Hao wote hawakua rizki yako,,umri bado kikubwa jitume nakumuomba sana Allah❤❤❤❤❤
@user-ky1ni2ly9r25 күн бұрын
Allah akufanyie wepesi pia Mimi nilishatakishwa ndoa na mamamkwe na nilisafiri kabisa mpaka leo sijaoleka ndio saa hii nimepata mwengine tena mrembo zaidii ya yule wa kwanza na yule wakwanza alio mwanamke akaja kutukana mamake na kupiga 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nikatafutwa kupewa umbea kwa hio dada hongera sana maamuzi uliyo chukua niyamsingi jikaze utapata mwenye kheir na wewe lkn Mimi sikua nimelala nae bado heshima yangu iko mama ila pia wewe utapata mwenye atakufuta machozi na kikupoza kidonda Love you baby girl ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@rizikimohamed244911 күн бұрын
Dada pole sana mashaallah ulivyo mzuri usijali Allah ana sababu atakujalia mume mzuri tu waheri
@Swamyhassan_sy4 күн бұрын
Pole sana dear😢hakika inauma sana mshukur mungu kwa kila kitu na kila kinachotokea kina sababu
@mariammm25746 күн бұрын
Pole sana ndugu yangu Jitahidi usifanye mapenzi nje ya ndoa ni haramu Pia bora ulivyoachana na mumeo kwa sababu hivyo ulivyofanya haikuwa sawa kuolewa ukiwa na mimba ya mtu mwingine Huyo mwanaume wako wa kwanza hakuwa mkweli na mapenzi ya dhati juu yako alikuwa anakutumilia kama chumba cha starehe tu MwenyeziMungu atakupa mume mwenye kheri na wewe mtakaopendana in shaa Allah
@AishaBaraka-k1d9 күн бұрын
Da pole Sana kipenzi kama mungu amepanga uolewe utaolewa
@zakiamohamed-ug5mx26 күн бұрын
Pole sana mrembo muombe mungu atakupa aliye sahihii hakuwa wakwako huyo mshukuru mungu
@cassamoantumaneantumane367326 күн бұрын
Mbengo tv were the best from mozambique
@indiaboytz573126 күн бұрын
Kwakua ni muislam siwanaruusiwa kuoa ata wake wanne awe tu mke wa pili sasa
@SHADIAALLY-pv3ql9 күн бұрын
Pole sana dada yangu maana ndoa kama ipo ipotu mungu atakujalia nautapata mume mzuri sana
@HalimaKassim-yz3we26 күн бұрын
Mm namsukiliza sanaaa huyo dada lakini nilichokiona hapo yy ndio hakua na msimamo yaan una mimba ya mtu nahuyhuyo anakushaur uolewe na ww una kubali eti kisa mimba sasa hapo umejifunza nn
@MohamedMwachega-x6c25 күн бұрын
@@HalimaKassim-yz3we nashangaa aliyataka mwenywe
@HalimaKassim-yz3we25 күн бұрын
@@MohamedMwachega-x6c umeonae kwanza tuu swala la eti una mwanaume wako na ukaletwwa mchumba hapo ndio angeonesha msimamo kwamba liwalo na liwe sasa yy na akili zake akaona aolww na mtu asimpenda ili kuficha mimba siusenge alivo lala alitegemea nn
@user-lb5oi2wz6z23 күн бұрын
Uyoo malayaa sawa jamaa alivoo ha wa videmu linafanya kazi viwandani viimalaya asa virangii na Talaka ujapewa vp
@ElietiSilausi17 күн бұрын
We mdada mume mwema utampata kanisani.muombe Mungu atakupa wa kufanana nawe.pole my deary
Pole Sana mwanamgu ungaliki mdogo jikaze utapata mume bora
@rahmamohammed967823 сағат бұрын
Pole yaa ukhty usijutie kwani lokuepukalo lina kheri nawewe Allaah Akufariji na akuchagulie wa kheri nawewe bado wee mdogo sana
@SalhaRamadan10 күн бұрын
Pole sana mdogo wetu mrangi mwenzetu uliolewa kisese nyumbani kwetu bereko ukweni kwangu Maisha yanakila changamoto mungu akusimamie popote ulipo
@tztanzania226210 күн бұрын
Shda ilianzia kwake hyo mimba😢
@husseinbakromar586522 күн бұрын
Ndoa hupanga na mungu na waislam Sheria wanne kama ataka ndoa anipe namba nikamilishe kisha wabongo mwajua kupanga tamthilia za kweli
@ElizabethGwasma6 күн бұрын
Pole dada
@nasirikuzigile922825 күн бұрын
Wadada wafanyeni kazi ndoa za siku izi kama huna kipato au kazi au biashara yoyote mwanaume ata kuchezea anavyotaka lkn ukiwa na kazi yako au biashara yako na pesa zako mwenyewe mwanaume hakufanyi kama ivi kwanza atakuheshim hata kama atachiti ni kwa siri mno team strong tuendelee kuzitafuta mwaya tukiludi tuinjoy maisha yetu bila hawa mbwa kutuchezea akili😂😂😂😂 nipo zangu urabuni mwaya sina kesi na mtu wee huogopi😂😂😂😂
@user-sv6zy3hc8o23 күн бұрын
Huna baya shoga angu hata mim nipo huku
@user-rj4cd7oc4x15 күн бұрын
😂😂😂 Leo ndio nimekumbuka kumbe na mm niliwahbkuolewa
@HeryMrope10 күн бұрын
😢Asalam aleykum Kila kitu dada kina wakati wake bila shaka Allah Kuna jambo kaliepusha kwako kwahiyo usilalamike mshukuru Allah kwa Kila jambo pia ushauri kwako usisnze kufanya zinaa kabla hujaolewa hiyo ni haramu inshaallah
@user-fi7hm6uu8d4 күн бұрын
zinaa ni haram hata kama umempenda mwanaume kiasi gani sister wangu
@AthumaniMuhende14 күн бұрын
❤❤❤ Allah akufanyie wepes inshaallah
@user-vq2cb7fn8f22 күн бұрын
Wewe ni mwanamke jasiri hata km watu wanakutukana ‘ kila mtu anapitia mtihani ktk maisha yake’
@SaadiyaMohammad-og5bg23 күн бұрын
Dadangu sio khire yako mungu atakupatea mwenginia mweynye khire mungu ajuwa zaidi subra dadangu usihuzunikia pz
@IshaYahaya-s9o8 күн бұрын
Kazuri mashaalah
@Naw8923 күн бұрын
Allah akuhidhi mwanangu bado mdogo sana na mambo yako ni makubwa
@user-uj5wg9mm2t17 күн бұрын
Ulishatombwa hyo siku hotelin mbona husimulii
@GfhGfg-y7hКүн бұрын
Pole sana dada
@NajatyHassan3 күн бұрын
Pole dada angu ndy maixha lakin haya tunayopitia mamy❤❤❤❤❤
@kiluwagrata432914 күн бұрын
Poverty ndio chanzo cha ww kupitia yote hayo coz wazazi wasinge force uolewe na umri huo, pole sana cha muhimu ni kupambana tu achana na ndoa kwasasa focus na maisha yako binafsi
@mwanazuber39688 күн бұрын
Sio umaskini elewa tamaduni za makabila mengine mtu ukifikisha umri wa kuoa au kuolewa unatakiwa kufanya hvy kuepusha kuzini hovyo
@SuleimanKhdija21 күн бұрын
Subhanallah sasa ndio anahojiwa ili iwe je Duh mtihani aibu 😮😮
@MariamRashid-sm5zw15 күн бұрын
UYO BINTI NIMUONGO SANA MIMI NIMAMA ALIKUWA MALENGIYAKE YALIKUWA KWAHUYO ALIYEMPAGA MIMBA UYO ALIKUWA SIMUOAJI ALIKUWA MJINGA SANA ANGETULIA KWENYE DOA YAKE
@salumissa61185 күн бұрын
Huyu mwanamke malaya tuu na ni mzinifu Allah amuongoe
@WinWilly416221 күн бұрын
Kajeuri lakini😂 Pole Mungu atakupa mwingine,umri bado mdogo mno hata kwenye kufikiri kanafikiri kwa udogo ndo maana kameishia njia panda
@Naju64526 күн бұрын
Dada huna cha kujitetea unaeleza uongo mtupu unaolewaje na mwanaume ukiwa namimba yamtu mwingine nabado haitoshi unachati namwanaume kwenye cm yahuyo mume jifunze Kwanza kuwa na aibu bibie duh
@marytumaini79726 күн бұрын
Ahana sawa 😂😂😂😂😂😂😂😂
@UmayyaNkya-ze3ri26 күн бұрын
Cjuy ata anaongea nn ata cjamalizia upuuz mmoja
@georgedaniel496225 күн бұрын
Lishetani hilo hakuna mtu.
@AminaOmary-sm4wlКүн бұрын
Me sishangae kawaida ya warangi
@judithtitomalyeta400026 күн бұрын
Mhuuuu pole sana wanaume wanaumiza jamani
@user-uj5wg9mm2t17 күн бұрын
Kwanza ukimfatilia vzr hyu bint co mzima hakuna mke hapa
@user-jz2su4co4d14 күн бұрын
Ashukuru mungu maana kuna kitu kikubwa mungu kamuepusha nacho
@ifrahabi48347 күн бұрын
Kweli kabisa.
@user-ij9te1ck9p26 күн бұрын
Huyu binti ata km vp ni mpumbavu na jahili mkubwa
@teedullah570826 күн бұрын
C ni upuzi tu huyu Sasa uraenda vp kuolewa na mume mwenqine Hali ya kuwa unamimba
@MohamedMwachega-x6c25 күн бұрын
@@teedullah5708 nashangaa si angeambia familia ukweli kua ye ni mjamzito wakajua mbichi na mbivu kuliko ukubali uolewe na m2 hujampenda den urudi ulaumu
@esterMahenge2 күн бұрын
Alafu Kazurii mwee sema akili yote iko kwenye ndoa dhambi 😂katulie tu mweee kata pata mme bora zaidi ya uyo
@estherphilipo58455 күн бұрын
Pole sana dada mshukuru mungu uenda kuna jambo amekuepushia
@evertheobald18113 күн бұрын
Kwakweli
@FauziaAyyib-dw6lj10 күн бұрын
Pole sana dada Allah akufanyie wepesi
@ISSAMAHAMOUDISSA22 күн бұрын
Huna vigezo vyakujitetea dada angu we malaya
@chunaabdullah133320 күн бұрын
Huko na watoto wa kike ww Malaya mpevu?
@frpznz97218 күн бұрын
Anko usiseme ivo anko
@fatumashisha14117 күн бұрын
Sana
@mohamedkisenga665426 күн бұрын
Ndoa mwez mmoja mambo kibao ovyoo sanaa umalaya ww dada chiz
@AminaOmary-sm4wlКүн бұрын
Huwajui warangi ww
@janemugoya131611 күн бұрын
Pole dear your still young God's time is the best
@user-tr1nd7xn7t22 күн бұрын
Dada yangu pole sana kuwatu na subra ALLAH atakupa Inshaallah ningelikuwa naeshi Tanzania ningekutafuta usijali ALLAH atakujaliya yatakwisha ni wakati tu!
@ZawadiMwabadilanga9 күн бұрын
Pole sana dada siyo rizki usi lie
@ZainabuOmary-ys8oq3 күн бұрын
pole dada yalinipataga mii yanafanana wanawake tunapitia maumivu mengi sana ila mii nilipata ujauzito nakunitelekeza nililia sana mpaka ujauzito uliharibika maumivu niliyoyapata ila baadae nilikuja nikajifarijika nikaanza maisha yangu nafanya kazi za watu maisha yakaenda nashukuru mungu kwa kila jambo allah akupe subra ila ulipojikoroga ww ni kuambiwa olewa na ukaolewa kweli na kama alikupenda kweli nae aliumia sababu mtu unaempenda hawezi kukubali uwe na mungine baadae nae apana nakushauri jali kwana hisia zako wanaume watakuliza mpk unapokutana nae usijue huyo nani tafuta pesa mapenzi yatakuja yenyewe tena ya heshima
@NamiriNamiri-oz4xs12 күн бұрын
11:43 Mwana ulitaka mwana ulipata kumbe tulikwenda na ujauzito halafu huku taka kujishusha kwa. Kosa LA kwenda na ujauzito kwa mume. Mpya 2 yule bwana aliekuwa ujauzito akakutia kibri kama toka nitakuwa lakini hukufikiria kama anaekutowa kwa mumeo kawaida HUWA hakui kwa sababu anajuwa na kwake hutodumu sababu utadanganyika na mwengine kilichokikuta ni halali yako.
@user-wv4ue5yn8u10 күн бұрын
Jifuze usiolewe namimba yamtu mwingine warangi kiboko
@raineryponera327824 күн бұрын
Muombe sana mungu kwa maana yeye ndo funguo ya Kila mlango 🙏🙏🙏
Mie cmuelewi anaongelea tu story ya safari badala ya huo bwn aliemucha khaa siwezi endelea kwakweli
@jenniferzakaria388422 күн бұрын
Mm mwenyewe simuelew una mme Tena una olewa, kwendraaaaaaa
@JoyceSteven-tu2fi21 күн бұрын
Nimecheka sana😂😂😂....m niko hapa najikaza kumuelewa
@Sidrasidra63619 күн бұрын
Tulia w bado mdogo utapata wako wamasisha w jitulize tafuta kazi ya halali ufanye usi rukeruke 😢
@mariamsaid633418 күн бұрын
Yani unasimulia kitu ambacho umekisikia kwa mtu iyo sio story yako kbs acha kutuchosha
@MartinaMsimbe-qk8ug4 күн бұрын
Huyu Dada ni mjinga hata was waandishi nanyie😅😅😅😅
@florakaria37933 күн бұрын
Hufai unaolewa hivyo hovyo....dharau unayonwewe sio yy😊
@YasiniSaidi-z8b7 күн бұрын
Pole mung aikujalia
@AmaniMafita9 күн бұрын
Pole sana binti kuwa muangalifu baado ya hili
@gladysmueni253411 күн бұрын
Madam msubiri Mungu.Wakati wa Mungu ndio mwema.mungu atakubariki na bwana mwema.Ndoa sio bora mme ila mme Bora
@zr780818 күн бұрын
Nasiha kwa wadada wote musikuwe munaiminiya kila mtu na wala jistirini mwili wenu mupaka kupata rizki yako ya kuolewa
@RamadhanNyambi23 күн бұрын
Namuomba mim aje niishi nae plz plz
@NasibuKijuu20 күн бұрын
Pole san
@dullymsela4306Күн бұрын
pole xanaa swaree mrangi mwenzangu umebaki tyu kudangaa sasa bakari kavuta kixura kuliko hat ww sura mnazo ila tabia zenu zinawaponzaa we pamoja na mdogo wako tabia zenu zinafanana nakuona unadanga tyu 😂😂😂😂😂😂😂
@ifrahabi48347 күн бұрын
Can someone make me understand. This young beautiful lady, is saying there was wedding, how did she became pregnant
@bosiborimomanyi559226 күн бұрын
Nkt...eti mume mwenye amekipea mimba akuambie uolewe na mwingine.. hahahaha
@MohamedMwachega-x6c25 күн бұрын
@@bosiborimomanyi5592 wallah eti,
@user-ft2vq5on6l23 күн бұрын
Na bado unampigia simu mtu anakuambiwa uolewe huhisi km hakupendi
@user-ih6ng6sf6o8 күн бұрын
Pole San kwel kwa matatizo ulio pitia 😢 utapata mme bora tu
@hamisijuma327622 күн бұрын
Mungu atakupa, usijali awe mkristo au mwislamu
@hamidudongo187920 күн бұрын
Wewe Mpumbavu.. wewe sio muislam au utakuwa muislam jina
@dullymsela4306Күн бұрын
aaah mwaanjaaa jamn umenitoa jasho umekuj kujiaibishaa tyu huku ungekaa kimyaa tyu yaan tunatukanwa had xixi ndugu zako umefikia huko njo nyumbn utaolewa
@user-kd2qj1sv9j17 күн бұрын
Pole san kipnz p❤❤❤
@Dafetty26 күн бұрын
Taila sana wew wanahaki wasikuoe😏😏😏
@user-dn7sc8lf8h26 күн бұрын
hii ni tabia ya warangi, wamburu, na wanyaturu. Itakuwa huyu dada ni Moja kati ya hayo makabila. Au msambaa
@briankatani677026 күн бұрын
Kweli kabisa utaolewaje na una mimba ndiyo maana ulishinndwa
@Goldenbutterfly-hk1hp25 күн бұрын
Mkundu ww msambaa kafikaje apa
@phorahmahaza63825 күн бұрын
Mshenzi mkubwa makabila ya watu yamefikaje hapo huna adabu kabisa
@user-yx6zq9bp1s25 күн бұрын
Ww una tabia mbaya kutukania makabila ya watu jiepushe na dhana yako mbaya kila sehem Kuna mchanganyiko wa watu Usijione ww na kabila lako ndo bora MwenyeziMungu ndo mjuzi zaidi
@fridakitemangu344625 күн бұрын
Unexperience gani na hayo makabila hayo kama Huna comment nzuri usiandike maana unachafua kabila za watu mungu akuhurumie sana wew
@user-mv7km8lt5j20 күн бұрын
Pole ❤❤
@chikujuma1825 күн бұрын
Mwenyezi mungu atakupa mume sahihi inshallah pole mpenzi wangu
@JumaMkuchika-c8k4 күн бұрын
Muombe allah sana atakujalia atkupa wako
@PiliIsamil25 күн бұрын
Pole sana dada wangu
@zainabumohamed476326 күн бұрын
Kwa kifupi hawa bado wote watoto,
@mohammadoman89635 күн бұрын
Kumbe wewe mwenyewe mwanamke hujatulia ndio maana mwanaume kakukataa😢😢
@samwelmigera727418 күн бұрын
Hakuna ridhiki Yako uyo tulia utapata wa kwako
@khamoshmikidadi61822 күн бұрын
Mtt mzur mashallah ningekua mwanaume ningemuoa 😢
@Neema-qm9kk5 күн бұрын
Kwa mtazamo wangu ninaona kama huyu dada Ana ujeuri.
@OmanNew-mv1mv22 күн бұрын
Nakupenda naomba namba yako
@user-sd5hj2im4q22 күн бұрын
Kosa lko uliingia ktk ndoa kiudanganyifu kwio huwezi kufaulu ktk kudanganya,, cheating make more loose
@user-xv5yy6mv6i5 күн бұрын
Dadapole usihuzunike Sana nikawaida ukubali ara ukeweza mm nipo nakujali Niko znz.
@AgnesDeonatus22 күн бұрын
Ndoa ni baraka ya Mungu c matarajio ya mwanadam tuwe na subra
@AgnesDeonatus22 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@ZabibuHamisi-pv7vv11 күн бұрын
Pole sana dadangu
@user-pb4pn4yu8y20 күн бұрын
Pole sana mdogo wng huyo mwanaume hakukupenda mwanaume anayekupenda kweli hawez kukurusu uolewe na mume mwingine tatizoletu ss wanawake tukipenda tunakuwa vipofu hata mtu hafai tunaona anafaa sababu tu moyo umependa pole kikubwa nikumuomba mwenyezimungu atupatie waume walio sahihi na na wenye hofu juu yake
@CostantinoPaulКүн бұрын
Hiki nikihuni tuu nakisipo badilika kitangukia kwenye magonjwa
@MashaMbwana11 күн бұрын
Nakushauri kitu njoo zako arabuni utafute pesa achana na habar za mapenzi ukikamata pesa humtaman hata mwanaume 😊
@user-xl7tb9xr9t11 күн бұрын
Say alhamdulillah Allah has not planning for you . Inshallah Kee praying never give up to Allah
@mohammedkidody561826 күн бұрын
Dunia ina mambo hii mrembo kama uyo utamuachaje wanaume sometimes tunafeli asa😢
@MohamedMwachega-x6c25 күн бұрын
@@mohammedkidody5618 alijisababishia mwenywe unawezaje beba mimba ya m2 mwingne den uolewe na m2 mwingne,si kila mwanaume ana kifua cha kuvumilia ayo uolewe na m2 mwingne den badae murudiane,
@user-il5cu6gq5f24 күн бұрын
Basi ukamwowe wewe unangalia urembo angalia tabia
@abubakariali984823 күн бұрын
Usipime kina cha maji kwa kijiti utazama ufe
@ishanaaRajoo22 күн бұрын
Huwez jua Mungu tu atustiri ndio mana nasema sisi wanawake htuna uhakika wakupendwa na wanaume ila mwanamme Ana uhakika kwasbb anajua huyu nampenda huyu simpendi sisi wanawake kwa kweli Mungu tu atuhurumie ila tunapitia magumu sana kwa wanaume si wakweli
@mohammadoman896319 күн бұрын
Kila kitu kina riziki yake na pia huenda mwenyezi mungu kamuepusha na shari za yule mume wala asihuzunike amuombe mungu amjalie mume bora zaidi ya yule
Shenzi typ mnatia aibu sana ndo mnawaharibia wengine yaan naskia asra,mola msamehe tuongoze,unafaa kulia na utubu kwa mola wako,unaanza kujitangaza,nadhambi ya kutangaza dhambi ni mazito sana
@rashidimussa4719 күн бұрын
Umalaya tu kukaa kwenye ndoa aah 😂😂
@MayleenDonaldharris21 күн бұрын
Mimi cjamwelewa huyu dada kwanza muongeaji mno😜😝
@victornselu5174 күн бұрын
Mjuaji pia hajitambui una mimba unaolewa na mimba ya mtu mwinfine dunia imeisha hii
@neemajames513726 күн бұрын
Ila unatia aibu sana lazima akuache
@RizikiMakayaShabani26 күн бұрын
WaDada nzetu munagawa sana Ila pole sana
@NeemaSaimon-i4n6 күн бұрын
Nyie sindio mnaoomba
@aminabadi866318 күн бұрын
Mungu atakupa wa kheri na ww lk mara ingine usikubali kunyamazia siri kama uliongea kwa fqmily yako hayo yasingetokea ukweli hua unakuokoa ima angelazimishwa huyo bwana alieka mimba akuowe ama akuhudumie hqtq ukiwa ama mume akikuowa anajua uko na mimba sio yake hapo ulikosea kuficha hawa wanaume tunakua nao lk niwatu wabaya sanaa kumi kwa mmoja akisha kukuharibia maisha kusimama nawe
@jumabonge857726 күн бұрын
huna akili ww dada
@ndogolofadhila620326 күн бұрын
Kabisa
@Dafetty26 күн бұрын
Nakuunga 🤝💯
@user-ft2vq5on6l23 күн бұрын
Ni kweli hana akili
@VICTORIANMUINDI25 күн бұрын
Pole sana lakini amini huyo mwanaume atapata amani siku moja atakutafuta amini dadangu
@adammjomba581426 күн бұрын
Huyu Dada anamapenzi ya kweli Tatizo wanaume NI wakora. Ukiangalia huo mzunguko unaonyesha wanaume ndio hovyo.lakini pia huyu dada anatatizo hana nsimamo huku ana penda huku anapenda NI nduma kuwili