Somo: WAJIBU WA MKRISTO KATIKA SIKU ZA MWISHO Andiko: WAFILIPI 3:20 Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE Tarehe: 09.06.2024
Пікірлер: 22
@apostleemmanuelmabuga814828 күн бұрын
Moja ya Nguzo tulizo baki nazo Tanzania kwa habari ya kumjua Mungu wa Kweli na wapekee na Yesu kristo alie mtuma ni Huyu Musa Magembe
@johnmboma77128 күн бұрын
Hakika ni kweli kabisa
@AliceMwakijale24 күн бұрын
We're so blessed to have you, in our day, at the time as this Rev. M Magembe , May God almighty continues to use you in his mighty work Be blessed
@VumiliamagnusMlelwa17 күн бұрын
Mungu abarikiwe kwa mtumishi wake ujumbe mzuri
@ipyanahkitukwe533926 күн бұрын
Hii Safi mno Yesu kristo atusaidie
@wanyemalusao452525 күн бұрын
Ubarikiwe Baba Yang pokea sifa kwa Bwana ❤❤
@ScholaNsanabandi-ey5fh25 күн бұрын
Amena Amena ubarikiwe mchungaji
@HappyBernard-ni7zg26 күн бұрын
Asante Sana Baba kwa ujumbe mzuri wa MUNGU
@FunnyDarypink27 күн бұрын
Amen amen
@JosephJosephmfinanga27 күн бұрын
Amina mtumishi napenda sana injili yako Mungu akubariki
@ChristhopherDoto28 күн бұрын
From Zambia
@user-by7cu5el8t26 күн бұрын
Amina nimepona leo namshukuru mungu bado ananipenda
@user-tu9zm1jh3n28 күн бұрын
Ubarikiwe mch
@johnsebastian-bx6qn28 күн бұрын
Amina baba mimi ni mwanafunzi wako
@daudyohana-ou5cr28 күн бұрын
AMINA BABA. THIS IS THE GOSPEL I WANT TO LISTEN IN MY LIFE
@IsaacLameck-nz8yr27 күн бұрын
Huyu ni fundi Tena fundi sanaaaaaa
@faithe406316 күн бұрын
Muniombee watumishi wa Mungu muniombee kweli sitaki kuwa mtumwa wa dhambi 😢 muniombee kweli kila siku natupu naomba nimelishika neno la Mungu, sina mume alikufa kitambo sina ata rafiki nilisema niwe mtoto wa Mungu ila kuna Roho chafu inanisumbua kwa kujijua 😢 muniombee watumishi wa Mungu sitaki kufa kwa dhambi nataka niwe mwana wa Mungu Yesu kristo karibu kuja sitaki anikute nikiwa mtumwa wa dhambi 😢😢😢 muniombee tamaa ya mwili imenitawala 😢😢😢😢 muniombee