No video

MBUNGE WA CHADEMA AMLILIA RAIS SAMIA HADHARANI, AWACHONGEA VIONGOZI, "HATUTAKI MACHAFUKO"

  Рет қаралды 45,829

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 84
@LoningoMollel-y3k
@LoningoMollel-y3k Ай бұрын
Bigger up sna mbunge wetu kwa kazi na Hoja,nzuri ya kujenga
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Ай бұрын
Mheshimiwa mbunge unaakili sana .Hongera sana
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 Ай бұрын
Huyu dada anaakili nyingi, wananchi walipata mali🎉🎉
@masoudsalum
@masoudsalum Ай бұрын
Hongera Aida vry bright
@meiruzibwe9145
@meiruzibwe9145 15 күн бұрын
Safi sanaaaaa Mh Mbunge kutoka chama kubwa CHADEMA. Chama chenye watu wenye akili inayowaza sawasawa.
@johnfani9380
@johnfani9380 Ай бұрын
Hongera aida
@vincentmpupua5839
@vincentmpupua5839 Ай бұрын
Aida mitano tena
@matesosamwel6685
@matesosamwel6685 Ай бұрын
Very bright!!!
@user-ig5yn4zp2u
@user-ig5yn4zp2u Ай бұрын
Mwenyezi mungu yupo nasi
@Noelkitoi
@Noelkitoi Ай бұрын
Samia ni mwizi wa ccm utaenda zanzibar kwa ujumla ccm wezi
@user-zg4yz7je8d
@user-zg4yz7je8d Ай бұрын
Ametumia hekima sana uyu mbunge, amesema tu samia oyeee na ajasema raisi oyeee. Amelazimishwa kusema ccm oye hakuingia kwenye mtego. Nimempongeza kuhusu swala la utekaji amefikisha ujumbe
@Peterchipemba
@Peterchipemba Ай бұрын
Uraisi ni nafasi isio kuwa na chama aida kaongea vizuri,,izo ndio siasa,,,ccm wamuone alie tokana na ccm na chadema wamuone alie tokana na chadema,,
@damasngottea1730
@damasngottea1730 Ай бұрын
Hapo kuanza kwa kumsifia tu Mama ndo umenikwaza kwingine exllent
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l Ай бұрын
Hakika jeshi
@sofiamsuya2254
@sofiamsuya2254 Ай бұрын
Well said madam
@kennethmanangwa8189
@kennethmanangwa8189 Ай бұрын
Safi sana mbunge. Ukiona raisi katikisa kichwa basi ujue amekukubali. Endelea kukipigania chama chako.
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 Ай бұрын
Kunasehemu wanapata wabunge jamani siyo wagonga meza
@Yassinseleman
@Yassinseleman Ай бұрын
Madam aida kenan namuamini hata nikiwa usingizini ujue
@salmamsuya1043
@salmamsuya1043 28 күн бұрын
Yuko vizuri
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Ай бұрын
2025 aida atasimama hapo kwa ticket ya ccm😂😂anaongea kabisa kama mwana kijani
@JohnMhogo-hd3fs
@JohnMhogo-hd3fs Ай бұрын
Sf umeongea pointi zakutosha
@konderaeriasi6251
@konderaeriasi6251 Ай бұрын
Saf sana mbunge wetu 5 tena mbunge wetu
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 Ай бұрын
Aida anajua wanachofanya safi Aida
@LoningoMollel-y3k
@LoningoMollel-y3k Ай бұрын
Hallo mambo vip?
@sylvanuskavindi2756
@sylvanuskavindi2756 18 күн бұрын
Usije kushangaa Mbowe na Lissu watamkasirikia huyo mbunge.
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Ай бұрын
Wamekata sauti safi sana Mbunge
@issaidrisamusa5962
@issaidrisamusa5962 Ай бұрын
Umeongea vema , ila kwenye kupandisha bei ya chakula sio sawa, u ungeshauri pembejeo ziwe bei chini zaidi
@rogersiddy
@rogersiddy Ай бұрын
Hapo ndo unapokosea sasa unamfosi mtu aseme ccm oyeee ndo Chama chake?acha aseme kile alichonacho moyoni sio kumfosi aseme unachotaka wewe
@Noelkitoi
@Noelkitoi Ай бұрын
Uko sawa
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si Ай бұрын
Haida upewe hata uenyekiti❤❤
@Frolian-j9o
@Frolian-j9o Ай бұрын
Kiukwer mweshimiwa mbunge ameongea Kwa ujasir na upendo wa nchi Yake na mama samia kasikia vizur oja zake piga kazi mweshimiwa mbunge wananchi wako wanakutegemea
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 Ай бұрын
Umerudia neno mheshimiwa rais mno
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 Ай бұрын
Ulitaka akuite ww?
@jochachallengetv7061
@jochachallengetv7061 Ай бұрын
Aida kiboko sana
@imakitori399
@imakitori399 26 күн бұрын
Mbona kwa samia hawakat saut
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 Ай бұрын
Umeonja tunda tayari kwishinee. Mungu atutetee sie hatuna mtetezi duniani
@titoamani-e8b
@titoamani-e8b Ай бұрын
Samia offered the state house to Harmonize and Mwijaku to abuse Diamond Platnumz with Uchawi...Aibu Tanzania😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@user-oq6dx8mf9x
@user-oq6dx8mf9x 28 күн бұрын
P1
@MazibaOnesimo-my8gu
@MazibaOnesimo-my8gu Ай бұрын
mubunge anayejitambua kweli;
@LusunguLupenza-lf7fk
@LusunguLupenza-lf7fk Ай бұрын
Huu ndio uzalendo
@ulimbagakipole3971
@ulimbagakipole3971 Ай бұрын
Huyu anajua anachokifanya asifananishwe na Msigwa. Msifikiri kutukana ndiyo upinzani.
@barakakevela245
@barakakevela245 Ай бұрын
UKO VIZURI SANA MBUNGE KENANI
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Ай бұрын
Kenani for president 2030.
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Ай бұрын
Unga juhudi na wewe ni walewale kwedaaa
@Noelkitoi
@Noelkitoi Ай бұрын
Mama ni mbwa uyo
@SubiragaKabango
@SubiragaKabango Ай бұрын
Mhe: AIDAH Mbunge jimbo la Nkasi mama amekuheshimisha sana kubali kumwaga manyanga Rudi CCM! Kubali yaishe! Mimi Binafsi nakukubali sana na mlinitunza na kunilea na wazazi wako nikiwa naishi kwenye nyumba yenu hapo Namanyere! Ugali wa Ulezi na panyapori msosi saaaafiiii sana!
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Ай бұрын
Akili fupi
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 Ай бұрын
kwani akiwa chadema hafanyi kazi?
@theonalyalfred8087
@theonalyalfred8087 Ай бұрын
Tunashida miaka mitano
@deogratiaskatinda9232
@deogratiaskatinda9232 Ай бұрын
Mambo ya kupotezeana muda tu, hakuna jipya
@sosthenesmaemba
@sosthenesmaemba Ай бұрын
Mmmh
@BeatusNgereza
@BeatusNgereza Ай бұрын
Hao walisha onja tunda
@davidsuleman233
@davidsuleman233 Ай бұрын
Saiz ziara za nje zimepungua
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 Ай бұрын
Watanzania mambumbumbu kama ww wataishia kugeuza maneno hivo hivo tu mpaka wanazeeka.
@IssacNtacho
@IssacNtacho Ай бұрын
Mama yetu hongera sana,, nakupenda Kama Rais wangu,,ila angalia sisi walimu tusio na ajira ,,tuko hoi mtaani,,mwaka huu hatuelew unalenga nini had mda huu hakuna lolote
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki Ай бұрын
Watanzania mnajiteka wenyew Ili mpew hela na serekali yenu achen ujinga sana
@modestapeter2997
@modestapeter2997 Ай бұрын
Kwahiyo wanajiteka navkujipiga risasi?
@judicateurassa7817
@judicateurassa7817 Ай бұрын
Wewe sawa na msigwa tu
@martinemaganga5253
@martinemaganga5253 Ай бұрын
Watu wanajuwa kusoma alama za nyakati
@Sangaadam
@Sangaadam Ай бұрын
Kwa nn mnakatakata -Shame on u!!
@MwitaTv
@MwitaTv Ай бұрын
Mimi natamani hata huyu mwanamke tumfukuze kwenye chama chetu cha Chadema, Mzinguaji tu
@emmanuelsulle911
@emmanuelsulle911 Ай бұрын
Unakosea sana Jamani Aida kenani yuko vizuri Mno Mbunge makini wa Chadema.
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Ай бұрын
​@@emmanuelsulle911HAKUNA KABISA kwani unamtofautisha vipi na mwana CCM?
@AndrewJulius-hg4bd
@AndrewJulius-hg4bd Ай бұрын
Aida tuko salama kweli na watu wanatekwa
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si Ай бұрын
Mbona wewe hujatekwa au una hamu!
@davidsuleman233
@davidsuleman233 Ай бұрын
Muda wakutafta kura
@SaidHamis-yz1vt
@SaidHamis-yz1vt Ай бұрын
Mama Samia waganga WA kienyeja tunaomba wapigwe marufuku ndio chazo Cha mauaji kwanini wapewe leseni?
@epimackjohn461
@epimackjohn461 Ай бұрын
CHUNGA SANA !! HUYO MBUNGE AIDAN KICHWA KIPO SANA SAWA NA MOYO UNAODUNDA USIKU NA MCHANA !!! HATA MIMI NA UZEE WANGU NAMKUBALI KAIVA , KATAKATA ,KABOREKA NA ANASISIMUA !! ATAKUELEWA ,ATAKUELEWESHA NA ANAWEZA KUKUAIBISHA UTAKAPOKAA VISIVYO !
@marysichinsambwe7708
@marysichinsambwe7708 Ай бұрын
Akuna mupizan Tanzania 😂😂😂😂
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Ай бұрын
Uyu hayupo Chadema amekaa bungeni bila mgongo wa Chama chake😅😅
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Umefeli
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 Ай бұрын
Nini kaongea kibaya hapo? Labda nijifunze toka kwako
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Ай бұрын
Samia yupo CCM kama rais,je uyo ni mbunge kwa Chama kipi?
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Ай бұрын
Kazi ya mpinzani nikuikosoa serikali kuonesha nikwann haifai kua madarakani Ukiona mpinzani anaisifia serikali huyo siompinzan huyo analake jambo
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Ай бұрын
Jiulize yupo bungeni kwa mgongo wa Chama kipi wakati Chadema hawapo😂😂😂 na je nikweli hawapo wengine
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Hata Rish Sunak juzi Tu kamsifia mpinzani wake bungeni, siasa sio vita
@evampuya-mp9vf
@evampuya-mp9vf Ай бұрын
Mbunge Aidan nakupongeza saana uko vzr mtetezi wa wanyonge
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Ай бұрын
Kweli
@pueblo148
@pueblo148 Ай бұрын
Wewe ni kilaza.kuna chama na rais hata kama ukiwa chama pinzani unakutana na rais Kuna utaratibu wa kuongea na rais mbele ya hadhara.huwezi mdhalilisha. Ni kosa la kiuongozi.sasa anapomkosoa hadharani mbele yake Inamaanisha unamdharau na kumuaibisha.mambo ya vyama baadae pale alikuwa anaongea na rais wa nchi sio mwenyekiti wa Cha Cha mapinduzi Kwa sababu ziara ni ya rais sio ziara ya ccm.iwapo ingekuwa ziara ya chama wamgeitwa Wana cm tu na uniform Zao wakavaa.umemuona Samia amevaa gwanda?
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Ай бұрын
HAKUNA UPINZANI Hii Nchi, Hakuna HAKUNA HAKUNA, ni kusifia Ujinga Ujinga tu. Aida sio huyo ninayemjua.
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 Ай бұрын
Mapunguani tu ndiyo wenye mawazo ya kupinga hata Yale mazuri.
@sylvanuskavindi2756
@sylvanuskavindi2756 18 күн бұрын
Ulitaka atukane matusi ufurahie maana kichwa yako ndo inaamini ndo upinzani
@marysichinsambwe7708
@marysichinsambwe7708 Ай бұрын
Aibu chandama
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 45 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 16 МЛН
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 19 МЛН
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 19 МЛН
PENEZA ANASEMA CCM OYEEEEE,,,,UZINDUZI WA KAMPENI CHADEMA GEITA MJIINI
10:09
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 45 МЛН