MBUNGE MPINA ALIVYOTOLEWA BUNGENI,ONA ALIVYOMTOLEA JICHO BASHE ...

  Рет қаралды 30,500

OFFTRACK TV

OFFTRACK TV

8 күн бұрын

#OFFTRACKTV #offtracktv
Karibu kujiunga na Channel yetu ya WhatsApp kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 whatsapp.com/channel/0029VaDF...
KWA HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA ELIMU,MAKALA NA BURUDANI KWA UHAKIKA MASAA 24,TUFUATILIE OFFTRACK TV.
PIA USISAHAU KUSUBSCRIBE OFFTRACK TV
/ offtracktv
Email | info@offtrack.co.tz
🔴 JE, NA WEWE UNA HABARI AU UNAHITAJI KUTANGAZA NASI?
🔴 WASILIANA NA OFFTRACK TV : (+255 769 612 166)
🔴 Email: info@offtrack.co.tz
Www.offtrack.co.tz
𝙏𝙝𝙖𝙣𝙠 𝙔𝙤𝙪 𝙁𝙤𝙧 𝙒𝙖𝙩𝙘𝙝𝙞𝙣𝙜
...............................................................................................
Subscribe: / offtracktv

Пікірлер: 200
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 5 күн бұрын
Mmemtoa nje Mpina msema kweli Mtanganyika mzalendo Mungu atasimama na Mpina ❤❤
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 6 күн бұрын
NANI KAMA MPINA❤❤?
@beatricemhongole8852
@beatricemhongole8852 6 күн бұрын
Mpina ndiye Mbunge aliyewakilisha Wananchi na Watanzania tulioko mitaani. Wapiga makofi Mungu anawaona
@birianination7097
@birianination7097 5 күн бұрын
Mpina alitaka sukari ingizwe tani 120 tu badala ya 410 akidai Waziri ni mwongo, ila ikajulikana Mpina analipwa na makapuni ya sukari. Wabunge kama mpina ni Hatari sana
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja 5 күн бұрын
Ww mbwa tulia
@birianination7097
@birianination7097 5 күн бұрын
@@EmmanuelLupoja usitukane, hivo tuna kosea. Wewe toa hoja yako,
@vicentnyanda828
@vicentnyanda828 5 күн бұрын
​@@birianination7097tutolee ujinga wako hapa
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 5 күн бұрын
Huyo Bashe na wewe spika tunawasubiri 2025 tutahakikisha tunawatoa msiludi bungeni
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 6 күн бұрын
TUTAWASHANGAA SANA SANA WANA MBEYA KUMCHAGUA HUYU MAMA TULIA KUWA MBUNGE WENU!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 күн бұрын
Mambo yote 2024 2025 Mpina oyeeeee kazi inaendelea
@birianination7097
@birianination7097 5 күн бұрын
Spika yupo sawa kabisa, wengi inaonekana hamja jua alicho fanya mpina
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 күн бұрын
@@birianination7097 Kafanya kitu gani Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni Mie ni Ccm halisi Nsema Ukweli mtetezi wa wanyonge huwa hapendwi na yeye asubiri lake inshallah mungu atatoa jibu tu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 күн бұрын
@@birianination7097 Huyo anapendwa na wanyonge maskini walalahoi wazee wamachinga ni kama Hayati Magufuli na Makonda watu kama hao waba vita kali sana Mafisadi huwa hawawapendi humo huko bdani yq Ccm kuna Wabunge ndiyo wanafiki wenye msimamo kila kitu kiko wazi na ushahidi upo shida nini
@amosdickson6318
@amosdickson6318 5 күн бұрын
Hatuwahi kumchagua na hatutamchagua ILA ameshasafisha njia jinsi atakavyojipitisha
@PaulMsema
@PaulMsema 5 күн бұрын
Malipo ya spika yupo Sugu atatulipia mbeya mjini 2025,alimtafutia sababu
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 6 күн бұрын
Kazi yenu kupiga makofi tuu hata kama mambo hayaendi😢😢
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z 5 күн бұрын
Mpima❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤,Pamoja sana ,wamekujenga badala ya kukubomoa.Tutakuja kukupokea.
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 5 күн бұрын
😮mpinga do be strong and happy, you are good for us we the poor
@ibrahimmartin9171
@ibrahimmartin9171 5 күн бұрын
MUNGU Akupiganie Luhaga mpina akufiche ubavuni Kwake Adui asikupate katika JINA la YESU KRISTO Mtetezi
@rogersiddy
@rogersiddy 6 күн бұрын
Ukitaka kupendwa na ccm ongea uongo tu ukiongea ukweli utatoka kama MPINA😂😂
@Luganoamos-jv5in
@Luganoamos-jv5in 6 күн бұрын
Tunakusubili Kwa mapokezi makubwa mpina wetu
@birianination7097
@birianination7097 5 күн бұрын
Hivi inajua alicho fanya
@shakaurembo477
@shakaurembo477 4 күн бұрын
Ajasema uongo Mpina nakuona mbali sana mkuu🎉
@johnsebastian-bx6qn
@johnsebastian-bx6qn 4 күн бұрын
Mpina safi Mungu yuko nawe
@nicholauspaschal5756
@nicholauspaschal5756 5 күн бұрын
Historia inaoyesha kila mbunge aliyesimamishwa kuhudhulia vikao bungeni huwa anaaminika sana kwa wananchi na ni tiketi ya kurudi bungeni 2025
@emmanuelnjile2013
@emmanuelnjile2013 6 күн бұрын
Mwenyez mungu anawaona ote mbinguni mtaisikiatu ispokuwa luhanga mpina
@birianination7097
@birianination7097 5 күн бұрын
Hivi unajua kwa nini kafukuzwa
@Uhuru351
@Uhuru351 5 күн бұрын
Sababu ni nini??​@@birianination7097
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 6 күн бұрын
KOMREDI MPINA....WEWE NI MBUNGE WA TAIFA....WEWE NI MBUNGE WA MAMILIONI WATANZANIA.
@jamesndinda4692
@jamesndinda4692 6 күн бұрын
Yani aise kama kuna mwananchi anashadadia ccm atakuwa anatukosea sana ccm inabidi ikataliwe na wananchi wote wa Tanzania
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 5 күн бұрын
Yaani umeongea point mm natamani wabunge wote wa ccm wafe ata kama ni ndg yangu siwapendi
@juliuskitomari3057
@juliuskitomari3057 5 күн бұрын
Dah.....aisee,kweli hapa hatuna bunge,maana,mtu anatoa ushahidi alafu badala ya kumsaidia mnamfukuza,alafu ili ajisikie vibaya mnamtoa mbele ya kamera ili ajisikie mnyonge.Mimi namuona Mpina mtu ambaye amejitengenezea jina na umaarufu mkubwa sana
@allyhasani3750
@allyhasani3750 6 күн бұрын
Mpina oyeeeeeeeee
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 6 күн бұрын
Kumbe kila anayesema ukweli anaitwa mpotoshaj ila wale wez waliotajwa na cag sio wapotoshaj
@haggaikinyau1395
@haggaikinyau1395 6 күн бұрын
Ukweli gani?
@kisabihamadi7555
@kisabihamadi7555 3 күн бұрын
Uongo gani?​@@haggaikinyau1395
@user-pn5gv7ix3g
@user-pn5gv7ix3g 5 күн бұрын
Mh Mpina wewe ni mpambanaji hodari anayejiamini na asiye mnafiki!! Uchambuzi wa kina unaofanya umeonesha umahiri na weledi wa hali ya juu. Ripoti yako inahitaji majubu ya kina na si vinginevyo. Endelea kuipambania nchi hii bila woga. Mungu atakulinda nasi tuko pamoja nawe kokote utakakokua..Aluta Continua
@user-pn5gv7ix3g
@user-pn5gv7ix3g 5 күн бұрын
Iwapo tuhuma alizowasilisha katika vyombo vya habari si za kweli, aje kukanusha taarifa hiyo na sio kumzuia KWANI HILI SIO JAMBO LA SIRI!! Sote ni watanzania tujulishwe mbivu na mbich
@tumsifumartine612
@tumsifumartine612 5 күн бұрын
Mpina Mungu akubariki na akuinue juu tena
@dicksondkaganga1290
@dicksondkaganga1290 6 күн бұрын
Ooh my country Tanzania!
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 5 күн бұрын
Mpina ndo shujaa wetu na tupo pamoja naye tunaona ss s vipofu mpina nguvu yetu
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 5 күн бұрын
Ukitaka Tanzania wakuchoke mapema au uonekani mbaya ongea ukweli kuhusu watu wengine visasi na chuki vinaanza
@mashakankagi2851
@mashakankagi2851 6 күн бұрын
Hakuna lolote mnatupotosha tu wexi wakubwa
@charlesmtangi9046
@charlesmtangi9046 5 күн бұрын
Mtia asila afu ata amuoni aibu Yan kuonana aibu kutetea majambaz ndo kitu mnajua sifuatilii bunge Tena kuanzia Leo mnauzi saSana 😢😢😢😢
@sumaidgasto4721
@sumaidgasto4721 5 күн бұрын
Hii inapaswa kutokea ili kwamba kiongozi apatikane. CCM hupunguza nguvu yake kwa kutojibu hoja za msingi baadae nchi inakuwa ngumu
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 5 күн бұрын
Sasa mpina kasema kwelii katolewa nauyo mwigulu kila siku zina potea fezaa na bado yup atolewi ili aendelee kuiba sio
@JuliusKiria-j7i
@JuliusKiria-j7i 6 күн бұрын
Mbn tarifaa ya mpina hamjaipa kipaumbele ila mekuwa mkichambua n wapi kakosea yani kiufupi akili ndogo inaendesha akili kubwa nikimanisha WABUNGE WOTE HAMNA AKILI MKIONGOZWA NA HUYO TULIA WA PUMBAVU TU
@user-jy4pm3hh9s
@user-jy4pm3hh9s 5 күн бұрын
Mpina always is❤❤
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 5 күн бұрын
Ngoja 2025 mutatukuta mumemwaga ugari tutamwaga mboga
@philimonmtweve4522
@philimonmtweve4522 5 күн бұрын
Mpina hoyeeeee
@saidkhamismasai1204
@saidkhamismasai1204 6 күн бұрын
Well done Mpina jasiri mzalendo simama nao kwenye ukweli hicyo hcyo vilaza hao na spika wao mlinda ufisadi
@petermbise
@petermbise 15 сағат бұрын
Mhe.Mpina kumbuka tu kubwa huwezi kupendwa na watu wote hata BWANA Yesu alipingwa ishi na binadamu kwa akili.
@allyabdallah1183
@allyabdallah1183 3 күн бұрын
Sio alimchongea ninyi watu wa media tumieni vyema kalam zenu kwa wananchi.😊
@JumaaHussein-ut6fc
@JumaaHussein-ut6fc 5 күн бұрын
Mzee njoo tena utupimie samaki kwa rula Ila Mpina!
@amosmangura
@amosmangura 5 күн бұрын
Wabunge wetu yaaji sio faida kwa wananchi
@PaschalphillipLugwisha
@PaschalphillipLugwisha 5 күн бұрын
Pina oyeee
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 6 күн бұрын
Wanaambiwa waheshimiwa wabunge kumbe hamkuchaguliwa na mtu yeyote
@jamesndinda4692
@jamesndinda4692 6 күн бұрын
Sema wanatudharau sana awa inabidi siku moja tuwatolee uvivu
@shakaurembo477
@shakaurembo477 4 күн бұрын
Mpina oyee!
@gasperaroni5751
@gasperaroni5751 5 күн бұрын
Lkn nina uhakika mbunge kama Shabiby ajakubali huo ujinga yeye ni mzalendo
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 5 күн бұрын
Yule jeshi la ukombozi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 күн бұрын
Ama kweli Msema kweli huwa hapendwi
@kingmichael1234
@kingmichael1234 4 күн бұрын
BUNGE LA MAFISDI HILI WATANZANIA TUMECHOKA NALO 😢😢😢
@SelemaniHamisi-ve5od
@SelemaniHamisi-ve5od 4 күн бұрын
Watanzania wote tuko pamoja na mpina huyu anawakilisha tanzania nzima sio kisesa tuu
@nicholauspaschal5756
@nicholauspaschal5756 5 күн бұрын
Wajanja wote huwa wanafukuzwa bungeni nakumbuka mbunge wa kigoma mjini dr.kaburu alifukuzwa,mbunge wa kigoma kusini mhe,Zitto alifukuzwa leo ni komredi Mpina.saluti kwa bunge
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 4 күн бұрын
Bunge la kitoto Sana kilakitu ndiooo unafikiri watoto washule ya msingi.
@jumaalmasjuma1700
@jumaalmasjuma1700 5 күн бұрын
Hii nchi ngumu mtuhumiwa anabaki afu mtuhumu anatolewa sawa katolewa sasa tupate majibu ya hizo hoja kama ni alitupotosha au ni kweli
@mkonyapeter2320
@mkonyapeter2320 4 күн бұрын
mpina sauti ya uma
@ibinmgeta2406
@ibinmgeta2406 5 күн бұрын
Mpina ndio kiongozi wangu. Mzalendo wa taifa langu.
@ngassakissimba5640
@ngassakissimba5640 3 күн бұрын
Alichokosea Mpina ni kuhitisha vyombo vya habari kuelezea ushahid aliombwa na spika public kabla ya kuwasilisha bungeni
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q 4 күн бұрын
Mara nyingi nasku zote msema kweli uchukiwa sana achen ivo
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 6 күн бұрын
BUNGE DHAIFU LIKIONGOZWA NA SPIKA DHAIFU.....GENGE LA WABUNGE WACHUMIA TUMBO!
@birianination7097
@birianination7097 5 күн бұрын
Jifunze kwanza kabla ya kuongea
@mwajemwafula5777
@mwajemwafula5777 5 күн бұрын
Bunge linapotexa mvuto kabisa spika maamuxi Yako umeshilikisha Mungu asimame na wewe 😢😢
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 5 күн бұрын
ujumbe usha tufikia tusha juwa kama tuna pigwa tuku tane kwenye ucha guzi mungu ana waona
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 6 күн бұрын
Daaaah, maandiko hayadanganyi
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 6 күн бұрын
Iv aliyemteua huyu kuwa spika wa mabunge dunian ninan maana naona hata haenda na Hilo jukumu alilopew
@birianination7097
@birianination7097 5 күн бұрын
Mmmmh! Kwa hiyo wewe alicho fanya mpina ni sawa, watu tuna teseka na mifumuko ya bei za sukari alafu wabunge kama mpina wanalipwa kupotosha bunge kwa manufa ya makampuni hayo.
@ipepeetube449
@ipepeetube449 4 күн бұрын
Nakumbuka mbali sana nikiwa shuleni
@BoniphasLukas
@BoniphasLukas 3 күн бұрын
Yan huyu dada anajikuta maljia wambingu ila mungu yupo tutaona mwisho wake
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 4 күн бұрын
safi mh spika kwa kusimamia kanuni, aende akapime samaki kwa rula 😂
@DaudiLengai-ym5fx
@DaudiLengai-ym5fx 16 сағат бұрын
Najiuliza swali moja hivi ni kweli wabunge wote hawakupenda Mpina kuleta ushahidi wa matumizi mabaya ya ununuzi wa sukari? Swali la pili,ni kweli wabunge wote hawajui kama Bashe alilidanganya Bunge? Maswali haya yatawatafuna wengi wabunge 2024/2025 subiri tuone.
@georgemahenge
@georgemahenge 4 күн бұрын
Mpina yupo sahihi.nanimzarendo wa nchi yake.ira wote wariobaki ni wezi wa nchi.hawjui kiricho wareta hapo bungeni.ndiyo maana mimi.nakiita nikikao cha ccm.
@abdukhalnyerere8993
@abdukhalnyerere8993 5 күн бұрын
Kama ni uchunguzi mbona CAG analeta madudu kwenu na hamyafanyii kazi hapo hakuna cha maana ni bunge la kuteteana tu kwenye maslahi yenu binafsi
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 Күн бұрын
Ccm ni genge LA wahuni tu lenye kujali matakwa yao ila nashangaa kwa nn bado wanashikiria lakn muda utaongea
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 5 күн бұрын
bashe hovyo sana endeleni kumkumbatia ili mpige dili mpina mungu atamsimamia ukweli usemwe endeleni kua machawa kwenye inshu za msingi za kitaifa tanganyika kwanza mengnine badae
@kingmichael1234
@kingmichael1234 2 күн бұрын
Bunge la Tanzania lina linda wezi
@ayububrantaya6624
@ayububrantaya6624 6 күн бұрын
Bashe anajiona mshindi tunakusubil huku
@haggaikinyau1395
@haggaikinyau1395 6 күн бұрын
Wewe nani u ayemsubiri Bashe? Lazima kanuni za Bunge zifuatwe na wote hata huyo Mpina m ayemtetea
@user-vd8hs6ue2n
@user-vd8hs6ue2n 5 күн бұрын
​@@haggaikinyau1395chawa promax
@rehemakarafuu-xi1py
@rehemakarafuu-xi1py 6 күн бұрын
ushindi wa maovu
@user-vt2el8pd6s
@user-vt2el8pd6s 5 күн бұрын
Yaanze maandamano ya kumuanga mkono Mpina the Great. Nchi nzima.
@abuusuhayl7830
@abuusuhayl7830 5 күн бұрын
Unafikiri watu wote wajinga kama unavyofikiria wewe😂😂
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 4 күн бұрын
​@@abuusuhayl7830😅😅😅 aende akapime samaki na rula za shule za msingi 😊
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q 4 күн бұрын
Mmemuonea kakosea wp hapo shida mmejaa unafiki mpina msema kweli
@mbuyaelyaoni6266
@mbuyaelyaoni6266 2 күн бұрын
Bunge feki. Hamjaona Kenyaee, cku itafika
@HenryKisusi
@HenryKisusi 5 күн бұрын
Mpina usijali kwa sababu imewapiga kwenye mshono.😂
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 күн бұрын
CHADEMA MCHUKUWENI MPINA AWE MGOMBEA WENU WA URAIS 2025 ILI WANANNCHI TUICHAGUWE CHADEMA. KAMA SIYO MPINA MCHUKUWENI MAKONDA KWA KWELI TANZANIA YOOOTE ITAMCHAGUWA. NA MABADILIKO YATAONEKANA.
@FranceKyaruzi
@FranceKyaruzi 5 күн бұрын
Wabunge wote ni wanafiki ....atujapata wabunge bado
@nicholausmasese6337
@nicholausmasese6337 3 күн бұрын
AMEFUKUZWA JE KWA KUMFUKUZA TATIZO LA SUKARI LIMEKWISHA AU LIPO ? KAMA LIPO LIJADILIWE KWA LUGHA IPI ?
@sarahshalom97
@sarahshalom97 5 күн бұрын
Kabisa mpo bize kumjadili mbunge anaejaribu kutetea maslahi ya wananchi i😢
@user-kz5en5tq2z
@user-kz5en5tq2z 5 күн бұрын
Sikutaka kujiandikisha kupiga kura. Kesho naenda jiandikisĥa 2025 labda Muibe kula. Tumeichokaaaa. Ccm.
@Dominaevance
@Dominaevance 6 күн бұрын
😂😂😂😂 Ujinga ni Mwingi unajitekenya afu unacheka Mwenyewe, Jibuni hoja za Mpina acheni Comedy, nwamba anawapelekea ipasavyo
@barakanatus5676
@barakanatus5676 6 күн бұрын
DUHU MPINA AHAMIE CHADEMA
@kingmichael1234
@kingmichael1234 4 күн бұрын
Mnaogoza nchi kama vile mnaongoza watoto wa Nursery school. Shame on you. .. you guys 😏😏😏
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 күн бұрын
HATA MIMI NASHANGAA SANAA, NA MUNGU AWALAANI VIBARAKA WOOTE.
@ngotosilasi2099
@ngotosilasi2099 5 күн бұрын
Mlisha kosa kazi mnakula hela zetu bule tu
@JordanEmmanuel-dq4pn
@JordanEmmanuel-dq4pn 5 күн бұрын
Mpina ndiye msema kweli yupo upande Wa wananchi
@amoswankara3863
@amoswankara3863 5 күн бұрын
mpina ni mshindi hao wabunge wengine hamna wanachokifanya.
@user-li8zu6fp9w
@user-li8zu6fp9w 2 күн бұрын
Hili li mama c litanzania kwanin atawale nchi ya wtu
@lovenessmohamedy6329
@lovenessmohamedy6329 5 күн бұрын
Wabunge muwe mnasoma comment za wananchi wamechoka
@WilbertMalula-vv7ml
@WilbertMalula-vv7ml 5 күн бұрын
Ok, tutaonana 2025
@tumsifumartine612
@tumsifumartine612 5 күн бұрын
Wabunge wanajali matumbo yao na masilai ya nchi
@reaganhassan156
@reaganhassan156 5 күн бұрын
Eeeh Tanzania 🇹🇿 nchi isiyo wapenda wasema ukweri😢
@JosephJon-wk6il
@JosephJon-wk6il 6 күн бұрын
Mheshimiwa mpina usijali watanzania tukopamoja nawewe shujaa wetu wabunge wanao ungamkono utoke tutakutana kwenye uchaguzi spika haujatenda haki
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 6 күн бұрын
Mungu ana endelea kuwa umbua tuna wasubili uchaguzi ujao
@husseinjosephitocho6754
@husseinjosephitocho6754 5 күн бұрын
mpina viva viva achana na ayo mazuzu yenyewe kila kitu ndio ndio akili zao zimeamia tumboni badala ya kichwani
@shabanpongwe9905
@shabanpongwe9905 5 күн бұрын
Ndio maana vijana wakipata nafasi za kazi nchi za watu hawatamani ata kurudi asee
@user-rk6jf6zq6d
@user-rk6jf6zq6d 5 күн бұрын
Nime mzuum jamaa kajishtukia wakati mpina anapita nyuma yake kiasi Akawa anageuka geuka Kumbe muoga Kishenzi Pumbaav sana
@ReginaJoseph-cm3cx
@ReginaJoseph-cm3cx 6 күн бұрын
Nampenda Tulia lakini kwa hili sijapenda kabisa
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 5 күн бұрын
Sugu oyeeeee
@respiceandason
@respiceandason 5 күн бұрын
Mungu wangu bunge letuuuuuuu
@sarahshalom97
@sarahshalom97 5 күн бұрын
Haki huinua taifa udhalimu,taifa huangamia😢😢
MBUNGE MSUKUMA ALIVYOMCHONGEA MPINA KWA SPIKA UTASHANGAA...
4:45
ОДИН ДЕНЬ ИЗ ДЕТСТВА❤️ #shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 2,9 МЛН
Children deceived dad #comedy
00:19
yuzvikii_family
Рет қаралды 6 МЛН
Der Corona-Schock - eine Pandemie und die Folgen | maybrit illner vom 27. Juni 2024
1:00:41
ОДИН ДЕНЬ ИЗ ДЕТСТВА❤️ #shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН