MCH DANIEL MGOGO - ACHA KUDHARAU WATU || KIBURI CHA MAENEO (OFFICIAL VIDEO)

  Рет қаралды 66,327

Chapeo La Wokovu

Chapeo La Wokovu

Жыл бұрын

Mahubiri, Preaching, Eliona Kimaro, KKKT, KKKT Kariokoo, KKKT Kijitonyama, Messages, kkkt, eliona kimaro, daniel mgogo, mch eliona kimaro, rev eliona kimaro, mch daniel mgogo, sermons, teaching, preaching, kkkt kariokoo, kkkt kijitonyama, tanzania, bongo, ujumbe, neno, personal growth, lutheran church

Пікірлер: 34
@rosewoiemitau8376
@rosewoiemitau8376 14 күн бұрын
Mchungaji nabarikiwa Sana na mafundisho yako,juu kuna watu wengine kiburi kimewajaa mpaka kooni, Mungu tuzaidie tujue kunyenyekea
@theresiakaruhanga364
@theresiakaruhanga364 Жыл бұрын
Hakuna watu wenye shida duniani kama watu wa Dar ndo maana na wenyewe wanaanza kuikimbimbia. Tunaomba mnsituletee mashoga😁😁
@JamesKereph
@JamesKereph 4 күн бұрын
Kweli, baba.
@LaCharmanteL
@LaCharmanteL Жыл бұрын
Hallelujah barikiwa mtumishi 🙏🏽
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Kutoka sehemu fulani co tija,nawaambiaga kila cku maisha na jinsi umejijenga ndo issue,mtu yuko Dar lakini choo cha ajabu,ukija home kwe2 kijijini Marangu utafikiri ni ikulu.
@renaldanjama6313
@renaldanjama6313 Жыл бұрын
Amina kubwa👏👏🤝
@allanmajanga756
@allanmajanga756 Жыл бұрын
Pastor napenda mafudishow Yako sana
@luciamaganga1872
@luciamaganga1872 11 ай бұрын
Ni kweli mtumishi,,dharau ni mbaya sana aisèe
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 Жыл бұрын
Well, don't judge a book with its cover
@user-ni9kq5or1s
@user-ni9kq5or1s Жыл бұрын
❤❤❤❤ ni kweli kbs wanajifanya kama hawaendi choòni
@risperondiba7347
@risperondiba7347 Жыл бұрын
Kweli kapisa ..Mungu atuondolee kiburi 😢😢
@user-ym3us9gk7p
@user-ym3us9gk7p 11 ай бұрын
Mazingira mtu hukaa pia hutia kiburi bure,walakini watu ni wale wale
@hidayasaidi7872
@hidayasaidi7872 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏Nikweli mjiwakutumianguvu nachukiaDr
@deborahmgedzi632
@deborahmgedzi632 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa mtumishi wa Mungu Baba.
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 Жыл бұрын
Lkn mchungaji c hata hawa waliotuletea Mungu walikuwa na maeneo wa watu wenye hadhi ya juu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Unasema Ukweli kabisa
@AminaHaule-qj9ot
@AminaHaule-qj9ot Жыл бұрын
Ni ukweli mtupu
@hamismabula9934
@hamismabula9934 Жыл бұрын
Kabisa!!! Kuna watu wanajisifu kwa maeneo wanayotoka, na kujiona eti ni bora zaidi ya wengine🤣🤣🤣kwa sababu tu yuko sehemu fulani anayoona ni maarufu!
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 Жыл бұрын
Sweat after a minute !
@user-ni9kq5or1s
@user-ni9kq5or1s Жыл бұрын
Sisi wamikoani wana2ona kama siyo binandam
@alexpangani1944
@alexpangani1944 Жыл бұрын
Asante kwa neno
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 Жыл бұрын
AMEEN ! 😂
@sylvesterambokile9593
@sylvesterambokile9593 Жыл бұрын
Sasa na wewe Mgogo utajifNanisha na wa Kyela?
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Mafundisho ya masimango
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Жыл бұрын
Huo ndo ukweli sio masimango hago
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Жыл бұрын
Na yapo kabisa
@ericaron5566
@ericaron5566 Жыл бұрын
Pole mtu wa Dar
@simongwandu7392
@simongwandu7392 Жыл бұрын
KKKT imekosa mwelekeo
@ellymzalendo4517
@ellymzalendo4517 Жыл бұрын
Mwelekeo upi
@merekwangujati158
@merekwangujati158 Жыл бұрын
Labda mwelekeo wako ndio imepotea , ila kkkt sahau
@simongwandu7392
@simongwandu7392 Жыл бұрын
@@merekwangujati158 kama bado uko huko itakula kwako Msikilize Hanajana Kimaro Kkkt ni ya Maaskofu wanajitukuza wenyewe Roho za waumini hawajali
@hajiameir8688
@hajiameir8688 Жыл бұрын
Makanisa yote hayana muelekeo na kwa taarifa yenu kwanza bwana yesu hakuwahi kuingia kanisani achilia kufanya ibada kama unabisha lete andiko wapi bwana yesu alienda mji gani na wapi kuhubiri injili
@zawadiibrahimuseme1482
@zawadiibrahimuseme1482 Жыл бұрын
​@@hajiameir8688shee baki kwenye swala huku unakanyaga moto
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 5 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 57 МЛН
REV. DR. ELIONA KIMARO: MAISHA NA NADHIRI
1:47:04
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 61 М.
Mch. Hananja awavunja watu mbavu ibadani, UDSM CCT CHAPLAINCY.
42:54
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 1,9 МЛН
Mch Daniel Mgogo - Madhara ya Dhambi 8th July 2018
2:10:37
Africha Entertainment
Рет қаралды 2,7 М.
FAMILY CURSE || Rev. Gitahi Daniel || Donholm CFF (Kikuyu Version)
1:00:18
REV. GITAHI DANIEL OFFICIAL
Рет қаралды 8 М.
NAMNA YA KUTOKA KATIKA MSONGO WA MAWAZO (STRESS) KATIKA FAMILIA " PASTOR MGOGO
1:12:10
MCH.DANIEL MGOGO-UZINZI WAKO  UNAWATESA WENZIO ,PAMBANA MWENYEWE
25:13
Uhai Online Tv
Рет қаралды 179 М.
The FAST and FURIOUS Table Hack 😱
0:29
LosWagners ENG
Рет қаралды 18 МЛН
Детство злой тётки 😂 #shorts
0:31
Julia Fun
Рет қаралды 1,9 МЛН
Зачем он туда залез?
0:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,1 МЛН
Good job hero. #shorts #fyp
0:20
Gbeckett12
Рет қаралды 17 МЛН