MCH HANAJA APIGA NONDO NZITO KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI

  Рет қаралды 25,648

Mbengo Tv

10 күн бұрын

Пікірлер: 90
@PeterJustin-ke5mk
@PeterJustin-ke5mk 10 күн бұрын
Pastor h nakukubali sana unahekima ya ajabu Mungu akutunze
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 7 күн бұрын
Umesema kweli Rev: Hananja
@privaushaki7395
@privaushaki7395 8 күн бұрын
Huyu ni mchungaji na mwalimu mwenye busara sana
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 4 күн бұрын
Huyu anafaa akae meza moja na bishop ngonyani jamaa anajua ingia you tube tafuta kipindi kinaitwa izrael Katika unabii jamaa anachambua bible hatari
@amosmwangela1878
@amosmwangela1878 9 күн бұрын
kijiji bila wazee ni uhuni,mzee kanyoosha vizuri sana
@NkindaOnen
@NkindaOnen 10 күн бұрын
Hananja professional Bible study
@WilsonEmmanuel-bs6op
@WilsonEmmanuel-bs6op 9 күн бұрын
Amina baba mm nimejifuza kwa kutoa Vifungu katka bibilia
@stanleyamlima2085
@stanleyamlima2085 4 күн бұрын
Yaaaah!!! Teacher
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 9 күн бұрын
Hizi ibada yakuwa kiboko yawachawi nk nibiashara tu wala sio ibada ambayo tumeelekzwa kufanya kuwa ndio kuabudu. Huku ni kufeli kwasababu tumeletwa duniani kumuabudu Muumba now kinachofanyika ni uzushii tu napia leo watu wamekumbwa na stress kutokana na maisha kuwa magumu now ndio naona h nibiashara na watadanganywa wengi
@Fred-Ma
@Fred-Ma 10 күн бұрын
Nafurahi sana kukutana na mtu mwenye akili anayeniimarisha😅
@victorombay6625
@victorombay6625 5 күн бұрын
Very good Pastor. Ubarikiwe Pastor
@henryj3304
@henryj3304 8 күн бұрын
Safi sana Pastor Hananja. May God bless you and your family ❤❤❤
@MadundasiDispensary
@MadundasiDispensary 2 күн бұрын
Duh Pastor Hananja we kiboko ......
@neemakalugila7674
@neemakalugila7674 6 күн бұрын
May the Living God bless you abundantly Pastor, from Holland 🇳🇱
@user-ce7dl4qc2t
@user-ce7dl4qc2t 26 минут бұрын
Dad Mungu akujaalie unapendeza ukivaa hivyo Mungu akupe Khery nyingi 💕💕💕🤲🏼
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 8 күн бұрын
Kwa kweli makanisa mengi niyakichawi ndiyo sababu nikibo ko ya wachawi mara wamenasa wachawi mara apa kanisani pana mchawi atoke mara mtu katoka anatoa ushuuda mimi ni mchawi huo ni usanii siyo dini hiyo
@ShukraniChomolla
@ShukraniChomolla 9 күн бұрын
Mungu akutunze mchungaji, nimecheka eti hata congo wangepelekwa wachawi
@gastonmbarila9458
@gastonmbarila9458 9 күн бұрын
I love this man, sabubu ua anatoa pia maandiko
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 9 күн бұрын
MashaaAllah MashaaAllah mchungaji hananja mwenyezi mungu akutangulie kwenye maisha yako inshallah
@mbalilax162
@mbalilax162 9 күн бұрын
huyu mchungaji ni noma, anaongea kidogo anakazia na andiko kwa kila atakachokisema. Biblia imelala kichwan duuh
@modernmwamtobe-lq8rg
@modernmwamtobe-lq8rg 9 күн бұрын
Asante sana paster.kwa hekima ya majibu yako kibiblia kwa busara.
@user-gn7xd1yg3t
@user-gn7xd1yg3t 10 күн бұрын
Hakika Pastor unaweza kutuweka sawa asie elewa hatoelewa kamwe
@costantinemgalle1910
@costantinemgalle1910 10 күн бұрын
Nakukubali mchungaji!
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 9 күн бұрын
Nafurahi kusikia wachungaji mkijibu upumbavu unaoenezwa kwa kasi
@ezralameck4150
@ezralameck4150 4 күн бұрын
Muuliza maswal hajauliza maeneo mahususi ya upotoshaji ya huyu kiboko ya wachaw😢
@eliasilwimba187
@eliasilwimba187 8 күн бұрын
Serikari ifute usajiri wa kanisa la Dominic kiboko ya wachawi haraka sana.Hata kama analipa kodi.
@sandejacob623
@sandejacob623 Күн бұрын
Amina mtumishi
@hildalyatuu2710
@hildalyatuu2710 10 күн бұрын
Yaani hapa ndo mwisho wa matatizo.
@roseriwa6951
@roseriwa6951 Күн бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa....
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 8 күн бұрын
dah! mch Hananja biblia Yuko vzr co wale wanaotuchezea sinema eti miujiza!
@user-es4jv6pb8x
@user-es4jv6pb8x Күн бұрын
AMEIN Baba Ubarikiweee
@user-qg7el6gc5j
@user-qg7el6gc5j 3 күн бұрын
baada ya Nyerere ni wewe..... 🥰🥰🥰
@Mlokoz_twangalatwz
@Mlokoz_twangalatwz 8 күн бұрын
Safi kabisa mchungaji
@user-jc1do5gf3w
@user-jc1do5gf3w 9 күн бұрын
Kweli kabisa sasa hivi mahubiri ni uchawi tu,wanaboa sana.Serikali iangalie hili kwa makini.Tunakoelekea ni kubaya sana
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 8 күн бұрын
Na kweli kiboko ya wachawi anahubiri injili chonganishi
@ChristineKassanga-xm9xe
@ChristineKassanga-xm9xe 2 күн бұрын
Watumishi wa Mungu acheni wivu kiboko anafanya mengi kwajamii hamjui tu
@samuelbahati7976
@samuelbahati7976 7 күн бұрын
Ubarikiwe sana Mungu akubariki sana
@rweumbizalugaimukamu4905
@rweumbizalugaimukamu4905 10 күн бұрын
Wewe ni Mchungaji wa kweli
@user-kq9lb7bd8l
@user-kq9lb7bd8l 3 күн бұрын
Mmmm ivi mbona mnapenda kumjadili KIBOKO yawachawi fanyeni yenu nakama yakwenu yanawashinda si mnyamaze awu kwavile kawashinda nguvu
@CalistaMartin-v7m
@CalistaMartin-v7m 9 күн бұрын
Shida kubwa watu wanapenda mazingaumbwe kuliko kupenda kwelii
@tinertv1382
@tinertv1382 8 күн бұрын
Mnaacha kufuatilia mambio mabaya na machafu mnafuatilia watumishi kila mtu ameeitwa kivyake
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 Күн бұрын
Huyu mchungaji. Sijawahi kumsikia kuna kitu uchawi wala free masaoni na wala wachawi
@paulojohn5504
@paulojohn5504 8 күн бұрын
Ubarikiwe mtu ws mungu sana
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 9 күн бұрын
😅😂mzee mengine mengi yupo sawa na ukakasi kidogo humo kuhusu vita,vita ipo rohoni tuanzie Waefeso 6:11-12
@VascoJohn-rp1uc
@VascoJohn-rp1uc 6 күн бұрын
Facts pastor
@MjuniJeremiaStephanoZaka-nu8dj
@MjuniJeremiaStephanoZaka-nu8dj 10 сағат бұрын
Hiyo ni kweli kabisa
@milliardere9177
@milliardere9177 8 күн бұрын
Nakubali maandishi
@eliasilwimba187
@eliasilwimba187 8 күн бұрын
Tz raia wengi ni vilaza jamani.
@RichVoicetz-z9r
@RichVoicetz-z9r 5 күн бұрын
Ila kweri serikali Ione hili jamanii utaperi umezidi watu wanadanganywa kweupeeeeee na wanachekelea tu
@BENARDMASHAIJA
@BENARDMASHAIJA 5 күн бұрын
Hakika Mungu akutunze❤ unaongea ukweli
@tinertv1382
@tinertv1382 8 күн бұрын
Kwanini hafungiwr kanisa mabar? na sehemu za starehe hazijafungwa mwacheni mradi anahubiri Yesu kuna tatizo gani!
@Jophley
@Jophley 10 күн бұрын
Sitaogopa hofu ya usiku
@eliasilwimba187
@eliasilwimba187 8 күн бұрын
Nimecheeka saa.
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 4 күн бұрын
Yule mshenzi wa kule buza na waumini wake wote wana tatizo la afya ya akili mwenye utimamu hawezi kwenda kule kupiga kelele
@andrewkaswagula3367
@andrewkaswagula3367 8 күн бұрын
Kama Manyumbu 😂😂😂😂
@deogratiasrutabana2387
@deogratiasrutabana2387 4 күн бұрын
Binafsi sikubaliani na hoja ya Mtumishi kwasababu Biblia imeandika kama misingi ikiaribika mwenye haki atafanya nini? Hapa tunachotakiwa kutafakali ni kwanini haya yanatokea? Maana sehemu zote za kumuabudu Mungu hazipo sawa hata moja zote zimeiacha sheria ya Bwana. Mfano imeandikwa askofu ni Mume wa Mke Mmoja mbona kuna watu hawaruusiwi kuoa katika kanisa lao na wanajiita maaskofu na wengine ni wanawake wanaitwa askofu. Mleta mada anataka serikali iingilie kati wakati katiba ya nchi inasema serikali haina dini na hapo ndio kiini cha matatizo yote maana neno dini maana yake njia na njia kwa wakristo ni Yesu Kristo . Nawasii saana watanzania wenzangu tusiwe na shaka wala ofu katika haya maana ajaye atatumika kuyamaliza yote hayo na kutimiza andiko lisemalo Imani moja Bwana mmoja na ubatizo mmoja na na imani moja. Kwake Yesu lazima kila goti litapigwa. Wajibu wetu sisi tuendelee kumsii Mungu Mapenzi yake yatimie.
@jotafungo4622
@jotafungo4622 6 күн бұрын
Huyu mch 😂😂😂
@servulytarimo
@servulytarimo 7 күн бұрын
🙏🙏🙏🌹🌹🌹
@DEEP.WORSHIP
@DEEP.WORSHIP 4 күн бұрын
😀😀😀😀😀😀😀
@frenkfarm1139
@frenkfarm1139 8 күн бұрын
selekali hiii niyawooo wala hawawezi kuwafukuza inge kua nihaki haipendi dhuluma
@eliasbihita4041
@eliasbihita4041 9 күн бұрын
Ni manyumbuuu tu hayoo
@DavisIssangya-kc3rm
@DavisIssangya-kc3rm 3 күн бұрын
Mmmmh
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 4 күн бұрын
BIG BRAIN
@MaxonSelestine
@MaxonSelestine 9 күн бұрын
❤❤
@ALESIACHIJOKA
@ALESIACHIJOKA 9 күн бұрын
Mchungaji hananja napenda tu mazungumzo na mafundisho yako unanipa ujasiri sana wa kuishi kwa Amani . Amen Amen ubarikiwe sana naomba sana mafundisho yako .
@milliardere9177
@milliardere9177 8 күн бұрын
😂😂😂😂 hela weka kichwani
@karimmveyange280
@karimmveyange280 9 күн бұрын
HAWA WAJIITAO WACHUNGAJI AMBAO KAZI ZAO KIROHO NI -VE WANABAKIA KUWANANGA WACHUNGAJI WENGINE,SIJUI NIKWANINI? WASHIKILIE KILE WANACHO KIAMINI,WAACHANE NA ANAYE JIITA KIBOKO YA WACHAWI. VINGINEVYO TUTAJUA KUWA WACHAWI WAMEPATA WATETEZI
@user-vb7tu5zs9d
@user-vb7tu5zs9d 8 күн бұрын
Wapotosha watu acha waambiwe ukweli
@Dr.manyaunyau
@Dr.manyaunyau 3 күн бұрын
😂
@RamondLema-po6py
@RamondLema-po6py 9 күн бұрын
TUKATAE MAFUNDISHO YA HOVYO HOVYO
@ROBERTMAXIMILIAN
@ROBERTMAXIMILIAN 9 күн бұрын
Piga spana Mchungaji Hananja, waamini wamekuwa wajinga sana
@CalistaMartin-v7m
@CalistaMartin-v7m 9 күн бұрын
😢😢
@salumuledisalum8038
@salumuledisalum8038 Күн бұрын
wewe ndio muhokozi wa watanzania wapumbavu,endelea kuwapiga nyundo za kichwa mpaka waelewe.
@LazaroHaule-tr5cl
@LazaroHaule-tr5cl 8 күн бұрын
Kula chuma hicho
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 9 күн бұрын
TATIZO HII BIBLIA HAKUNA MTU YEYOTE ANAYEJUA BIBLIA ILITOKA NCHI GANI AU BASI MJI ILIKOTOKA...ANAYEJUA NAMKARIBISHA..ALETE USHAHIDI TU BASI
@kanyeshahigirimana5686
@kanyeshahigirimana5686 9 күн бұрын
Mh wewe maswala ya imani achana nayo maana ni makubwa kuliko unavyofiria wewe baki na imani uliyonayo tu bhas mengine ya watu waachie wenyewe
@martinmkoba361
@martinmkoba361 8 күн бұрын
Yaani umeuliza pumba kabisaaa Quran imetoka wapi??
@jamesmwandu9295
@jamesmwandu9295 8 күн бұрын
Omba MUNGU akupe ufunuo uondokane na Giza kiri kwa Imani YESU ni mwokozi wa maisha yako,Roho mtakatifu atakufungua na utafahamu vyote
@einothlekaaya
@einothlekaaya 9 күн бұрын
Hivi kweli muungano wa makanisa ya kipentecoste wameshindwa kutoa msimamo wao juu ya hili? Sawa kama ndivyo serikali iko wapi??? Watu waache vita kwao waje waanzishe vita ya kisakologia kwetu,kweli nimetambua hatuna anayetusemea
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 9 күн бұрын
Siku hizi umoja wa CPCT ni umoja wa kuchumia pesa
@user-pj3cb5ht4b
@user-pj3cb5ht4b 9 күн бұрын
😂😂😂 wewe unaongeya san
@michaelsiafu2369
@michaelsiafu2369 3 күн бұрын
Akili kubwasana.. Salote
@healingsschool4630
@healingsschool4630 9 күн бұрын
LUKA 7:22 Nimeona, nimeshuhudia, watu waliofufuka, mwamala umesoma, viwete, vipofu, wagonjwa waliponywa kwa Kiboko ya Wachawi kwa Hananja ni comedy tu.
@jamesmwandu9295
@jamesmwandu9295 8 күн бұрын
Unaweza kutueleza hao waliofufuka saizi wanaishi wapi,na je wakati wa vifo vyao ulishuhudia makabuli yao na ushahidi wa majirani zao wanaowafaham??
@dicksonmsuva4880
@dicksonmsuva4880 7 күн бұрын
Zero brain
@MaseMasilenge-u8p
@MaseMasilenge-u8p 3 күн бұрын
Serikali inanufaika nao hao wajinga
@josephatdeos1792
@josephatdeos1792 9 күн бұрын
Kila anchoongea anakitetea kwa maandiko hawa ndio wachungaji tunao wahutaji
@tinertv1382
@tinertv1382 8 күн бұрын
Mnaacha kufuatilia mambio mabaya na machafu mnafuatilia watumishi kila mtu ameeitwa kivyake
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 25 МЛН
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 51 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 25 МЛН