MCH DANIEL MGOGO - DHARAU INAONDOA AMANI KATIKA FAMILIA NYINGI (OFFICIAL VIDEO)

  Рет қаралды 23,762

Chapeo La Wokovu

Chapeo La Wokovu

5 жыл бұрын

MCH DANIEL MGOGO ''DHARAU INAONDOA AMANI KATIKA FAMILIA NYINGI''
Mahubiri, Preaching, Eliona Kimaro, KKKT, KKKT Kariokoo, KKKT Kijitonyama, Messages, kkkt, eliona kimaro, daniel mgogo, mch eliona kimaro, rev eliona kimaro, mch daniel mgogo, sermons, teaching, preaching, kkkt kariokoo, kkkt kijitonyama, tanzania, bongo, ujumbe, neno, personal growth, lutheran church

Пікірлер: 30
@patrickmuheba3563
@patrickmuheba3563 4 жыл бұрын
Kutoka Kenya nabarikiwa,nakombokewa Mungu akubariki mchungaji
@kindolek9257
@kindolek9257 5 жыл бұрын
Mtumishi ww ni hatar, Yesu hakuogopa mtu kwenye ukwel bila kujal nafas yake hongera sana mtumishi Mungu aendelee kuulinda ujasil wako
@barakandambo2348
@barakandambo2348 5 жыл бұрын
Ameeni pastor dharau zinatuharibu Sana tukishafanikiwa huwaga tunajisahau saana
@nellycliviaaumaomondi2886
@nellycliviaaumaomondi2886 5 жыл бұрын
Unasema ukweli mchungaji, mungu akubariki sana
@ngooaggie8471
@ngooaggie8471 5 жыл бұрын
Yani mchungaji kweli kabisa...Maadharau ..ni mbaya sana..Mungu akubariki
@aishamukunda9347
@aishamukunda9347 5 жыл бұрын
Sema iyo kweli. Mungu akubariki mchungaji. Watu washujaa kama wewe wanaitajika duniani zaidi kwetu Africa
@francinekabwe1211
@francinekabwe1211 4 жыл бұрын
Nili chelewa jamani mafundisho mazuri kweli 🤭🤭🤭
@winnieesther1423
@winnieesther1423 5 жыл бұрын
AMEN...WATCHING FROM SAUDI ARABIA.....AM BLESSED
@georginaopati9587
@georginaopati9587 5 жыл бұрын
Barikiwa sana mhubiri
@silasiteven3606
@silasiteven3606 5 жыл бұрын
Simba wa injili cjaona jams!
@veronicasadi3853
@veronicasadi3853 5 жыл бұрын
Ubarikiweeeeeeeeeeeeeee na BWANA babaaaaaaaaa,napona kwa jina LA YESU
@nancykike4493
@nancykike4493 5 жыл бұрын
Hata wangu alikua hivyo hadi tukaachana imagine nimchugaji
@nancykike4493
@nancykike4493 5 жыл бұрын
Waaa thanks bro
@deodatusrwezaula9519
@deodatusrwezaula9519 5 жыл бұрын
Ndie bwana mwaminifu yesu
@barakandambo2348
@barakandambo2348 5 жыл бұрын
The greatness of Man The one living inside us Holy Spirit
@nemaodhiambo7274
@nemaodhiambo7274 5 жыл бұрын
Sema baba tupone
@fajvavsbvvbs1910
@fajvavsbvvbs1910 5 жыл бұрын
Asante muchungaji ninaishi na watu wenye matharau na ni bose wangu Mimi ni msichana wa kazi lakini bose wangu hata hanisalimii ata nikimuliza kitu hanijibu ata akipata sabuni yangu nimejinunulia anatupa yani naishi tu juu mushara nipate nashukura mchungaji kwa Hilo somo ubaya ni muislam hawezi sikiza injili
@eunicemhando5357
@eunicemhando5357 5 жыл бұрын
Kweli kabisaaa mchungajii
@bemoheltraveller
@bemoheltraveller 5 жыл бұрын
Zidisha maombi juu yake. Na siku Moja atalainika. Kwa Jina la yesu.
@ismaelmanhica790
@ismaelmanhica790 5 жыл бұрын
Amina toka Mozambique.
@veronicasadi3853
@veronicasadi3853 5 жыл бұрын
Aminaaaaa, Aminaaaaaaaaaaa
@fajvavsbvvbs1910
@fajvavsbvvbs1910 5 жыл бұрын
Hizo cid zinafika kenya nazitaka tafathali
@maryJoseph-hi2nv
@maryJoseph-hi2nv 5 жыл бұрын
Nitakase mm bwana nikubali yawe
@rehemamdolo2159
@rehemamdolo2159 5 жыл бұрын
Mary Joseph Yaani Mtumishi yote unayoyasema ndo maisha yangu ya miaka 15 mpaka napata shida sana ukizingatia ninawatoto
@godfreylubya1326
@godfreylubya1326 5 жыл бұрын
bwana asifiwe
@williamsabaya8917
@williamsabaya8917 5 жыл бұрын
Tanesco, please alert us before disconnecting power for whatever reason to save our electronic data whose processing is in progress around the clock
@nancykike4493
@nancykike4493 5 жыл бұрын
He's a poster i need your pray amerudi but namwogopa
@alfredbomani9098
@alfredbomani9098 5 жыл бұрын
Nancy Kike Mungu akusaidie mpendwa usimfunge moyoni kufanya hivyo kutakufanya uyakumbuke aliyokutenda.Mwambie mkapime maisha yaendelee.Ubarikiwe sana
@__Billionaire___
@__Billionaire___ 5 жыл бұрын
Nondoo🤣
@benardidesia122
@benardidesia122 5 жыл бұрын
Hi ni ibada nzuri sana
MCH DANIEL MGOGO - AINA TATU ZA NADHIRI (OFFICIAL VIDEO)
47:52
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 61 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 78 МЛН
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Secret Vlog
Рет қаралды 22 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 10 МЛН
MY WIFE LEFT ME WITHOUT NOTICE- PK KARITEI
1:19:01
JEFF KURIA
Рет қаралды 95 М.
MCH DANIEL MGOGO - KAZI YA KANISA (OFFICIAL VIDEO)
1:00:27
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 36 М.
Jane Muthoni gûcokia cîûria iria aingî mûragia na mîhehû
1:07:56
Wambui wa Mwangi
Рет қаралды 43 М.
Mch Daniel Mgogo - Madhara ya Dhambi 15th July 2018
55:22
Africha Entertainment
Рет қаралды 81 М.
3. KUONDOA MAZUIO KATIKA MIFUMO YANAYOZUIA  KUFANIKIWA KWAKO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || Singida
3:17:18
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 22 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42