MAZINGE HII NDIO HISTORIA ZA MAKANISA 11 DUNIANI DEVIL WORSHIPER. XPASTOR WAZIRI & SH YAHYA..

  Рет қаралды 51,603

KENYA DAWAH TV

4 жыл бұрын

DAAWAH MITAANI SEHEMU YA 100

Пікірлер: 346
@adnankamunyu4439
@adnankamunyu4439 4 жыл бұрын
Mmenifunza mengi Sana kuhusu uislamu Masheikh wetu kupitia huu mtandao wenu, nililelewa katika ukristo nkasilimu mwaka jana. Allah awahifadhi mzidi kutuelemisha Insha Allah.
@mwanaishamlima2047
@mwanaishamlima2047 4 жыл бұрын
Amin
@rudathekaka699
@rudathekaka699 3 жыл бұрын
Masha Allah
@oman7710
@oman7710 3 жыл бұрын
Masha Allah Allah akujaalie ujui uislamu
@rajah9328
@rajah9328 3 жыл бұрын
Mashallah
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 жыл бұрын
Pole sana,,, YESU aliesema nyakati za mwisho watu watajitenga na IMANI ya kweli,,,watafata mafundisho yadanganyayo na mafundisho ya shetani
@akaachoseries4673
@akaachoseries4673 4 жыл бұрын
Nlikuwa mkirsto pia mm namshukuru Allah kwa kuniongoza.Allah awaongoze mueendelee kutoa mafunzo haya
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 4 жыл бұрын
Mashallah
@juariaswabrina4549
@juariaswabrina4549 4 жыл бұрын
Allah Akbar....Allah azidi kukuongoza inshaAllah
@rudathekaka699
@rudathekaka699 3 жыл бұрын
MashaAllah
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 POLE
@doctorkisale9430
@doctorkisale9430 4 жыл бұрын
Nashukuru kunipa elim mimi niliwahi kujiuliza nivipi kabisa nyingi kilammoja wanafanya wanyojua wao Kama hili la kuowana wanaume kwa wanaume lilituchanganya Sana tulimuuliza mchungajiwetu hakutujibu alisema sisitumfate yesu nawale wanae owana nao ukiwauliza wanasema wanamfuata yesu Sasa inachanganya Sasa yesu ndio karuhusu wanaume kuowana duuu!!!!!!! Nashukuru kutupa elim mimi siendi Tena kanisani nimegundua wanatuvuruga sio wakweli
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 4 жыл бұрын
Doctor Kisale kila LA heri ndugu, ukishaujua ukweli unachukuwa hatua hongera sana!
@shifaazawadi4438
@shifaazawadi4438 4 жыл бұрын
Hongora Sana kaka kwakujua ukweli hamakasa huko waachie wenyewe
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
Tunakukaribisha kwenye uislamu ndugu,ndo maana kl cku mm nasema ukristo ni kampuni ya wazungu kukufurisha watu,wewe huon makanisa yot yametokea uzunguni
@abdur-rahmanmuhammad3426
@abdur-rahmanmuhammad3426 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuogoze ujiuge na uislamu
@mwabwagizojaytummumwabwagi7182
@mwabwagizojaytummumwabwagi7182 4 жыл бұрын
KISALE karibu kwenye uislamu kaka
@kimoyochemokos6908
@kimoyochemokos6908 4 жыл бұрын
Asante kwa kutuelimisha historia za dini hizi walizozibuni! Ahaa ni shaa jua sasa uisilamu ndio dini ya kweli.
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 жыл бұрын
Na mungu akuongoze
@ellon5239
@ellon5239 4 жыл бұрын
Amakweli njia ielekeayo mbinguni ni nyembamba,waionayo ni wacheche....usabato hamuuelewi wala siri ya ukombozi ya mwanadamu kupitia Yesu kristo hamuulewi..May God help you understand His secret of salvation before the very end of time
@abdilatifhashi9659
@abdilatifhashi9659 4 жыл бұрын
Masha Allah I'm the first one to comment. Nimefurahi Sana masheikh wetu wa leo wakati nimepata notification ya hii video.Mola awahifadhi Sana.
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@mwanahamisisaid506
@mwanahamisisaid506 4 жыл бұрын
Uislamu ni nuru na Allah umwongoza amtakae , Ma shaa Allah. TAKBIIIR!
@user-sc4iv7qp9b
@user-sc4iv7qp9b 2 жыл бұрын
بارك الله فيك أتابعك وأنا في سلطنة عمان أفدتني كثيرا لأني قبل ١٠ سنوات كنت معتنقا بإحدى تلك الكنائس (EAGT) ، والحمد لله على نعمة الإسلام
@manamisi2680
@manamisi2680 4 жыл бұрын
Mafunzo mazur sana ALLAH awape umri mrefu afya na uzima In Sha Allah.
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 жыл бұрын
Amin
@anacretsindabaha9395
@anacretsindabaha9395 2 жыл бұрын
Usabato mwanzilishi ni Mungu mwenyewe Mwanzo:2:3
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 4 жыл бұрын
MashaaAllah vizuri sana, mashekhe zetu endeleeni kufichua siri za wapagani imani yao haina mashiko
@abuhajaranwar558
@abuhajaranwar558 4 жыл бұрын
MashashaAllah tabaraqallah rahman. Akhy Mohammed na Wahshy. Fuwatilieni ruqya Sana maana Kuna mtihani kwa maadui zenu ruqya kwa wingi kila wiki kwa Sasa maadui mamewakodoleya Macho. Na mola atawaepusha na hassad na majanga ya wanafiki.
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Naam hakika wazo nzuri
@abdulmalikngola9244
@abdulmalikngola9244 4 жыл бұрын
Yani when I see u guys videos my heart is full of joy u guys are my super stars first one Ahmed deedat,othman mazinge,Suleiman mazinge,yahya,Yusuf.m and now new kid on the block waziri&wahshi etc u are many I cant finish the list Allah bless u all for the great work pls video should be minimum 1hr.🙏jazakhallh kheri
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
💪Amin
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Wahshi Allah yarham
@kassimmahonakassimmahona8061
@kassimmahonakassimmahona8061 2 жыл бұрын
Hongeren Sana ufafanuz wenu mashekh
@saidseiph8576
@saidseiph8576 2 жыл бұрын
Masha Allah Allah ajaalie ujumbe huu uwafikie wasio kua waislam ili waweze kuijua khaki na kuifuata
@shabanirukundo4272
@shabanirukundo4272 4 жыл бұрын
Ma shaallah masheikh somo nzur.san
@sadanahimana7193
@sadanahimana7193 4 жыл бұрын
ALLAHU AZIDI KUWALINDA NDHUNDHI NA WAZIRI AWAPE UMRI MREFU WENYE KHEIR MA SHA ALLAH.
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@shizoman6061
@shizoman6061 4 жыл бұрын
uislam kboko huyo wazir amekuw n sura nzl n ya unyenyekev🙆‍♂️🙏
@chunaamina8719
@chunaamina8719 4 жыл бұрын
Allah atutilie nguvu uislm
@husnaodhiambo6848
@husnaodhiambo6848 4 жыл бұрын
Mashallah Maustadh wetu Allah awaifathi wote Inshallah.mafunzo mazuri Mashallah
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Allahuma Amin
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 4 жыл бұрын
Mashaallah Kuna ukatikaji wa picha. Mada nzuri mno napendelea mandhari isiokua na kelele za upepo Allah bariq inshaallah
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@yvesmontana9043
@yvesmontana9043 2 жыл бұрын
Dhambi ya ushoga daah Mungu atusame 👏🏿
@sulehassanshall6140
@sulehassanshall6140 3 жыл бұрын
Ukirsto utaendelea kudhalilika nakufilisika. .wasio msujudia mungu.shetan Ataendelea kuwabaka ciku zote uciku..nikazi yashetan kuwabaka wanaadam wasio msujudia mungu...
@user-js8tk2ge8k
@user-js8tk2ge8k 4 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉Eeeiishh how many times do I have to listen to this song so as I can feel comfortable
@salimamry9432
@salimamry9432 4 жыл бұрын
الله يحفظكم و يبارك فيكم و في عملكم الدعوية - اللهم امين يارب العالمين
@samanthaali873
@samanthaali873 4 жыл бұрын
Masha Allah mola awazidishie moyo huo hou wazir Allah yupo pamoja na ww
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@davidmuswi5702
@davidmuswi5702 4 жыл бұрын
Assamwaikum w. w Kenya dawat kanibuni Burundi
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
InshaAllah Tutafika
@ahmedmaalin3462
@ahmedmaalin3462 4 жыл бұрын
Masha Allah
@allykutenga2862
@allykutenga2862 4 жыл бұрын
Kutoka kisiwa cha ZANZIBAR..
@mwajumamwajuma3756
@mwajumamwajuma3756 3 жыл бұрын
Inalilahi wakirsto jamani walio toka huko mungu awape kheri 🙏 wanakufuru
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 4 жыл бұрын
Ma Sha Allah, Allah awazidishie afya njema In shaa Allah
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@abuhajaranwar558
@abuhajaranwar558 4 жыл бұрын
inshaAllah tunasubiri panapo majaliwa sehemu zifuatazo
@chunaamina8719
@chunaamina8719 4 жыл бұрын
Mashaallah Allah azidi kuwapa uwezo Na elmu ya kutujuza tusiyoyajua, Allah ajaze kila la kheri🤲
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@jumaatuwa2599
@jumaatuwa2599 3 жыл бұрын
Jazaka allahu khaira mashekh mbarikiwe sanaa kwa elimu hii Ka aliye naakili baina ya kila mkristo nafikir atafatilia historia yamakanisa ilikujua ukwl
@rishadmohamed9319
@rishadmohamed9319 4 жыл бұрын
Weka wazi ndiyo njia ya kujisalimisha Kwa Allah, Allah awape Taufiq.
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@moseskimani6088
@moseskimani6088 2 жыл бұрын
Mazinge shugulika na mambo ya mskiti,maneno ya mdomo mtupu hatutaki
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 4 жыл бұрын
MashaAllah. Toweni siri zao
@halimaalimwamajeni6291
@halimaalimwamajeni6291 4 жыл бұрын
Mashaallah jzka Allah kheri
@babuzemacan3713
@babuzemacan3713 4 жыл бұрын
MashaAllah sheikhs
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Sheikh Suleiman a.k.a mazinge kiboko ya free mason. Allah akuhifadhi na Shari yao
@kimsamir965
@kimsamir965 2 жыл бұрын
Mubarikiwe sana mashekhee
@munyarubugaismailally111
@munyarubugaismailally111 3 жыл бұрын
Toka Namibia Allah akuongozeni
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 4 жыл бұрын
"TUMEPATA FAIDA KUBWA SANA,MPO VIZURI PEMBEZONI MWA BAHARI LEO,IMEPENDEZA SANA"
@godisgreat1845
@godisgreat1845 4 жыл бұрын
NDACHA upoo pinga hapo Kisha ushikile kuukadhifu Uislamu kuwa kuleta Muhammad sio Dini ya Mungu KUMBE historia ya kanisa lako ndio hiyo sikliza watu wanye haki ya kujiita watumishi wa Mungu sio nyie wachungaji
@sokakilumbi9293
@sokakilumbi9293 4 жыл бұрын
God is great Nakukubali sana kaka, Namuomba Allah atufishe tukiwa waislamu saafi.. Aamin
@babuzemacan3713
@babuzemacan3713 4 жыл бұрын
Mungu awajalei mashekhe wetu,kweli mnatufanyia sana kazi nzito sana
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 4 жыл бұрын
Ahsante twasubiri part 2 inshallah
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
yaja Ukhty
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 3 жыл бұрын
Good job. Masha Allah. Watching from Boston USA
@hamza89945
@hamza89945 4 жыл бұрын
Sure waziri 👏👏 welcome our brother
@FatmaAli-dp9ps
@FatmaAli-dp9ps 4 жыл бұрын
Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh, Masha Allah, kaka Muhammad hasaa kanawiri kweli uislam ni nuru, na mwenye kufata haki hapati hasara
@ibrahimabdallah7189
@ibrahimabdallah7189 4 жыл бұрын
Allah awajalia her nyingi shee
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@aminabdi7530
@aminabdi7530 4 жыл бұрын
AllahuAkbar MashaAllah...
@abuhajaranwar558
@abuhajaranwar558 4 жыл бұрын
ALLAH awatilie nuru nyote mashekhe wetu awahifadhi na kila balaa nakula atakae fanya baya juu yenu mola alirudishe kwake. inshaAllah,
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@hassanabdalla2741
@hassanabdalla2741 4 жыл бұрын
Ahsante kwa kubadilisha mazingira mkiwa ktk fukwe za bahari. Inapendeza sn na Allah awalipe kheri. Amina
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@harbisulub
@harbisulub 4 жыл бұрын
Allahuma barik all of you brothers masha Allah. I f am ever in Kenya insha Allah I will take you all out for lunch.
@yvesmontana9043
@yvesmontana9043 2 жыл бұрын
Amin Allah awabariki
@ummua5006
@ummua5006 4 жыл бұрын
Jazakumu Llaahu khairan
@saidalkiyumi9270
@saidalkiyumi9270 4 жыл бұрын
جزاكم الله خير
@sadanahimana7193
@sadanahimana7193 4 жыл бұрын
Na penda sana Daawa ya Suleiman Mazinge huwa ana tafsir mpaka watu wanaelea In shaa Allah ampe umri mrefu wenye kheir aendelee kuwafundisha wasiyo elewa dini yetu ya uwislam Nina wafwata kila siku vipindi vyenu vinanifunza na kunifurahisha
@sadanahimana7193
@sadanahimana7193 4 жыл бұрын
Nina wafatilia niko Burundi
@khalfanifarsy8216
@khalfanifarsy8216 4 жыл бұрын
Allah ndiye mola wa haki na Muhammad s.a.w) ni Mtume wake wa mwisho. Siyo ahmadi mirdhi wala Paulo. Qur,an 21:107) Qur,an 7:158) Qur,an 25:51)
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Hakika
@asiriyaaljabriy434
@asiriyaaljabriy434 4 жыл бұрын
Mashaallah Allah Awabariki kwa kazi yakuwatoa watu ktk giza kuwapeleka ktk nnur
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@rukiamatano7764
@rukiamatano7764 4 жыл бұрын
Walykumu salaam warahmatullah wabarakatu ..mashaallah wataelewa tu,
@nahshonwanyangu5386
@nahshonwanyangu5386 3 жыл бұрын
Utapotea wewe...wacha kuwaamini wanenaji uongo.
@yussufdaudi9408
@yussufdaudi9408 4 жыл бұрын
Dinii ya haki mbele ya mwenyezi lunch ni uislam
@injilinuruyamilele
@injilinuruyamilele 4 жыл бұрын
Chapter (22) sūrat l-ḥaj (The Pilgrimage) Verse 40 [They are] those who have been evicted from their homes without right - only because they say, "Our Lord is Allah." And were it not that Allah checks the people, some by means of others, there would have been demolished monasteries, churches, synagogues, and mosques in which the name of Allah is much mentioned. And Allah will surely support those who support Him. Indeed, Allah is Powerful and Exalted in Might.
@kijangwazay7711
@kijangwazay7711 4 жыл бұрын
Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh maa sha Allah
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 4 жыл бұрын
MashaAllah
@abdur-rahmanmuhammad3426
@abdur-rahmanmuhammad3426 4 жыл бұрын
Jazak'Allaahu khayran Kwa mada nzuri Allah awalinde na kila Shari mbaya
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@abdur-rahmanmuhammad3426
@abdur-rahmanmuhammad3426 4 жыл бұрын
@@kenyadawahtv90 Huu ni wakati mzuri wa kuwaambia wakristo ya kwamba ukristo aujatokana na Yesu mwenyewe wala uyaudi , hizi dini zote za ukristo zimeazishwa na watu . Kama Yesu ndiye mwazilishi wa ukristo kwa nini makao makuu ya ukristo yako Rome Vatican , na kama Yesu ndiye mwazilishi wa uyaudi kwa nini makao take makuu ya marekani ??
@hamidharunsaid1666
@hamidharunsaid1666 4 жыл бұрын
Kindly share the link to your all social media accounts even to christians so that this important message reaches many people.... Don't just like plz... Very great message
@hashimmoote3587
@hashimmoote3587 4 жыл бұрын
ماشاء الله أساتذتنا الله يحفظكم ويرعاكم Shukra kwa kazi yenu, ustdh yahya, ustadh Muhammad, ustadh mazinge na alioko nyuma ya camera
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
اللهم امين
@khalidsulait9575
@khalidsulait9575 3 жыл бұрын
Naam mashallah
@alhajkisaka2645
@alhajkisaka2645 4 жыл бұрын
Mungu awape maisha marefu
@user-qz2yd5wm2m
@user-qz2yd5wm2m 4 жыл бұрын
Allah akuzidishieni inshaallah na Allah akulipeni kheir duniani na akhera.
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@aminamarie2387
@aminamarie2387 4 жыл бұрын
Waalekum Salam warahmatullahi wabarakatu,. Mashallah Allah Awape until inshallah
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@mussafanto7088
@mussafanto7088 4 жыл бұрын
Maashaallah
@habilisma6599
@habilisma6599 4 жыл бұрын
Asalamu aleykum sheikh yahya... unafanya kazi mzuri keep going sheikh...I.Allah iam hoping 4 50k subscribers i.Allah...
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
thenks brother inshaAllah
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 4 жыл бұрын
Subhanallah
@mohamedissack8053
@mohamedissack8053 4 жыл бұрын
Mungu awabariki ma sheikh wetu
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@jumajembe3570
@jumajembe3570 4 жыл бұрын
mashaAllah
@ayushiabubakar1930
@ayushiabubakar1930 4 жыл бұрын
MashaAlla mungu awazidi shie
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@mwanaumejasiri3835
@mwanaumejasiri3835 3 жыл бұрын
MAASHA ALLAH
@sirqiutaislaamahambe1535
@sirqiutaislaamahambe1535 4 жыл бұрын
Allahu Akbarr
@mrboma4343
@mrboma4343 4 жыл бұрын
Mashallah
@ummabdulrahman170
@ummabdulrahman170 4 жыл бұрын
Mashallah mawaidha mazuri saanaa na mungu atuhifadhi sisi na vizazi vetu atuongoze njia iliyo nyoka.jazaa yenu kwa Allah biidhnillah
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@duniaabdallah2852
@duniaabdallah2852 4 жыл бұрын
Raha sana
@oromiyaajittu7188
@oromiyaajittu7188 4 жыл бұрын
MashaAllah jzk
@rasullyathumani1142
@rasullyathumani1142 4 жыл бұрын
Vp juma
@hamadibabu6384
@hamadibabu6384 4 жыл бұрын
Mazinge kwani kuna kanisa la mungu
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 4 жыл бұрын
Allah awaongoze nyote
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 4 жыл бұрын
Ameen
@yunuschaga4210
@yunuschaga4210 4 жыл бұрын
Allah akbar
@danielmutunga4566
@danielmutunga4566 4 жыл бұрын
Allah Akbar!!!!!!
@bisimwashamboko5713
@bisimwashamboko5713 4 жыл бұрын
Masha Allah. Clip nzuri sana. Tunasubiri clip nyingi kama izi. Ilituelimike zaidi. @YAHYA. @MAZINGE.@MOHAMMAD. ALLAH AWALINDE.
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
inshaAllah
@fahadkhalfan2079
@fahadkhalfan2079 4 жыл бұрын
A.alykum sheikh. Nilikuwa nakuomba uwaambie wahadhiri wa kiislamu wa huku Tanzania kina ustadh shafi shomari na jopo lake wawe wanafanya daawa mitaani kama nyinyi huko kw hakika wakristo ni watu waelewa wakiujua ukweli ni rahisi kuufuata ila naona jitihada kama hizo mnazofanya nyinyi huko Kenya za mitaani huku hazipo na zingeleta tija kubwa endapo zitafanywa. Wabillah Tawfiq shukran
@GilbertoBaswa
@GilbertoBaswa Ай бұрын
Kiongozi Gani WA kisabato
@ruu6592
@ruu6592 2 жыл бұрын
Mnafki mungu amfichi walisema nitabia za waislam japo wapo waisla na tabia izo ila uislam auruhusu ni dhambi ila upande wa pili ni halal😢
@shabanirukundo4272
@shabanirukundo4272 4 жыл бұрын
Some tem Gerison anawambiaga wakristo wezake japokua yeye nimuyahudi .Walsh uislam ninur najivunia kuamuislam
@jumamsembe1213
@jumamsembe1213 4 жыл бұрын
Allah awaongoze wapate kuujua ukweli
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@fauzialwi3488
@fauzialwi3488 4 жыл бұрын
Kenya Daawah online Asalam Aleykum warahmatullah wabarakatu naam please also include subtitles in English too In Sha Allah some of us our Swahili is not that good 🙂
@DIANITIGERSTAEKWONDOCLUB
@DIANITIGERSTAEKWONDOCLUB 4 жыл бұрын
Good suggestion
@uwesusaid9764
@uwesusaid9764 4 жыл бұрын
Allah Akbar🇹🇿
@alesshitambala2195
@alesshitambala2195 3 жыл бұрын
Alietoa unabii wa hesabu ya kurudi mwaka 1884 sio eleni, ni wilyam mira, mdaa huo sabato haikuwa inatunzwa bado. Mmechanganya mambo.
@saidimuhidini4153
@saidimuhidini4153 2 жыл бұрын
na huu ndio uislam
@bamzeeali5413
@bamzeeali5413 4 жыл бұрын
Mbona fupi na vile mafunzo na uvumbuo waja vizuri, tupeni part 2 wabillah tawfiq.
@supumoto6819
@supumoto6819 4 жыл бұрын
ASSALamu aleikum warahmatullahi wabarakaatuh, ma sha ALLAH nawapata VIZURI sana .جزاكم الله خيرا
@chimbaboytv2937
@chimbaboytv2937 4 жыл бұрын
Cogrotulation
@ashamohammed5593
@ashamohammed5593 4 жыл бұрын
Shukrani
@ashamohammed5593
@ashamohammed5593 4 жыл бұрын
Asc. Nashanga sana wallah Et et sijatumia hekima Musahau hapo juu meandika nini makanisa za mashetani, sasa mimi nikiandika nina makosa Semeni wazi nisiwangali Lakini kama nyinyi meandika Mimi ninako gani? Basi siwagali Tena na pole sana kuwatazama
@eliyampesa4352
@eliyampesa4352 Жыл бұрын
Mnaongea uongo mtupu kwa maslahi yenu
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 4 жыл бұрын
Let's share together 🤸‍♀️🤸‍♀️
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 6 МЛН
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 6 МЛН