🅻🅸🆅🅴 : MBOWE ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU...

  Рет қаралды 78,706

JAMBO TV

JAMBO TV

7 ай бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZfaq: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 164
@NgambilabalinziBaliguluk-os3ln
@NgambilabalinziBaliguluk-os3ln 6 ай бұрын
Ndiyo Mzee Baba tunahitaji mabadiliko 💯
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 6 ай бұрын
Kazi nzuri sana mkubwa hii imeenda salam ziwafikie
@georgelukas1272
@georgelukas1272 6 ай бұрын
Big up sana chama kubwa
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 6 ай бұрын
Mie ni kutoka Zanzibar naunga mkono maamuzi ya Chadema kwa mara ya kwanza. Na huku znz pia yafanyike maana Mwinyi nae anapuuza maagizo ya kamati.
@allymkazi2775
@allymkazi2775 6 ай бұрын
Kazeni buti tuko nyuma yenu watu wanaotegemea wizi wa kura ili waendeleee kuongoza hao Ni wepesi Kama karatasi siku zote mungu Yuko kwenye haki ! Na sio kwenye wizi wa kura!!!!
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 6 ай бұрын
Chadema kazeni buti isiwe kama UKUTA. Znz tutawaunga mkono. Sie kuuliwa ni cha mtoto tu tushazowea.
@boscomfundo7953
@boscomfundo7953 6 ай бұрын
Well said Mheshimiwa Mbowe
@user-lx2lo2lp8m
@user-lx2lo2lp8m 6 ай бұрын
Mbowe mbowe!..kwa hotuba hii we ni nabii uliyekuja kutukomboa baada ya nyerere,Mungu akulinde mpaka ndoto zako zitimie,ccm imefikia mwisho,hotuba ya Karne kwa watz,zingatiane haya!...tz
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 6 ай бұрын
Haswaaa
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 6 ай бұрын
CHADEMA....CHAMA MBADALA WA CCM KWACHAGUZI ZA 2024 NA 2025....WATANZANIA BILA KUJALI VYAMA NA DINI ZETU TUKO NYUMA YENU.
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 6 ай бұрын
Wananchi huu ndiyo wakati wa kulikomboa Taifa letu,Tanganyika yetu na rasilimali zetu,ccm haifai kupata kiti chochote kuanzia wenyeviti wa mitaa,vitongoji,kata,madiwani,Wabunge na Rais. Tuwanyoe ili mafisafi wajue hili Taifa siyo mali yao! KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI NI SASA.
@paschalmagai751
@paschalmagai751 6 ай бұрын
Mwenyekiti sasa mmeanza kuwa serious..... Huu mwaka uwe ni wa action zaidi maana future ya Tanzania chini ya hawa majambazi inafifia vibaya sana.
@hakiyangu
@hakiyangu 6 ай бұрын
Tena kwa sasa wamekua wanyonyaji wa nchi
@user-vs5ow5jt1w
@user-vs5ow5jt1w 6 ай бұрын
Tatizo ninyi chadema tuna waunga mkono halafu badae tunapoteza kura zetu Bure mnazubaa mpaka ushindi unapotea.
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 6 ай бұрын
Huu ni wakati wa kuunda UKAWA mpya kwani umoja ni nguvu. Ccm wamezidi zarau.
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 6 ай бұрын
Huo ndiyo ukweli ndugu,haya madudu ya kijani yanatakiwa kuchomwa moto kwenye uchaguzi ujao 2024/2025,yasipate Balozi wa nyumba 10, mwenyekiti wa kitongoji, diwani mbunge wala Rais!
@saidchaula1947
@saidchaula1947 6 ай бұрын
Nimejikuta nalia kumskilza mbowe kweli tanzania tunaishi kwa mazoea nakibri kwamba watafanywa nini waspofanya
@sautikuu212
@sautikuu212 6 ай бұрын
Hakuna kitakachobadilika hadi ifike mahali tuuane na viongozi wafiwe ndio akili itawakaa sawa. Mimi ninayo njia mkitaka nitawaambia
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 6 ай бұрын
Wakiuwa na sie tuuwe tu. Tunao mitaani
@husseynzooh1979
@husseynzooh1979 6 ай бұрын
People's power ✌️
@honoratamafala6968
@honoratamafala6968 6 ай бұрын
Watoto wa viongozi wote wana ajira tena kwenye nafasi nzr na wengine wamesoma na watoto wetu lakini wa kwetu hawana ajira.tuambiwe ni mtoto wa kigogo gani haha ajira na anatembea na cv.kwenye maofisi akisaka ajira.jamani wamwogope Mungu.Mungu akikasirika akawageukia watalia machozi ya damu.tunataka ajira kwa kila kijana ili mradi ana vigezo.
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 6 ай бұрын
Edison alifanya majaribio10999 bulb haikuwaka zoezi LA elfu 11 ndipo bulb ikawaka.
@user-yi3jk5vd8l
@user-yi3jk5vd8l 6 ай бұрын
Mungu akubariki...mikoa yote
@venustomkandawile5609
@venustomkandawile5609 6 ай бұрын
Sema baba
@emmanuellupele8129
@emmanuellupele8129 6 ай бұрын
Wanaokataa maandamano ni watoto wa viongozi ambao hawajui na gharama ya maisha.
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 6 ай бұрын
Ndiyo hayo mafisadi majambazi majizi ya rasilimali zetu ndiyo yanakataa maandamano ila nguvu yetu moja tutashinda.
@abelnyenye4500
@abelnyenye4500 6 ай бұрын
Kwakweli hawa ccm wamezidi sana, ccm ni kakikundi kadogo kanakosaidiwa na vyombo vya Dola. Hawa askari watakaozuia jambo hili watakuwa wa ajabu sana. Halafu askari ndio wanaolipwa mishahara midogo sana lakini wanawalinda wanaowaumiza.
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 6 ай бұрын
Leo ndo nimekuelew mkuu
@lovegodmunisi1006
@lovegodmunisi1006 6 ай бұрын
Hapa sawa
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 6 ай бұрын
Leo ndo nimeona umeongea kama mpinzani mungu akutangulie
@user-ou3eb8kd8y
@user-ou3eb8kd8y 6 ай бұрын
Pamoja
@The1979bornagain
@The1979bornagain 6 ай бұрын
Ila waandishi wa habari wa Tanzania ni very unprofessional. Uulizaji wa maswali yao tu unaonesha liko tatizo kwenye professional hii hapa nchini hasahasa kwenye uelewa na ufahamu wao
@vitalisnyagali2774
@vitalisnyagali2774 6 ай бұрын
Mambo si ayo bwana
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u 6 ай бұрын
Kama wamezoea kuhua. Bola watuuwe wote lakini sikwaujinga uhu
@kingj9606
@kingj9606 6 ай бұрын
Sir yes Sir !!!
@user-cr6tm5jz8x
@user-cr6tm5jz8x 6 ай бұрын
Ama kweli mnapambana kuhusu haki
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 6 ай бұрын
mbowe pamoja
@user-fl7jl7vk3n
@user-fl7jl7vk3n 6 ай бұрын
Tuko pamoja
@silasponeka1773
@silasponeka1773 6 ай бұрын
Ni nchi nzima tuanze maandamano
@RobsonMushikutokamanyarambulun
@RobsonMushikutokamanyarambulun 6 ай бұрын
Fanyeni kiume kwa ajili ya haki usawa acheni maneno matupu
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 6 ай бұрын
Tanzania hii samia hakumbuki tena ka kulikuwepo na bunge ra katiba mpya ivo uchaguzi usifanyike hadi mchakato wa katiba mpya ifanyike
@ezekielmirambo8704
@ezekielmirambo8704 6 ай бұрын
Hofu ya Mungu ndio jambo la msingi!
@HenrySam-dz1bw
@HenrySam-dz1bw 6 ай бұрын
Great
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 6 ай бұрын
Usije kutugeuka sasa maana nyie nao mnaturudisha nyuma ukipewa bi ngap unatutelekeza naomba msimamo huu huu ❤❤
@NassorSalumMengi-jj1nf
@NassorSalumMengi-jj1nf 6 ай бұрын
He mbowe Loko spaiz safi sana
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 6 ай бұрын
Mimi naomba maandamano yalenge mambo matatu (1) tume huru ya uchanguzi (2) tunaitaka tanganyika yetu iwe huru (3) tunaitaka bandari yetu na mwisho hatumtaki kabisa samia
@antonykpatricj2864
@antonykpatricj2864 6 ай бұрын
Nakuelewa mkuu pamoja sana
@erastoleonard8625
@erastoleonard8625 6 ай бұрын
Hayo ndiyo maamuzi ya kiume wananchi tumechoshwa na plopaganda za maccm
@benardsamizi-qo4yp
@benardsamizi-qo4yp 6 ай бұрын
MUNGU WA HAKI SIMAMANA WAPENDA HAKI. UKO WAPI MUNGU WA DANIEL? UKO WAPI MUNGU WA MESHACK NA ABINEGO??? SIMANA NA MBOWE NAONA ANAKWENDA KUTUPWA KATIKA TANURU LA MOTO.KWA SABABU TU AMEKATAA DHURUMA.
@JuhudiJotham
@JuhudiJotham 6 ай бұрын
Pamoja sana tunawapata vzr hapa Lilongwe Malawi,tupo pamoja
@lgf7297
@lgf7297 6 ай бұрын
Netanyahu aliulizwa maswali alfu hadi wengine wakakosa nafasi, hapa ni wawili. Watanzania milioni 63 Mayahudi milioni 3.
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 6 ай бұрын
Si Walisema Chadema imekufa?
@ZakayoSanga-ge4jr
@ZakayoSanga-ge4jr 6 ай бұрын
Mwenyekiti Leo nimekuelewa
@user-tn1bn5ou2i
@user-tn1bn5ou2i 6 ай бұрын
Sauti jamaani hatusikii mitambo imekorofisha ndg
@rizikiminga3010
@rizikiminga3010 6 ай бұрын
Iv ni kwamba vyombo vya habari habari vikubwa hapa nchini Tanzania kama Tbc, Azam tv, wasafi, UTV, ITV na vinginevyo ni kwamba huwa chadema hawavialiki katika platform zao au ni kwamba ivyo vyombo vya habari huwa havitaki kushiriki???
@muaminiadamu2361
@muaminiadamu2361 6 ай бұрын
Vimeolewa vyote ns gavoo
@user-up6lm6xr3d
@user-up6lm6xr3d 6 ай бұрын
Hapo nimeelewa sana
@user-cr6tm5jz8x
@user-cr6tm5jz8x 6 ай бұрын
Aiseee
@user-ln3jp8cu8u
@user-ln3jp8cu8u 6 ай бұрын
Minaomuomba mungu usiku na mchana chadema owe madalakani ccm hii ccm hii ccm hii itatuua kweli .tunateseka mno tulikua uchumi wakati zaizi tuko uchumi 0 kabisa wanashindwa kutatua tatzo la umeme ,kweli mmchadema woyeeeeee
@emanuelmwatwebe5875
@emanuelmwatwebe5875 6 ай бұрын
Kumekuchaaaaaaaaaaaaa.
@user-fl7jl7vk3n
@user-fl7jl7vk3n 6 ай бұрын
Mbowe akili mwingi
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 6 ай бұрын
MKO WAPI AZAM TV, TBC NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI KUONYESHA HOTUBA HII LIVE.....TUNAAMBIWA 'MNATISHWA' NA CCM NA VYOMBO VYA DOLA WENU...AIBU NA FEDHEHA KWENU.
@mwlpierre
@mwlpierre 6 ай бұрын
Waache na hizo Tv zao waache tutaunsubscribe mbona hata sisi tunakuwa tunapata viewership nzuri siunamuona Jambo Tv anavyokuwa siku baada ya siku
@EDWARDPKATWIGA
@EDWARDPKATWIGA 5 ай бұрын
Mbowe❤
@fettyaziza
@fettyaziza 6 ай бұрын
Viongozi wengi chadema wa chaga chadema chama Cha siasa au chawa chaga kunanitia mashaka sana awa. Wakipewa nchi atari
@jophley2043
@jophley2043 6 ай бұрын
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 6 ай бұрын
Hii ndio maana ya upinzani.haiwez kuwa maneno maneno bila actions kila siku
@RichardMeena-sm5vm
@RichardMeena-sm5vm 6 ай бұрын
Tunawasoma kwa saut ya juu sana
@user-fn2gp6xq7x
@user-fn2gp6xq7x 6 ай бұрын
AMANI,ITAWALE❤
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 6 ай бұрын
Wananchi tunapongeza uamuzi huu wa Chadema na tuwe tayari kushiriki maandamano na mapambano haya bila kuogopa wala kurudi nyuma,hayo ndiyo maamuzi ya kiume aliyoyafanya mwenyekiti Mbowe na tukiunganisha nguvu zetu pamoja tutashinda, Mungu simama katika haki wenye haki washinde jambo hili,Ameni. KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI NI SASA.
@hamisijuma8124
@hamisijuma8124 6 ай бұрын
Kaandamame Libya watanzania hatuna utamaduni huo
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 6 ай бұрын
@@hamisijuma8124 Wanufaika wa mafisadi wanajulikana! Muda utafika tutaongea Lugha moja!
@songombingo108
@songombingo108 6 ай бұрын
​@@hamisijuma8124Libya ya Baba yako
@talents7934
@talents7934 6 ай бұрын
​@@hamisijuma8124Alaf ndg zangu Wa kiimani hii sio vita ya kidini Bali ni vita ya maendeleo acheni upuuzi mimi ni Muislam ila nikipitia kila comments nyingi zinazopinga ni za mrengo wetu kwanini? Ni nan aliyetudanganya? 😢
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 6 ай бұрын
Mama huyu is double faced
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 6 ай бұрын
💪💪💪👌✌️✌️✌️✌️✌️✌️❤❤❤
@thomasmallya2972
@thomasmallya2972 6 ай бұрын
Wewe mbowe shida yako na wewe unabadilishiaaga gia angani uwa mnakuja kulalalama baada ya kuona maslai yenu yameguzwa uliwekwa ndani kwa kosa la uhaini tulipiga kelele chaachabu uliitwa ikulu cjui ulipewa nn ulipokuja ukatupiga marufuku kuwanyooshea viongoz wa serikali vidole na kuchukua CDM yote ukaipeleka ikulu tuambie kwanza ulihonga nn ama ulihongwa nn kesi yako ikafutwa
@talents7934
@talents7934 6 ай бұрын
​​@@thomasmallya2972tuliza iyo Niaje Man Ndonga ya kiume Haitaki Mawenge
@richardhezron2588
@richardhezron2588 6 ай бұрын
Twende na mbowe kuchochewa siasa ya tz
@floraminde
@floraminde 6 ай бұрын
Mbowe mungu akulinde pambana niko na wewe baba nataka mabadiliko CCM imetuchosha
@BossiLaizer
@BossiLaizer 6 ай бұрын
Kwa mara kwanza Chadema kuonesha njia ya ukombozi wa fikra juu ya taifa letu, kikubwa msimamo wasio na vyama Tunawaunga mkono CCM wametufanya kenge kwa mda mrefu sasa
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 6 ай бұрын
Kabisa
@fettyaziza
@fettyaziza 6 ай бұрын
Mboe angekuwa mpinzani wange mfumgia makasino yake mboe siasa ni kama kazi ana shida ya kwenda ikuru anajua ana sifa kuwa Raisi yeye ana piga ruziku mboe akuna mwenyeki Mwingine mwaka 25 mwenyekiti yeye tukimpa nchi atatoka atatoka ikurru
@user-vc1vf4uz4r
@user-vc1vf4uz4r 6 ай бұрын
Hiki chama humu hakuna viongoz wa juu mazaramu
@claverysebastian781
@claverysebastian781 6 ай бұрын
CCm wameishiwa hoja watupishe tuwaoneshe inchi inavyo ongozwa kamanda endelea kupambana mingu akulinde
@HamadiZakaria-dd7vv
@HamadiZakaria-dd7vv 6 ай бұрын
Mm hamadi ali salumu ni
@user-cw4jr1jz4x
@user-cw4jr1jz4x 6 ай бұрын
Mzee mbowe ss tunakuunga mkono natuko pamoja nipo mvomero turian
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 6 ай бұрын
Taifa Letu Mpaka Intaneti Nazo Zinaleta Pozi Hi Inamanisha Wanaona Wako Kwenye Maamuzi Yao2
@user-cw4jr1jz4x
@user-cw4jr1jz4x 6 ай бұрын
MUNGU,peke yake akusimamie Mzee mbowe
@user-ln3jp8cu8u
@user-ln3jp8cu8u 6 ай бұрын
Raisi nae yupo kimya hata akohowi kuhusu umeme kwavile ikulu haukati hana shida na wanainch
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 6 ай бұрын
Ofisi imejengwa maeneo salama.
@fettyaziza
@fettyaziza 6 ай бұрын
Chadema Awana uwezo kuamdama daresaramu Ra moshi au Arusha sio daresara warifanikiwa maandamano cafu pekee ripumba kavunka mkono. Mboye kavujwa rini mkono zaidi kuwekea jera kwa mchongo
@user-vc1vf4uz4r
@user-vc1vf4uz4r 6 ай бұрын
Hiki chama huwa sikielewi kabisa ni cha ukoo au kabila 😮😮😮 mara kileo mara mushi nk hiki chama pia ni tatizo tu
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 6 ай бұрын
Kabisa tatizo vile vile hawana lolote, ngoja wachukue hiyo nchi uone utumbo wao hakuna chochote cha ajabu watafanya yale yale tu.
@davidkiswaga4453
@davidkiswaga4453 6 ай бұрын
Kama ulikuwepo vile yaani nyani ciku zote halioni kundule
@gilliadndossi3302
@gilliadndossi3302 6 ай бұрын
Askari wakiwafuta mkakati sio kukumbia wote kwani chini kwani askari awezi kumpiga aliye kaa chini.Martin Lither King waliweza kutembea hadi WashntonMkikimbia ni hatari kupigwa
@venustomkandawile5609
@venustomkandawile5609 6 ай бұрын
Una uhakika? Acha tuishi tulivyozoea amani idumu TANZANIA oyeee!amani daima
@user-cr6tm5jz8x
@user-cr6tm5jz8x 6 ай бұрын
A
@user-do5by8jl6g
@user-do5by8jl6g 6 ай бұрын
Heshima kwako kamanda mbowe
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 6 ай бұрын
Mpeni nafasi y urais dkt silaa hapo inchi inakwenda mapema na chadema
@emmanuellupele8129
@emmanuellupele8129 6 ай бұрын
Hatafutwi Rais bali wanazungumzia mswaada wa Sheria za uchaguzi. Hivyo elewa.
@user-ry1pe3tu5s
@user-ry1pe3tu5s 6 ай бұрын
KWA KAULI YA MH MBOWE SASA NINAONA MWANGA WA MABADILIKO YA NCHI YETU, ,,KWA MAANDAMANO NI UKOMBOZI NA DEMOKRASIA YA KWELI ,,HONGERA MH MBOWE TUKO PAMOJA WATANZANIA WENZEKO WAPENDA MABADILIKO
@user-ij2lp1om6i
@user-ij2lp1om6i 6 ай бұрын
Mbowe ni mwamba
@AshrafuJonny-sz4gs
@AshrafuJonny-sz4gs 6 ай бұрын
Sawa mkuuu
@jindamjukuu8440
@jindamjukuu8440 6 ай бұрын
Awadhrajabu vurugu ataileta ccm maana yeye ashatangaza kuja na polic na wanajeshi na ff u Sasa hap mtata ni ccm na SKU zote mbabe ukimuendekeza mwisho wa SKU atakupangia ule Ila usinywe Sasa hii ni kututoa sisi ktk utanzani kujipa yeye ndo mwenye haki na Tanzania bora iwe vyovyot itakavyo kua acha uoga bro
@kavulatikivurunzi
@kavulatikivurunzi 6 ай бұрын
Kiswahili
@JumaMbaga-is9xc
@JumaMbaga-is9xc 6 ай бұрын
Hii imekaa sawa naunga mkono
@user-tf6sd1ev2n
@user-tf6sd1ev2n 6 ай бұрын
Jamani wanachama na wananchi muwe makini na hizi kauli na matokeo yake juzi kapokea milioni 150 wao wanakutana na raisi sisi wanatushawishi tukakutane na fidifosi
@user-ri2xq6fu6w
@user-ri2xq6fu6w 6 ай бұрын
Acha uongo
@titusrobert5890
@titusrobert5890 6 ай бұрын
Wananchi wamechoka na ugumu wa maisha
@kavulatikivurunzi
@kavulatikivurunzi 6 ай бұрын
Nitumieni kwa eartll mone
@richardhezron2588
@richardhezron2588 6 ай бұрын
Umeme tunateseka ile mbaya yaumeme tuwatazamie
@AlexAlex-kf1eg
@AlexAlex-kf1eg 6 ай бұрын
Ccm oyeeeeee mwamba kashaaanza kutusaidia kampeni tunakushukuru mbowe huna baya andamana tu hata ukitaka zunguka dunia nzima 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 6 ай бұрын
Chama hakina hata sare aileweki sare yao ni ipi😂😂😂
@davidkiswaga4453
@davidkiswaga4453 6 ай бұрын
Hapo sasa mm mwenye nikajua kikundi cha masera kwenye vikoba
@jindamjukuu8440
@jindamjukuu8440 6 ай бұрын
Ccm miyayusho
@user-eh8cy4yk3d
@user-eh8cy4yk3d 6 ай бұрын
Cdm tumaini letu
@user-uf8tz2vs5x
@user-uf8tz2vs5x 6 ай бұрын
Or pppo
@greysondavid6445
@greysondavid6445 6 ай бұрын
Paka wangu shujaa na jasiri ametokomea kusikojulikana; Sasa ,panya buku,panya wana haribu nafaka katika nyumba yangu.
@davidkiswaga4453
@davidkiswaga4453 6 ай бұрын
ww na ww Acha ukorofi bwana kama nimekuelewa hiv maana yako.
@johanesjoshua4661
@johanesjoshua4661 6 ай бұрын
III III III III III III Ii
@user-ik5ls9ts3c
@user-ik5ls9ts3c 5 ай бұрын
Pipoooooooooozi
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 6 ай бұрын
Tatizi ra mbowe ni kunghanghana na umwenye kiti ni kuuza chaguzi hatua ya mwisho achia uwenyekiti
@songombingo108
@songombingo108 6 ай бұрын
Wewe ni matako kweli
@mpendamema3694
@mpendamema3694 6 ай бұрын
Kuku wewe
@mpendamema3694
@mpendamema3694 6 ай бұрын
Kunguru
@user-zd7ub4me2t
@user-zd7ub4me2t 6 ай бұрын
Hali ni ngumu sana ya kimaisha ,,,,vitu vimepanda , umeme mugao kila siku ,,,, wafanyakazi wa serikali wanaibiwa fedha zao kwa kitu kinachoitwa KIKOKOTO ,,,,,, Hali ni mbaya ,,,,afadhari ya mzee wa CHATO,,,, alitusaidia tukafika kwa kufuta machozi
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 46 МЛН
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,9 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 12 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 46 МЛН