Рет қаралды 19,976
Ibada ya Jumapili Asubuhi katika kanisa la TAG JERUSALEM TEMPLE Songea Mjini.
Siku ya sita ya mkutano wa Injili wa Uponyaji na miujiza katika Viwanja vya wazi karibu na shure la sekondari rizaboni - MJI MWEMA SONGEA
Ujumbe: HATUA KUU ZA WOKOVU
Andiko: Matendo 2:37-39
Mnenaji: Mch Moses Magembe
Tarehe: 02.10.2022