Yani bongo na kicheche 😃😃😃 toka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 sijuwi nimala ngapi naitezama ii, jameni like hapa.
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
Huyu kicheche ni mwehu wallahi dah
@faridarahma4050 Жыл бұрын
Kkkkkk kicheche utaniua love you from ethiopia😂😂😂😂😂😂
@CedOG Жыл бұрын
Kuna style za kuchepuka Naomba unifudishe mchepukaji 😂😂😂💀💀💀💀 love from RWANDA 🇷🇼🚀🚀
@ramadeedanger-jj2mw Жыл бұрын
Hey
@wakalighttv3991 Жыл бұрын
Bro Kicheche. We ni comedian mzuri ila hizi ceko zako zinakera. Mda mwingine zinaaribu script yako na inapunguwa uwezo unaosababisha mtu afurahie ucezaji wako. Maoni yangu🙏
@careemissa2502 Жыл бұрын
Na ww hujajua anafanya hvyo script ndo inataka acheke hivyo ili akere huyo c anafanya hvy ili kuwauzi hao wakereke Hyo n saanaaa na iko ndani ya igizo Mzee ndo lengo kuu
@josephkirombo1781 Жыл бұрын
I agree anazidisha inakaa useless kiasi anafaa apunguze kucheka sana
@mussakizajohnson9646 Жыл бұрын
From Birchenought bridge Zimbabwe) pamoja sana cross border Mozambique
@mastaplan Жыл бұрын
Imefundisha sana... Hili igizo lina pande mbili
@MoneySkillsTV Жыл бұрын
Pumbavu zangu.... Salamu kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮
@michaelonyango3884 Жыл бұрын
Kali sana kicheche
@Kabeya410 Жыл бұрын
Daa Nimecheka kwa nguvu yaani jamaa nimemkubali ni kipaji kabisa halazimishi kila neno unacheka true comedian. Mbwa kicheche
@alvinmbugua9830 Жыл бұрын
I like kicheche comedy...Nairobi Kenya support you guys
@manirambonainnocent6459 Жыл бұрын
Kicheche unatisha 😅🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣😅😅😅 kicheche keep it up u are doing well 🇺🇲🇺🇲
@hamoudcreator6343 Жыл бұрын
HIVI MUNAWEZA VIPI KUIGIZA NAE HUYU JAMAA😂😂😂😂
@jamilahtunda7108 Жыл бұрын
😂😂😂😂ata mm najiulizaga sana
@Biharmbeauty Жыл бұрын
😂😂😂
@nyoksheaven2031 Жыл бұрын
Nilisema tu Kicheche anaeza fanya ujinyonge 😂😂😂😂🤣🤣🤣,mob love from 🇰🇪🇰🇪
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Haki huyu hafai 😂😂😂😂
@jymohkioko6284 Жыл бұрын
Unanifurahisha mzee makofia
@ignancenshimiyimana8267 Жыл бұрын
Again still that country🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 much love kicheche
@evarstemperejeko2656 Жыл бұрын
Salute ya soldier bwana Kicheche! Mchepuko Noma aisèèèeeee.
@fathiyaalmaskari5544 Жыл бұрын
Naipenda hiyo nyimbo jamani
@dicksonmwelekete5713 Жыл бұрын
Hata mm nimelala huko huko ndio nalud saivi umbwa mchepuko.🤣🤣🤣
@raymondzehasler9887 Жыл бұрын
Nakubali San bro kicheche🙌
@mandongatv Жыл бұрын
kicheche unafanya kazi nzuri sana
@mosesmwita1032 Жыл бұрын
Please Kicheche unaeza fanya show moja huku Kenya🇰🇪🇰🇪 tunakukubali sana huku mchepukooooooo umbwa mchepuko pumbavu zako🤣🤣🤣ati Nagwaaaaa😂😂😂
@mwogeramwimeti9902 Жыл бұрын
Yan kama Kuna mtu ananilaza bila ucngzi basi ni kicheche mchepuko all the way n muhimu mbwa mchepuko
@cyriaqueniyonkuru7324 Жыл бұрын
Kicheche 🤣🤣🤣 hongera sana hata huku kwetu Burundi tunakuata 100% 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@princeallonxsso7312 Жыл бұрын
Mm mwenyew napenda 😂 michepko 💕
@glenleteipa4181 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂utaniua siku moja Kicheche.kichecheeeeee
@ahmadisaid9304 Жыл бұрын
Kicheche nakubali hufichi kitu unapasua tu then huo mwendo balaaaaa
@KalamuYaGalana Жыл бұрын
Nakubali kazi Yako. Nkiwa Malindi Kenya
@kassimiddi8593 Жыл бұрын
Kicheche unajua ila punguza kucheka cheka
@ommyconscious97 Жыл бұрын
mbwa baba nakukubali kinoma unanimalizia sana bando langu mbwa wewe 😂😂😂
@fafamamba9742 Жыл бұрын
Kicheche 💪 from 🇧🇮
@enocksilungwepondajr9707 Жыл бұрын
Ni ba last
@sophiamwailonda Жыл бұрын
kuwa na mme kama kicheche ni stress😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀🙌🙌🙌🙌🙌mbwa ww
@user-sq7vf4vy5x7 ай бұрын
maliza kwanz Pesa na Matatizo broow but ❤❤ story zk