Mbunge CHADEMA amuangukia Rais Magufuli, kisa CCM

  Рет қаралды 24,451

Azam TV

Azam TV

6 жыл бұрын

Mbunge wa Babati Mjini Pauline Gekul amemuomba Rais Magufuli kuingilia kati sakata la Stendi ya Mabasi ya halmashauri yao iliyochukuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuinyima halmashauri mapato.
Ni wakati wa uzinduzi wa barabara ya Kondoa - Babati uliofanyika leo, mjini Kondoa.

Пікірлер: 14
@pastormarytz
@pastormarytz 8 ай бұрын
Nimeangalia hotuba zako karibu zote nimeshangaa sana KWELI USIACHE MWANAMKE MCHAWI AKAISHI NA ZA MWIZI 40
@israelpwele5535
@israelpwele5535 5 жыл бұрын
wanafiki bhanaaa!!! bora ucheze na simba kuliko hao!!
@ungonelamapunda4908
@ungonelamapunda4908 6 жыл бұрын
huyu mbunge yuko vizuri nampongeza sana.....
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 5 жыл бұрын
Yawezekana tangu ugeni huu walikuandama sababu ya Mheshima kuzitaja mara 1000 ha ha ha
@yohanaissaya2449
@yohanaissaya2449 6 жыл бұрын
Hajamwangukia bana mbona waswahili mnazingua?😈😈😈
@abdulghafarabdulkarim5275
@abdulghafarabdulkarim5275 6 жыл бұрын
Kutoka Kenya. Chadema iko imara
@agneserasto9806
@agneserasto9806 5 жыл бұрын
Huyu mbunge amerdi ccm karibu
@rajabuseleman9855
@rajabuseleman9855 5 жыл бұрын
huyu mbunge yupo vyema naana busara njema hao ndo wabunge sasa sio wabunge wakila kitu ubishi
@scolasticamwete754
@scolasticamwete754 6 жыл бұрын
waandishi nyie chungeni kauli zenu
@amospambala9413
@amospambala9413 6 жыл бұрын
kwa kukuza maneno hamjambo eti amwangukia amemeangukia wapi?
@jorammhila5423
@jorammhila5423 5 жыл бұрын
Kastika mbunge mjinga ni huyu Gigulu yeye anadhani CCM iko kwenye madaraka milele. CCM inatoka madarakani 2020 sasa sijui atarudi tena CHADEMA ama vipi?
@uswaamambauroki5426
@uswaamambauroki5426 6 жыл бұрын
amemwangukia wapi!? we mwandishi hauna nizamu** dadeki
@felistamaembe4895
@felistamaembe4895 3 жыл бұрын
Tanzania lazima tufanye maamuzi magumu safari hii tusidanganyiwe miradi inayotolewa kwenye kampeni za CCM. Walikuwa wanasubiri nini na kwa nini Mheshimiwa aseme kama hatumpi wabunge wa CCM hatajenga miradi ya maendeleo kwa baadhi ya majimbo na vijiji vyetu. Kwa nini tunalipa kodi sawa lakini anafanya miradi ya maendeleo kwa upendeleo. Watanzania lazima tujue kinachojenga nchi ya Tanzania ni kodi zetu na sio Mheshimiwa Magufuli. Anapaswa atuheshimu walipa kodi na sio kututishia kwa kutupatia viongozi tusiowataka. Nimemsikia kule Musoma anawatishia Wananchi kuwa wakichagua wabunge wa upinzani hatapeleka miradi ya maendeleo. Watanzania lazima tupaze sauti zetu kwa nini Serekali ya mheshimiwa Magufuli inatuchagulia viongozi. Viongozi wa kambi za upinzani tumechoshwa na kauli za mheshimiwa Magufuli ambazo anazitoa na mnashindwa kuzipinga hazarani. Tunalipa kodi hivyo tunaomba asitulazimishe kutupatia watu hatuwataki kwa kututishia hataleta maendeleo kwenye vijiji vyetu,Kata zetu, Wilaya zetu, na Mikoa yetu tukichagua viongozi wa Upinzani. Watanzania hili tulipinge kwa nguvu zetu zote. Tume ya uchaguzi imepitisha majina ya watu kuwa wamepita bila kupigwa na uchaguzi bado na viongozi wa upinzani mnakaa kimya hii imekaaje. Hawa wanaopita bila kupigwa wanachaguliwa na nani na kwenda kufanya kazi za nani haswa.
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 жыл бұрын
Umeongea point
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,6 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 44 МЛН
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 30 МЛН
K Sudhakaran In Nerechowe | Old Episode | Manorama News
25:46
Manorama News
Рет қаралды 664 М.
M V Raghavan in Nere Chowe | Old Episode | Manorama News
25:16
Manorama News
Рет қаралды 414 М.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,6 МЛН