрын
Ulishawahi kwenda huko ikiwa kama hujawah kwenda huko basi fika kwanza ndo uje utujuze
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy 15 күн бұрын
Aliewaruhusu awajibike
@HassaniHassani-gb8oc
@HassaniHassani-gb8oc 13 күн бұрын
Huyo alieruhusu watu waingie kwenye chumba cha mkutano kabla ya kiduku saa hz atakuwa kashanyongwa kiduku hanaga mambo mengi
@GabrielSky64
@GabrielSky64 14 күн бұрын
Ila magaidi bhna. Hadi wenyew kwa wenyew. Na mbona mna simple inonekane ni kitu cha kawaida kuweni makini acheni siasa egemezi
@graysonpastory1918
@graysonpastory1918 14 күн бұрын
Shoga wewe gaidi Israel ,us ba eu
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 13 күн бұрын
Ww choko chukua chuma icho 🖕
@Ally-qi7xo
@Ally-qi7xo 15 күн бұрын
✈️✈️🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇧🇮
@user-ok6lv3je4b
@user-ok6lv3je4b 13 күн бұрын
Mh,
@raymondmoses9551
@raymondmoses9551 14 күн бұрын
Sauti mmezingua
@POLITICS_WAR_DIPLOMACY
@POLITICS_WAR_DIPLOMACY 14 күн бұрын
Putin hawezi kumuogopa mwanawe Kim na Kim hana hofu na baba yake Putin "PUTKIM" wapo safi sana baina yao
@OthmanThabitJuma
@OthmanThabitJuma 14 күн бұрын
Dah nimependa san putkim good bro
@jkifutu7936
@jkifutu7936 15 күн бұрын
😂😂😂😂
@deogratiaspmwolo1942
@deogratiaspmwolo1942 15 күн бұрын
Ndugu huyo hapo nyuma sio mlinzi wao kwenye gari . Huyo hapo nyuma ni mkalimani. Wako wawili mmoja kwa kila raisi . Kwenye gari wawili hao wanahitaji mkalimani oli kuelewana. Sio hicho unachotueleza.
@djsma255
@djsma255 15 күн бұрын
KWANI NILICHO SEMA MM NI NINI, AU KUNA KITU KIZAZUIA MTU 1 KUWA NI MLINZI NA MKALIMANI KWA PAMOJA? RUDI USIKILIZE VIZURI NILICHO SEMA
@FilbertHabashi-zn1qu
@FilbertHabashi-zn1qu 15 күн бұрын
​@@djsma255 djsma255
@khamisomar889
@khamisomar889 15 күн бұрын
​@@djsma255 usiwe unawajibu wapuuzi kama hawa utashusha heshima yako kaka
@user-gi2jv4kl7s
@user-gi2jv4kl7s 15 күн бұрын
DJ sma ulichosema ni sahihi na aamini yule alikua na Mambo matatu,Ni mkalimani,mlinzi na Ni dereva ambae anajua kuliendesha lile gari mbindipo Kama ingelitokea dharura yyte.
@icahgracie1242
@icahgracie1242 15 күн бұрын
​@@user-gi2jv4kl7sna ni daktari pia kukitokea dharula alafu ni mjeshi,ogopa😂
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 15 күн бұрын
Nani tena anakohoa jaman watu tunasikiliza 😂😂😂😂
@kichenjewillian5720
@kichenjewillian5720 15 күн бұрын
Konde boy
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 15 күн бұрын
ukapimwe na akili
@kichenjewillian5720
@kichenjewillian5720 15 күн бұрын
@@PAULNYANDILE unamtindio wa ubongo ww
@papsmicrocreditcompanylimi1443
@papsmicrocreditcompanylimi1443 15 күн бұрын
Hakika wewe ni mchambuzi mzuri tatizo lako Dj sma. Uchambuzi wako kilasiku unachambua kuhusu Vita ya Ukraine na Urusi, Israel na Hamas au Irani na Marekani. USHAURI jaribu kuwa unachambua masuala ya ndani kama vile Ununuzi wa Sukari suala la Ruhaga Mpina na Bashe. Maandamano ya Kenya, siasa ndani ya chadema uenyekiti wa Mbowe utatoboa kwenye uchaguzi wa ndni
@djsma255
@djsma255 15 күн бұрын
Assnte ila nadhani unajuwa nchi zetu za jiaftika na swlaa la uhuru wa kuongelea mambo ya ndani.... Au unataka kusokia sns haipo tena tukose hata hizi habari tunazo pata
@user-gi2jv4kl7s
@user-gi2jv4kl7s 15 күн бұрын
DJ sma tuliiiiiiiiya Africa achana nayo sisi habari za Africa tunazielewa uyo jamaa hafatilii mwenyewe,habari nje sisi ndo tunazihitaji hatuzipati kwa undani magharibi na marekani wanatudanganya,,DJ sma hapa mwendo habari za nje tu
@Zillionking627
@Zillionking627 15 күн бұрын
😂😂😂😂 duu
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 15 күн бұрын
P​@@djsma255ww si unasema wazungu hawatupendi na walituua sana hususani huko congo ,sasa inawezekanaje sisi waafrika wenyewe kwa wenyewe hususani hapa Tanzania hatupendani kiasi kwamba tunakosa uhuru wa kuchambua mambo yetu ya ndani kwa kuhofia serikali yetu kuwakamata na kufungia vyombo vyenu vya habari?Ndio ujue hata sisi watu weusi baadhi yetu ni wanyama na wanaweza kuua watu weusi wenzao kwa tamaa ya madaraka.
@allahisone6386
@allahisone6386 14 күн бұрын
​ AKILI KUBWA SANA KBS UPEW ULINZ WAKUTOSHAA KUTO YA ZUNGUMZIA HAIMAANISH HUWEZI
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 13 күн бұрын
Putin kim kiboko ya mashoga
@sheyosquad5755
@sheyosquad5755 15 күн бұрын
Mchambuzi muongo nahisi
@charlesngwembele4541
@charlesngwembele4541 15 күн бұрын
Wachambiz uchwara
@user-hx2if3ep2m
@user-hx2if3ep2m 15 күн бұрын
Kama unaweza Fanya wewe
@Narubega-ql3dz
@Narubega-ql3dz 15 күн бұрын
@@charlesngwembele4541huku wapo marijari nyie mashoga hamruhusiwi kukoment
@sheyosquad5755
@sheyosquad5755 15 күн бұрын
@@user-hx2if3ep2m nishafanya nifanye mara ngapi
@sheyosquad5755
@sheyosquad5755 14 күн бұрын
@@user-hx2if3ep2m nifanye mara ngap
@SAM_163
@SAM_163 14 күн бұрын
HUU UCHAMBUZI WENZANGU MMEULEWA AU NI MIMI NDO SIMSOMI DJ ASMA. MBONA KAMA BADO HAWAKO SAWA MRUSI NA MKOREA KASKAZINI.... 😢😮
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 13 күн бұрын
Huwez kuelewa kam huna D
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 15 күн бұрын
SMA anachojua ni kimoka tu... Kupondea wa magharibi na kusifi wapinzani wake
@uwimana6533
@uwimana6533 15 күн бұрын
Nenda BBC upewe Habari nyeti umefata.nini huku 😂😂😂
@user-pn7xm6wd8v
@user-pn7xm6wd8v 15 күн бұрын
Uyo jamaa huenda alinyimwa us au Schengen visa
@Mtaki_Zakayo
@Mtaki_Zakayo 15 күн бұрын
@@uwimana6533 Amini kidogo
@frankrobert9706
@frankrobert9706 15 күн бұрын
Pia aende CNN huko utapata habari za magharibi huku kwa smaa tuachie sisi Anti West
@abdallahngoe
@abdallahngoe 15 күн бұрын
Ndugu yangu wewe kwako ushoga ni kitu kizuri au kibaya? Na jibu la uzuri na ubaya lina upande pia? Ebu tujibu tafadhari
@Mtaki_Zakayo
@Mtaki_Zakayo 15 күн бұрын
Msimuone Ruto mbaya kuchagua upande wakati na wewe umechagua upande wako. Kibanzi cha mwenzako
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 15 күн бұрын
Waambie wasiojielewa hawa
@abdallahngoe
@abdallahngoe 15 күн бұрын
Tatizo sio upande ila ni upande upi wenye afadhari katika kunyonya na kukandamiza.. labda nikulize ndugu wewe kwako ushoga ni kitu kizuri au kibaya? Je utakubali kenya wakiruhusu ushoga
@DjskillsTboiyprincess
@DjskillsTboiyprincess 15 күн бұрын
Wewe unajuwa upande wenye uwafazali kuliko Rais Ruto
@abdallahngoe
@abdallahngoe 15 күн бұрын
@@DjskillsTboiyprincess Naamini ruto anazijua siasa kuliko hata mm na wewe sababu kasafiri nchi nyingi kakutana na viongoz wengi na kusaini mikataba mingi ambayo mm na wewe hatujui kasaini nini. Lakini si umeona wananchi wa west africa mali niger n.k wanavoishi maisha magumu na libya sababu ni hawa america na wenzie lakini njoo kwa urusi umesikia analinyonya taifa gani la afrika? Umaskini tulionao unatengenezwa sikiliza speech za nyerere mugabe mandela sankara gaddafi n.k utaelewa
@ammaherman3391
@ammaherman3391 15 күн бұрын
​@@abdallahngoe😂😂😂kenya waruhusu ushoga mara ngapi 😂😂?
@hizamawa6046
@hizamawa6046 15 күн бұрын
Uchambuzi wa hovyo
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 15 күн бұрын
nenda BBC au CNN😂😂😂 zuzu wee
@user-ub5ce1ym8m
@user-ub5ce1ym8m 15 күн бұрын
Muongo wewe hao ni wakarimani Acha uongo tutaacha fatilia kumbe uwa una chambua uongo
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 15 күн бұрын
Acha kufatilia kwani Nani alikuita paka wee
@idrismbembe2691
@idrismbembe2691 15 күн бұрын
Wewe ndio utaacha peke yako sawa 😂
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz 15 күн бұрын
Nashindwa kuelewa pipo zinazomsapot sma bila kujua yupo upande gan, akat akipewa visa ya usa au russia anatimba marekan😂😂😂
@icahgracie1242
@icahgracie1242 15 күн бұрын
kawachambulia wale wenye D mbili😂
@StephanoMoses
@StephanoMoses 14 күн бұрын
we ni upinde wa mvua . Nenda kafatilie BBC . tuache na jamaa yetu.