Stendi ya zamani (California/Kalifonia),ukishuka unateremka kufuata njia ambamo kuna wauza mitumba,hata ukiulizia wapita njia humo sokoni wanakuelekeza,maana ni eneo la wazi.
@annastaziakimaro3042Ай бұрын
Anayejua muda wa mkutano wa kesho anijulishe ili niwahi kuwa live na kubarikiwa na watu wa Mwanza kupitia mtumishi wa Mungu.
@user-du3pd7gb4cАй бұрын
Ni sakumi mkutano unaanza
@bettyisaack209Ай бұрын
Ni saa tisa alasiri dada. Kakutane na Mungu hapo sawa na Shauku yako
@annastaziakimaro3042Ай бұрын
@@user-du3pd7gb4c amen barikiwa
@annastaziakimaro3042Ай бұрын
@@bettyisaack209 amen barikiwa sana
@anethphilbert229Ай бұрын
MUNGU ANAMTUMIA KWA KUSUDI. MUNGU AKUBARIKI SAAAANA MTUMISHI KWA HUDUMA HII.
@user-ld1ji6nu1gАй бұрын
Mungu azidi kuku tunza pastor
@user-ld1ji6nu1gАй бұрын
Saa 8:30 mchana
@abelymbate9382Ай бұрын
Ni mwanza sehem gani yupo
@user-ld1ji6nu1gАй бұрын
Nyegez mwanz
@MathayoNashonАй бұрын
Mwanza nyegezi stendi ya nyabulogoya
@danieldavis3361Ай бұрын
Ukifika stendi ya nyegezi unaenda wapi
@aproniamasatu5810Ай бұрын
@@danieldavis3361haufiki stend unashukia kijiweni unashuka shule ya nyabrogoya
@danieldavis3361Ай бұрын
Ukifika stendi ya nyegezi unaenda wapi
@GERALDHAMBAGELEАй бұрын
Yuko Nyegezi , pale ilipokuwa stand ya Muda wakati wanajenga Stend mpya ya Nyegezi . Karibu na secondary ya Nyabulogoya.
@bettyisaack209Ай бұрын
#Mwanza kwa Yesu; Injili isiyoghoshiwa kwetu, Bwana atutendee