Yaani nimefurahi leo nimepata kuona vizuri hili pishi maana cku linaoneshwa kwa TV nilichelewa nikakuta linaishia.
@josephinekinyaga49415 жыл бұрын
asante sana somo nimelielewa ipasavyo.
@colethangusulu45643 жыл бұрын
Nauli za uko upanga mtaa gani
@minnahminnah61797 жыл бұрын
Nitatry maama ni mapya
@sadiaabeid75526 жыл бұрын
Hio dana jira haina jina nyengine
@felisterphilemon92867 жыл бұрын
so fine and dandy
@user-mb6mb1pq3x7 жыл бұрын
mbona sion video yako dada
@ummbarakahak24687 жыл бұрын
danajira ni mchanganyiko wa unga wa mbegu za dania, na unga wa bizarinyembamba.zikichanganywa pamoja inaitwa danajeera.ukipata duka la muhindi la kuuza dawa za kupikia utspats tayari mchanganyiko huo.
@zashamloli12335 жыл бұрын
WAP naweza kupata
@florencegoulet89884 жыл бұрын
Great cooking. Please teach me more. Barikiwa sana
@ashalaurent65626 жыл бұрын
Mbona siku hizi uonekani??????
@ummusahili63997 жыл бұрын
Samahani mimi naomba niambiwe zananjiro ni mchanganyiko waning nanina nini Au jina jengine ninini ? Au curry powdered??