Mashallah Mungu akuzdshiye Iman na ujihifazi mwanamke sra Allah atakulipa jannatulfrdaus ishallah ❤
@user-ue8qh4qo8x2 ай бұрын
Allah akbar
@user-jo9fb7df5zАй бұрын
Allah awaajalie mashekhe wetu vipenxi mpate daraja la mwanzo katika pepo
@AbdiShui-xo7qi2 ай бұрын
Mashaallah ALLAH akulinde na kila baya na chafu akupe mume bora mwenye kukupenda
@FatimaFatima-bx8ez3 ай бұрын
Mashaallah tabaraka Allah dadaangu mungu akuzidishie Imani nyingiiiii❤❤❤❤❤❤nakupenda wee dada wakazi 😊😊😊nice 👌 👍
@jafaryngondo81993 ай бұрын
Hongera kwa kuchaguwa kuwa muislamu na kuingia peponi mashaallah
@omante1943 ай бұрын
Al hamdulilah 😍😍😍
@rehemamsengo28053 ай бұрын
Shekhe shafii rudini Tena vikindu❤❤
@ustadhshafiionlinetv3 ай бұрын
Inshallah
@Khatib-xp6fp4 ай бұрын
Mashallah mungu amjalie aisome sasa Imani ili aone usahihi zaidi
@seemanishekiao4 ай бұрын
Allahuma Ameen
@issafaquedalaura82793 ай бұрын
Masha Allah
@user-pl8pn7qb9e3 ай бұрын
Najivunia kua muislamu
@user-ni8eg7zg3y3 ай бұрын
Mashllha allah akubari wewe adad
@sayeedmsct42553 ай бұрын
MASHA-ALLAH ❤SINGIDA
@leilasaid36233 ай бұрын
Mashaallah sheke wetu twakuoenda kwa ajili ya allah
@Allymbaruku991-lj1om4 ай бұрын
Ma Sha Allah
@ggv8663 ай бұрын
Mashaallah
@bisharissack58743 ай бұрын
Masha Allah good 👍👍👍
@user-bf4sr9cm5d3 ай бұрын
Mashalla
@faridaally-jp1gx4 ай бұрын
Ma shaa Allaah Allaah Awahifadhi masheikh wetu Amiin
@machembazacharia67213 ай бұрын
Kakosea kumkana Yesu!
@hamisishabani40723 ай бұрын
MAA SHAA ALLAH.ALLAH AMZIDISHIE NURU,NAYE PIA AWE NI SEHEMU YA KUFIKISHA UJUMBE KATIKA FAMILIA YAKE NA JAMII ILIYOMZUNGUKA,ILI NAO WAPATE KUTOKA KATIKA GIZA, WAJE KWENYE NURU YA UISLAM.
@godsonishengoma53783 ай бұрын
Nuru ya ulimwengu ni Yesu Kristo.!
@user-ek7bx6sk6f3 ай бұрын
Allah akbar karibu katika Uislamu dada yetu
@FeisalDoctor-tn9vd4 ай бұрын
Mashaallah from pemba tunkupenda san dad etu
@AnnoyedAirboat-vk5ki4 ай бұрын
Mashallah
@shabbymakapane4 ай бұрын
Takbiiiiiir. Allah Huakbar
@Catherine-mh8sw3 ай бұрын
Allahu Akbar
@ramosfally23183 ай бұрын
Manshallah
@rehemamsengo28053 ай бұрын
MashaAllha ❤️❤️
@hassanmrussi83984 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤
@ZintanaAhmedy-pe4ou3 ай бұрын
Ongr kwa kuchagua dinii sahihi
@AdmiringCorgi-rg5tj4 ай бұрын
Nimempenda kwa kweli
@halimamfaume19254 ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤
@munamuna46214 ай бұрын
Allahu akbaru ❤❤
@ggv8663 ай бұрын
Allah Akbar
@ramosfally23183 ай бұрын
adi machozi yananitoka kwa furaha
@abujole39923 ай бұрын
Allahu Akbar
@eliudezekiel86153 ай бұрын
Huyu dada kajichanganya mwenyeweeee tayari 😢kilio kingine tena
Uyo anaetoka kwenye uislamu ni mjinga na njaa ndo inayo msumbuwa
@muhidinmawe-vz7dh4 ай бұрын
Nipo keshi kama Yuko teari
@saidybhoky-lb7hg4 ай бұрын
dada karb kwenye dini ya haki
@ericlondonmuwazijimmy12213 ай бұрын
😂😂😂 Jerhunum direct
@waziriramadhankongoti8344 ай бұрын
Kaolewa huyo?😊
@abuuhassani4972 ай бұрын
Makafili wanatoa povutu hapaa
@iddiyrashid16824 ай бұрын
Huyo dada mimi ingekuwa niko na uwezo ningemuowa
@tztanzania22623 ай бұрын
Uwezo upi brother pesa au nvuvu za kiume?
@Catherine-mh8sw3 ай бұрын
@@tztanzania2262😂😂😂😂😂
@shaurimtanda82853 ай бұрын
Atakunywa supu ya pweza@@tztanzania2262
@pastor.frank.tmwaisemba74012 ай бұрын
Halafu ninyi mnalia mwamposa anaingiza waislam kwenye ukristo. Ila ninyi mnagombea kumwingiza mdada kwenye dini ya majini
@JohnjohnMnonjela-br3xl3 ай бұрын
Hongera kwa kuchagua kwenda jehanamu mwenyewe ukiwa na akili timamu
@user-ue5ek3vu6w3 ай бұрын
Akili huna Kali hivyo hivyo siku ya mwisho utakuja kujua
@ndayambajefikirini72523 ай бұрын
Unatia huruma
@frankjohn87063 ай бұрын
Kafanya uchaguzi wa alieligwa.maana kwa jinsi hio mtume Paulo aliwasikitikia watu wa Galatia kwa kudhani mambo ya kweli yanakamilishwa na vitu vya uzushi
@user-pl8pn7qb9e3 ай бұрын
Mashalah kua muislamu raha Sana ,kwani kapendeza
@user-vt4rp6tq1m3 ай бұрын
Iyo niatari sana wenzako wanamtafuta mungu wakweli wewe unaingia kwenye mapepo
@user-dr4oh5xk1j3 ай бұрын
Mtamtafuta mpaka Dunia itaisha atamwona Ng'ooooo😜😜
@abdillahsleyyum27683 ай бұрын
Unataka abakie kuabudu muungu mtu?
@frankjohn87063 ай бұрын
@@abdillahsleyyum2768huko alikoenda SI ndio kwa Mungu mtu Tena itabidi aijue na lugha ya Mungu huyo ili aweze kumuabudu
@user-pl8pn7qb9e3 ай бұрын
utamtafuta mpaka kiama kitakuja na hautampata huyo mungu wa kweli pasipo kusilimu
@frankjohn87063 ай бұрын
@@user-pl8pn7qb9e Yani mtu akifunguliwa ndipo atajua kama Mungu wa KWELI ndie alieumba vyote tunavyoviona na tusivyoviona Tena hakuna chakujificha asikione Wala hakuna lugha Wala kabila asioijua
@loner_wolf4 ай бұрын
Kuzawadiwa ni nini au ni maagizo ama ni jambo tu limetokea kwa bi shamsa ?
@pastor.frank.tmwaisemba74012 ай бұрын
Mdada walimwandaa na kumpa mawazi ya kiislamu. Huu ni uongo tu. Mdada katengenezwa huyu hakuwa mkristo.
@AdmiringCorgi-rg5tj4 ай бұрын
Sheikh Shaafi huyo binti kama anataka kuolewa namtakaa
Nitafutie beberu halina ndevu hiyo ni alama ya dume.........
@AdmiringCorgi-rg5tj4 ай бұрын
Kama hana mume
@FridayMwassa3 ай бұрын
Uislam ni shida, waislam wangapi wanaenda kwenye ukristo na hakuna anayetangaza
@selemanisalum76853 ай бұрын
Punguza chuki kwenye dini ya mwenyezi bidada huo ni muhadhara nyieee si mnao mihadhara lakini vitabu vyenu having vishawishi vya mtu kusirimu
@shabbymakapane3 ай бұрын
WAKRISTO NiWengi Wanaongia kwenye UISLAMU Tena WASOMI Wakubwa na MAASKOFU Na WACHUNGAJI 🤣🤣🤣
@godsonishengoma53783 ай бұрын
@@shabbymakapane wakumuacha Yesu na kmfuata Muhammad n wasiomjua Yesu.. S kila asemae Bwana Bwana atamuona Mungu.. Yesu habadlshwi wala kbadilika.. Umjue Yesu"MWOKOZI wa ulimwengu,ambaye kwake Mungu ka2pa haki ya kuish bure,afu umuache?? Htomskia mlokole anaemjua Yesu vzuuri,akamwacha..haitatokea!
@shabbymakapane3 ай бұрын
@@godsonishengoma5378 🤣🤣🤣👏👏👏 MATHAYO 7:21-23 Si Kila Mtu Aniambiaye BWANA , BWANA , Atakayeingia Katika Ufalme wa MBINGUNI ; Bali Ni Yeye Afanyaye Mapenzi Ya Baba yangu Aliye Mbinguni , 22 Wengi Wataniambia Siku ile , BWANA , BWANA , Hatukufanya Unabii Kwa Jina Lako , na Kwa Jina Lako Kutoa PEPO , na Kwa Jina Lako Kufanya MIUJIZA MINGI ? 🤣🤣🤣 23 Ndipo Nitawaambia DHAHIRI , Siku Wajuwa Ninyi Kamee ; Ondekeni Kwangu Ninyi Mtendao MAOVU ,🤣🤣🤣. hiyo (1) @godsonishengoma5378 (2) YEREMIA 17;5 BWANA Asema hivi , AMELAANIWA Mtu Yule Amtegemeae MWANADAMU , Amfanyaye MWANADAMU Kuwa Kinga yake Na Moyoni Mwake Amemwacha BWANA ,🙏🙏🙏 🤣🤣🤣👏👏👏 hayo Ndio Mafundisho ya Mwenyezi MUNGU , (3) Msikie Aliye waldtrauds UKRISTO Anasemaje ??? WARUMI 1:25 Kwa Maana Walinadili Kweli ya MUNGU Kuwa UONGO , Wakakisujudia. KIUMBE Na Kukiabudu BADALA YA MUUMBA Anayehimidiwa Milele Amina ,🤣🤣🤣 @godsonishengoma5378 Swali kwako Kati ya MTUME Wako PAULO na BWANA MUNGU Na Wewe Nani Mkweli ??? Au yupi Tumfuate ???😹😹😹 (4) Ukasema YESU Ndio Mwokozi ,🙆♂️🙆♂️🙆♂️. ??? MATHAYO 27;45-46 Basi Tangu Saa Sita Palikuwa na Giza Juu ya Nchi Yote Hata Saa Tisa . 46 Na Kama Saa Tisa , YESU Akapaza Sauti yake Kwa Nguvu Akisema , Eloi, Eloi , Lama SABAKTHANI ? Mungu wangu Mungu Wangu , Mbona Umeniacha ?, 🙆♂️🙆♂️🙆♂️ mh ??? ati nini ???🤣🤣🤣😂😂😂.@godsonishenhoma Upo ??? Ushauri Wangu Soma BIBILIA NDUGU , Yaani YESU Mwenyewe Anataka Msada kwa Mungu halafu wewe Unasema YESU Mwokozi .wewe Utakuwa 😇😇😇 King'amuzi Cha Startimes 🤣🤣🤣. (5) YOHANA 7:33 Basi YESU Akasema , Bado Kitambo Kidogo nipo Pamoja Nanyi ; Kisha Naenda Zangu kwake Yeye Aliye Nipeleka 34 Mtanitafuta Wala Hamtaniona ; Nami Nilipo Ninyi Hamwezi Kuja , 🙏🙏🙏 @godsonishengoma5378 Unamsikia na YESU Anasemaje ???😂😂😂. YOHANA 8;21 Basi Akawaambia Tena , Mimi Naondoka , Nanyi Mtanitafuta ; NANYI MTAKUFA KATIKA DHAMBI YENU ; Mimi Niendako Ninyi Hamwezi Kuja , 🙏🙏🙏 ----😂😂😂🤣🤣🤣. YOHANA 12:36 Maadamu Mnayo Nuru , Iaminini Nuru hiyo , Ili Mpate Kuwa Wana Wa Nuru . Hayo Aliyasema YESU , Akaenda Zake , AKAJIFICHA WASIMWONE ,🤣🤣🤣😂😂😂🤪🤪🤪😹😹😹👏👏👏👏👏👏👏👏 Yaani Wewe Unamuona YESU Mkombozi Wako Wakati yeye Mwenyewe anatafuta Kukombolewa 😁😁😁 "godsonishengoma5378 Soma BIBILIA Ndugu yangu Sio Unakwenda na Mhemko Hasira , GAZBA ,🤪🤪🤪 Soma kitabu Chenu kwanza, 😀😀😀 Hapo Umeandika Mambo Mengi Bila Ushahidi wa MAANDIKO Wewe Utakuwa 😇😇😇. 😂😂😂
@shabbymakapane3 ай бұрын
@@godsonishengoma5378 Wewe ndio Hujui 🤣🤣🤣. QURANI 4;115 Na Atakaye Mwasi Mtume Baada ya Kumdhihirikia UONGOFU Na Akafuata Njia Isiyokuwa Ya WAISLAMU . Tutamgeuza Aliko Geukia Mwenyewe Na Tutamwingiza Katika JAHANNAMU ; Napo ni Mahali Pabaya Kabisa Pa Mtu Kurudia ,🙏🙏🙏 @godsonishengoma5378 Kazi Kwako Kuamua PEPONI au JAHANNAMU ,🤣🤣🤣 QURANI 20;75 Na Atakayemjia ya Kuwa MUISLAMU Aliyefanya VITENDO VIZURI, Basi Hao Ndio Watakaopata Vyeo vya Juu ( Huko ) 🙏🙏🙏
@abdullahmasakata1704 ай бұрын
Huo ndio uislam sasa sio wale wanao hubiri madhehebu yao na ndevu zao utadhani usipo fuga ndevu huendi peponi kwasababu ya ndevu.
@marialumbanga4 ай бұрын
Mmmh usiwatukane kwa kuwa wote ni waislam
@khaalidcheo53834 ай бұрын
Kasome dini wewe
@marialumbanga4 ай бұрын
Kaka si kwa ugonvi sisi sote njia yetu ni 1 na tunamuamin allah naomba nikuulize swali je kufuga ndevu ni haram, ?
@abdullahmasakata1704 ай бұрын
@@marialumbanga Kwani mimi nimesema kufuga ndevu ni haramu? Sio haramu na wala sio lazima kufuga ndevu lakini ni suna kufuga ndevu.
@abdullahmasakata1704 ай бұрын
@@marialumbanga Nitajie matusi hapo niliyotukana Kama sio uelewa mbaya.
@user-jo9fb7df5zАй бұрын
Allah awaajalie mashekhe wetu vipenxi mpate daraja la mwanzo katika pepo
@saudaumar33544 ай бұрын
Mashallah ndugu Allah akujalie kheyri na dini Inshallah
@jumasalim91743 ай бұрын
Masha Allah
@salminimaloki19924 ай бұрын
Mashaallah
@setiseti52812 ай бұрын
Maashaallah
@AnnoyedAirboat-vk5ki4 ай бұрын
Mashallah
@user-jo9fb7df5zАй бұрын
Allah awaajalie mashekhe wetu vipenxi mpate daraja la mwanzo katika pepo
@user-jo9fb7df5zАй бұрын
Allah awaajalie mashekhe wetu vipenxi mpate daraja la mwanzo katika pepo