MBWADUKE: CAF HAWAOGOPI? DRAW HII KUNA SIKU SIMBA WATAPIGA MTU NYINGI/ OKEJEPHA, MUTALE, MUKWALA...

  Рет қаралды 87,043

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

27 күн бұрын

Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...
UFAFANUZI
Kwa utaratibu wa CAf msimu huu, timu 5 hazitashiriki hatua ya awali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa ((1st preliminary round) na badala yake zitaanza kushiriki katika hatua ya awali ya pili (raundi ya pili). Pia timu 12 zimepewa unafuu wa kutoshiriki hatua hiyo ya awali ya kwanza katika Kombe la Shirikisho bali zitaanzia hatua ya awali ya pili (2nd preliminary round).

Пікірлер: 38
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 24 күн бұрын
KRAMO atawashangaza dunia mwaka huu simba
@dicksonbenard1741
@dicksonbenard1741 24 күн бұрын
MBWADUKE Mchumbuzi wangu Bora No 1 wa sku zote mzee wa data base zenye weledi wa FIFA❤❤❤
@EzekielNdunguye
@EzekielNdunguye 4 күн бұрын
Shirikisho sio pa kubeza
@mgundaGoba
@mgundaGoba 3 күн бұрын
🦁💪
@ismailkhamis-ks8gp
@ismailkhamis-ks8gp 24 күн бұрын
Iigi sii anze tu tujipigie mtu kumi na nusu Simba nguvu moja❤
@AllyMohammed-nv5sj
@AllyMohammed-nv5sj 23 күн бұрын
Hakika unajua kazi yako upo vizuri sana❤
@victamsemwa3651
@victamsemwa3651 20 күн бұрын
nakukubali sana blaza unajua san
@shelyboyshely2928
@shelyboyshely2928 22 күн бұрын
Mzee mwaduke ww ndo mchambuzi wangu namba moja
@user-cz1mk1ob9m
@user-cz1mk1ob9m 23 күн бұрын
Mwamba anajuaa sana mwaduke
@user-wn9bp5cl1j
@user-wn9bp5cl1j 24 күн бұрын
Mbwaduke ginius🎉
@ProsperSantos
@ProsperSantos 24 күн бұрын
Mchambuz bora 😅😅😅 anaupiga mwingi sana huyu ndo the best hap tz
@user-vb8ki3jo9t
@user-vb8ki3jo9t 22 күн бұрын
Simba hawana deni kwani yanga ndiyo walikuwa wanalipa deni simba walishafika fainali
@lemamolelilemamoleli7740
@lemamolelilemamoleli7740 23 күн бұрын
Uwakika mwanaduke mchambuzi anaijua boli sana
@VehaelMmari
@VehaelMmari 24 күн бұрын
Hamuonekani vizuri boresheni ubora wa picha
@princerwamugira644
@princerwamugira644 21 күн бұрын
Mchambuzi hodari anachambua kama mchambuzi hodari
@user-bm5ov6kx3c
@user-bm5ov6kx3c 23 күн бұрын
Uhakika simba yangu
@IsabelaChacha
@IsabelaChacha 20 күн бұрын
mambo
@AmiryHamza-gs8pp
@AmiryHamza-gs8pp 24 күн бұрын
Nikweli sana tutaua mtu
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 24 күн бұрын
Simba wawalinde wachezaji wetu na wachawi wa majini fs
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le 24 күн бұрын
Mchambuz msema kweli ajae hana makandokando
@elkanangosha9588
@elkanangosha9588 22 күн бұрын
Tulikuwa na mamruki hawakutaka kufunga.
@sadih5333
@sadih5333 24 күн бұрын
Wapili ni mimi
@user-fw4db2mx7h
@user-fw4db2mx7h 23 күн бұрын
❤❤😂
@johnkiwanga3081
@johnkiwanga3081 24 күн бұрын
Wakwanza
@abujumanne7570
@abujumanne7570 24 күн бұрын
Huyu dada hakuelew fainal Simba ndio yakwanza kucheza
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 24 күн бұрын
Mkwala ni mtu makina sana tutajua hapa
@Godfreyolekidongo
@Godfreyolekidongo 24 күн бұрын
Kuna zamalek, berkane, Aseck memosa,usm alger siowakuwabeza kabisa
@ZachariaMwita-bu7rw
@ZachariaMwita-bu7rw 24 күн бұрын
Tunaruka na yeyote
@kirapadiherbalstv9953
@kirapadiherbalstv9953 24 күн бұрын
Hao ni watoto saana kwa Simba😂😂 Tabu iko palepale😊
@user-dy2mg7qg3t
@user-dy2mg7qg3t 24 күн бұрын
😂😂😂😂
@flova7022
@flova7022 24 күн бұрын
Labdaa berkane
@Lameckmichael-h2m
@Lameckmichael-h2m 23 күн бұрын
Kaka atawao wanasema ivoivo kuhusu Sumba. Wakimkumuka waidad alikandwa waje kwa hiloya waangalie joangalax akala 6 nawaohuko wanatetemeka bwana
@BarakaPatrick-qe6se
@BarakaPatrick-qe6se 24 күн бұрын
Dada mbona kama shabiki vile
@danielelikana2615
@danielelikana2615 24 күн бұрын
Mnatumia camera gani??
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 24 күн бұрын
Palitokea dharura kwa Mpigapicha hivyo akakosekana kufanya settings zake kwa usahihi. Kilichofuata duh... ndiyo hilo balaa. Kumradhi Mkuu!
@user-fw4db2mx7h
@user-fw4db2mx7h 23 күн бұрын
Tuko pamoja sana ❤❤❤​@@MbwadukeStats
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 59 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 59 МЛН