Siku ya tatu ya Kongamano la Umisheni katika chuo cha Biblia Southern Bible College Itende-Mbeya.
Пікірлер: 17
@PauloGerald-fx2ev2 ай бұрын
Imana ikuhezagire
@kananaezekiel42612 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mchungaji; Tunajifunza sana.
@user-qx5mq6un7e2 ай бұрын
Tunajifunza mengi sana kupitia wewe mchungaji, MUNGU akubariki sana kwa kutoa shule kubwa sana
@ndathagona8282 ай бұрын
Gob blesse you pastor for giving us the right message of God
@user-th7ti9ch5h9 ай бұрын
Hazina ya yesu
@bethkatunx76772 жыл бұрын
Anasema kweli kabisa!! nakupenda sana mwalimu wangu
@mwalimuelisha19962 жыл бұрын
Naona jeshi kubwa, likiandaliwa kwa ajili ya kuileta nafsi kwa Bwana Yesu. Mungu akulinde baba.
@IsayaSchone-kt7uq6 ай бұрын
Aminaaa sana
@fatumaremy Жыл бұрын
Amena
@ndeshukurwakaaya43852 жыл бұрын
Absolutely true. Fursa inaongeza milango ya fahamu yaliyopo, yanayokuja yanatabiriwa. Huu ushindi kila mtu ana nafasi ya kudhihirisha kwa kuchapa kazi. HAPA KAZI TUU. ASIYEFANYA KAZI NA ASILE. MUNGU KWANZA FURSA ZITATUMIKA VILIVYO KWA UTUKUFU WA MUNGU 🙏
@januaryjanuary63882 жыл бұрын
Amina hili ni darasa tosha Sana ya theology
@bernarderadi44102 жыл бұрын
Jambo mtumishi. Hiyo handout naipataje
@martinmaryogo36762 жыл бұрын
nguvu ya mungu itawale
@shedracklesudai952 ай бұрын
Hakika mchungaji huyu ni hazina
@FrankMichael-us4dr4 ай бұрын
Sijawahi kuona mwalim bora kama huyu
@emedimuzaliwa46822 жыл бұрын
Kila Mara uwanabarikiwa sana kwa mahubiri yako mch . Nami ningependelea nipate kitabu hicho cha matendo mtumishi. Nitakipataje?
@boazjohn558Ай бұрын
Miaka nane au kumi tuko kanisani na hatujui biblia maana yake hatuna Mungu aisee