No video

MCHANGO WA MSIKITI

  Рет қаралды 131,111

KitaleMkudeSimba

KitaleMkudeSimba

Күн бұрын

‪@kobelochapombe‬ ‪@StanBakora‬ #Kitale

Пікірлер: 251
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Allah atujalie matendo mema wote dunian insha allah
@sanjifilm1722
@sanjifilm1722 Жыл бұрын
Du Yani alotoa mchango chizi imemu ndiyo kabisaa nimecheka Kama mazuri
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Жыл бұрын
Hili kali Big up
@platwhite_
@platwhite_ Жыл бұрын
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 sijaiba nafanya kitu unaona 😂😂😂😂
@bashiruhassani1017
@bashiruhassani1017 11 ай бұрын
Ila stan we n chz
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Uwo ñi ujumbe
@aishaaisha2224
@aishaaisha2224 Жыл бұрын
Jmn stani ww unavisa🤣🤣🤣🤣👌👌
@jdizzy562
@jdizzy562 Жыл бұрын
"oa asa buku me nakula nini"😂💔😂😂
@umisidi1816
@umisidi1816 Жыл бұрын
😂😂😂huwa napenda huyu stamili
@InnocentArmadillo-do9vm
@InnocentArmadillo-do9vm 5 ай бұрын
Stani banaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@OmninjafaceII.
@OmninjafaceII. Жыл бұрын
Leo nimecheka mpaka nimeoekana kama chizi kwa wenye walikuwa karibu na Mimi
@emmanuelkalogi17
@emmanuelkalogi17 Жыл бұрын
Aya zingine bhana et usukutu wa masakata duuuh
@saguispartan4342
@saguispartan4342 Жыл бұрын
Msifanye mas,khara n aya za mungu
@aristidesmtui6593
@aristidesmtui6593 Жыл бұрын
Jina la Mungu tu umeliandika kwa herufi ndogo huoni unakosea kabla ya kuhukumu watu wanaotumia maigizo kutoa elimu
@tarkikilumbi3457
@tarkikilumbi3457 Жыл бұрын
@@aristidesmtui6593 muache aandike tu kwa heruf ndogo kwen hilo jina aloliandka ni jina la ngap ktk majina ya Allah 99
@AlexNoel-xh1jo
@AlexNoel-xh1jo Жыл бұрын
Dah bakola brother we noma
@gastonamnon7005
@gastonamnon7005 Жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃😃😃😃 Daaaah nmecheka
@dicvanofficial
@dicvanofficial Жыл бұрын
Mwinyi mkuu nimemuona
@samweltv2064
@samweltv2064 Жыл бұрын
Elimu nzr sana hii jambo jema na funzo kwa vijana wa hovyo
@awamiawami5380
@awamiawami5380 Жыл бұрын
asallam walykuu ndugu zangu ayo ni naigizo rakini wanamziaki mungu apo sio sawa mungu ataniwi at kwabaati mbaya wamekosea sanaa nduguzetu watafute cha kuigiza mungu awape erimu
@barakayesaya5000
@barakayesaya5000 Жыл бұрын
Lakini pia sio mungu ni Mungu
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 Жыл бұрын
😂😂😂 tuliza matako wewe mungu yuko wapi enjoy stan bakora
@barakayesaya5000
@barakayesaya5000 Жыл бұрын
@@shaqdizo7678 sijasema ujichekeshe, rudia kusoma
@machanohaji9841
@machanohaji9841 5 ай бұрын
Sio kwa mafundisho haya banah
@johnjonson8560
@johnjonson8560 Жыл бұрын
Hiyo Aya ya stan ,ni ngumu mpaka ostadh haijui😀😀😅😅
@RashidRashid-wv9ud
@RashidRashid-wv9ud Жыл бұрын
Mbona vijana wa sikuhizi michezo yenu mnapenda kumtania mungu
@clodoaldusrutakangwa2702
@clodoaldusrutakangwa2702 Жыл бұрын
Sio wanamutania Mungu wanaonyesha vitu vinavyofanywa kwenye jamii maana mambo kama hayo yapo
@daudihemedi3362
@daudihemedi3362 Жыл бұрын
Wamemtania wapi sasa.. Na nd maan hawakwenda msikitin
@isayamnyimwa1411
@isayamnyimwa1411 Жыл бұрын
Ukiikosoa Hii Story Basi ww Ni Mpuuzi Sana Nahujui Dini Yaani Hujaisoma Dini Hapa Kunaelimu Kubwa Tu Kwanza Kuonyesha Kwamba Waislamu Wakiwa Katika Ibada Hawakatizi Swala Yao Hata iweje Pili Stani Anamoyo wakutoa Kama ilivyo Kwawengi Lakini Hana Alijualo Kwenye Dini Maana Maendeleo Mengi Huchangiwa Na Waislamu Jina Kwasababu Wanaimani Lakini Wanaujinga Wakutokua Na Elimu Nandio Maana Afundishwe Adabu Na Aelimishwe🙌🙌
@hujatswai5798
@hujatswai5798 Жыл бұрын
Unajua nguzo za swalaah?
@ahmaduun6523
@ahmaduun6523 Жыл бұрын
kwa jinsi ulivyo elezea hapo maelezo yako yaingia akilini kidogo na pai yanaweza kuchukulika, Umejaribu kuelimisha kawa kadri ya uwezo wako.
@abuudhilqarnayn5180
@abuudhilqarnayn5180 Жыл бұрын
Hakuna mafundisho ya dini kwa stori/maigizo,, soma dini kwanza acha kutumia akiri. Hamna kitu hapo
@hujatswai5798
@hujatswai5798 Жыл бұрын
Ukiisoma hii aya utajua nani mpuuzi. Na ukiwauliza, bila shaka watasema: Hakika tulikuwa tunaporoja na tunacheza. Sema: Je, mlikuwa mnamfanyia istihizai Allaah na Aayaat Zake na Rasuli Wake? Msitoe udhuru. Mmekwishakufuru baada ya kuamini kwenu. [Tawbah: 65- 66]
@MRkevin1030
@MRkevin1030 Жыл бұрын
Isaya umeongea maneno mazuri lakini pia jaribu kitumia maneno ya busara sio maneno machafu pia sisi waislamu tunahashimu inada yetu ya swala japo kuwa kama ulivyosema kuna mafunzo ila pia hairusiwi kumkatisha kiongozi anaeongoza ibada kulala kwenye mswala hioo haiakubaliki na pia itakuwa imevunja nguzo ya swala kwani nguzo ya swala
@EmmanuelChirwa-m3b
@EmmanuelChirwa-m3b 11 күн бұрын
Amen
@ChinoMapete
@ChinoMapete 3 ай бұрын
Umetisha xn mwanangu
@MiriamOnesmo-uw3fy
@MiriamOnesmo-uw3fy 2 ай бұрын
Yan ww stan nimshenz kwel
@adamdastam9818
@adamdastam9818 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 wakimpata amekwisha
@jumasadiki141
@jumasadiki141 Жыл бұрын
Leo mmezingua kbs
@magangira5433
@magangira5433 Жыл бұрын
Duuh hyo Aya kiboko 😂😂😂😂😂
@jailosibrahim88
@jailosibrahim88 Жыл бұрын
Stani umetisha 😂😂😂
@zanlec7357
@zanlec7357 Жыл бұрын
Uislamu hauchezewi mwambieni stani kwenye Uislamu hkun comedy asitafute kilio. Allah hana mchezo Masahaba walimwag damu ili Uislamu uende mbel
@TemwaJilaha-vw9md
@TemwaJilaha-vw9md Жыл бұрын
Mbona munatoa kipand kimoja af munasmama muda mlefu
@Dadboy.
@Dadboy. Жыл бұрын
Natamn ata nikutukane Ila namuhofia mungu ujinga wenu musituletee katika dini
@omaryngwembele2456
@omaryngwembele2456 Жыл бұрын
Unahsi hawa na walio igz muv ya historia ya mtume wap wanastail kutukanwa, maana nadhani ile ndo ilianza ndo ikafata hii. Uislamu hauko ivo anko nikuulze tu ww mara ya mwisho kukaa madrasa ni lini kuna watu hawakai madrasa ila kupitia maigzo kama haya wanapata elmu umu umu na usidhan zinaigzwa kiholela tu lazma wamehusishwa ma sheikh kwaajili ya kupembua la kheir na ovu ambay hayapasw kufnywa, na ndio maana hujasikia wakiadhini wala waki qim swala bimaana hawakua na mlengo wa kuifanya ibada ila nikatka kuelimisha.
@jonesdegrandson9261
@jonesdegrandson9261 11 ай бұрын
Oyaaaa
@ibnujumanne4054
@ibnujumanne4054 Жыл бұрын
Mashaallah tusomeni na tusomeshe pia
@rashidikaombwe9802
@rashidikaombwe9802 Жыл бұрын
Mimi sijaona mafundisho kitale wewe ni muislamu safi unasali dunia tunapita broo siwezi kukuhukumu mimi ila video hii naamini itadumu hauoni una mkosea mumba wako ambae aliekupa ujuzi wa kuigiz nakipaji Leo unaamua kumchezea mola wako kwer jitahidi hii video ungeiondoa tu kwa maslahi ya dini yako na muumba wako hauoni umewapa chansi makafiri kuanza kuihoji na kuidhihaki dini yetu stani bakora my braza umekesea sana hatamimi ni ekta lakini kipande kama ichi cha kudhihaki imani ya watu atakama ungenipa milioni kumi nisingechezea dini na imani za watu imeniuma sana nibora nikare ngurue kuliko kuchezea imani ya dini yetu ukwer sijapenda mimi na wengine walio ona video hii bora ungeifuta tu kama ulikosa stori ungeturia tu liziki haitafutwi kwa mfumo huuu
@hafanabdallah3112
@hafanabdallah3112 11 ай бұрын
Hawa ni walewale wanao nunuliwa kuuchezea uislaam acheni mzaa kwenye dini yetu hata kama ni kuakti😢😢😢
@yunussaleh4872
@yunussaleh4872 Жыл бұрын
Stan wacha upuuz😅, sku ya pili sema kuna maandiko usiseme Aya, 🙏🏽😊 kama aya haipo usiifanyie mzaha qur'an. ni heri kusema tu maandiko.
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
Allah awahifadh insha allah munaelimisha jamii inayofanya hivi insha allah
@hujatswai5798
@hujatswai5798 Жыл бұрын
Allaah akuongoze... Na ukiwauliza, bila shaka watasema: Hakika tulikuwa tunaporoja na tunacheza. Sema: Je, mlikuwa mnamfanyia istihizai Allaah na Aayaat Zake na Rasuli Wake? Msitoe udhuru. Mmekwishakufuru baada ya kuamini kwenu. [Tawbah: 65- 66]
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
@@hujatswai5798 sasa hapo nani kamdhihaq Allah hemu nifahamishe nani alie mdhihaq Allah na mtume wetu s.w.a.
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
@@hujatswai5798 Allah akuongoze wewe na mnaotumia usilam vibaya watu wameilimisha kwani kune hadith za manabiy wetu huwa hazitaji na matukio waliyokua wakiyafanya maqaafir ? sasa kwanino mnawachukia wanaoelimisha kwa vitendo maana hapo hakuna alie dhihaq wamesali kama kawaida ila wameonesha mfano wasiyo jua dini jinsi ufanya ili waelimishwe sasa kosa lao lipi ama wamedhihaq wapi acheni ujinga mojawapo wewe hakuna walipo dhihaq tunaenda madina kutazama makabur ya maswahaba na mtume wetu s.w.a. kila kaburi la swahaba ama wale walikua maqaafir na kuingia katka usilam tunahadithiwa walivo ufanyia uislam hadi kusilimu iweje leo watu wanaelimisha dini ilivo na miko yake wewe uje kusema wanamdhihaq Allah khaa ushamba ungine huu
@aziziatumanially424
@aziziatumanially424 Жыл бұрын
Hahahahaaaaaaaaaaa vijawetu wamekua wa hovyo sana siku hizi 😂😂😂😂😂
@BachirNhenheNhenhe-my2ii
@BachirNhenheNhenhe-my2ii Жыл бұрын
Uzuchi ni haramo,nani muisilamo asio ogopa.
@hassanalawy4325
@hassanalawy4325 Жыл бұрын
Stan acha ujinga Mungu wetu hachezewi….. tunapenda vichekesho vyenu ila ujinga hapana …..kuwa makini kaka na Mungu
@jailosibrahim88
@jailosibrahim88 Жыл бұрын
Kidogo tu mshapanic sasa hapo kosa liko wap
@uvuvweweonyetenyevwe1348
@uvuvweweonyetenyevwe1348 Жыл бұрын
@@jailosibrahim88 akil hawana hao
@hamadmohamed3056
@hamadmohamed3056 Жыл бұрын
Nyie mafala Wacheni kuuchezea Uislamu Igizeni hiz Dini nyengine lakin Sio Uislam Allah awape la kuwapa
@hatibumohamedi3471
@hatibumohamedi3471 Жыл бұрын
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ 😭😭Huyu kiongozi wa hiki kikundi anaitajika aitwe akanyewe uisram hautaki huu upuuzi
@ammylaza6699
@ammylaza6699 Жыл бұрын
Ikifika uulislam mnakaza
@wakatv3704
@wakatv3704 Жыл бұрын
Huyu Stan ana piga mkono
@jumakandy2075
@jumakandy2075 Жыл бұрын
Stani banaa 😀😀😀😀
@abdulpires9091
@abdulpires9091 Жыл бұрын
Muslim mwenye iman na mapenz na Allah hawez kuifurahia hii kitu! Mumefika mbali sn
@athumani6655
@athumani6655 Жыл бұрын
Wewee lengo ni funzo
@hujatswai5798
@hujatswai5798 Жыл бұрын
​@@athumani6655 hakuna katika dini mafunzo ya aina hiyo.
@ammylaza6699
@ammylaza6699 Жыл бұрын
Ivi nyie watu huwa mnapenda kuhukumu
@Maryam-kl6gj
@Maryam-kl6gj Жыл бұрын
Aliyeskia tichatujuaneapa
@ReaganHaule-li9qs
@ReaganHaule-li9qs Жыл бұрын
Afidhi tafadhali kaka noamba tuwasiliane Kaka
@bekutachirongo7804
@bekutachirongo7804 Жыл бұрын
Nyinyi watu muogopeni mungu tafadhalini..mnachezea mungu..inna lilah wainna ilayhi raajiun.😭😭
@luqman4030
@luqman4030 Жыл бұрын
Hapo mmekosa vyakubuni wala siwezi kufatilia muendelezo dini haichezewi hata siku moja
@hafidhumawimbi7972
@hafidhumawimbi7972 Жыл бұрын
ALLAH wape laana nzito wote walio shiriki huu uchafu.AAMIN!!!
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
akulaani wewe na kizazi chako kosa lao lipi hapo wanatoa elim hata kune hadith za manabiy tukizisoma lazma tuwataje na watu kama huyo alie mfata msikitin sasa baya lipi hapo ?
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr Жыл бұрын
Tuombeane Dua njema na sio laana ndugu yangu. Mkamilifu ni MUNGU peke yake anaesamehe makosa yote iwapo mfanyaji atatubia kiukweli. Na Kuna hadithi ya mtume SAW inasema " mwenye kulaani wenzake, amelaaniwa yeye" TUCHUNGE IMANI ZETU NA TUOMBE MWISHO ULIO MWEMA.
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
@@ALIMOHD-bk9lr angewalaani wanaofanya vitendo kwa makusuud na kuwa ndio maisha yao nasio kuwalaani wanao elimisha jamii unadhani hamna mtaani yanayotokea hayo kama walivo ecti hao nahuwezi kufikisha ujumbe ama kuelimisha watu bila kuonesha na uovu wenye kwenye hadith za manabiy wetu na waovu wanatajwa na matendo yao hadi kubadilika sasa vipi kuilimisha vitendo vyote visionekane ? nimewashangaa sana wanao laani hawa vijana wanao elimisha
@jwisetv4833
@jwisetv4833 Жыл бұрын
Wewe co Mungu ndugu yangu ni mzambi tu kama cc usiseme hivyo
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Usiombe ukumu waombee kwa mollah awasamehe sababu allah mwingi wa kulehemu na mwingi wa kusamehe pia ata wewe utapata swawabu kuwaombea allah awasamehe sio kuwaombea ukumu wewe unamakosa yako pia kwaiyo mungu wetu atoe ukumu kila kosa lako si unaomba usamehewe ndio maana yake
@hujatswai5798
@hujatswai5798 Жыл бұрын
Na ukiwauliza, bila shaka watasema: Hakika tulikuwa tunaporoja na tunacheza. Sema: Je, mlikuwa mnamfanyia istihizai Allaah na Aayaat Zake na Rasuli Wake? Msitoe udhuru. Mmekwishakufuru baada ya kuamini kwenu. [Tawbah: 65- 66]
@murthadsalim4038
@murthadsalim4038 Жыл бұрын
Mnazingua
@allynassoro4030
@allynassoro4030 Жыл бұрын
Ili swara sio lakuliangalia na kuliachia Allah afanyiwi masihara wote walaaniwe sio mafunzo hayo nikukejeri dini yetu silikari ichukue hatua
@mckobatz5861
@mckobatz5861 Жыл бұрын
Ticha nae kakaza Stan elewa mdogo wangu ushamkopesha Allah buku ten tulia ulipwe zaidi😂😂😂
@user-op9fq7gh5y
@user-op9fq7gh5y Жыл бұрын
et takbir😅😅
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw Жыл бұрын
Sio poa
@allymuya4480
@allymuya4480 Жыл бұрын
Ila stan fala sana
@alimajaliwa6049
@alimajaliwa6049 Жыл бұрын
Noma 😂😂
@muhammadjamady-zx1jy
@muhammadjamady-zx1jy Жыл бұрын
daaaa msiba mkubwa sana
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 Жыл бұрын
Atafutwe atiwe adabu na elimu apatie 😂😂😂😂
@hadjrahkhalfan3584
@hadjrahkhalfan3584 Жыл бұрын
Stan kweli ww chizi kbsa sas hio ni ayaah gni😅😅,,,na hio swala mbona ndefu sna mweny mkuu hamaliz kuswalisha sijui ni tarawe ao vip ila tunasubir kijana apewe adabu na elimu pia inshaAllah maan diini sio ya kufanyiwa utani hivo
@bhokesaid3264
@bhokesaid3264 Жыл бұрын
Eh yani nimejua kucheka
@KareemKamota-ck7uy
@KareemKamota-ck7uy Жыл бұрын
Tujuane
@omaryngwembele2456
@omaryngwembele2456 Жыл бұрын
Achen kujifanya mnajua sana elimu ya dini mkumbuke kabla ya watu kufnya hiv huwa wanauliza kwa masheikh, alaf hili ni darsa kama darsa lingine au ni kwasababu limeigzwa, utakumbuka zimeigizwa muvi za maswahaba na mtume enzi zao je nawao wanacheza na dini au mlengo ulikua ni kutoa darsa. Ukiwa na elimu ndongo ndo utaona wanakosea. Tujitahd kuhudhuria darsa ili tujue zaid inshaallah.
@hujatswai5798
@hujatswai5798 Жыл бұрын
Upungufu wa elimu unapelekea haya usemayo, kwa hiyo huoni umuhimu wa kuswali kwa stan? Kwa hiyo ni sawa kuvunja nguzo ya swalaah? Unafkiri kwa kusemeshwa hivyo bado swalaah yako itatimia? Kama kweli wameuliza basi wameuliza masheikh waliobebewa dini.
@abuudhilqarnayn5180
@abuudhilqarnayn5180 Жыл бұрын
Hamna dini ya namna hyo, kuwa makini! Tumche Allah achane maigizo maigzo, din ina njia zake za kufikishwa sio kila njia
@hujatswai5798
@hujatswai5798 Жыл бұрын
Allaah akuongoze.... Na ukiwauliza, bila shaka watasema: Hakika tulikuwa tunaporoja na tunacheza. Sema: Je, mlikuwa mnamfanyia istihizai Allaah na Aayaat Zake na Rasuli Wake? Msitoe udhuru. Mmekwishakufuru baada ya kuamini kwenu. [Tawbah: 65- 66]
@reinatave780
@reinatave780 Жыл бұрын
Jmn tuwen makin kuangalia na kusikiliza pia mie sion kama ni masihala tunafundishwa hapo kwasababu kuna watu pia wanatabia kama izo na ndio maana wakat wanamalizaia wamesema kijana atafutwe afundishwe adabu
@josephmugala1970
@josephmugala1970 Жыл бұрын
Mi ni chekeee🤣🤣🤣🤣🤣
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Ukiwa Kwenye Ibada Simama Kwenye Ibada Hata Akija Adui Akikuzulu Ukiwa Katikati Ya Ibada Basi Inakupasa Ushukulu Mungu Kwa Kila Jambo
@tamashaally8049
@tamashaally8049 Жыл бұрын
Siokweli
@hujatswai5798
@hujatswai5798 Жыл бұрын
Umepotosha ndugu, maneno yako siyo ya kweli.
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
@@hujatswai5798 Juzi Nchi Fulani Waislamu Wakiwa Ibadani Muongoza Ibada Alipandiwa Na Paka Kichwani Lakini Alimuacha Nae Akiendelea Na Kuongoza Ibada Moja Mbili Apa Dar.Kulifanyika Kongamano Lakusoma Juzuu Mashindano Sasa Wakati Ikisomwa Na Washindani Kulinyesha Mvua Kubwa Cha Ajabu Waumini Mashee Walitimua Mbio Kukwepa Mvua Wakati Vitabu Vikisomwa Kuogopa Kulowana Na Mvua Lakini Muumini Mmoja Alikaa Pale Pale Kwenye Kiti Akinyeshewa Na Mvua Muumini Yule Alirekodiwa Video Alipoiona Shee Kishki Alimzawadia Zawadi Yule Kijana Bodaboda Sasa Kwa Upande Wako Kishki Alikua Sawa Au Sio Sawa Je Boda Boda Angewapa Waliokimbia Mvua Wakiogopa Kulowa Na Yule Aliyedandiwa Na Paka Kumuacha Paka Yule Kichwani Alikua Sawa Au Akua Sawa Nae Alipongezwa Mpaka BBC Ilimuonesha Pia Ukiacha Uko Ukienda Kwenye Mila Za Kitanzania Ususa Mizimu Niliwai Pita Njia Moja Nilikuta Watu Wakiwa Wanaombewa Wakiwa Wamekaa Wamevaa Nguo Nyeusi Miguu Wamenyoosha Kalibu Na Njia Tulipowapita Niliuliza Wakubwa Je Pale Akitokea Nyoka Watabaki Vile Vile Wamekaa Vile Jibu Hata Apite Simba Malufuku Kukimbia Wala Kuinuka Bila Luusa Ibada Ni Kitu Kikubwa Pale Unachokiabudu Kipo Live Kuona Nyoyo Zenu Ibada Yeyote
@dubabaxakatv2993
@dubabaxakatv2993 Жыл бұрын
Kweli kabsa
@indiansonglomanticlove8493
@indiansonglomanticlove8493 Жыл бұрын
😄😄😄😄😄 daaa nimecheka Sana leo
@fihimmohd5432
@fihimmohd5432 Жыл бұрын
MWINYI MKUU NDIO IMAMU KUMBEEEE. HONGERA SANA. LETE PART TWO
@SharifSadiki-sl4dr
@SharifSadiki-sl4dr Жыл бұрын
Wakwanza leo 😄😄😄😄😄😄
@nehemiakiswaga1819
@nehemiakiswaga1819 Жыл бұрын
Usukutu wa masakata bifauka jiji hiyo haya hatar 😊😊😊
@somalebochannel2883
@somalebochannel2883 Жыл бұрын
Subxanalah! Hi KZfaq Lazima Tutaifunga
@mussahamisi1498
@mussahamisi1498 Жыл бұрын
comedy I.efikia upuuzi n hkuna mfunzo hapa
@lumistarboy8499
@lumistarboy8499 Жыл бұрын
Mmmh hajui chochote huyu
@alphamwasakyen7696
@alphamwasakyen7696 Жыл бұрын
Nusu nifukuzwe kazi nilivyocheka kwa nguvu ofisini😂😂😂😂😂😂😂😂
@mohamedissa6827
@mohamedissa6827 Жыл бұрын
🤣🤣🤣Usukutu wamaa sakata fougha jiji 🤣🤣🤣
@manstannah45
@manstannah45 Жыл бұрын
Stan🤣🤣🇲🇿
@uwezogroupcomedy1135
@uwezogroupcomedy1135 Жыл бұрын
Mwinyi mkuuu 🎃
@georgemuthokasyala8026
@georgemuthokasyala8026 Жыл бұрын
Hapa sijaelewa kitu kwa kweli
@gerysongratian
@gerysongratian Жыл бұрын
😂😂 Issue ni kwamba Stan alikutana na jamaa anachangisha mchango wa kanisa. Ila badala achange 1000 kachanga 10000 coz alikuwa na noti mbili. .. Kaja kugundua vile alipoenda dukani ndo akaamua kuanza kumtafuta jamaa ampatie 10000 yake ili jamaa achukue 1000
@kinyutatonha8831
@kinyutatonha8831 Жыл бұрын
Yaani apo niona kitu kwanza awo wanao changisha waangalie watu wa kuwaomba
@mohammedmasudi-dz6hb
@mohammedmasudi-dz6hb Жыл бұрын
MNAELEKEA KUBAYA
@michaelmlowe7570
@michaelmlowe7570 Жыл бұрын
usukutu😂😂😂😂
@MohdHaji-mc6ou
@MohdHaji-mc6ou Жыл бұрын
MUNGU HATANIWI mumeishiwa vichekesho daah !
@castorchipalo84
@castorchipalo84 Жыл бұрын
Duuu hatali elimu hiyo cyo wamekosea pumbavu
@shamsahasan2748
@shamsahasan2748 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂stan
@tarkikilumbi3457
@tarkikilumbi3457 Жыл бұрын
innalillah wainnailayh rajiu'un mnaekt kumuabudu Allah ili ndo mfundshe jamii,yaan ibada ndo ya kuiyektia kwel!tena ibada yenyew ya swala duh.Hivi hamuon hatar wala hamshtuk
@gabrielagbonlahol6458
@gabrielagbonlahol6458 Жыл бұрын
Jamaa hata hajatia udhu kaunga swala
@hujatswai5798
@hujatswai5798 Жыл бұрын
Mwenye wudhuu ana muonekano gani?
@FARAJACHACHA-bm2jf
@FARAJACHACHA-bm2jf 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Stan Stan Stan
@mohammedamour4930
@mohammedamour4930 Жыл бұрын
Angalia kuchea dini acha upumbafu wenu
@rashidikaombwe9802
@rashidikaombwe9802 Жыл бұрын
Inalilahi wa inalilahi lajuun huu ni Musiba mkubwa jama tuna kwenda wapi
@Stanbul.Y
@Stanbul.Y Жыл бұрын
Kuchekesha sio lazma kudhihaki Dini
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Yani nyie jaman Mnavowatisha watu na hiyo Dini khaaa utafikir lamda Dini yashetani vile mnapata wapi nguvu yakulaani watu kupitia Dini Acheni Kutisha Watu Bhana
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 Жыл бұрын
Coz misingi ya hii dini huijui! Kaa kimya coz walioigiza ni waislamu hivyo tunawaweka sawa Muslims wenzetu
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
@@bakarithegeoinformatician7406, kweli hawajui kitu lkn hawaulizi hujichomeka tu km mashaitwani
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 Жыл бұрын
Kitale bado tunaisubiria binadamu
@newgreeneaglestudio3089
@newgreeneaglestudio3089 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂sio mazuri ila daah
@mbaroukkhalifa8035
@mbaroukkhalifa8035 Жыл бұрын
Nisw mmeaigiza mnaielimisha lkn sio kwa njia hii jmn msidiriki kuidhihaki dini ya allah ni makosa mwenyezimungu hadhihakiwi ata kwa njia yoyote ile mrudi kwa állah muombe msamaha huu uogizaji sio samahani lkn kwa coment hii 🙏🙏
@andrewtange8473
@andrewtange8473 Жыл бұрын
Mbona imeisha jmn tuone anavyotiwa Adabu
@AlbertAbdallah
@AlbertAbdallah 3 ай бұрын
Movie inatok lini kitale wewe
@RayyanRayyan-rt9cg
@RayyanRayyan-rt9cg Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 bimasakat doohhh
@lumistarboy8499
@lumistarboy8499 Жыл бұрын
Huyu mjinga ni mwisho
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka kama chizii
@newversionhome5458
@newversionhome5458 Жыл бұрын
Which part 2
@khadijazungu8627
@khadijazungu8627 Жыл бұрын
Mambo yote 😢😢😢😢 ALLAAH ANASEMA ZAKE ZISIFANYIWE MASKHARA 😢😢😢 NA PIA KASEMA ASIZULIWE UWONGO 😢😢😢 WOTE WANAO FANYA HIVYO WANA ADHABU KALI 😢😢😢😢
@ahmed_flex
@ahmed_flex Жыл бұрын
Hapana kosa hapa kwa sababu 1. Wanapotunga story znahakikiwa. 2. Ni Story inayoonesha kwamba kuna watu wanataka ukaribu sana na Mungu kama alivotoa sadaka yake lakin hawajui chochote katika nyendo zeo za kiimani ya Kam mtu Muslim jina Tu so alipoenda kutaka kuibadilisha pesa aliwabughudhi na ndo mana wakasema akamatwe atiwe adabu alafu afundishwe. Na ile alosoma kama aya ni sawa na kujiona mtu anajua lakn hajui na ndomana alipoulzwa aya ya wap akamtupia Mungu ila ni kwa njia ya kupata mafunzo kwa mim na wewe na cio kufanya mzaha
@abdulpires9091
@abdulpires9091 Жыл бұрын
We Ahmed mbna unaongea vitu km mlevi wa gongo? Fanya masihara yko yote lkn usiguse Sala na aya za Allah viheshim sn ivo vitu! Unasema story imehakikiwa, hakuna shekh wala ustadh atakae hakiki ujinga km uo! Na pia nna wasiwasi alohakiki iyo story ni mlevi au mwehu
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 Жыл бұрын
We unaongea kama nani
@manilabonalumanula9210
@manilabonalumanula9210 Жыл бұрын
Ukiendelea kutumia simu janja lazima haya usiyoyapenda utayaona. Lkn pia ujue ng'ombe huchorwa kwny daftari na kuenea na ukubwa wake wote ule. Hivo basi elewa mambo hayo hufanywa kundishia na si kumkashifu Allah
KITALE, MOGELA NA BAKARI AKILI ZAO WANAZIJUA WEMYEWE.
6:51
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 79 М.
MKUDE SIMBA :  NANDY / ANATUMIA PESA APATE PENZI
31:28
Wasafi Media
Рет қаралды 1 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 6 МЛН
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 64 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 123 МЛН
MWALIMU YOMBO KAGOMA KUFUNDISHA DARASA LA VILAZA 😂😂
11:11
Yombo Comedy
Рет қаралды 63 М.
BANGIIII
9:30
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 17 М.
KANYABOYA
13:06
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 54 М.
STAN BAKORA SHULE NA BANGI
7:36
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 43 М.
MTANGA NA BAMBO ,WAUZA MISHKAKI YA NYAU ,HII KIBOKO KABISA
6:38
MTANGA COMEDY TZ
Рет қаралды 619 М.
KISA CHA STAN BAKORA KUVUTA BANGI UKWENI 😂
5:03
Story Tellers TZ
Рет қаралды 124 М.
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 6 МЛН